Very good my future president,I real proud of you! This party need a man like you! Not others who are corrupt and they wish to destruct our part! Keep up man and God be with you!
@MamaEllem7 сағат бұрын
I love your thinking and ability to handle issues. Long live Freeman, and keep doing this good job.
@JamesWaitara-u3v11 сағат бұрын
Kwendaaaaaa umetoshaa king'ang'anizi kuna nini tunamtaka heche na lissu watuongozeeeeeee😮😮😮😮😮
@shafee91286 сағат бұрын
Sasa unataka kuwa mwenyekiti mpaka lini acha ulafi hivyo hivyo lipumba ameivunja cuf kwa tamaaa
@titonkwabi743010 сағат бұрын
Toka kwendraaaa tumekuchoka!
@protamwenyegzaketv74087 сағат бұрын
Achia ngazi sasa umefika wakati wa kuondoka
@getitdoneright193810 сағат бұрын
Don’t fool around. It’s time for you to step down from leadership. We need new blood and new leadership
@SuleimanHamisi-rp4nh13 сағат бұрын
Ili tukuamini kwamba ww ni mpinzani kweli waachie wenzako nao waongoze sio Kila siku ww tu.
@SuleimanHamisi-rp4nh13 сағат бұрын
Kweeeendaaaa kuke
@musaelisha20286 сағат бұрын
Kujiona ww nibora sana na kuwa Taasisi fulani haiwezi kwenda bila ww huo pia ni ujinga..!
@PaschalGervas-i4w6 сағат бұрын
Nakukubali Mzee piga kaz
@Joanagumbe11 сағат бұрын
Achia uongozi mzee, kuwa mshauri mwachie lisu
@bonifacekalima52735 сағат бұрын
Umenifulahisha kwa maneno yaako yenye busara,, ubarikiwe saana
@KS-iw7qv7 сағат бұрын
Twende kaka bado tunakuamini.......❤❤
@NdeshaPaul-uz9bw8 сағат бұрын
Usijali maneno ya wapimbavu endelea kusema ukweli na Mungu atakubariki. Mungu anakiongoza kupitia malezi mema uliolelewa una busara za kutosha na hekima. Unaaminika hata Mungu anajia kuwa ww ni kiongozi Bora sana Wala hutapungukiwa neema zinazidi sana kwako amini imenarikiwa na itazidi kuomaarika zidi sana kutumia busara zako. Nchi itafanikies.
@marysichinsambwe770810 сағат бұрын
Mbowe must go , ni muuaji, awarudishe Soka na wenzake halafu ni mwizi na anahongwa na ccm
@MusaBajutta6 сағат бұрын
Tundu lisu❤
@MamaEllem6 сағат бұрын
Hivi hiyo akili mpya mnayoizungumzia ni ipi hiyo?? Mnasema damu changa, kuna damu changa hapo????? Ipi hiyo???? Ya nani????
@naldclever8 сағат бұрын
Kwa haya machache, mm bado natamani mbowe awe mwenyekiti wa chadema..lakin naogopa sana Iissu kuondoka baada ya kukosa nguvu
@bonifacekalima52735 сағат бұрын
Mimi nilitamani aawe mwenyekiti mstafu, nibonge la heshima Teena heshima kubwa, huyu ni baba mlezi na ninamkubali saana kwa maneno yaake yabusara
@japhetmasatu614912 сағат бұрын
Kumkebehi Magu ndo unapojichanganya!
@ulomirabiel698012 сағат бұрын
Magu alirudisha demokrasia yetu nyuma miaka mia- hafai kabisa
@Joanagumbe11 сағат бұрын
Tuambie ruzuku unakula mwenyewe na familia yko , kwa mantiki hiyo chama ni cha familiaaa mamako ndyo muhasibu
@giftmloge713412 сағат бұрын
Nakushauli Mh Mbowe kwa sasa pumzika kwenye nafasi ya Uenyekiti wa Taifa mwachie mwingine.
Wanachama waosataiki kupiga ya kuwateuwa viongozi wa chadema uyo Kaká wataifa musimpe kula Zenu, ili tufikia lengo uyo Kaká ni wale wale tu
@victoreleonardmdee915810 сағат бұрын
Ningemshauri Mbowe aachie Madaraka lakini kwa Gia aliyoingia nayo Lissu Sio sahihi Ataitumbikiza nchi kwenye Shida kubwa sana.
@abasishayo14028 сағат бұрын
❤❤❤❤big up chair Man
@rahimsadru-ct4ot7 сағат бұрын
Wachaga ndo mnamuunga mkono ,,,
@jacobmgumiro1568 сағат бұрын
Leo hd tbc wapo oooo chama chetu jamani uuuuuwi
@Anton-t5c2w10 сағат бұрын
We unaetaka kwenda ccm unasubili nn nenda meneno yako yanatokana na kilichomo moyoni mwako Mbowe tunakuhitaji
@SaidMwayoyo-o6b11 сағат бұрын
Pa1 from mombasa kenya 🇰🇪
@KanumaMussa5 сағат бұрын
Mh.Mbowe Mimi ni mwana CCM damu,lkn Kwa hotuba Yako mitano upewe,
@TM-zs3rm9 сағат бұрын
Maamuzi magumu ni muhimu sana kwa sasa. Ingawa mmepitia magumu hayo. Bado magumu zaidi yanakuja. Rushwa ni kitu kimoja kinawapunguzia heshima. Hata kama tusipoziona rushwa, lakini kwa watoa rushwa hao ndio watesa wenu. Wanawapunguzia nguvu zenu ndani ya chama kimaamuzi. Umeongea mazuri sana, lakini sikubaliani nawe kuwa ni wewe tu uwe mfadhili wa chama. Kinawapunguzia nguvu na uhuru wa wana Hama wako wakifikiri wakuridhishe kutokana na pesa. Inabidi watu wawe huru na wasiwe machawa ili wafanye maamuzi huru yenye manufaa ya umma, Taifa na mali za umma.
@DandasiKundi7 сағат бұрын
Haya hamna shida gombeeni wote atakaechaguliwa basi atakua kiongozi atakaeshindwa asihame Kwa sababu ya kukimbilia uongozi atakakwenda atakua hafai hata ujumbe wa nyumba kumi. Atakaeshinda basi ndio kiongozi wetu.jamani .
@laizerstudio5 сағат бұрын
katiba ya chadema inampa ruhusa ama inamlinda MWENYEKITI ama MAKAMU MWENYEKITI kua mjumbe wa kudumu wa kamati kuu TAIFA as long as ni mwanachama hai wa CHADEMA kwaio ikitokea mfano lisu akashinda haimaanisha mbowe atawekwa pembeni kbs hapana atakua mjumbe wa kamati kuu hadi afe labda na ataendelea kusaidia kujenga chama huku akiwa na heshima yake ile ile, hata lisu nae ivyo ivyo ikitokea kashindwa, hii ndo faida moja wapo ya kusikiliza vzr hotuba za lisu ni mwalimu mzuri wa sheria na mambo mengine tusiyoyajua... kwaio nashangaa kwa nn mh.mbowe anachukulia big deal kua M/kiti wakati anaweza akastaafu tu vzr huku akiwa mjumbe wa kamati kuu taifa akiendelea kua mzee/mshauri wa chama na akaheshimiwa zaidi...!!! mm nawaunga mkono chadema ktk harakati zao lkn nawaza tu huu ni uenyekiti wa chama heka heka kibao kung'atuka vp akiwa raisi ??
@maneno_kairuki10 сағат бұрын
LISU issue kubwa ni gari lake tu
@siaralomayan8 сағат бұрын
Umekosa la kusema!!! Magu anahusika na nini na kung'ang'ania madaraka?subiri sanduku la kura!!hutaamini!!! Lisu atakuaibisha.
@mcharo2558 сағат бұрын
Mbowe the diehard ✌️
@sameersurve74967 сағат бұрын
Mungu akubari wewe ni mtu wa amani.wanachadema msifanye makosa .msimpe mtu mwenye jazba.narudia msimpe mtu mwenye jaziba na lawama.
@jumaamekajo4867 сағат бұрын
Duh kumbe huyu Mzee ana akili kubwa.
@MadodoMartini9 сағат бұрын
Mh Mbowe, huna kosa ulilolifanya ktk Uongozi,Lissu kuchukua form ndio kutoa siri, busara zako ilikuwa imebaki ni kung'atuka na kuungana na wanaotaka kugombea Uongozi wa Cham, ili viongozi walioko chini wakae salama...
@Peterchipemba11 сағат бұрын
Shida mzee umebaki unafanya siasa za hisani,,mtu amefanya uonevu kwa wanachama kuwachia unamshukuru,,
@katofx1210 сағат бұрын
🙏🙏💪
@GODLOVENGONDE10 сағат бұрын
Mimi siyo mwanasiasa, ila huyu jamaa no mroho tu wa madaraka, huwezi ongoza chama kwa miaka 20, bado unataka kuendelea mwenyewe, kwani wengine hawapo? Hapana Mbowe, hii siyo sawa!!!
@MadodoMartini9 сағат бұрын
Lisu ulimleta wewe kwenye Chama, sasa unalumbana nao wa nini sasa, wahiriri hao wengine wanaenda kugeuza maneno, mpishe Lissu hakuna kosa, uking'ng'ania walio nje ya CHADEMA watawalaumu wote na wananchi wengi watadhoofishwa...
@AntonyGenon7 сағат бұрын
Nana ni bora mbowe ashiriki uchaguzi huu isionekane kamuachia lisu, hapo kura zipigwa itajulikana Nani mshindi. Hii ndo demokrasia
@ukweliunauma45709 сағат бұрын
Mbowe jiuzulu tena uko nice nice tuachie lissu atuongoze sasa , acha tamaa 😮
@MadodoMartini9 сағат бұрын
Waachie wengine wagombanie nafasi hii ya Uenyekiti Taifa,kama mlimwamini kugombea Urais huu Uenyekiti una shida gani, is ifike mahali bila wewe CHADEMA kitakufa, sio sahihi,.. Pumzika kwa Aman Mkuu.. yatosha mema uliyoyafanya, Unamlaumu nani sasa hapo
@MamaEllem7 сағат бұрын
Wewe ni akili kubwa, Kiwango cha busara yako na uzoefu ulioujenga kwa kipindi ulichokuwa ktk uongozi ni hazina kubwa tuliyonayo ktk wewe. Tunakupenda na kukuheshimu sana kiongozi wetu mkuu. A bird in hand is worth two in the bush. Sumu haionjwi!!!
@shafee91286 сағат бұрын
Busara ya nini wewe unafikiri haki na amani vikitamalaki tutahitaji busara ukiona sehemu kuna busara inatumika ujue kuna mtu anaumia hapo
@Dateborn.257 сағат бұрын
sawa
@margarethpolepole74387 сағат бұрын
Hakuhata anaekutaka unalazimisha na Chama kinakufa mjinga mkubwa kinganganizi umechokwa
@halimaally49806 сағат бұрын
Uongozi unataka mtu Mahiri kama mbowe, kaka endelea..
Jamaa kawadhulumu ndugu zake Billcanas sababu ya pesa
@HatibuSozi12 сағат бұрын
Chizi ww na uchu wako wa madalaka
@VictorMwalulenga6 сағат бұрын
Mbowe nisawa na lipumba tu nakuachia chadema yako tunaenda Act
@EmmanuelMlowe-u1v7 сағат бұрын
Lisu kazi ipo
@SuleimanHamisi-rp4nh13 сағат бұрын
Uroho tu uchoyo aaaa
@MohamedKitenge-o9j6 сағат бұрын
Ma ccm hao usiwasikilize
@HamimMbango11 сағат бұрын
Ww usijidhalilishe kuwa muungwana ngatuka tu muungwana uwa anajisowa mwenyewe, eeeee
@EmmanuelMlowe-u1v7 сағат бұрын
K umpa ongozi lisu nikukubali kuwa na kiongozi mwongo
@moureen74469 сағат бұрын
Mbowe hebu kunywa wine jisikikize tena, leo UMEFELL na leo ndo nimeona rangi yako… UCHU WA MADARAKA .. kuna kitu… si bure . Bye Chadema.
@MikidadiMchuchuli10 сағат бұрын
Kwann Leo TBC walikuwa live kwenye mkutano wako tangu lini waliwai Fanya hvy kwa mpinzan wa kweli
@paulsibu57707 сағат бұрын
Achia Nafasi
@jumaamekajo4867 сағат бұрын
Kama hawamuerewi huyu basi hawatamuelewa yeyote
@EmmanuelMlowe-u1v7 сағат бұрын
Ukimsikilizabowe na wenje unaona namna gani lisu nimwongo kiwango hani na kiveu geu mkubwa
@MohamedKitenge-o9j6 сағат бұрын
Niwewe mh mbowe
@mbelechimakobola883512 сағат бұрын
Ondoka tu mzee, muda wako ndio umeisha hivyo
@kaismwambona98609 сағат бұрын
chaguzi za uenyekiti zilizo pita ccm walishambulia sana mbowe kuto waachia wengine kiti pale anapoamua kugombea Tena walipata shida na kukosoaDemokrasia ndani ya CDM, kwa sasa amekamilisha miaka 20,anataka Tena mbele ya wengine waliochukua fomu je,tutarajie upinzani wa ccm mkubwa zaidi na kumuunga mkono T.Lisu ?
@EZRAYOHANA-g1t11 сағат бұрын
Siku moja nitawaambia wanangu nmewai kumuona kiongozi wa upinzani mwenye hekima kama Mbowe Leo kaja kutoa Lecture kwa vijana wake Nmeelewa kwanini wanampinga kumbe huyu jamaa Anaakili balaa.
@FrancisRogears-w7i6 сағат бұрын
Pumzika baba sasa
@TM-zs3rm10 сағат бұрын
Hawa uliowataja wote wana maslahi makubwa nawe binafsi kiuchumi. Hapa unawaanika pia. Pesa ni kitu hatari sana.
@williamkeita151912 сағат бұрын
Mwenda zake ukimtaja tu unapunguza ushawishi coz aliwabana ninyi tu na walioserikalin nakujuvunia rundo la wapiga kura wasio serikalin alipendwa sana kiukwel😂😂😂
@Teddy-z4i6 сағат бұрын
Urafi na hekima yako itapotea
@mtalemwadenis15006 сағат бұрын
Kaa ka mshauli tu
@hoseamwambambale350311 сағат бұрын
Kwa sasa siki tak kabisa chadema afazali niwe upande wa ccm
@rahimsadru-ct4ot7 сағат бұрын
Mchaga sio mtu aaogopwe
@samkitwima793310 сағат бұрын
Ule msemo wa "Useful Idiot" aliopewa Carlson Tucker na Hilary Clinton baada ya interview na Putin nahisi unamfaa huyu jamaa😂😂 Najuta kwa nini miaka 10 iliyopita nilikuwa Shabiki wa Chama hiki. Huyu Jamaa anatumika na Sysytem since day 1. Chadema akirudi huyu inakuwa CUF chap tu. Kwishnee...... KWA staili hii CCM miaka 100 tena. Naumia japo hayanihusu😪😪
@MwangaNkayagwa11 сағат бұрын
Kamanda wa mapambano ndani ya iwanja wa siasa za upinzani kwangu Mimi ni speech ya mtu mwenye akili all in all solidarity inatakiwa viongozi wote wa Chadema mshikamaneee
@johansenerasto58909 сағат бұрын
Watanzania muwe makini hii sio battle ya mbowe na Lisu bali ni battle ya ccm wakiwa upande wa mbowe na chadema wakiwa upande wa lisu(wananchi) Tahadhari hyo nawapeni