Ukitumia neno matakwa ya wananchi ina maana wa Tanzania wote. Sema matakwa ya chama.
@hezronitete3622Ай бұрын
Kwenye amani ukovizuri sana unalipenda taifa
@salehesalehe2967Ай бұрын
Hili lijamaa ilnaharibu chama
@jangalaalexbubehi7658Ай бұрын
Hamia huko unakotaka
@willymdeka6034Ай бұрын
Anza na katiba ya chadema kwanza
@Jumamtafya-ie9zp9 күн бұрын
La miaka 20
@simonnyadwera8595Ай бұрын
Mh,Mbowe
@richardhosea8827Ай бұрын
Uchumvi achinvi hiyo alitoa Mzee JK ukuda
@ShabaniKuziwa-p8mАй бұрын
Mnao mponda Mbowe nakumtaka ajiuzulu mnania ovu na Chadema naamini yuko vizuri na kama hafai basi waacheni wafanye uchaguzi
@EmmanuelMlowe-u1vАй бұрын
Mda wake imeisha elewa, demokrasiya ufanye kazi siyo mpaka uondolewe kwanguvu niaibi kwanini Mika yoye wewe ndie mwenyekiti?
@George-jz3jgАй бұрын
Majibu ya kisiasa mimi huwa yananifurahisha sana miaka yote wakati vyama vya siasa vikiwa vimezuiwa kufanya siasa mlikuwa mnasema chama kipo imara kuliko wakati wa huko nyuma kabla ya hamjazuiwa sasa leo unajibu eti hata hiyo hiyo 30% mmejitahidi kwasababu mlikuwa mmezuiwa kufanya mikutano ya siasa
@kaponasalum3648Ай бұрын
Kelele zone hizi wanalinda Ruzuku isikatwe.
@SephaniaMsigwaАй бұрын
Hamuna mchukuaji inchi hapa
@TonyTrans-xw3bbАй бұрын
mbowe angekuwa anatamaa angechukua hela za ccm siku nyimbo ila mbowe nimpambanaji na nishujaa wa uhakika
@RestitutaNjau-k8xАй бұрын
Kweli kabisa Mr.Mbowe
@BorySarongeАй бұрын
Mbowe neno la kutana kuwa watu hawana akili ni kweli hao unaowangoza na wanaopiga makofi mbele yako ndio hawana akili kwa sababu hawajitambui na hawajui ni lini ataongoza watu wenye akili mbowe ajitafakari .
@CCMMKOAIRINGAАй бұрын
Kwann tusianze na katiba ya chama chako hasa wewe Ambae mda wote unataka uwe wewe tu kuwa kiongozi
@katapaj2336Ай бұрын
Achia ngazi ww
@giztony2009Ай бұрын
Nikiri wazi upinzani una watu wenye akili kubwa sana yani mtu anaongea point kila sekunde
@malcomx4067Ай бұрын
Tatizo unapenda sana madaraka, unawezaje kulakamikia katiba wakati wewe mwenyewe haufuati katiba ya Chadema? Kana kweli wewe ni mwana demokeasia ulitakiwa kuachiangazi ya Uwenyekiti miaka 10 iliyopita. Jufunze kwa Zitto Kabwe na ACT.
@MakameAbdallah-wn3hcАй бұрын
Watu tunataka maendeleo na si siasa za maji taka. Yaliyo ndani ya Sacoss yako yanakushinda utaweza haya ya dola? Katawaze ukalale Watanzania walio wengi wana uelewa mkubwa utakaowapata ni hao wapiga dili wabwagiaji unga vibaka wezi na wasiojielewa. Mungu washinde na walegee wote wenye nia ovu dhidi ya Tanzania yetu Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wake.
@jangalaalexbubehi7658Ай бұрын
Kwani umelazimishwa kuwa cdm ?
@RestitutaNjau-k8xАй бұрын
Nchi ya vyama vyingi vya siasa.Hutaki nenda kaishi Uarabuni
@ToivoJaseАй бұрын
Nilikielewa hiki Chama,ila huyu kichaa now naanza kuwa simuelewi,,anatamaa sn na madaraka,,from now sitaki kusikia Mambo ya siasa
@abasishayo1402Ай бұрын
Unataka upewe wew chama
@piusprospa8832Ай бұрын
nchi yetu inatakiwakua nawatu kama mboee huyujamaa nchi itageuka nakua nchk ya kidemokrasia
@simonmagaigwa5496Ай бұрын
Tafsiri ya demokrasia ni nini?
@saidbawazir2879Ай бұрын
Mwamba usitoke ukitoka juhudi zote za mtei ww na wengine wema zitatoweka usikubali kuachia ngazi
@EmmanuelSelemanАй бұрын
Hawakua na sifa
@nanubob1969Ай бұрын
Mbona hamtuoneshi audience yake? Si ndio uandishi wa habari?
@kiluiWanguvuАй бұрын
anachoongea mnampigia makofi wakati hamna kitu blabla na haileweki anawaza saccos pesa
@jangalaalexbubehi7658Ай бұрын
Bora ukae kimya tu
@abasishayo1402Ай бұрын
Mbowe ukiondoka chama kitakufa
@willymdeka6034Ай бұрын
Acha uongo wewe sio dar labda moshi machame kwenu huko
@Educatedmind-k9rАй бұрын
Mbona mzee kapanic? Step down. You're the problem
@nanubob1969Ай бұрын
Mbona hamtuoneshi audience yake? Si ndio uandishi wa habari?
@Rai_online_tvАй бұрын
Alikua anaongea na waandishi wa Habari, Na wanaonekana but hii ni Contents yenye zaidi ya saa mbili
@nanubob1969Ай бұрын
Mbona hamtuoneshi audience yake? Si ndio uandishi wa habari?