Asante kwa hotuba yako ya mwisho ndugu Mwenyekiti. Bahati mbaya, mtindo na namna yako ya kuongea ni ileile iliyokwisha kupoteza mvuto na ushawishi. Karibu Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya CHADEMA 2024 - 2029
@MohamedHamza-q6u4 сағат бұрын
Achia uwongoz kaka
@EvansiEvansi-oi8or9 сағат бұрын
Toka hutakiwi
@ashaali715410 сағат бұрын
Kakutapeli nini?
@titojb470310 сағат бұрын
Tapeli tu muongo!
@ashaali715410 сағат бұрын
Kakutapeli nini au na wewe ni bendera isiyojua upepo unatokea wapi? Nyie pigeni debe hawa bado wapo pamoja nyie munatoana roho bila kujua kuwa bado kuna maisha baada ya siasa.