MBUNGE kwa TUNDU LISSU ATOBOA MADUDU YOTE ya LISSU JIMBONI SINGIDA MASHARIKI....

  Рет қаралды 9,869

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MBUNGE kwa TUNDU LISSU ATOBOA MADUDU YOTE ya LISSU JIMBONI SINGIDA MASHARIKI....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 118
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mapwanaidan
@mapwanaidan 4 ай бұрын
Hamna mbunge hapo poleni sana km hizo ndio hoja
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 4 ай бұрын
Mie naona unampatia umaarufu zaidi. Baba yake Lissu aliongoza kujenga shule ya msingi. Na pia Lissu huyohuyo alianzisha mchakato wananchi kulipwa fidia.
@ImmaThelonewolf-bk2cx
@ImmaThelonewolf-bk2cx 4 ай бұрын
Ccm wooote mnashindana na tundu
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 4 ай бұрын
Pointless.ccm mnashindana na mtu mmoja.Lissu ongeza spanner sumu inaingia
@emmanuelelisha173
@emmanuelelisha173 4 ай бұрын
😂😂😂 Muwe mnasoma na comment mjue watu wasivyo wapenda.
@ErnestMgani
@ErnestMgani 4 ай бұрын
Mbona kiongozi unalazimisha watu wapige makofi!!???
@mataypanga5262
@mataypanga5262 4 ай бұрын
Na wewe una mdomo sana
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Sasa wewe bro white na Lissu wapi na wapi mtu mdogo sana wewe hata hao wanaokuskiliza hawakujui majina matatu
@ImmaThelonewolf-bk2cx
@ImmaThelonewolf-bk2cx 4 ай бұрын
Mbona hana point ya maana?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Mimi point ya maana kuizingatia ni kuwa jogoo ataishia tu kuwika lakini hatafungua mlango.
@ImmaThelonewolf-bk2cx
@ImmaThelonewolf-bk2cx 4 ай бұрын
@@hajihassan5433 na akisumbua sana anachinjwa
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 4 ай бұрын
Maneno ya kijinga sana watanzania wengi tumeamka
@JosephuSwai
@JosephuSwai 4 ай бұрын
Huna hoja kaka
@castromemba6311
@castromemba6311 4 ай бұрын
Singida ni nyumbani, lisu alikuwa ni Mbunge wa Taifa Bro. Muheshimu sana lisu.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 4 ай бұрын
Mwambieni hata anachokiongea hajijui
@HarunMsigwa-od1gd
@HarunMsigwa-od1gd 4 ай бұрын
Daa! Kumbe kisu ni kichwa cha maana sana kama amesoma shule ya tope lkn anajua mambo makubwa hivi!
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 4 ай бұрын
Hunahoja tumbo tumbo wewe achana na lisu ni 🔥 mwingine
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 4 ай бұрын
Hanna uwezo wa kupambana na lisu Kwa hoja,,, Kuwa jogoo akiwa na kiherehere mnachinja mnachemsha supu? Hapo ndipo upo mnapofel,, risasi mwilini za lisu katika jaribio la kumuua, kimantiki linahusishwa na msemo huo,,, Inatoa simpath Kwa lisu,,, CCM Hanna uwezo wa kujenga hoja Bali makelele,,,,,jibuni hoja
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 4 ай бұрын
Uwezi kitu wewe Tundu ni mfarume wa Tz
@rachelmkumbwa8710
@rachelmkumbwa8710 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@MajaliwaYusuph-qb1xp
@MajaliwaYusuph-qb1xp 4 ай бұрын
Hamna unachokiongea hapo ni ujinga mtupu
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 4 ай бұрын
Anakuja huko huko
@WinfridaFabian
@WinfridaFabian 4 ай бұрын
Et wananchokufukuzwa eneo lenye madin maisha Yao yakaboreka ghafla
@DanielPaul-q3y
@DanielPaul-q3y 4 ай бұрын
Huo mkutano wa lisu ama CCM???
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 4 ай бұрын
Ujinga mtupu
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 4 ай бұрын
Lissu oyeeeeeeee
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 4 ай бұрын
Lakini c c m mbona matatizo ya wananchi hamyatatui mikopo kwa dhamana ya mafao muitoe sasa
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 4 ай бұрын
Samahani naomba kujua kazi ya mbunge ni ipi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Kazi ya Mbunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali. Hivyo kwa kawaida kusimamia wala kushauri vyote sio vyeo unaweza tu kupuuzwa na Serikali na isiwe lolote. Pia Bunge ni sehemu 2 Wabunge 49% na Rais 51% hii maana yake Wabunge wakiamua chochote bila Rais kukubali haiwi lakini Rais akiamua chochote bila Wabunge kukubali linakuwa na wala HAJAVUNJA Katiba ndio maana Bunge letu ni dhaifu na kimsingi ni kundi tu la Mafisadi lililorasimishwa.
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 4 ай бұрын
@@hajihassan5433 Asante sana mkuu kwa elimu hii
@ElishaOisso
@ElishaOisso 4 ай бұрын
Hivi hii chanel ni yachama au mbona,wanatuletea vitu vya hovyo hovyo lakin vitu vya maana hawatuletei.louse
@WillisonFarasa-rh7eh
@WillisonFarasa-rh7eh 4 ай бұрын
Mbona huna hoja mzee uwenaaibubas hatakidogo
@ErnestMgani
@ErnestMgani 4 ай бұрын
Kama darasa limedondoka jengeni nyinyi ma ccm sasa yeye afanyaje!!!?? Kweli hizi siasa maji taka
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 4 ай бұрын
Yaani unakosa busara Miraji Mtaturu. Jifunze kwa Mhe Lissu.
@PoulFred
@PoulFred 4 ай бұрын
Nasikia makelele tu kwa huyu mbunge feki
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 4 ай бұрын
Hona jinsi yalivyo majinga,na majibu tutayapata kutoka kwa Mh Tundu lissu,,na yalivyo majinga hapo yanajivua nguo hadharani,,jamaa hamewashika pabaya nendeni chooni mkatawaze...viva Tundu lissuu..
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 4 ай бұрын
Ushind hata siku mmoja
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 4 ай бұрын
Nivyema ukawaambia wananchi kuhusu kikokotoo auwaambie kuhusu wamasai waliofukuzwa KATIKA maeneo Yao Kuna watu hawajalipwa fidia zao sasahivi vocha ni mia sita...acha kitupigia ngojera
@denisjoel2833
@denisjoel2833 4 ай бұрын
Bora useme mwingine Lisu sio level yako ya wilaya,huyo ni International level na kwa taarifa yako Lisu ndie rais hajae wa Tanzania. Ndimi Denis Joel, Katibu wa Chauma(M)-Mara
@DanielPaul-q3y
@DanielPaul-q3y 4 ай бұрын
Sasa mbona kama unamnadi tena yaani kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa Shingo 😢😮😢hili kubwa jinga
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d 4 ай бұрын
Sio Kushinda Mtaiba Uchaguzi. Kama Kawaida Yenu Kama Mnaubavu Kushinda Uchaguzi Bila Kuiba Kura Kutumia Polisi Usalama Wa Taifa Mm Ningewaona Vidume Mgekubari Katiba Mpya Na Tume Huru Alafu Mkashinda Kwa Kupigiwa Kula Ndio Ntaamini Kwer Çcm Mnaatisha b
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 4 ай бұрын
Sijaona mbunge hapo sijui uwa hawashauliwi!! Sasa mbunge kaenda kumpigia lisu promo!! Badara ya kunadi sera zake😢😢
@yohanisikulanga1294
@yohanisikulanga1294 4 ай бұрын
Huyu jamaa c mbunge wa mchongo alipita bila kupingwa tundu lissu siyo level yake kwanza mkorogo huyu anajichubua lissu na yeye wp na wp mbn hamuwezi hat kdg
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 4 ай бұрын
Baada ya kuongelea maendeleo ya wananchi na matatizo yao mnaandaa mikutano kwa ajili ya kumjadili lissu mnaonyesha udhaifu mkubwa sana inaonekana lissu amewashinda kwa hoja fanyeni mikutano ya kutatua shida za wananchi lissu muachanenae apige kelele mwisho wa siku atanyamaza
@MeshaKimich
@MeshaKimich 4 ай бұрын
Pole kaka lisu siosaizi Yako
@mwaluchenye2002
@mwaluchenye2002 4 ай бұрын
Uongo wenu tushauchoka hamna jipya nyie msilazimishe mambo
@nunikayuni6394
@nunikayuni6394 4 ай бұрын
Kubali tumehuru nakatiba mpya iliujuwe kinacho enderea
@VicentRupia
@VicentRupia 4 ай бұрын
Mh: mbunge mm naomba msaada kuhusu eneo langu lililopo manyoni - mwembeni limepimwa Sasa wenzangu wote wamegawa viwanja mm langu watu wa ardhi wananiambia haliwezi kugawanyika nalo ni kama heka 3 kama siyo utapeli nini Sasa? Naomba utetezi wako Juu ya Hilo mm niishi wap
@AgaelJoackim
@AgaelJoackim 4 ай бұрын
Sera za kishoga kimja dili mwanaume ulitaka axome ulipo xoma ww tafta oja broo laiti ungejua tulivo wachoka unge tulia tu!
@SubiranTimo
@SubiranTimo 4 ай бұрын
Umechemsha wote mnamuandama lisuwote mnapata mgo,oyeeeeeee lisu
@NixonGerson
@NixonGerson 4 ай бұрын
Hivi wewe ni kichaa au unatatizo LA ushoga ... sasa darasa ajenge tundu na kodi mle nyie
@RichardNkhangaa-nv9tf
@RichardNkhangaa-nv9tf 4 ай бұрын
We ng'ombe kabisa & watu wako,siku zako zinaesabika subiria watakuanzia ccm wenyewe
@elisonhai9545
@elisonhai9545 4 ай бұрын
Hata mitume ilikataliwa ktk maeneo yao ndugu zangu wa singida mashariki msisikize porocho za huyu mbunge wa Magufuli shika maneno na kisu nilulu ya taifa
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 4 ай бұрын
Sasa inayofanya maendeleo ni tundu lisu ama bajeti ya selikali ya ccm,
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 4 ай бұрын
Sasa nyie mulikuw wabunge na ndo wenye hii inchi sasa mulifanyia lili hii ccm
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 ай бұрын
HAPA NAONA COMMENT ZA WALE WANAO SUPPORT USHOGA 😂😂 NYIE WENGINE COMMENT ZENU WAPI
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 4 ай бұрын
Wee ni bureee wabunge wote ni feke hawakuwa chaguo la wananchi bali la magufuli Tundu ajenge shule ww umejenga ngapi? Kuku wewe
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 4 ай бұрын
Huna ubavu wa kuchuana na lissu hata kwa hoja ndogo. Wechekelea kodi zetu tu.
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 4 ай бұрын
Uchawa mwingi geuka kwa wananchi
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 4 ай бұрын
Mimi ni Mukongomani ila kuhusu muheshimiwa Tundu Lisu ni kwamba anakubalika na wa Africa wote wana mapinduzi, Tundu Lisu ni kipenzi cha watu, wewe ni keleletu. From Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@frankcharles3980
@frankcharles3980 4 ай бұрын
NYIE MA CCM HOVYO KABISA LISU NIHABARI NYINGINE WATANGANYIKA TUNAMKUBARI SANA
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 4 ай бұрын
Yani tundu lissu anawatesa ccm wote wanaweweseka
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 4 ай бұрын
Wewe huna hoja sisi sio wajinga lissu mtetezi wetu tunampenda sana lissu wetu
@pascaldeo9840
@pascaldeo9840 4 ай бұрын
Lissu ni mtu mwema sana. Tunamjua kwa uwajibikaji wake kuanzia bungeni adi jimboni kwake, ayo sio majukumu ya lissu bali chama tawala.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 ай бұрын
Ilimradi musitumie mambo ya wizi wa kura kwa namna moja au ingine.Uwe uchaguzi wa wazi na haki
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 4 ай бұрын
Katafuteni mwingine siyo huyu white anaharibu zaidi
@dennisungonella205
@dennisungonella205 4 ай бұрын
Hivi shule ikiwa mbovu analaumiwa mbunge au serikali?🤣🤣
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 4 ай бұрын
Size ya Lissu siyo mbunge. Size ya Lissu ni ccm yote na serikali yake
@DavidKagulu
@DavidKagulu 4 ай бұрын
Haya matahira yalipewa ubunge na magufuli,hayana hoja hata kidogo
@rehemageorge9506
@rehemageorge9506 4 ай бұрын
Vyama visiwatenganishe nyie ni ndugu.ongea sera sio Lisu.
@daudsonda9706
@daudsonda9706 4 ай бұрын
Naomba we una wasiwasi na lisu,we ni robo tu ya lissu.mbona unaongea pumba tupu.tunataka majibu sisi sio watoto.
@SubiranTimo
@SubiranTimo 4 ай бұрын
Umechemsha wote mnamuandama lisuwote mnapata mgo,no lissu o
@Dadboy.
@Dadboy. 4 ай бұрын
Munaongea pumba alichosem lisu no ukweli wazanibar wanatak nchi yao washachoka kunyonywa na watangayika wanatak nchi yao hawatak muungano wa aina hii
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 4 ай бұрын
Wanan ichi tusiogope hawa watu wanajaribu kututisha.
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 4 ай бұрын
Ubinafsi , mlujaribu kumua kwa sababu ya kutuelimisha.
@alliyathuman2998
@alliyathuman2998 4 ай бұрын
Tundu lisu ni mfalme we umuwezi hata sera auna tundu lisu mamb moja
@nunikayuni6394
@nunikayuni6394 4 ай бұрын
Mzanzibar hatumitaki aludi kwao tumemukata
@angelmteli611
@angelmteli611 4 ай бұрын
Lissu ni tunu ya Taifa hakika anaemgusa Lissu anagusa nembo ya taifa
@yohanisikulanga1294
@yohanisikulanga1294 4 ай бұрын
Lissu akitaka kugombea jimbo hilo yan kimbia spid usijaribu utaaibika ibda ya asbh na mapema
@KhalfanJuma-ii4fk
@KhalfanJuma-ii4fk 25 күн бұрын
Huna sera wew ulisubiri mtu auwawe ili wew uwe mbunge
@angelmteli611
@angelmteli611 4 ай бұрын
Lissu anashughulikia matatizo ya taifa na Dunia Kwa ujumla
@josephatkajange-zx2tl
@josephatkajange-zx2tl 4 ай бұрын
Ukimalia kuongea usisahau kusoma comment za watu!
@paschalmagai751
@paschalmagai751 4 ай бұрын
Nonsense....hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
@dennisungonella205
@dennisungonella205 4 ай бұрын
Huyu alipata ubunge kwa hujuma ya kumtoa lissu kibabe
@RobinsonKilango
@RobinsonKilango 4 ай бұрын
Ccm ni dhaifu taja idadi ya maskini na vijana wangapi wamepata ajira na unampango gani na hilo sio jogoo hafungui mlango hiyo nini .kwa taifa lenye hli mbaya kama hii ccm kweli hapo kuna nini nyie
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 4 ай бұрын
Huyu ndiye wakushindana na Lissu kweli !!!! Namwonea huruma huyu jamaa hamfikii Lissu hata chembe
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 4 ай бұрын
Ccm siniwezi tuu hamuwajuii
@Hfmmngoyafamily
@Hfmmngoyafamily 4 ай бұрын
Ikungi hakuna mbunge poleni sana
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 4 ай бұрын
ana faidika nani naiyo zaabu wakati migodi mume wap wachinaa dar ata aibu uwoni Mzee wetuu
@kagombaEnok
@kagombaEnok 4 ай бұрын
We mjinga sana humuwezi Tundu Lissu na ujiandae kufungasha Hilo jimbo hulipati 2025
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 4 ай бұрын
Hawa viongozi wanataka kurithi wizi, ujambazi wa mali za Tanzania.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 4 ай бұрын
Izoo njaaa Amna chamana sasa kukuambia shule alie soma ina saidia nn lisu mzalendo sio kama nyinyi wa pendaa elaa sasa apo ndio nn
@MashakaMashaka-n5k
@MashakaMashaka-n5k 4 ай бұрын
Kuruka ruka kwa maharage ndo kuiva siku zako zimekarobia
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 ай бұрын
Tundu lissu mjinga wewe umeyakanyaga.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 ай бұрын
Kweli chawa wamenyimwa akili wakapewa unene na unono. Muone mnene kama nune.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 4 ай бұрын
Sasa selikali ikiombwa Pisa kugengea shulee ana sema ela Amna atoe lisu kwani selikali aina elaaa
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 4 ай бұрын
Lisu ni mmoja wangekuwa wawili ingekuwajee
@brasiomsugu1957
@brasiomsugu1957 4 ай бұрын
Anaongea nini huyu mbona haelewiki?
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 ай бұрын
Endelea kujichubua auna jipya
@AfwilileNisaidie
@AfwilileNisaidie 4 ай бұрын
Mbunge sema sela zako wewe umefanya
@HarunGeorge
@HarunGeorge 4 ай бұрын
Bado hamjielew nyie maandazi
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 4 ай бұрын
Sasa huyoo anaongea nini sasa,
@JohnGadafi-x8j
@JohnGadafi-x8j 4 ай бұрын
Danganya wajinga sio watu kama sisi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 ай бұрын
Sasa mambo ya darasa yanamhusu nn lisu
@gabrielkitia6808
@gabrielkitia6808 4 ай бұрын
Sema shati imejikunja sana
@DanielPaul-q3y
@DanielPaul-q3y 4 ай бұрын
We fala kweli ulitaka yeye akabebe nguxo za umeme
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,2 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
FULL LIST OF 291 MPs WHO SIGNED THE IMPEACHMENT MOTION OF DP RIGATHI GACHAGUA
17:40
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
TUNDU LISSU ATUWA ITIDI NA KUWASHA MOTO
26:54
Chadema Media TV
Рет қаралды 1,9 М.
Kamati ya Maridhiano Six:Mhe Tundu Lissu April 16 2014
10:45
Kamati Ya Maridhiano
Рет қаралды 249 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН