Da sikutegemea maneno haya na ukiona hivi ukweli kaumizwa kama vijana wenzako tunakutia moyo umetufunza vitu vipya yamikinu hata kukaa gelezani ilikuwa nikutunza imani kwao na yamkini ulikuwa umesha yajua yaliyo haki. Kama ulivyo sema still wewe ni kijana na unauwezo wakufanya vingine mbali na hivyo inatia moyo kilombelo watakuelewa tu
@dicksonsella32164 жыл бұрын
Hapo ndipo pabaya
@martinkarata10974 жыл бұрын
Kumbe ulikua unajua why usinge Fanya hivyo mapema
@eclaskilawa89724 жыл бұрын
Aseeeeeeh haya mambo ni mazito Hii Corona inamaliza upinzani. Sasa hili nipigo kubwa mnooo
@mrmganda36954 жыл бұрын
Ukiwa unakumbuka mabaya ya mtu, kumbuka na mema yake pia, chadema wamekutetea sana hukustahili kudhalilisha kiasi icho!!
@gabrielmarishi26914 жыл бұрын
Takukuru ipo wapi kuchunguza pesa walizokatwa wabunge wa Chadema..?
@muhtarimtinginda66424 жыл бұрын
mtazamo mpya
@musamabura52004 жыл бұрын
Duuuuu
@anthonymsofemsofe96464 жыл бұрын
Umejimaliza mwenyewe kapumzike kaka kalime mpunga
@sebastianmlwilo39354 жыл бұрын
Upinzan umeisha asee kwa madudu
@ericksamwel16574 жыл бұрын
Nani aliyegundua kuwa hizo ni porojo za kutetea tumbo tu hakuna pointi hapo...
@leilaomarytumbua39984 жыл бұрын
Kabisaa hana lolote
@zaynabnyamsingwa38304 жыл бұрын
Baada ya october mtajua kuna pointi au hakuna😄😄
@godfreymasele5584 жыл бұрын
Chadomooo haya sasa yaliyofichika yote yatawekwa hadharani
@nicolausnsollo19014 жыл бұрын
Iki chama cha chadema kimeisha sababu ya corona
@khamisissa56734 жыл бұрын
Huyu Mboye anajifanya yy ndo beberu. Safari hii atavuliwa surruali na wanaume
Kwendraaaaaa mwanaharamu mkubwa ww,kumbuka kwa namna ya chama kilivyokuokoa kwenye kesi yako ,leo wajiona mtu wa maana sana kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaa
@leoncearistides34484 жыл бұрын
We ndio fala Kama hujamuelewa acha kuchongea vtu we jamaa Kama hujaelewa kaa tulia
@hassanmirambo5644 жыл бұрын
leonce aristides huyo muache tu kwani ni shemeji wa mbowe dada yake huwa ni mchepuko wa mbowe na tundu lissu hivyo achana nae
@leilaomarytumbua39984 жыл бұрын
Umesahau chadema ilikutetea kwenye kesi zako eeeh ungevuliwa ubunge mapema sana lakini chama kimekutetea
@zaynabnyamsingwa38304 жыл бұрын
@@leilaomarytumbua3998 kwahiyo kina haki ya kuuminya utu wake kisa kilimpigania mwanachama wake!?
@husseinramadhani15404 жыл бұрын
Kalime mpunga tu imesha hiyo
@leilaomarytumbua39984 жыл бұрын
Wee nenda tu kwani hakuna anaekutaka coz chadema hatukai na utoporoo kwendraaa na iyo bodaboda kaifanyie itete minazini kenge wewe