Рет қаралды 18,012
Mbunge Wa Kajiado Kaskazini Afika Mbele Ya DCI Akimkosoa Rais Ruto
Rais William Ruto anashtumiwa kwa kutumia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kueneza hofu na kuwahangaisha wabunge wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Na kama anavyoarifu Moige William, Mbunge wa Kajiado Kaskazini Onesmus Ngogoyo baada ya kufika mbele ya DCI, alimkosoa Rais Ruto akimtaka ajikite katika kutimiza ahadi zake kwa wananchi badala ya kutumia vitisho.
#UpeoWaTV47
__
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
About TV47
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: www.tv47.digital/
Facebook: / tv47ke
Twitter: / tv47news
Instagram: / tv47ke
TikTok: / tv47_ke
Telegram: t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__