MBUNIFU NJOMBE AOMBA APELEKWE NJE YA NCHI

  Рет қаралды 1,196

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

Күн бұрын

NJOMBE
Wakati Tanzania Leo Ikiungana na Mataifa Mengine Kuadhimisha Siku ya Wabunifu na Wavumbuzi Duniani Baadhi ya Wabunifu Mkoani Njombe Wamesema Wanaamini Maono ya Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dokta John Magufuli Yataendelezwa Kwa Kuendelea Kuwaunga Mkono.
Wanasema Wanaamini Ubunifu Ndio Unaosaidia Kuongeza Tija Kazini na Kwamba Mataifa Mengi Yaliyoendelea Yalifanikiwa Kwa Kuwaendeleza Wabunifu na Wavumbuzi wa Vitu Mbalimbali Kwa Kuwa Wamekuwa na Mchango Mkubwa Katika Uchumi na Utoaji Ajira.
Kituo Hiki Kimetembelea Chanzo Cha Maji Cha Mbunifu Ruben Mtitu Ali maarifu Kama Kisangani Kilichopo Mkiu Wilayani Ludewa Ambaye Ameanza Kubuni Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Kilowati 100 Utakaoendesha Mitambo Yake ya Kuyeyusha Chuma ambaye Anasema ni Lazima Akamilishe Ndoto Yake Hiyo.

Пікірлер: 5
Grand entretien avec Dominique de Villepin
1:03:33
Journal l'Humanité
Рет қаралды 955 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
#TBCTZMPYA: VYANZO VYA MTO RUFIJI NJOMBE, SALAMA
55:37
TBConline
Рет қаралды 1,1 М.
ALIYEKUWA RC NJOMBE AFUNGUKA MKEKA WA RAIS SAMIA ULIVYOM-SUPRISE...
10:00
HAPATOSHI NJOMBE, MSAFARA WA SPIKA DKT TULIA WATIKISA
2:58
Uhondo TV
Рет қаралды 1,9 М.
Atlantis and Other Legendary Cities
2:05:30
Lifeder Educación
Рет қаралды 1,8 МЛН
🔴#TBCLIVE: UZINDUZI WA SOKO KUU NJOMBE
55:42
TBConline
Рет қаралды 1,5 М.