UZINDUZI MPETE DIWANI CUP
7:24
2 сағат бұрын
DIWANI WA KATA YA LUBONDE EDGA MTITU
0:29
21 сағат бұрын
HAKUNA VILIO JUU YA BARABARA LUBONDE
1:03
21 сағат бұрын
Пікірлер
@kibonaamenye6878
@kibonaamenye6878 5 сағат бұрын
anatupiga kamba huyu mwamba
@user-jb5fb8zm1i
@user-jb5fb8zm1i 9 сағат бұрын
Hongera dad a kabula nimekuona
@harunisimkonda6873
@harunisimkonda6873 10 сағат бұрын
Naweza kupata namba kwa mawasiliano zaidi
@harunisimkonda6873
@harunisimkonda6873 10 сағат бұрын
Kazi nzuri,kwa kutoa elimu hii
@user-rl9sn2cm6d
@user-rl9sn2cm6d 2 күн бұрын
Asanteni sana kwa kujitolea kutupa elim nzuri kama iyo na mungu awabariki
@AjuayeUhahula
@AjuayeUhahula 2 күн бұрын
SoMo zuri sana vijana mnaotarajia kuingia ktk ndoa MUNGU awape kibali na neema ya kulielewa vizuri SoMo hasa kwenye kuzitumia vyema nafas I mean Kila mtu asimamie vizur nafas yake ktk ndoa! Ndoa ni tamu mkipendana na kuheshimiana na Kila mtu akisimama Kwa nafas yake ndoa ni paladiso! Na ndoa yenye upendo Ina baraka za MUNGU! Nimeona suala la kunyimana unyumba Hilo ni hatr! Ukiona mmefikia huko ndoa haipo! Anaekunyima Kuna mahala anapatabhidima hiyo! Huo ni ushetani mwisho wa siku mnaacha mateso Kwa watoto wasio na hatia kisa tamaa zenu! NAPENDA KUSEMA KITU KTK NDOA MWANAMKE ANA NAFASI YA KUIFANYA NDOA IPOTEE AU IKAE SAWA! NAOMBA NISISITIZE MWANAMKE AU WEWE BINTI ULIESIKIA SOMO HILI MUNGU AKUPE KIBALI UJUE YA KWAMBA MWANAMKE UNAYO NAFASI YA KUIJENGA NDOA YAKO IKAWA NZURI NI PALE TU UKISIMAMA VIZURI KATIKA NAFASI YAKO KATIKA NDOA AU MAHUSIANO YENU,SISI WANAUME HATUWEZI KURUKA KAMBA KWA MWANAMKE NEVER SIKU ZOTE MWANAUME KWA MWANAMKE NI MTOTO! MWANAMKE UNAWEZA TUMIA MBINU NYINGI KUITENGENEZA NDOA AU MAHUSIANO YAKO! MUNGU AMEMPA MAMLAKA MWANAMKE YA KUTAWALA HISIA ZA MUME! NA NDIO MAANA HATA NENO LINASEMA MWANAMKE MJINGA HUIBOMOA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE BALI MWELEVU HUIJENGA NDOA! PILI TUNAJIFUNZA NAMNA DELILA ALIVYOFAULU KUMDANGANYA SAMSONI AKATOA SIRI ZAKE! HAPA MUNGU ANADHIHILISHA MAMLAKA ALIOMPA MWANAMKE KWA MWANAUME NI KICHWA,KWENYE FAMILIA PIA MKE NI TAA NA NI DIRA PIA! Nimeandika Kwa capital letter Ili nieleweke MUNGU wa mbinguni awafungue ufahamu mkapate KUITENGENEZA NDOA nzur na kizazi kipya chenye baraka za MUNGU! NASISITIZA TAIFA ZURI,WATOTO WAZURI,NDOA NZURI,MAENDELEO MAZURI YAMECHANGIWA KWA ASILIMIA KUBWA MWANAMKE KUSIMAMIA VYEMA NAFASI ALIOPEWA NA MUNGU KTK NDOA! MWANAMKE AU BINTI KIJANA MPE FURAHA MMEO,MJALI,MHESHIMU,MPE NGUVU, ANAPOONYESHA KUKUTA TAMAA MTIE MOYO! TUTAPATA NDOA NZURI,WATOTO WAZURI NA KANISA LITASONGA MBELE! Asante mkapate baraka na mkafunguliwe katika jina la YESU kristo Alie hai! Amen!🙏🙏🙏🙏
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 4 күн бұрын
Namba za sm
@emmanuelgadau266
@emmanuelgadau266 5 күн бұрын
Pole kaka Mungu akufanikishe kimpata
@faustinamagashi839
@faustinamagashi839 6 күн бұрын
Naweza zipata
@njbtv2982
@njbtv2982 6 күн бұрын
Contact 0629100275
@faustinamagashi839
@faustinamagashi839 6 күн бұрын
@@njbtv2982 okay
@njbtv2982
@njbtv2982 7 күн бұрын
Subscribe tv yetu Kwa habar za ukweli za uhakika za haraka
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 күн бұрын
Wazungu ni waangarifu sana.Hayo madawa yanawekwa kwenye matunda na bamia.nyanya acheni.Ni sumu.wazungu wanapima ujanja huo haufai😢
@Misol003
@Misol003 7 күн бұрын
Mungu akusaidie
@MlovaSabanus
@MlovaSabanus 8 күн бұрын
Kweli kabisa wawekezaji wamekuwa chachu ya kudidimiza watu.hivo ni nyakati sasa serikali yetu Tukufu kuchukua hatua kali za kukomesha wawekezaji kama huyu.safi sana mkuu wetu wa Wilaya.
@nikusekelakajumba7697
@nikusekelakajumba7697 8 күн бұрын
Mkuu wa.wilaya Asante kwa kuwasikiliza wananchi
@nashonjoel20
@nashonjoel20 10 күн бұрын
Kigoma, Buhigwe kuna BARIDI kama NJOMBE, je Saumu inaweza kubali wilayani hapa?
@JahRastafari433
@JahRastafari433 11 күн бұрын
Huyu babu alindwe jamani, ma-doctor wasije wakamuua. Hawapendi kabisa kusikia hivi wakati wao wanjiita wataalam wasomi. Babu Mungu akulinde! Amen.
@njbtv2982
@njbtv2982 10 күн бұрын
Umeongea pointing kubwa sana ndugu yangu
@njbtv2982
@njbtv2982 10 күн бұрын
Asante
@cbknewstz
@cbknewstz 13 күн бұрын
🙏
@saimonmtokoma8847
@saimonmtokoma8847 14 күн бұрын
Watu kama hawa wachache sana. Big up Njombe TV for exposing this man.
@njbtv2982
@njbtv2982 14 күн бұрын
asante sana
@njbtv2982
@njbtv2982 14 күн бұрын
Usikate mguu Wala mkono mtembelee huyu Babu wengi wameshudia
@yusuphmtelesi7855
@yusuphmtelesi7855 17 күн бұрын
Hii balaaa
@NgoleOtunatusngole-lb3wr
@NgoleOtunatusngole-lb3wr 17 күн бұрын
Nawapataje nyie
@njbtv2982
@njbtv2982 12 күн бұрын
0766880828
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 17 күн бұрын
Ninacho kupendeaga hujui hata kununa mudawote wewe unatabasam mungu akuinui ainue huduma yako kwa viwango vya juu zaidi ni Mimi nikupendae mama wa miujizaa❤❤❤🙏🙏
@JulianaMisangu
@JulianaMisangu 17 күн бұрын
Je likikomaa kabla yamwezi wanae
@tunuwilla
@tunuwilla 17 күн бұрын
Nitaifwatilia Kwa ukaribu hii
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 18 күн бұрын
Mtakuwa na thima mbele za mwenyenzi mungu kualalisha zinaa kwa kutengeneza kondom.
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 19 күн бұрын
Tunashukuru sana kwa utafiti,maana ushauli umekuwa mwingi,hapo majibu yatakayo patikana yatatufanya tusonge mbele
@Misol003
@Misol003 19 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Misol003
@Misol003 19 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Misol003
@Misol003 19 күн бұрын
Njombe yetu hoyeee🗣️🗣️🗣️🗣️📢📢📢📢
@Misol003
@Misol003 19 күн бұрын
Tanzania hoyeee.....Mungu aibariki nchi yetu,Africa na dunia nzima kwa ujumla
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 20 күн бұрын
sauti kama ya baba
@marrymauki2147
@marrymauki2147 21 күн бұрын
Niliwekeza tangu mwaka juzi, kwenye Vanilla, karanga, lan,g lang Vitunguu saumu nilitakiwa kuna vitunguu saum mwez wa 2 mwaka jana lkn naendelea kupigwa kalenda mpaka Leo cjui hatma yangu . Vanilla na Lang lang ilikuwa tuvune mwaka jana mwez WA 12 Mkurugenxi ukimpigia haupokei cm. Bac hata WEWE unaetangaza bac tujibuni wateja wenu. Turidhike.😂😂😂😂😂.
@njbtv2982
@njbtv2982 21 күн бұрын
Mimi nilipenda kuandika tu HABARI sijui chochote nakushaur kama unadocument naenda court
@msabahaali758
@msabahaali758 22 күн бұрын
lzma bcs ni saccos ya familia yen
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 23 күн бұрын
Aisee M/MUNGU zilaze roho za marehem mahali pema peponi
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 23 күн бұрын
Hakuna Cha soko kuporomoka hao ni wapiga Dili tu
@Alexismadimo
@Alexismadimo 24 күн бұрын
Kijana wa miak 18 hatakiwi kukaa nyumban
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 25 күн бұрын
Dawa ya parachichi pigilia misumali kwenye miti hayadondoki wala hayafubai yanatokea parachichi makubwa na mazuri. Msitumie kemikal mnapoteza ladha ya parachichi.
@bavonwatson7360
@bavonwatson7360 14 күн бұрын
Pigilia misumali hii ni kweli wadau!? Bwana Azza tupe maelezo zaidi
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 14 күн бұрын
@@bavonwatson7360 nikweli kabisa hata kwangu ninayo miparachichi. Subiri mche ukuwe vizuri.chukuwa misumari mikubwa miwili piga juu ya mti hakikisha misumali imeingia mpaka ndani ya mti Basi hapo subiri majibu. Utakula parachichi mwaka mzima. Ila tu uwe mvumilivu kwani miparachichi hukawia kutoa matunda.
@bensonmanyalape7802
@bensonmanyalape7802 25 күн бұрын
Kama ambavyo chadema ni Chama cha mbowe
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 25 күн бұрын
Nyie kuleni nchi hakuna shida jiachien na jeshi nalo limekaa kimya ase na kuwawekea ulinzi 😢😢😢 nchi hii inahitaji ukombozi Bado Iko chini ya ukoloni wakoloni wenyewe sio wale ngozi nyeupe apana ni ngozi nyeusi kama sisi ndio Wana tukolonia 😢😢😢
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 25 күн бұрын
One day yes
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 26 күн бұрын
Swadaktaaa tunakipigania kiongozi👍👍👍👍
@flova7022
@flova7022 26 күн бұрын
Lake oil on a speech
@renatusrevocatus3895
@renatusrevocatus3895 26 күн бұрын
Sema CCM ipo kwenye familia yenu na siyo moyoni kaka MAKUBWA. Hapo unajitekenya na kucheka mwenyewe. Hayo mambumbu unayoyaambia wewe yaambie tu
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 27 күн бұрын
Wadanganye wajinga hawamalizi wapo. Waapiche wape vitabu takatifu kiapo. Wewe na babako na mamako hiyo ni mali yenu wa Tanzania ni watumwa wenu musiwe na wasi wasi mutabaki miaka hata 1000 kama alivo baki kenyatta, moi, au hata firauni
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 27 күн бұрын
Wewe kula kuku tu Ccm mali yenu
@nancolower_8032
@nancolower_8032 28 күн бұрын
C mulipeana hamasa ya hicho kilimo watu wakalima kweli kweli,,, automatic bei Lazma idrop hapo
@emonlinetv
@emonlinetv 28 күн бұрын
Umetisha sana
@ENEAMLIGO
@ENEAMLIGO 5 күн бұрын
Asante mama yangu mhagama
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 28 күн бұрын
Matajiri wa tanzania ni waarabu na wahindi. Kulikoni
@nancolower_8032
@nancolower_8032 28 күн бұрын
Tuletee wazungu
@mgohelegonline7489
@mgohelegonline7489 Ай бұрын
Kweli kumekuchaaaa
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 Ай бұрын
Bila kuzingatia ubora ndg zangu hiki kilimo kitatushinda,tusilimie mazoea
@Mzeewainfo
@Mzeewainfo Ай бұрын
Fantastic njombe tv