BINTI MMACHAME ANAYEUZA CHAKULA DUBAI, ANAMILIKI MIGAHAWA, BAA "SIKUJA DUBAI KUTEMBEA"

  Рет қаралды 41,148

Millard Ayo

Millard Ayo

23 күн бұрын

Пікірлер: 257
@GodhopeKagame
@GodhopeKagame 17 күн бұрын
Jamani ! Tujifunze kumpongeza mtu anapofanya vizuri,mengine yoote,Yeye na Mungu ndiye wanajua. Kila mtu ana yake,kama Mungu angeamua kuweka wazi huenda tukakimbiana hapa. Mungu akubariki Kazi yako dada,❤
@user-fp5fj1sp8x
@user-fp5fj1sp8x 20 күн бұрын
Am Ugandan but their chakula very sweet kabisa
@zakayomosha13
@zakayomosha13 21 күн бұрын
Hongera mwanamke WA nguvu na unaonyesha njia Kwa waTanzania wote kuwa Tupige kazi tuache maneno
@winfridarwechungura1387
@winfridarwechungura1387 21 күн бұрын
Nimekula hapo Sato na ugali bamia upo juu may 2024
@IREENNTIJE
@IREENNTIJE 16 күн бұрын
Hongera sana pambana uko vizuri mchaga mwenzetu uko vizur wachanganye pika mpk mtory supu iliyotulia ubarikiwe tu
@ImmaculateMweteni
@ImmaculateMweteni 19 күн бұрын
Watz mnaongea sana. Nyie mnajua kupika nendeni na nyie kufungua mgahawa. Ushindani sio mbaya. Hongera sana mdada.
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 21 күн бұрын
Dada mzuri Mashaallah ❤' sura amefanana na malkia kareen
@Kabwela776
@Kabwela776 20 күн бұрын
Hao ni malaika watoa roho
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 19 күн бұрын
@@Kabwela776 kivipi tena?
@Kabwela776
@Kabwela776 19 күн бұрын
@@SalamaNautharfanya home work yako lishangazi ulizia tabia za wamachame wanawake wa kimachame kwa Nini wanaitwa wapalestina
@allahisone6386
@allahisone6386 19 күн бұрын
​ HAWEZ JIBU PLEASE TUDOKEZE
@NeemaMethod
@NeemaMethod 14 күн бұрын
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 күн бұрын
hongera mamka wng watanzania muache kuwazarau wachaga wachaga tumetumwa pesa mekuu
@isaacmunisi5559
@isaacmunisi5559 2 күн бұрын
Hongera sana dada wengi tunaogopa kijaribu.
@mbuerecarlos1396
@mbuerecarlos1396 21 күн бұрын
Vizuri sana umefanya ni kazi nzuri sio kama zile tunazo sikia za kufanya kazi za manyumbani na watu wanateswa sana. Umefikiria kazi ya maana sana unajitegemea mwenyewe bila kusukumwa na hao watu wanavyowafanyia watu wa kazi. Kama ulivyosema utakaa uko mpaka mwisho ni sawa kabisa ujakosea tumeona walio rudi wengi wamearibikiwa .
@reginaedward4883
@reginaedward4883 20 күн бұрын
Keep it up Zuu , mwanamke mpambanaji❤❤❤
@Zubaiba
@Zubaiba 16 күн бұрын
Hongera sana dd ,🇹🇿 mungu akubariki sana ❤❤
@khamisswalehe
@khamisswalehe 20 күн бұрын
mchle ananunua wa dubai au tz me ni suppulier wa mchele
@juddyanthony7951
@juddyanthony7951 19 күн бұрын
Hongera sanaaaaa dada Zuu
@mashaallahabuu1167
@mashaallahabuu1167 21 күн бұрын
Ma Sha Allah mahija mwanangu,
@kmotivation1130
@kmotivation1130 21 күн бұрын
Bakini na imani zenu potofu , siku zote, wezenu wana jituma
@user-mb2ek2ds1h
@user-mb2ek2ds1h 20 күн бұрын
❤❤❤
@user-wz9no5wx3g
@user-wz9no5wx3g 21 күн бұрын
Naomba kazi Niko vizuri ktk kupika dada
@ChikuKibari
@ChikuKibari 20 күн бұрын
Upo vizuri
@thabitdeco1575
@thabitdeco1575 21 күн бұрын
Waulize hao madada wpo sehem gani watupe location tukanunuwe
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 20 күн бұрын
Aminiy Dada Zu
@marthaswai1185
@marthaswai1185 20 күн бұрын
Uko vizuri mdada.Usitoe mambo yako hadhari
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 19 күн бұрын
Aweke chumbani au
@user-du4yg5cj3v
@user-du4yg5cj3v 21 күн бұрын
Hawez kubaguliwa huyu maana ana Visa ya kujitegemea mwenyew sio ya kuajiriwa Yan KAZI za ndani
@aubreykasoyaga1665
@aubreykasoyaga1665 18 күн бұрын
Pambana Dada yetu.
@user-om8gt1cn2l
@user-om8gt1cn2l 15 күн бұрын
Hongera sana dear
@kassidpandu866
@kassidpandu866 16 күн бұрын
Chakula chake saafi Mno nilipata mlo na Familia yangu ilifurahi sana kwa kweli Tumpeni sapoti huyo dada yetu jamani
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 15 күн бұрын
Mashaallah ❤
@surusuru1994
@surusuru1994 21 күн бұрын
Atujukuee watu wanyubani awajiri❤
@KiswiririSwaliki
@KiswiririSwaliki Күн бұрын
Nice
@josephlorri431
@josephlorri431 16 күн бұрын
Hongera sana binti mtanzania.. kwa kila mafanikio wenye chuki wapo.. wasikukatishe tamaa..songa mbele
@sharpaliofficial7455
@sharpaliofficial7455 10 күн бұрын
We are proud of you mama zuu mwanamke mpambanajiii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 17 күн бұрын
Saafi saana
@UpendoMassawe-dl5xc
@UpendoMassawe-dl5xc 18 күн бұрын
Mashallah ❤️
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 21 күн бұрын
Hamuna masta bongo
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 21 күн бұрын
Nimekupenda Sana,madam naomba kazi ya kupika chapati najua Sana kupika
@clarasimon7830
@clarasimon7830 20 күн бұрын
Ushaanza mtu una D mbili unataka kwenda dubai
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 20 күн бұрын
@@clarasimon7830 sijakuelewa unasema
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 17 күн бұрын
Kalibu sana mpendwa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 17 күн бұрын
​@@clarasimon7830haaa😂 usimkatishe tamaa jamn
@njuka3515
@njuka3515 17 күн бұрын
Dada naomba kazi nipo dubai
@heriethsamwel7190
@heriethsamwel7190 21 күн бұрын
Jaman sheketerewaa Kasiii ma dada akwa ndedeee
@arthurkasiba751
@arthurkasiba751 17 күн бұрын
Ode shiketeghewa kasi iruva akuwikye mbora
@thabitdeco1575
@thabitdeco1575 21 күн бұрын
Wapo wapi hao
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 20 күн бұрын
Wanawake wakimachame""wanapambana sana na maisha
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@VanShayokviewshoursago
@VanShayokviewshoursago 17 күн бұрын
Wachaga stand up moshi kama mbele
@lenniefei6710
@lenniefei6710 21 күн бұрын
Millard tuarifu mgahawa upo wapi tuende kumsapot dada yetu
@Swahili255TV
@Swahili255TV 21 күн бұрын
Baniyas, Al Qaid Hotel
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 20 күн бұрын
Bugurun ya Dubai unaijua yaan huko ndipo walipo vibega wote wa Africa makapurwa
@lenniefei6710
@lenniefei6710 20 күн бұрын
@@davidmalisa8043 Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake kaka !
@othumanomari1589
@othumanomari1589 17 күн бұрын
Congratulations sister god bless you 🇹🇿🇹🇿❣️❣️
@zakayomosha13
@zakayomosha13 21 күн бұрын
Sisi majirani zako Wilaya ya Siha tunakupongeza Sana dada YETU Kazi iendeleeeeeee
@allahisone6386
@allahisone6386 19 күн бұрын
❤🎉
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 16 күн бұрын
Keep it up
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 21 күн бұрын
Naomba kazi minajua kupika chakula cha kitanzania nipo Dar es salaam
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 19 күн бұрын
Una Instagram?
@FauziaChakala
@FauziaChakala 18 күн бұрын
.​@@fahadfaraj6474
@tulizomusafiri310
@tulizomusafiri310 19 күн бұрын
jambo Dada mbona huna namba yasmu Dada?
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 21 күн бұрын
Dubai maisha magumu sana bas vile watu wanababaika na jina hswa swala la pango
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 21 күн бұрын
Tatzo usichague kazi. Dubai mishe kibawo Saidi na pango unakaa kulingana na kipato chako
@yuslule9221
@yuslule9221 12 күн бұрын
why utambulisho wa "Mmachame"?
@blackeagle4441
@blackeagle4441 19 күн бұрын
Dada mankaaa natafta Kaz 😢😢😢🙌mimi n mmachame kama wewe😭
@allahisone6386
@allahisone6386 19 күн бұрын
NENO MMACHAME NI KABILA AU?????? KISHA WHY MNAITWA WA PALESTINE????????
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 17 күн бұрын
Maswali ya mtangazaji bhana😂😂😂
@mcback4384
@mcback4384 20 күн бұрын
Hivi huyu ni Thureiya wa Kijenge Arusha kwa Watengwa? Au namfananisha
@Allyhujjat
@Allyhujjat 17 күн бұрын
Ndio yeye
@Haytham-ip3ou
@Haytham-ip3ou 14 күн бұрын
Ndio yeye thuraiyah kijenge juu
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 17 күн бұрын
Mtangazaji 😂😂
@user-jk7tq7xq2f
@user-jk7tq7xq2f 21 күн бұрын
Naomba Basi Na Mimi kazi najua kupika sana
@eddechriss2664
@eddechriss2664 21 күн бұрын
Acheni ushamba nyie, kwani ungesema binti Mtanzania unadhani ingeondoa ukaskazini wake?
@Dismasmmassy
@Dismasmmassy 21 күн бұрын
Kwani akisemah mmachame kuna ubaya gani
@queenlinda255
@queenlinda255 20 күн бұрын
Kwani shida yako ni nini
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 20 күн бұрын
Milady ana kachembe la ukabila..ila ni vizuri umemkumbusha
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 20 күн бұрын
​@@Dismasmmassy.Ni Ukabila pia unaweza mpunguzia wateja ambao woote ni watanzania
@Kabwela776
@Kabwela776 20 күн бұрын
Kwani kuna ubaya Gani wangesema malaika mtoa roho mpalestina mmachame, Na wangemuuliza mume wake yuko wapi
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 16 күн бұрын
Mbona anafanana Sana na Sinta wa Juma Nature
@DirectorMISUNI
@DirectorMISUNI 3 күн бұрын
💪🏾🇹🇿
@worldherotv
@worldherotv 16 күн бұрын
Wachaga ni wachaga tu, anaeza kuwa na billioni na akasema nina visenti tu vya kutosha kulisha familia. Huwezi waona wanajikweza
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 16 күн бұрын
Anateseka au Anateswa Nani Anjitesa Mwenye Hataki Kujituma..Sisi Tupo Toke 1983..Mbona Hatujateseka Tokea Mwanzo Mpaka Leo...Wacheni Kupaka Matope Nchi Zawatu...NK....???????????
@EDDY4D
@EDDY4D 20 күн бұрын
Huyu dada nindugu na master j
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 21 күн бұрын
Basi huko kunamateso kwel ndo mana hatak kuelezea dada w watu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 17 күн бұрын
Mateso gani, hivi wewe hujui watu wa dunia nzima wapo Dubai? Kama kuna mateso watu wangemiminika kwa wingi?
@maryminja269
@maryminja269 20 күн бұрын
Acheni wivu uuuuDada pambana
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 20 күн бұрын
Kwani mngeseama tu Mtanzania usingeeleweka duh!
@jacklinemsechu221
@jacklinemsechu221 19 күн бұрын
Pole mwaya😂
@MuzeyRashid
@MuzeyRashid 16 күн бұрын
sababu gani mgahawa ulifungwa mda mlefu na wafanyakazi wangapi walikumbia na wangapi over stay
@Samdala.
@Samdala. 19 күн бұрын
wakuu 72 subscribers 🤷🏾
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 20 күн бұрын
wachaga oyee
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 20 күн бұрын
Mdada mthuri wa sura ,,mpaka akili
@MuzeyRashid
@MuzeyRashid 16 күн бұрын
mmmmm
@nicasissa
@nicasissa 15 күн бұрын
Kwani kuna ulazima wa kuandika mmachame, mgeandika binti wa Kitanzania, mungekuwa wehu?
@yusuphmohamedi7561
@yusuphmohamedi7561 21 күн бұрын
Deira baniasi kalibu na metro upande gani
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 20 күн бұрын
Kuna hotel ameitaja
@surusuru1994
@surusuru1994 21 күн бұрын
Hakuna ubanguzi warabun
@prothodommy
@prothodommy 7 күн бұрын
Maarabu mabaguzi sana!
@SallyMinja
@SallyMinja 21 күн бұрын
Mchagga Mchagga tu, watu walitumwa hela mijini😂
@DM.2200
@DM.2200 21 күн бұрын
Uhakika 😅😅😂
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
Mbele ya hela hao wachaga wanauwa mume mama ndugu hata mtoto hawafai wanajui kupika hawajui mapenzi wanachojua ni hela hawana utu ni wauwaji
@DM.2200
@DM.2200 21 күн бұрын
@@Kabwela776 iyo kuua ni roho ya mtu kwan wanaouwana Tz ni wachaga tu hapo ni uongo sema kwa vile trending ni yule mam aloua ndo maan umesema ivyo ila sio kwamba eti ni eauwaj ingekua hivyo kila siku ungesikia mauaj kilimanjaro ila utasikia arusha,iringa dar ndo common so kwa hilo japo mim sio mchaga ila nawatetea but wachaga ni watafutaji sanaaa
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@DM.2200 Mimi sasa nawajua vizuri wachaga najua nachoongea na wamachame nawaongelea nakuambia wanauwa Na muulize mchaga yeyote atakuambia au mwambie nimepata mchumba mmachame na usikie, uchagani wanaitwa wapalestina na utafutaji wao uko vyovyote kuuwa ujambazi
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@DM.2200 wachaga wanauwa wao cha muhimu kabisa ni pesa Na hayo ya roho nzuri ni unajua wewe Na kabila lako
@thabitdeco1575
@thabitdeco1575 21 күн бұрын
Mm nipo dubai nataka kupajua walipo ili nikale
@Thureiyahahmed
@Thureiyahahmed 21 күн бұрын
Al qaid hotel baniyas m floor
@cadeauofficial7264
@cadeauofficial7264 3 күн бұрын
@@Thureiyahahmed hv anaitwa nani insta nimtafute maana soon nafika Dubai
@patrickKitambo
@patrickKitambo 16 күн бұрын
MMACHAME NDO MTU GANI ACHENI UKABILA SEMA MTANZANIA
@nasralema749
@nasralema749 20 күн бұрын
Manka pambana mwaya
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 17 күн бұрын
Tuacheni wachagga tuliendelea siku nyingiii itawachukua muda sana kufika tulipo, na kwa wivu mlio nao sijui kama mtafika
@ReginaJamesJames
@ReginaJamesJames 19 күн бұрын
Nlikula hapo msosi nilijihisi nipo Tanzania jamani nawasiii nendeni mkale
@jrsaid4270
@jrsaid4270 17 күн бұрын
Tupe nauli
@janerachel1622
@janerachel1622 20 күн бұрын
NAOMBA KAZI MI NAPENDA KUPIKA NA KUDIZAIN SALAD AINA MBALIMBALI
@user-ih9xy5vd5d
@user-ih9xy5vd5d 15 күн бұрын
Uhandishi was kipumbavu kabisa, binti mmachame damn it she’s Tanzania doing well huko aliko acheni ufala Millard ndo maana magufulia alitaka whandishi wote muwe na vyeti maana maandika ujinga, binti mmachame, 😂😂😂
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 күн бұрын
mbona mapovu yanakutoka hao ndo wachaga
@surusuru1994
@surusuru1994 21 күн бұрын
Kabisa tena mwaaa😘🇹🇿👏👏vyakula Arabic uwe na monyo🔥🔥
@AhmedZahor
@AhmedZahor 21 күн бұрын
Kwani warabu wanakula nini hata useme kula chakula chao uwe na moyo wacha kusema usicho kijua
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 20 күн бұрын
Dah mbona macho meusi 😢😢😢😢😢
@ChoroTesla
@ChoroTesla 17 күн бұрын
anavyosema dollar 200 kwa huko ni ela yakawaida kwa sababu ya kimaisha huwez fananisha life style ya dubai na bongo tofauti. manake huko hakuna maskini
@hallin9561
@hallin9561 21 күн бұрын
Aulizwe mumewe yuko wapi
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 21 күн бұрын
Unategemea mmachame-mpalestina kama huyu Mme wake awe bado hai
@DM.2200
@DM.2200 21 күн бұрын
@@NancyPatrick-il8zj acha makasiriko iyo ni mind set ulojiwekea sio kila mtu ana roho ya kuia sio kisa kauwa mmoja ndo mfanye ni wote wapo ivyo huu ni ulimwengu wa kidijital ya kale yashapita
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 20 күн бұрын
@@DM.2200 tunaongea kwa uzoefu na tunayoyaona sasa kama wewe unasoma kwenye mtandao sisi wengine ni wahanga.
@HaikaFredrick
@HaikaFredrick 20 күн бұрын
Unamaanisha nini
@Kabwela776
@Kabwela776 20 күн бұрын
Unategemea mmachame mpalestina mume wake yuko hai hao mbona waume zao uwa wanakufa ghafla wakipata utajiri
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 21 күн бұрын
Wachaga hawajui kupika
@zainabibrahim9734
@zainabibrahim9734 21 күн бұрын
Kapike wewe
@heriethsamwel7190
@heriethsamwel7190 21 күн бұрын
@@zainabibrahim9734😢😊
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 21 күн бұрын
Wewe unajua
@BeatriceMunuo-ti7pv
@BeatriceMunuo-ti7pv 21 күн бұрын
Acha ushambaaaa wew, ulizaliwaaa ukiwaa unajuaaa kupikaa au
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 21 күн бұрын
We unajua kupika unaamini acha ushamba
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
Mbele ya hela hao wachaga wanauwa mume mama ndugu hata mtoto hawafai wanajui kupika hawajui mapenzi kitandani yako kama magogo wanachojua ni hela hawana utu ni wauwaji yaani mchaga kwa hela anakumaliza dakika moja Na ni malaya sana
@user-cy4fk2je3f
@user-cy4fk2je3f 21 күн бұрын
Itakuwa wakwako ndo kwenye hizo tabia
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@user-cy4fk2je3f wote wako hivyo wanajulikana
@Thureiyahahmed
@Thureiyahahmed 21 күн бұрын
Acha ushamba kama wwe umekutana na shetani sio wote mxwwww
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 21 күн бұрын
Mshipa umekutoka. Kama ni rahisi hivyo si na wee uue ili upate. Chacharjka utaishia kubwabwaja ujinga wenzio wanamake
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@fredyjunior6961 ni wauwaji wamachame hata wachaga wengine wanawaogopa hao wewe inaonekana ni mshamba huwajui nenda kaoe umachame pata hela na uone kama mke wa kimachame ajakutafutia tiketi ya kukupeleka kuzima wachaga hao hata wanaweza kuuwa mama zao au ndugu zao kwa pesa sio makabila mengine hayo hamna utu wao ni pesa mbele !
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 20 күн бұрын
Mama ntilie tu wakawaida achen kumpaisha hana lolote ni sawa na mama ntilie pale bugurun chama
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
Mngemuhoji mtu mwingine sio mchaga mmachame wapalestina hao wana roho ngumu sana wako kama wanyama hatari wa msituni hao kukumaliza ni dakika moja kwa ajili ya fedha Na ukute ameshauwa watu kibao ili wapate utajiri hao wanaweza hata kuuwa ndugu au mama yake kwa ajili ya hela ni watu hatari sana hawafai kabisa 😢!
@RobertLyimo-vj3up
@RobertLyimo-vj3up 21 күн бұрын
Dah hujui usemalo
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 21 күн бұрын
Chuki tu za kijinga stop that
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@RobertLyimo-vj3up wanajulikana hao wamachame wapalestina uuliza hata wachaga wengine wanawaogopa wanaoana wenyewe kwa wenyewe au mtu mshamba kama wewe ndio wanaweza kuwa Na wewe Na ukiwa tajiri wakuuwe wapate Mali zote muulizr mtu yeyote anayewajua wamachame atakuambia hawafai hao hata ukipewa bure huko kwao umachame wajane kibao wa kujitakia, kuna watu wameuliwa hao wamachame vifo vya kutatanisha halafu unaongea Ufala !
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@fredyjunior6961 chuki ya Nini wakati wanajulikana Tanzania nzima ni mashetani wauwaji wanauwa sana wapenzi wao Na waume wao ili wapate mali zao hata kuuwa kwa ajili ya pesa ni kawaida kwako ni majambazi hao wachaga !
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@fredyjunior6961 wanajulikana hao wamachame wapalestina uuliza hata wachaga wengine wanawaogopa wanaoana wenyewe kwa wenyewe au mtu mshamba kama wewe ndio wanaweza kuwa Na wewe Na ukiwa tajiri wakuuwe wapate Mali zote muulizr mtu yeyote anayewajua wamachame atakuambia hawafai hao hata ukipewa bure huko kwao umachame wajane kibao wa kujitakia, kuna watu wameuliwa hao wamachame vifo vya kutatanisha halafu unaongea Ufala !
@rodgerushindi85
@rodgerushindi85 20 күн бұрын
Kitu kingine anachojihusisha nacho ni Mapenzì na waarabu
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
Naona mnamuhoji malaika mtoa roho mpalestina mmachame. Mngemuuliza huyo mpalestina mmachame kauwa watu wangapi tayari katika kutafuta pesa Na ana mpango wa kuuwa watu wangapi wengine ? Na muulizeni mume wake yuko wapi
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 21 күн бұрын
ovyo kweli wewe
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@masalakulwa7601 Nani asiyewajua hao wachaga au ni mgeni wewe jichanganye wakutoe roho
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 21 күн бұрын
Kabwelq. 😂😂😂
@Jesusbelongtome
@Jesusbelongtome 21 күн бұрын
Hujui unacho kisema wee kam vip kaa kmy
@Kabwela776
@Kabwela776 21 күн бұрын
@@HanifaOman-oo4pl ni kweli kabisa ni wauwaji dada sitanii hao hata wachaga wenzao wanawaogopa mmachame ana roho ngumu sana tena anakusubiria mkichuma mali ukiwa Na Mali ndio unauwawa anaweza kukodishia watu wakumalize au anakumaliza mwenyewe
@RosemaryMkunte
@RosemaryMkunte 15 күн бұрын
Hongera sana dear
Can teeth really be exchanged for gifts#joker #shorts
00:45
Untitled Joker
Рет қаралды 16 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 18 МЛН
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 16 МЛН
Can teeth really be exchanged for gifts#joker #shorts
00:45
Untitled Joker
Рет қаралды 16 МЛН