😮Simba naamini itakuwa Bora sanaaaaaaaaa msimu huu wanasimba tuwe na subira makubwa yanakuja🎉🎉
@africanbeez3644Ай бұрын
Mbwaduke analyst 🚀
@user-ep3it9qe4jАй бұрын
Nguvu moja
@rizikylaizer1602Ай бұрын
Hayo matangazo😢 inakera kwanza kati kati ya uchambuzi sijapenda toeni hayo ama muanze nayo tupeleke mbele
@charleslinhege690Ай бұрын
Simba timu kubwa huyo hafai mwacheni
@alfoncekasanyi6584Ай бұрын
Wandugu tetesi zimezidi.Tunataka matamko ya viongozi siyo tetesi zinazotolewa na wachambuzi na waandishi uchwara.Muda si rafiki.Tutaendelea kusikia tetesi mpaka msimu unaisha Kama ilivyokuwa kwa Manzoki?
@zakayomgaya2758Ай бұрын
Simba mpya inakuja 😂😂😂😂😂 bwaduke tupe vitu plesha wanasimba zishuke
@anzamenmmari4545Ай бұрын
Acha kuingiza matangazo mengine kama mnachambuwa mpira uwe mpira tu miti waachie wengine
@barackmoses7003Ай бұрын
Hujui wanalipwa au unadhami wamekurupuka ti
@zanazana6697Ай бұрын
Acha ushambaaa ww
@chazp6436Ай бұрын
Unawachangia kwani ww mpk wapo hapo bila matangazo wanaendesha vp chanel ?
@michaelmbeti5040Ай бұрын
Matangazo ndo mpango nzima Kama hamuwezi koment acheni ushamba uo naona sm sio yako