MBWADUKE: Dubeee..! Apiga bao la jioni kuipa Yanga pointi muhimu CAF dhidi ya Mazembe/ Ramovic...

  Рет қаралды 30,417

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 Күн бұрын
Saafi sana . Tanzania 🇹🇿 tunaendelea kung’aa kimataifa. Big up mchambuzi. Prince Mpumelelo Dube ni bonge la mchezaji ni changamoto za presha za timu hizi kubwa
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 23 сағат бұрын
Hongera sana Yanga. Ki ukweli mmecheza vzr, umiliki mkubwa japo ufungaji ulileta zogozi lkn Mungu akajalia hatukutoka kwa haibu dakika ya jiooooni😅
@AbelyMagu
@AbelyMagu 22 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ...Naiman ....tyu tafuzu MUNGU yupo nansi..
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 20 сағат бұрын
Umetisha mwamba
@JACKOBBenson
@JACKOBBenson 9 сағат бұрын
Asante chama langu yanga kwa mechi ya jana point hiyo 1 kwetu ni muhimu sana
@ExavellyMiti
@ExavellyMiti Күн бұрын
Naipenda san jmaniii❤❤❤
@GreysonKunguta
@GreysonKunguta 13 сағат бұрын
Sasa iv wamebadili maneno ooh hamna point Leo Wana sema mna point lakini hamna point
@GreysonKunguta
@GreysonKunguta 13 сағат бұрын
Huu ndio uchambuz wa mpira sio wale wanauchambua maisha ya watu
@husseinrwanda2394
@husseinrwanda2394 12 сағат бұрын
UNAONEKANA KUWA MCHAMBUZI MZURI SANA KWASABABU KUBWA MBILI (1) Unapochambua hauingizi mambo ya Usimba na Uyanga lakini (2) Uchambuzi Wako una uzalendo zaidi...... Uko vizur Mbwaduke ... Unastahili kuwa MCHAMBUZI wa kimataifa Kinachokuinua ZAIDI ni STATISTICS.......Una uwezo mkubwa sana wa kutunza , kuzichambua na kuziwasilisha takwimu za kisoka.......Big up
@alsonaly23
@alsonaly23 11 сағат бұрын
🤝
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 9 сағат бұрын
Mzee wa Data anasema shukran! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 8 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@DanielChaula
@DanielChaula 10 сағат бұрын
That's good thing
@AlhajiRocky-xd5vl
@AlhajiRocky-xd5vl 9 сағат бұрын
Mwaduke uwee unatusalimia bhanaa😂😂
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 23 сағат бұрын
Nakwamini sana sana...una unafki wa uchambuzi...sio kama wengine ni wanafki sana..mungu akusaidie sana sana.
@simonnjovu586
@simonnjovu586 21 сағат бұрын
Una au huna?
@mustafamajanimussa7463
@mustafamajanimussa7463 Күн бұрын
Yanga bingwA
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 13 сағат бұрын
Mchumbuzi huyu mzuri sana ,unachambua hadi mm mtu mzima naelewa ,wengine unaona kabisa hajui asante yanga
@samwelmkilya9236
@samwelmkilya9236 Күн бұрын
Nakuelewa sana uchambuzi wako huna unafiki nakufananisha na Dr Erik
@VenanceTossi
@VenanceTossi 17 сағат бұрын
Sasa sajilini wachezaji kuziba mapungufu yawasambuliaji haraka Maisemore ushauri wawatu mpaka19/12/ 2024 Hongera Dube Munguyupo nawe (SAJILI SAJILI HARAKA ENG HERRS FANYA HIVYO TUNAKUSHAURI UTAPATA MAFANIKIO TANZANIA YETU ASANTE MUNGU
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 23 сағат бұрын
Hongera yanga
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 20 сағат бұрын
Dua kwa wingi
@leonardmfundo7190
@leonardmfundo7190 13 сағат бұрын
Piga kaz kakai kama washambuliaji wa yanga
@idrisadjuma9322
@idrisadjuma9322 Күн бұрын
Unajuwa san
@TriciaSambo
@TriciaSambo 22 сағат бұрын
al Hilal kashamfunga mtu huko😂😂😂 bado nyumbani kwake yupo kumaliza watu
@nangaimwakyusa9784
@nangaimwakyusa9784 14 сағат бұрын
Yanga sasa wameanza kumkumbuka Alah zamani mlijiona ni wakubwaa sana na hakuna timu ya kuwafunga bara la Afrika
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e Күн бұрын
Wananchiiii😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 21 сағат бұрын
Hongera sana yanga na hongera sana Dube.
@edwardgosbert-e5j
@edwardgosbert-e5j 14 сағат бұрын
kwa uwezo wa MUNGU tunafuzu maan njia ishaonekana
@KhamisShabani-v1n
@KhamisShabani-v1n 23 сағат бұрын
Kaka nakuelewa Hakka wewe nizaid ya mchambuz upovizili huna makandokando mungu akubarik
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 15 сағат бұрын
Aaamyin! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 23 сағат бұрын
Mchambuzi wangu bora tz
@MuslihiShafii
@MuslihiShafii 23 сағат бұрын
Tuna muomba allah ajaalie robo fainali tuingie
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g 23 сағат бұрын
Yanga tumonewa lile sio goli
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 14 сағат бұрын
Tp mazembe hamna tim u pale imeisha
@RamadhanMiyimba
@RamadhanMiyimba 9 сағат бұрын
Tokea iumbwe mazembe hujawahi hata toa share mpuuzi wewe
@mgenikhalfan7471
@mgenikhalfan7471 13 сағат бұрын
Hata kama tukiwa mkian ww unaumia na nn Kolo fc na unateseka ukiwa wp ww Abiola fc
@mgenikhalfan7471
@mgenikhalfan7471 13 сағат бұрын
Kama ni kibonde hata ww ni vibonde wetu tumeshakushenyenda mara nne mfululizo Ludha fc ww
@charlesmganga-gv2cs
@charlesmganga-gv2cs 16 сағат бұрын
COACH NAMSHANGAA ANATUMIA FALSE NAMBA NINE ILI IWEJE
@AnithaKalumuna-j4e
@AnithaKalumuna-j4e Күн бұрын
Unajua sana
@piussimtala5111
@piussimtala5111 Күн бұрын
Je,lile goli la TP Mazembe lilikuwa goli?
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 15 сағат бұрын
Refa alilikubali baada ya mwamuzi msaidizi kuashiria kwamba ni bao. Hata wachezaji wa Yanga waliashiria hivyo kwa sababu hakuna aliyejaribu ku-protest. Ila kwa marejeo ya picha za video ni ngumu kwa sababu walioonyesha kutoka uwanjani hawakutupatia angle tofauti. Kumbuka wahusika hawakuwa na ubora kama ule wa Azam Media au washirika wengine wa CAF.
@RamadhanMiyimba
@RamadhanMiyimba 8 сағат бұрын
​@@MbwadukeStatssahihi kaka
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 21 сағат бұрын
Huo mkwara wa kuandika kwenye ubao kuna somo gani
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 15 сағат бұрын
Swaga🤣😂Kila mtu na staili yake. Mzee wa Data kaamua kutumia staili yake hii. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
@alcoqueditrick6525
@alcoqueditrick6525 13 сағат бұрын
Na wanafunzi tunapenda 😅😅​@@MbwadukeStats
@josephvenus3259
@josephvenus3259 23 сағат бұрын
Vibonde walikutana 😂😂😂 ila wakwetu bado Yuko mkiani 🐸🐸🐸
@MikidadiAbdu-s6o
@MikidadiAbdu-s6o 18 сағат бұрын
Kuna wengine wapo kombe la wa mama huko
@TriciaSambo
@TriciaSambo 22 сағат бұрын
siwezi kuwa mnafiki mechi haikuwa ma mvuto kuwa ni hadhi ya club bingwa Mpila unaangalia mpaka unasinzia nonsense walikutata wote wa hovyo
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 15 сағат бұрын
🤣
@DanielChaula
@DanielChaula 10 сағат бұрын
That's good thing
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 13 сағат бұрын
Mchumbuzi huyu mzuri sana ,unachambua hadi mm mtu mzima naelewa ,wengine unaona kabisa hajui asante yanga
@DanielChaula
@DanielChaula 10 сағат бұрын
That's good thing
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 48 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 16 МЛН
BRIEFING | PROCESSUS DE LUANDA
RTNC
Рет қаралды 2,6 М.