Mimi Ndio wa Pili kumpa mwaduke maua yake❤❤🎉❤🎉❤ naomba like nyingi Toka Kwenu
@ChristinaLazaro-oy4kb6 күн бұрын
Debora mchezaj mhimu sana apewe hak yake ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LindaMbilinyi-n3n12 күн бұрын
Simba nguv Moja💪💪
@EmanueliWildausoni12 күн бұрын
Nam mchambuz msomi mana kuna wachambuz wengne ukiwasilikiliza mh utashangaa ila ww mtam sana
@YekoniaLivingstone12 күн бұрын
Hapo uko sawa kuhusu muunganiko hasa suala kupokea mpira inakiwa walifanyie mazoezi mara Kwa mara kushindwa kupokea mpira katika upande mbaya ndio kupiga golini vibaya au kutoliona lango au kupokonywa mpira na mpinzani
@TolaMlindo12 күн бұрын
God
@BarakaMwaikenda-ty1bt12 күн бұрын
❤❤🎉🎉
@AbiudKilongoz12 күн бұрын
nguvu moja
@marthamsacky697311 күн бұрын
Makofi kwako na mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉
@ChristinaLazaro-oy4kb6 күн бұрын
Kwel simba yamoto
@VictorMbeya-n6p11 күн бұрын
Good🎉
@happykulanga669611 күн бұрын
Fernandez ni noma
@walidibalinago779012 күн бұрын
Huyu ni mwamba🎉
@yusufulimo573712 күн бұрын
Mbwaduke we ni mchambuzi Makin Sana nimefrahi kwa kuwakumbusha goli la Simba balaa lilipo anzia kwa freenandez mavambo😂😂 swali langu Hadi sahv kiungo kiungo mwenye challenge kwa wapinzan naona ni _17 Debra ila maua yake Bado hasa kwa wachambuzi na watoa tuzo kwann.?
@shadracksamwel762612 күн бұрын
Hivi nyie mnaoomba like hamna kazi ya kufanyaa! Mnaboa ,fungueni channel yenu tutawapa like.
@deogratiusGodfrey11 күн бұрын
Acha bangi
@user-kr2vg8zm1k12 күн бұрын
Mbwaduke 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@IbrahimuSaid-fz9yy12 күн бұрын
Football ni viungo ,viungo wakiwa na connection nzur timu itakuwa nzur xn