UFAFANUZI Kumradhi. Bao la Ki assist ilikuwa ni Aucho na siyo Dube. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
@SeiphMkwizu-iz8ed2 күн бұрын
Huna baya ata angekua chasambi ni sawa2
@MalaikaBright-rv6yb2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Yanga bingwaaaa
@AyubuMohamedi2 күн бұрын
Yanga bingwa 😁
@pefa-siccchurchusagaramwan39582 күн бұрын
Gusa achia twende kwao inalipa hakika. 💛💚💛💚💛💚
@issayamakalius57082 күн бұрын
Hongera Kwa kazi nzuri mbwaduke
@AlmachNestory2 күн бұрын
Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, mema zaidi yako mbele yanakuja.
@JoelMdoutch2 күн бұрын
Gusa Achia Twende Kwao 💚💛💚💚💛aijawai kuiacha team yeyote salam😂😂
@williammwanawima5388Күн бұрын
Mbwaduke ni mchambuzi nguli anayeeleweka vizuri sana. Ndio maana akizingatia niliyomshauri ktk video zilizpita, kama anavofanya kwa sasa, kutozichambua timu zetu kwa faida ya wageni kabla ya mechi, tutaendelea kushuhudia ushindi zaidi kwa Yanga au Simba dhidi ya wageni, huu ni mwendelezo, aendelee kuzisanua timu ngeni ili timu zetu zifaidike na uchambuzi wake, siyo zipoteze kutokana na uchambuzi wake. Keep it up sir!
@bsure2342 күн бұрын
Hongera Mzee wa data
@Mariam99-ld4gw2 күн бұрын
Gusa achia twende kwao 💚💛💚💛
@mitinjemaziku2 күн бұрын
Safi sana Mkuu Kauli wameitendea Haki Gusa achia 😂😂
@BakariMakame-j5fКүн бұрын
Alomleta mzize yanga mungu anamuona
@khalidkamanda81542 күн бұрын
Aziz alipokea assist from Aucho
@MbwadukeStatsКүн бұрын
Yes. Uko sahihi Bro na ndiyo maana tumefafanua hapo juu kwenye hizi comments. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@MohamedAlly-q6x2 күн бұрын
nakubali sasa baba mbwaduke
@MaryMpemba2 күн бұрын
Hilo linaitwa pira Ramovic💚💚🇹🇿
@BarakaChacha-xo7gw2 күн бұрын
Mungu mkubwa yanga tutafuz Kwa Neem ❤
@rashidchimwendaКүн бұрын
Sheikh Mbwaduke naomba unitafutie Speed la shuti alilopiga Mzize kuwafunga goli TP Mazembe. Asante sana
@MbwadukeStatsКүн бұрын
Duuh!!!
@gyestudios267Күн бұрын
@@MbwadukeStats kumbe huwa unajibu comment, naomba nikuite baba tu, maana baba yangu ashatanguliaga na aliitwa Ramadhani the same to you.
@MbwadukeStatsКүн бұрын
@@gyestudios267Maa Sha Allah... Mzee wa Data anakukaribisha sana mwanawe. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@MbwadukeStatsКүн бұрын
@@gyestudios267Pole sana kwa kuondokewa na Mzee. Allah akufanyie wepesi ili kheri nyingi ziwe kwako!
Thanks. Ni MBWADUKE siyo BWADUKE. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@habibuabuu96092 күн бұрын
Nakukubali rama
@christiansylvester69012 күн бұрын
Gori la Stephanie Aziz ki assist alitoa Khalid Aucho na si Mudhathir,
@MbwadukeStats2 күн бұрын
Hakika. Uko sahihi na ndiyo maana tumetoa ufafanuzi hapo juu. Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@fransiscalupala685Күн бұрын
Mchambuzi wangu boraaa wa siku Zote 👊🏻👊🏻
@EmanuelMiyonjoКүн бұрын
Gusa achia twende kwao 🤣
@MuslihiShafiiКүн бұрын
Kwanza sukurani nyingi kwa allah natuna omba zaidi ushindi mechi zirizo bakia
@mohamedkutwambi2 күн бұрын
Wananchiiiiii 🎉🎉🎉
@shukurumundandu3244Күн бұрын
Pamoja kaka
@mabulabenard39932 күн бұрын
naomba kujua vip Al hilali Omdurman inacheza lin
@assumedprivacy39402 күн бұрын
Kesho
@isayadotto15832 күн бұрын
Kesho saa4 usiku
@manenomkumba40542 күн бұрын
Tupo pamoja sana
@hggvg9809Күн бұрын
TOUCHE 💛 NE RAMASE PAS💚 VAS CHEZ LUIS💚💛💚💛💚💛 FATA💚REKA💛TUGENDE IWABO💛💚💛💚🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@BarakaChacha-xo7gw2 күн бұрын
Mido uko vizr safi
@AminaTanzania2 күн бұрын
Gusa achia twende kwa wang'oa viti
@NemaMsunguКүн бұрын
Gusa Achia Twende Kwao
@HusseinMashaka-b2m2 күн бұрын
Kwa kweli yanga imetukosha
@AminaTanzania2 күн бұрын
😅😅😅mwaaaaaa🎉🎉🎉
@fortunatafelician56252 күн бұрын
Mchambuz wangu pendwa
@isayadotto15832 күн бұрын
Uhakika yanga naiona inaenda robo final
@farajasallah2338Күн бұрын
Yaani mpira unaisha hamu ya kuangalia haijaisha aisee, yanga wacheze dakika 120
@Hemedy-r8g2 күн бұрын
Ww ndo mchambuz bora apa Tz
@AlexNyarugeziКүн бұрын
Gori la Ki assist imetolewa na Aucho
@MbwadukeStatsКүн бұрын
Yes. Uko sahihi asilimia 100 na ndiyo maana tumefafanua hilo kupitia hizi comments. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@stanslaus-z5l2 күн бұрын
Fact
@EmmanuelJackson-w8r2 күн бұрын
Nakubali
@BarakaChacha-xo7gw2 күн бұрын
Bei gani
@MbwadukeStatsКүн бұрын
Milioni 36/-
@talibkarim6442 күн бұрын
Assist ni mwanangu aucho na sio dube
@MbwadukeStats2 күн бұрын
Hakika. Uko sahihi na ndiyo maana tumetoa ufafanuzi hapo juu. Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@AMZAASSANESAIDE-c1g2 күн бұрын
gusa achia twende kwaoo ndo mfumoo
@JosephChrisant2 күн бұрын
Al Hilaly inaenda kukutana na gusa achia twende kwao
@KaombweIsmail-k9e2 күн бұрын
Mbona goli la Aziz assist katoa aucho sio dube
@simonnjovu5862 күн бұрын
Dube alitoa pre-assist kwa Aucho.
@MbwadukeStats2 күн бұрын
@@simonnjovu586 Hakika! Uko sahihi Comrade!
@MbwadukeStats2 күн бұрын
Hakika. Uko sahihi na ndiyo maana tumetoa ufafanuzi hapo juu. Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@ErickSwai-k1f2 күн бұрын
Mbona wata kubali tuu aoo makolooo
@josephgalandu1282 күн бұрын
No Chama,no Nzengeli,
@PETERWALWAКүн бұрын
Ni maoni tu, kwa timu isipokoselewa madhaifu yak ndo inakuwa imesaidiwa?. Nadhani ni kukumbatia jipu. Mzee wa data 🫡🫡🫡🔥🔥🔥
@MbwadukeStatsКүн бұрын
Hakuna na haijawahi kutokea duniani kote timu isiyokuwa na kasoro. Yanga pia imeonyesha udhaifu kadhaa kwenye mechi hii ikiwemo matumizi ya nafasi wanazotengeneza. Wamekosa mabao kadhaa ya wazi na ndiyo maana Mzee wa Data ameligusia hilo. Nawe bila shaka umegundua udhaifu maeneo kadhaa, hivyo si vibaya nawe ukayaainisha maana mpira wa miguu ni mchezo wa wazi na kila mmoja ana maoni yake. Ila kwa ujumla ushindi wao wa 3-1 dhidi ya timu ya pot 1 kwenye kundi lao la A unastahili pongezi. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@kassimourio68792 күн бұрын
Assist kwa Aziz Ki ilitoka kwa Aucho 🎉🎉🎉
@MbwadukeStats2 күн бұрын
Hakika. Uko sahihi na ndiyo maana tumetoa ufafanuzi hapo juu. Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!