Mzee wa data frij haligandishi mbna unamwaga mchele wetu wapinzani mnadanganywa bhana gamond alikuwa anawakaribisha wachezaji wake wapya msiogope😂😂😂😂😂😂
@elizabethkalinga0822Ай бұрын
Heeheee😂😂😂😂 Mwache Mzee wa Data awapandishe BP, na Stress viongozane, Kabla ya Ngao ya Jami,