Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like... KUMRADHI Kumetokea tatizo la kiufundi lililoathiri ubora wa sauti. Samahani kwa usumbufu. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
Пікірлер: 43
@danmbizo347220 күн бұрын
Uko vizuri nakukubali mno bro From Kenya hukufuatilia sana
@ShaibuMkullu-ck6sl20 күн бұрын
Huyu MBWADUKE apewe heshima yake jamani, anajua kuudadavula mpira
@firdawsrammy999220 күн бұрын
Hakika
@elizabethkalinga082220 күн бұрын
Ni kweli kabisa a me we Mauwa yake, maelezo yake yamenyooooka haswa. 🌹🌹🌹🌹
@Mary-fs4mc20 күн бұрын
Anabalaaa siyo poa huyu baba
@fatmaally725220 күн бұрын
Tabu ipo pole pale mungu ibariki yanga
@speciallvoice809118 күн бұрын
Chambuz Bora kwa Sasa ktk Nchi hii Ramadhani Mbwaduke
@Barakah259020 күн бұрын
Nakubali mjomba
@user-qi3wv8sf5j20 күн бұрын
Upo vizuri
@user-tc7fh1mv8f20 күн бұрын
Shukran mzee wa data japo kunakelele
@hosianawilliamson739620 күн бұрын
Mzee wa takwim upo vizuri
@AbdiSele-9420 күн бұрын
From kenya nairobi
@saidmailo849119 күн бұрын
Mbele tunakata nyuma tunanyoa yanga tunapiga mbele na nyumaaaaaaaa
@bbanyikwa20 күн бұрын
Tusubiri DEBORA tuone naye atafanya nini uwanjani maana kwa kikosi hiki cha yanga kinaogopesha haki😢
@gasperelasto884220 күн бұрын
Kaka unafanya vzr. Hongera. Nakuomba il kuboresha jukwaa letu, Uwe unasoma comment zetu unazfanyia kazi. Kwmfano kn ck nlkuomba kuptia jukwaaa hilhil utupe maarfa juu ya kias gan cha pesa timu znapata zkshriki nbc league!
@francisdavid00118 күн бұрын
Upo vzuri sana Mzee. Ila studio kuna kelele nyingi 😢
@MbwadukeStats18 күн бұрын
Shukran sana Kk! Kumetokea matatizo ya kiufundi na ndiyo maana tumeomba radhi. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono...
@abrahamannyonyi20 күн бұрын
Xana
@malietamaliet20 күн бұрын
Aziz ki angekua mcongo walai asingebaki yanga ila anaupendo wa Hali ya juu Mwenyezi Mungu atusaidie huu msimu tufanye vizuri next season kimataifa alivyosema yeye anataka yanga kuisaidia kimataifa then ata wakimuuza tutampa baraka zote popote atakapotaka kutafuta malisho umri unaruhusu
@denimpemba19 күн бұрын
Amiiiiiiin Yaa Rabbi ijaalie team yetu ifanye vizuri sana sana sana
@Izzoh202120 күн бұрын
Sijawahi kuwa na shaka na uchambuzi wako na ww utabaki kuwa bora kwa uchambuzi wa mpira tz
@user-jm2ul9ph5b20 күн бұрын
Sauti. Haijakaa sawa 😢
@blackwarrior-animations59320 күн бұрын
Lakini ujumbe umefika 😂
@gasperelasto884220 күн бұрын
Mi nashaur tu. Wapinzani wa yanga nbc league msipeleke timu uwanjan.😂 Mtalia machozi ya mauti😂
@RomaniDanielcoster20 күн бұрын
Ila sijachelewa sana kamanda wangu nisipo kuskiza bado sijaangalia michezo
@user-yn4oi3cz2v20 күн бұрын
The magician mzeee wa data leo sauti haija kaaa powa
@MbwadukeStats20 күн бұрын
Kumradhi. Kumetokea tatizo la kiufundi! Shukran kwa kuendelea kutuunga mkono.
@othmanali740820 күн бұрын
@@MbwadukeStats👍
@TOLA9220 күн бұрын
Mbwaduke nakuelewa sana.. ila leo saut haiko sawa
@MbwadukeStats20 күн бұрын
Kumradhi. Kumetokea tatizo la kiufundi! Shukran kwa kuendelea kutuunga mkono.
@yusuphbenjaminkugaiwa760820 күн бұрын
Kaka mkubwa nakukubari sana lkn leo sauti ina mwangwi sana kaka Yusuf Benjamin katoro Geita
@neemadaniel623320 күн бұрын
Mzee wa Data saut haiko poa
@MbwadukeStats20 күн бұрын
Kumradhi. Kumetokea tatizo la kiufundi! Shukran kwa kuendelea kutuunga mkono.
@zakayomoleli20 күн бұрын
Siku nyingine tafuta Mahali penye utulivu hapo Kuna kelele
@KS-iw7qv20 күн бұрын
Tatizo mic... angepata tie mic
@pascalemmanuel255720 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@pascalemmanuel255720 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abrahamannyonyi20 күн бұрын
Xana😂
@siphaeldavid20620 күн бұрын
Acha kurudia mada hili bando
@joshuamwambene287420 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@wajanjaforever482220 күн бұрын
Tumia microphone za kuvaa. Achana na hizi za CCM hoyeee