MBWADUKE: WHY YANGA INAANZIA AWALI CAF CL HUKU SIMBA IKILA POZI KUSUBIRI RAUNDI IJAYO CAF-CC?

  Рет қаралды 32,655

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 57
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Ай бұрын
The only soccer analyst in Tanzania - big up Mbwaduke !
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
SIMBA NI TIMU KUBWA TANZANIA ,🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO
@IsaacParuz
@IsaacParuz Ай бұрын
Ubunifu Hadi Raha kaka mbwaduke hongera sana wote hapo na team yako
@assamkagila
@assamkagila Ай бұрын
Namkubali sana huyu mwamba yuko vizur kweny uchambuzi wa soka
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Shukrani sana Mkuu. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono!
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 Ай бұрын
Tuchambulie match ya yanga vs kaizer chief
@dubo2010
@dubo2010 Ай бұрын
@@MbwadukeStats formula karibia miaka yote ni (64 - idadi ya timu zinazoshiriki = idadi ya zitakazo anzia hatua ya kwanza)
@user-hn8vj1vn5y
@user-hn8vj1vn5y Ай бұрын
​@@dubo2010 Good! Ahsante sana Mkuu!!
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 Ай бұрын
Samahani vijana wetu msiharibu lugha katika kujitambulisha hatusemi Kwa majina naitwa..... Bali Kwa jina naitwa naitwa.......... Asante sana
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 Ай бұрын
Kaka asante sana kw kazi nzuri. Tunaomba utuchambulie match ya yanga dhidi kaizer chief
@salummohammed1176
@salummohammed1176 Ай бұрын
Kweli kaka umechambua vizuri sana asioelewa atakua mburura Simba SC nitimu kubwa
@Jaymedia16Tz
@Jaymedia16Tz Ай бұрын
Kk uko vzr ninakufuatilia sana tena sanaa achana na hawa wachambuzi uchwara wanajisifu eti wachambuzi hongera sana bro
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Mbwaduke uko vizuri
@DAVIDKISWAGA
@DAVIDKISWAGA Ай бұрын
Uko vizuri sir mwanduke!
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Shukrani sana. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono!
@DadeSaide-qr7ti
@DadeSaide-qr7ti Ай бұрын
Asante sana. ​@@MbwadukeStats
@user-hw1fp6mb4s
@user-hw1fp6mb4s 17 күн бұрын
Hata kama ukivaa miwani yanga huioni top 10
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Simba nguv moja😂😂😂😂
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 Ай бұрын
Uko vizuri brother
@rizikylaizer1602
@rizikylaizer1602 Ай бұрын
Leo nina raha napenda data zako mbwaduke sana❤
@FedricMwikwabe
@FedricMwikwabe Ай бұрын
Big up Mr mbwaduke
@YasiniJuma-rc9bb
@YasiniJuma-rc9bb Ай бұрын
Nadhani we ndo mchambuzi bora Tz!!👏🏽👏🏽👏🏽
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hakuna mwingine He is the best of the best....
@YasiniJuma-rc9bb
@YasiniJuma-rc9bb Ай бұрын
@@errydeo8865 Ni kwel aisee
@jumaazuberi9317
@jumaazuberi9317 Ай бұрын
Miaka 4 simba anaenda kimataifa na anafika robo yanga ndani ya miaka hiyo 4 hawafiki popote na kucheza makundi nibaada ya miaka 25 watafanana vipi na SIMBA.
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 Ай бұрын
Simba ni simba tu so yakufananisha na team yoyote Tz😂😂😂😂😂😂😂
@ThuwaibaMkana
@ThuwaibaMkana Ай бұрын
Nimekuelewa baba mbwaduke❤
@OGVIDEOPRODICTION-z2l
@OGVIDEOPRODICTION-z2l Ай бұрын
asant
@charleznicholas416
@charleznicholas416 Ай бұрын
Mbwaduke namkubali sana huyu jamaa anachambuwa kwa akili
@User255tv
@User255tv Ай бұрын
Noted. Kwa kutumia idadi ya 5 bora, hata makolo wangekuwepo CCL nao wangeanzia preliminary vilevile. Tukutane uwanjani.
@johnsonisack1133
@johnsonisack1133 Ай бұрын
Yap brother
@orestonjalika632
@orestonjalika632 Ай бұрын
Tatizo lako unajua sana boli wewe mbwaduke. umekuwa taa sana aise
@user-yr8eq7rr1z
@user-yr8eq7rr1z Ай бұрын
Huyu ndo mchambuz, cyo wale kina ambokile ushenz mtupu
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l Ай бұрын
watabakia kujifananisha na mnyama caf wenyewe simba yani hapo formula zitabadilika sana imradi2 mtoto asifanane na baba
@Kabeya410
@Kabeya410 Ай бұрын
Bahati mbaya kwetu bahati nzuri kwao wangekua huku nao wangekua hawao wao wa 6 na zimetengwa 5 simba nae angeanza kama Yanga tu kule shirikisho ni mkurulo yaani 12 unakosaje hata yanga angekua kule asingecheza mwanzo Asante Mbwaduke hawa makolokolo wasitambe ni mfumo tu 😅
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 Ай бұрын
Ucjifariji kwani hukuwahi kuwa huko mbona ukupata hiyo nafasi ya kuanza awamu ya pili,Kubali tu Simba ni kubwa kwani ukikubali utakufa
@Kabeya410
@Kabeya410 Ай бұрын
@@abdallahmzee4335 angalia kabla hapo nilikua sina point za kunibeba baada kufika fainali na kufika Robo niliyodhulumiwa ningekua huko timu 12 nayo unajisifu mkurulo huku kwetu ni timu 5 mimi wa saba ingekua kumi bora au saba bora nimo ningeanza mbele ila kwangu faida napata mazoezi mazuri we subiri hiyo raundi unaishia hapo hapo mwaka huu hata makundi hufiki Yanga kafika fainali shirikisho na mechi ugenini nimeshinda pamoja na figisu zote kanuni ndo imenitoa Sasa kama Mwanaume kweli fika fainali na ushinde fainali ugenini NIKO PALE NIITE MBWA
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Ай бұрын
Siku zenu zinahesabika za kujiita eti ni wakubwa!​@@abdallahmzee4335
@nahimanafiston6518
@nahimanafiston6518 Ай бұрын
Wawuuu
@labramsalum976
@labramsalum976 Ай бұрын
Nakubaliiiii
@ibrahmsimai
@ibrahmsimai Ай бұрын
.saw
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 Ай бұрын
Hata kama kichwa chako kigumu kama jiwe lazima utaelewa tu!
@KASSIMSHEHEMBA
@KASSIMSHEHEMBA Ай бұрын
Kimataifa huwezi kulinganisha Simba na Yanga Simba ipo nafasi ya 6 afrika Yanga 43 huoni Yanga ni kibonde
@augustinokibena8387
@augustinokibena8387 Ай бұрын
Kuhusu pot Yanga atakuwa pot ipi
@YunusHaji-i8i
@YunusHaji-i8i Ай бұрын
Apewe tunzo na mauwa🎉🎉🎉🎉 yake Kwa kiwango chake jamaaa
@user-wn4qu9yu7n
@user-wn4qu9yu7n Ай бұрын
Huwa nafurahishwa na data zako
@user-tr8kz6wc1j
@user-tr8kz6wc1j Ай бұрын
Wasifosi tufanane
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 Ай бұрын
Simba ni Simba tu
@amidanjalle3468
@amidanjalle3468 Ай бұрын
Sis ni simba
@brunoh_bx
@brunoh_bx Ай бұрын
Salma Hamidu naomba naomba yake me bado sijaoa jama😂😂 Nakukubal sana kaka Mbwaduke👏👏🔥🔥🔥
@emmanuelibrahim8159
@emmanuelibrahim8159 Ай бұрын
Umalaya tuu kuoa aaaaah😮
@brunoh_bx
@brunoh_bx Ай бұрын
@@emmanuelibrahim8159 😀😀 si ndo natak kuoa sasa jaman
@Bashirusalum
@Bashirusalum Ай бұрын
Simba sio paka hata alowe vipi
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Maswali ya wanafunzi mashabiki wa utopolo
@BibeLunangela
@BibeLunangela Ай бұрын
Acha uhongo
@user-tc7fh1mv8f
@user-tc7fh1mv8f Ай бұрын
Brother mm swali langu nikuwa mbona bala laAfrica ina nchi 54 afu kuna timu 52 ,59 afu mda huo kuna nchi zimepeleka timu mbili hii imekaaje?je kuna nchi hazishiliki michezo kabisa au
@sangaelly8548
@sangaelly8548 Ай бұрын
Ndiomaana
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 56 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 1,2 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 43 МЛН
YUSUPH KAGOMA AWACHOMOLEA BETRI YANGA/ WATOA MSAMAHA KINYONGE
18:02
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 516 М.
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 56 МЛН