MBWADUKE: SUPERB! TAIFA STARS GUMZO IKIIUA 2-1 GUINEA YENYE NYOTA WOTE ULAYA/ FEITOTO, MUDATHIR...

  Рет қаралды 20,953

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Hongera Taifa stars ashukuriwe Mungu Kwa kutupatia USHINDI watanzania💛💛💛💚💚💚 TAITA. STARS🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@lwelenjalferdinand671
@lwelenjalferdinand671 Ай бұрын
Wachezaji wetu wa mbele hawajitumi sana. Tumeshinda lakini tunahitaji kujituma zaidi.
@FaridiSalim
@FaridiSalim Ай бұрын
MUNGU ibariki taifa star ibariki NCHI yetu🙏🙏🙏
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 Ай бұрын
Haleluya Haleluya Haleluya Haleluya AAA.
@DanielChaula
@DanielChaula Ай бұрын
Nakiwango chao tunakijua kuliko wale wa nje ambao hatuwaoni
@karoliwilliam8877
@karoliwilliam8877 Ай бұрын
Mungu nimwema sana na Feisal nimekusamehe
@ZaydShafii
@ZaydShafii Ай бұрын
Tume shindi bahati tu lakini kocha mbovu timu haina muanganiko
@SaneMwezi
@SaneMwezi Ай бұрын
Ila leo kama hawajaroga starz 😂😂 basi mungu😂😂😂❤❤❤
@suleilammasanja-fm9ou
@suleilammasanja-fm9ou Ай бұрын
Hii nchi kuna watu vigeugeu walilalamika akina samata wakiwa na timu ya Taiga hajitumi kama akiwa timu yake haya hakuitwa sasa lawama tena samata Kwa nn hakuitwa tuache lawama tz tuna tatizo la ushambuliaji huo ndy ukweli huyo samata alikuwepo miaka yote tumefika wapi tuseme ukweli hatuna uwezo Tu bado tunajitafuta
@husseinmwanga
@husseinmwanga Ай бұрын
Tumeshinda kwa zali tu kocha mbovu na waongeze msuva na samata, tumu bado mbele pale
@ZaydShafii
@ZaydShafii Ай бұрын
Nayule kachwele mzuri
@yussufchumy6345
@yussufchumy6345 Ай бұрын
Shukran sana mzee wa data🙏🙏
@IgnasKapita
@IgnasKapita Ай бұрын
Daah huyu mwamba cnachambua boli
@JacksonDominicko
@JacksonDominicko Ай бұрын
Stars bwana huwa tunashinda kingekewa tu
@maryamtan682
@maryamtan682 Ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🙏😊
@joachimfrancis9587
@joachimfrancis9587 Ай бұрын
Kama sio uchoyo wa Mdathiri zile dakika za mwisho tungepata bao la tatu
@mshindisanga6530
@mshindisanga6530 Ай бұрын
Mudadhir hana makosa, ukirejea vzur lile tukio, kipa wa Guinea alimbana sana Mudadhiri akashindwa kujaza kati. Na asingeweza kufinya kwenye mazingira yale maana walinzi walikuwa karibu. Mudadhiri hana hatia kwenye hilo✅💪🏿🙏🏾
@BarakaMsukuma-g1q
@BarakaMsukuma-g1q Ай бұрын
MWALIMU UNACHAMBUA VIZURI ILA UBAO UBADILISHE
@IslahiMohamed-qi2jf
@IslahiMohamed-qi2jf Ай бұрын
Kocha kajitahid
@MicJorl
@MicJorl Ай бұрын
ugonjwa wa stars ni mechi za nyumbani hilo linatakiwa kufanyiwa kazi na benchi la ufundi ila mechi za ugenini hamna tatizo kubwa nidham hali ya juu.Kwani nyie mlitakaje nani aliikatia tamaa stars😂😂
MBWADUKE: TOBAAH! SIMBA IKIMPATA NYOTA WA SIFA HIZI KINA ATEBA WAAH!
15:59
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 37 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 34 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 62 МЛН
MAGOLI GUINEA VS TAIFA STARS
7:58
Revivalfmtz
Рет қаралды 292 М.
SALIM KIKEKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 169 М.
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 10 МЛН