MBWADUKE: Calculator? No! Ramovic, Ibenge katika vita kubwa Yanga ikiwania kufuzu Robo Fainali CAF..

  Рет қаралды 26,806

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@life_of_Joseph
@life_of_Joseph 13 күн бұрын
All the best champions of all times👏👏✋
@hatibuhabibu1832
@hatibuhabibu1832 12 күн бұрын
Mzee wangu nakufatilia sana. mtaalamu wa data
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 14 күн бұрын
Mtaalamu wa Data Nakuelewa sana Baba angu.Allah akulipe
@RoseManyama-j5u
@RoseManyama-j5u 14 күн бұрын
INSHAALLAH mungu akawatangulie warud na furaha Tanzanian kwa mungu hakuna linaloshindikana
@MusaTalange
@MusaTalange 14 күн бұрын
🎉🎉 yanga bingwa 🧡💚💚🧡
@yokoi-u3g
@yokoi-u3g 14 күн бұрын
Umeulizwa acha ushamba
@AbdallaKhamis-m6i
@AbdallaKhamis-m6i 14 күн бұрын
Wa Kwanz mm Leo like zangu jaman
@francisMpondo-m2j
@francisMpondo-m2j 14 күн бұрын
Best for all time 🎉🎉🎉
@jonassamwely
@jonassamwely 14 күн бұрын
Good sana,,, mchambuz bora sana TZ
@FaidaMagesa-s6q
@FaidaMagesa-s6q 14 күн бұрын
Mungu aisaidie yanga jaman
@MandibarakaMandibaraka
@MandibarakaMandibaraka 12 күн бұрын
Mtaalam nakukubali sana kwenye uchambuzi nipe namba zako mkuu
@DanielYusto
@DanielYusto 13 күн бұрын
Kweli yanga wana mechi ngumu sana. Wanahitaji wajitoe sana, sio mechi rahisi.
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 14 күн бұрын
Kazi tunayo kesho In sha Allaah tutashida
@JosephChrisant
@JosephChrisant 14 күн бұрын
Mungu atusaidie sana tushinde mechi hii na Al Hilaly. Gusa achia twende kwao tupate point 3 ktk hii mechi.
@sadokimtondoabahenya31
@sadokimtondoabahenya31 14 күн бұрын
Mchambuzi bora duniani kote ❤❤🎉🎉❤
@GeofreySemadinga-l2z
@GeofreySemadinga-l2z 14 күн бұрын
Nakuunga mkono abdulirama
@MAGEMEYOHANA
@MAGEMEYOHANA 12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@AbduliRama-c3i
@AbduliRama-c3i 14 күн бұрын
Dahhhh mungu aiongoze yanga tu na simba pia sisote watanzania tuwe wazalendo
@daddynamombas3898
@daddynamombas3898 14 күн бұрын
Hakuna uzalendo wa mpira uzalendo upo kwenye kutunza rasilimali za nchi na kulinda uhuru wa nchi ...
@Juma-w3e
@Juma-w3e 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂​@@daddynamombas3898
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g 13 күн бұрын
Hakuna kubwa mbele ya mungu
@PASCHALMAGANGA-t5u
@PASCHALMAGANGA-t5u 13 күн бұрын
Leo Ndo mmemkimumbuka Mungu baada ya kuona hali tete
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 14 күн бұрын
Maelezo yanakuw mengi sana tunapozungumzia nyuma mwiko kuvuka😂😂🙌
@allykimario9498
@allykimario9498 14 күн бұрын
sindo kuesabu vidoleeee kwenyewe huko 😂😂😂😂 maelezo mengiiiiiii....
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 14 күн бұрын
@allykimario9498 Kwakwelii 😂😂
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 14 күн бұрын
Simba wamefuzu??​@@Brunoh90Tv
@EshaSharoot
@EshaSharoot 14 күн бұрын
Wivu tu.
@AyubuMohamedi
@AyubuMohamedi 14 күн бұрын
😂😂😂 twende kwao....
@ErickSwai-k1f
@ErickSwai-k1f 14 күн бұрын
Mungu awatunze wana jangwani siku ya kesho
@OS-pf6op
@OS-pf6op 14 күн бұрын
Yanga watashinda mechi zote! Acha mteseko uendelee 😁
@officialdana5114
@officialdana5114 13 күн бұрын
Ndio hesabu zenyew izo
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 14 күн бұрын
Calculator haihitajik sisi ni kushinda tu mechi zetu basi
@PeterKiwale-r6e
@PeterKiwale-r6e 13 күн бұрын
Hiki sio kipindi cha watakatifu
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 14 күн бұрын
tuna kazi ngumu sana sio ndogo naona kama sAfari yetu imeishia hapa
@Kabeya410
@Kabeya410 14 күн бұрын
Huna ujualo tulifungwa na Belozdad 3 na mechi kwa mkapa tulifanya nini tulimpiga Belozdad goli 4 bila jaluma ugumu na Al Hilal wameshapita
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 14 күн бұрын
@Kabeya410 haifai kukariri sio kila kitu kinaweza kujirudia kila siku
@Kabeya410
@Kabeya410 14 күн бұрын
@khamissehel-jr1cs Yanga Asha fanya sana mara tatu mliikatia tamaa nyie wenye roho ndogo na matusi juu Yanga hii ipo moto kwa Dua kwa Allah tutapata ushidi tu
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 14 күн бұрын
@Kabeya410 sawa mm nitakutafuta baada ya mechi
@hamzanangameta6243
@hamzanangameta6243 14 күн бұрын
Kama yanga mbovu ilifungwa 2 , hilaly watakufa sio chini ya mbili
@MuslihiShafii
@MuslihiShafii 14 күн бұрын
Tuna shinda bi izni allah
@josephgalandu128
@josephgalandu128 14 күн бұрын
WATU WANAONGELEA SANA YANGA KULIKO WATAKATIFU COSTERNTINE😂😂
@barbiepixie92
@barbiepixie92 14 күн бұрын
Bado mda wa kuongelea constantine ukifika tutaongea isiwe na papara
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 14 күн бұрын
Kinachotakiwa ni ushindi kwenye kila mechi. Yanga Bingwa
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 13 күн бұрын
Mbn ww unapiga mahesabu 😂😂
@bernardoartist8770
@bernardoartist8770 14 күн бұрын
Mmmmh
@jastin_josephat_mkwawa_sungura
@jastin_josephat_mkwawa_sungura 14 күн бұрын
Yaani mimi nimejaribu hadi scientific calculator naona syntax error tu sijui Mungu ajalie maana sio padogo kwa kusimulia tu.
@amaniSet
@amaniSet 14 күн бұрын
Acha kujitala
@amaniSet
@amaniSet 14 күн бұрын
Wewe huwezi kushida zote
@kassidpandu866
@kassidpandu866 14 күн бұрын
Tuki waki na calculator Mkononi
@Lazarokidulanya
@Lazarokidulanya 14 күн бұрын
Kwel haina haja ya kutembea na calculator, yanga aamue mwenyew kwenda au asiende kwhyo mech zote mbil inabid ashinde zote
@saeedmagoda9651
@saeedmagoda9651 14 күн бұрын
Kama yanga tuta toa sare kwa al hilal bas kwa Mc alger tutatumia hata Songesha 😅😅
@pascalemmanuel2557
@pascalemmanuel2557 14 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HassanPyagula
@HassanPyagula 14 күн бұрын
👏
@benjo_brighter
@benjo_brighter 14 күн бұрын
Kesho wataguswa na kurudi kwao 😂😂
@EshaSharoot
@EshaSharoot 14 күн бұрын
Tulia kolokwinyo wewe 6:55
@benjo_brighter
@benjo_brighter 13 күн бұрын
@EshaSharoot haitabadili kitu. Lazima mkandwe vyura nyie 😂
@MohammedMitawa
@MohammedMitawa 14 күн бұрын
Kila la heri
@Ambagaye
@Ambagaye 14 күн бұрын
Al Hilal na MC Alger wameshaingia kwenye mfumo wa Yanga.
@YusuphkhanMrkajia
@YusuphkhanMrkajia 14 күн бұрын
Je yanga akishinda mbili Bila hapo itakuwajee
@GeofreySemadinga-l2z
@GeofreySemadinga-l2z 14 күн бұрын
Yusufu ikishinda 2-0 ndio inakuja nani ana wastan mzur wamagol yakufungwa nakufunga
@AyubuSotte-v4p
@AyubuSotte-v4p 14 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@israeltemu356
@israeltemu356 14 күн бұрын
Hii match inapigwa saa ngapi leo?
@Asamtz360
@Asamtz360 14 күн бұрын
We fala mechi kesho saa nne
@bahatimtuluma3798
@bahatimtuluma3798 14 күн бұрын
​@@Asamtz360😂😂jamaa anafel kinoma
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 14 күн бұрын
Ikitokea yanga ameshinda 2-0 itakuaje Agreget 2-2 itakuaje?hapo
@victorcharlesmwakikoti7764
@victorcharlesmwakikoti7764 14 күн бұрын
Wataangalia idadi ya magoli yakufungwa na kufunga
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 14 күн бұрын
Ndoto ya mchana hiyo
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi 14 күн бұрын
Yanga wapate sare wazame kabisa
@laninjeje8290
@laninjeje8290 14 күн бұрын
Mbwaduke achana na yanga, itakuharibia sifa, hao yanga hawawezi kuifunga Al hilal 😂😂
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 14 күн бұрын
Hana timu nyingine ya kuielezea. Yanga BINGWA
@laninjeje8290
@laninjeje8290 14 күн бұрын
@makejamaduhu7618 tabora united oyeee 😂
@FaidaMagesa-s6q
@FaidaMagesa-s6q 14 күн бұрын
Nakukubali xna mwaduke
@SimonLujiga-s3k
@SimonLujiga-s3k 14 күн бұрын
Kaka una uhakika yanga atamshinda al hilal
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 14 күн бұрын
Wameshindwa Mechi nyingi ngumu kuliko hiyo. Tunza hii SMS.
@abdulzaidi6043
@abdulzaidi6043 14 күн бұрын
Ibenge ni mwana yanga atawaachia tu watani
@SeuriLebahati
@SeuriLebahati 14 күн бұрын
😂😂🎉🎉
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
MBWADUKE: Kulikoni? Sababu Yanga kung'oka makundi CAF ni hizi...
25:40
MCHOME  APAGAWA NA JONATHAN NA MATAMPI | SIMBA TUOMBE MSAMAHA
11:41
Real Madrid vs Valladolid 3-0 - All Goals & Highlights - 2025
10:38
جريندو - Grendo
Рет қаралды 13 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН