Hongera sana mwalimu Ramadhan Mbwaduke,tunapata elimu nzuri ya soka,Hatupaswi kulaumiana sana wananchi💚💚💚🙏🙏Daima mbele nyuma mwiko💪💪💚
@adamuadamumussa72893 сағат бұрын
Na ikawe KHERI KATIKA KILABU AFANYE MAAJABU YA AFRIKA NA DUNIA NZIMA IJUWE KUNA YANGA AFRIKANS 💚💛💚💛💛
@BigMan-f1v2 сағат бұрын
# uko vzr kaka ... # chambuzi zako n story book 💪 # Xinaeleweka hazina mafumbo kbs 💯✅
@majaliwadottokd9263Сағат бұрын
Napenda sana unavyo chambua mpira ❤❤❤❤❤
@PatrickLiseki-r6g3 сағат бұрын
Upo vizuri sana mzee mwaduke mungu akubarili
@King_186Сағат бұрын
Kocha huyu anajua sana kufundisha objective football,,mpira wenye malengo mahususi tatizo kubwa ile TS galaxy usajiri wake uko chini sana,,ndio maana hakuna wachezaji hata wenye majina makubwa au hata kujulikana Africa ni tofauti na Yanga hii ya kina Pacome,Chama,Aucho na kina Aziz Ki
@TwahirBurhan5 сағат бұрын
KUJIFUNZA SIO DHAMBI NI VZR AKINA JEMEDARI,JEAF LEAH,SHAFI,MAESTRO PATENI SHULE NAMNA YA KUCHAMBUA MPIRA KUTOKA KWA HUYU MWAMBA NA SI UCHAMBUZI WENU WA KINAFIKI TU
@malietamaliet5 сағат бұрын
Wale ni unprofessional ushabiki unawatawala zaidi kuliko kazi yenyewe ya uchambuzi mm bongo nampenda uyu MZEE WA DATA MURO na AMBANGILE waliobaki nawasikiliza ila waongo waongo
@beatusmajumbi71255 сағат бұрын
Uchambuzi wa kina jemedari ni kama kipindi Cha taarabu hawana takwimu
@NyangilaMwessanyangila4 сағат бұрын
Hao wanamtumikia mtu inafahamika kuwa Kuna wachambuzi wanalipwa ili kuivuruga yanga.
@Leon4-e6e4 сағат бұрын
Wale wengine ni wachambua mchele
@mubatwalibu41083 сағат бұрын
umekasahau ka salama ngale
@Defalausmpokola-t9vСағат бұрын
Mwaduke tumekuelewa vizuri lakini uyu dead ramovic akuna mwalimu umu time pigwa
MBWADUKE Wapo watu wanastahili sana kujifunza kutoka kwako unajua sana mwamba ungekuwa mwalimu sijui SoMo lako kama Kuna mtu angefeli na kama atapatikana WA kufeli maana watu wote hawafanani ila ikiwa wanafunzi ni mia watakaokuwa na A ni zaidi ya 70 na wengine watakaofeli ni 30 Tena Kwa DARAJA B na C
@nuggets1776Сағат бұрын
Ila mbwaduke , unajua mpira bwana,, tusaidie na timu yetu ya Azam kupata wachezaji wa hadhi ya Azam,, tunapaswa kuchukua kombe hata la club bingwa
@anthonyrguzuye16476 сағат бұрын
Mbwaduke, wewe ni professional! Nimefurahi kwamba unautendea haki usomi wako. Kwa hakika Uzamili wako ni wako kweli. Nakushauri ufanye sasa Uzamivu!
@yilodhasunga39672 сағат бұрын
Professional analysis of football🎉🎉🎉🎉
@felixmagulu61423 сағат бұрын
Mchambuzi namba moja Tanzania
@davidmwamanda64734 сағат бұрын
Great great!!!! Job Brother
@ZuhuraNassoroСағат бұрын
Kwa Tanzania Ramadhani Mbwanuke wewe ndiye mchambuzi wangu bora wakati wote, Sead Ramovic naamini atafanya vizuri zaidi.
@Deephonce5 сағат бұрын
Natangaza kuwa kwa kocha huyu kila mchezaji ata funga sana yani paka diar ata funga namanisha ninacho kisema❤❤❤❤ love yang
@cleversalbaba-em4jf4 сағат бұрын
Wataanza kujenga timu tuwape misimu mi3. Simba bingwa
@Leon4-e6e4 сағат бұрын
@@cleversalbaba-em4jfyanga haijengi timu bali inaendelea ilipoishia,kijenga timu maana yake unaingiza wachezaji wengi, hapo ndio utasema unajengatimu yanga timu ipo
@avii99713 сағат бұрын
Tabora na lambalamba team bora kuliko yanga Simba bingwa
@florinjoseph25042 сағат бұрын
Huyu mchambzi namkubali Sana pia ni mhariri wa magazeti ivo anajua anachokifanya tafauti na wingine ambayo wanapatikana vijiweni tu
@SameerMngazija6 сағат бұрын
Mzee upo vizuri sana kiuchambuzi Yani unachambua na kilamtu anakuelewa
@RobertMato-cs8uc53 минут бұрын
Madini yote unayapat hapa
@AnastaziaMakayaСағат бұрын
Nakuamini bab
@ProsperChristopher-j3gСағат бұрын
Mmmh hapo kwakweli tumepigwa 😢😢❤
@FredyMwarongoСағат бұрын
Tunataka wachambuzi kama Hawa sio wale wengine😂😂
@essaumapunda57663 сағат бұрын
Utopolo hongera umeleta mocha wa meaka
@SalhaSewando2 сағат бұрын
Makolo tulien dawa imebadilishwa kaja p didy😂😂😂😂😂😂
@brysonkaale3003Сағат бұрын
Yanga hapo ilipo,hata ukimpa coach wa Kiluvia,bado Ni ya Moto,ukali wa timu ni ubora wa wachezaji,Kisha coach anavyowapanga,Kwisha!
@Abdulrahmanhassan1822 минут бұрын
Nilikuwa nangojea uchambuzi wa huyu kocha
@sharafisaidi7999Сағат бұрын
Umeuza nyumba vyumba10 unanunua Banda vyumba3 Yangu yangu
@gideonmollel41735 сағат бұрын
Kazi njem Baba Ila yanga kwa malengo yake wamepigwa Ila tusimalize maneno tumpe mda
@roudhamahmoud7632 сағат бұрын
Mungu ajaaliye afanikiwe yanga na kocha aeleweke vizuri na wachezaji wajitahidi kufaham na kutenda kocha ni mwalim sasa wachezaji ni wanafunzi sasa msipojikaza wachezaji hakutakuwa na mabadiliko wachezaji muwe makini na kila mmoja ajitathmin
@peterzyambo65794 сағат бұрын
Asante sana kaka
@EICADtzСағат бұрын
MUONGO SANA WEWE JAMAAA, HIKI KITU UNACHOKIFANYA UNAPASWA KUWA NA UELEWA MKUBWA WA UCHAMBUZI WAKO ILA INAONEKANA UWEZO WAKO NI MDOGO SANA, ONGEZA MAARIFA ILI USIDANGANYE WATU.
@DamianiKalist2 сағат бұрын
Kubali sana mwamba
@Yangaone-h8j4 сағат бұрын
Tuombe mungu tu atuepushe na vipigo msimu huu umjitahidi kumpamba huyo Mjerumani, kwaufupi hapo tumepigwa hakuna kochi humo brother
@sosomacharles99205 сағат бұрын
Kwa kweli kwa record hizi inakatisha tamaa kabisa.
@ThamaniHalisi-m3t4 сағат бұрын
Hapa mmh! sina hakika yanga vizur
@PendoMkaka3 сағат бұрын
Wamepatia sana kumfukuza gamondi huyu ndo anafaa mtafunga mpaka mtachoka
@sallyeliya52134 сағат бұрын
Dah! Chambuzi la viwango vya juu,wachambuzi maandazi kula shule hiyo😂😂
@JosephThomasMaduka4 сағат бұрын
Yanga wapumbavu ,ni sawa na kuuza nyumba ukaenda kupanga ni ujinga wa hali ya juu
@mwanakwetu64722 сағат бұрын
Pamoja na ubovu wake, anaweza akafanya mambo makubwa.
@GermanusHaule4 сағат бұрын
Falisafa ya mwalimu zinatosha kufundisha Timu kubwa kama Yanga na atafanya Makubwa is just the matter of time,let us wait,kama Kuna Viongozi wa Yanga wako makini ni pamoja na scouting ya benchi la ufundi na Wachezaji!!
@geophureysamsoni50332 сағат бұрын
Bora wamweke chamaa au bareke awe kocha kuriko,huyu bwanaa
@cleversalbaba-em4jf4 сағат бұрын
Umezama ndani mkuu hamna kocha apo..
@hamissima6 сағат бұрын
Nakukubali sana
@josiacharles27783 сағат бұрын
Mhm staki kusema sana Wenda hakua na wachezaji wazuri, ila naona gamondi angeendelea tu kubaki.
@JosephChrisant5 сағат бұрын
Kusema Kweli Mwaduke una akili sana hasa kwenye nyanja hii ya football. Yani tukifanya ulinganifu kati yako na Jemedari Said ni sawa mbingu na nchi. Kiwango chako kiko juu sana.
@songombingo1083 сағат бұрын
Watu wanasahau kwamba Nabi alitimuliwa kule Sudan lakini akaleta mambo mkubwa pale Yanga
@abubakalimavumbi58465 сағат бұрын
Yanga ni dude ambalo linafanya unalo liwaza silo wanakupa lao wanalo liwaza wao yanga ni moto
@kibuzosenga11232 сағат бұрын
huyu ndie mchambuzi pekee tanzania anae jua mpira anachambua wazi mnayaona mapungufu yenu hamkeri mtu huwezi jua ni shabiki wa tim gani bonge la mchambuzi
@yilodhasunga39672 сағат бұрын
Sasa akina jemedari wanakwama wapi? Wanaleta umbeya tuu😂😂😂
@sadathboutique62535 сағат бұрын
Mchambuzi no 1 tz
@PendoMkaka3 сағат бұрын
Yuyp ndo mzur maana atajifunzia kwa yanga maana yanga watashinda tu msituonee wivu na kale kawimbo ka yanga hii utaifungaje.binabidi kukaludia tena nakukabolesha kaanze kuwa Tena kwa kasi watashinda tu Ali kamu letamaingine
@Izzoh20215 сағат бұрын
Uchambuzi wa kiwango cha lami bg up mchambuzi wangu bora uliopo kwa sasa
@christophermbuga96233 сағат бұрын
Nafasi ya 16 katika Ligi Kuu, Galaxy hajashinda, ndo huyo unamleta Yanga? Aliikochi timu gani kabla ya kwenda Galaxy? Mantiki ya hilo siioni haraka. Si afadhali angechukuliwa hata Mugunda? Hahaha!! CV yake haijanishawishi!!Mmechemsha ndigu zangu.
@SalvatoryMtunga5 сағат бұрын
Hawajakurupuka, uongozi una macho ya kutosha.
@ErastoChilanza8 сағат бұрын
Kabisa yaani we unajua sana
@MatokeoJoseph.Fonkol6 сағат бұрын
uongoz wa yanga umefanya paniki kumfukuza mastar gamondi huyo kocha akimarza msim basi hato anza msim mpya tuombe uzima hmna kocha hapo
@seciliamchalo56274 сағат бұрын
Watu kwa kuhukumu mmh si mngoje afanye kazi mtakuja kuona aibu
@lucymsheshi58714 сағат бұрын
Wajifunze uchambuzi huku Jemedari, Jeff, Hans, Oruma hi shule inawafaa ili waaache majungu badala kuchambua
@essaumapunda57663 сағат бұрын
Tumeliwa kocha ndio huyu basi ndio kwishene utopolo ndio bye bye
@SalumShaban-nq9sk2 сағат бұрын
Nimemsikia mzee wa data anasema kwamba ANABULUTA MKI. NA NI ZOHOFU LIHARI. 😂😂😂😂😂😂😂😂
@PendoMkaka3 сағат бұрын
Wamekosa pesa za kumlipa ngamondi wasisinvizie kufugwa kale kawimbo katawaponza sana huyu pia akifugw fukuzaaaaaa
@MichaelRenatus-y3fСағат бұрын
👏👏
@PendoMkaka3 сағат бұрын
Ee atawasaidia ngoja aje yanga wachezaji wZur wasiqaache akima chama na aziI na pakome. Otev
@shaviercharvinho184 сағат бұрын
Huyu jamaaa ata kama hufahaku mipora basi utamsikiliza anachambuwa mpaka pasi 😂😂😂😂😂dah na ndio mana bakhresa anamtumia huyu na yule muhindi othman gazi
@EveliusEvelius3 сағат бұрын
Duuuuuu hii baraaa
@DavidSemu-gu6wp5 сағат бұрын
MASIKINI YANGA WAMEONDOA DUME, WAMINGIZA GARASA, HUYU KOCHA NI MWEPESI SANA KWA CV NA DATA ZAKE NA HUYU HAWATA KAA NAYE KWA JINSI WASIVYO STAHIMILI WATAFUNGWA HATA NA SIMBA QIEENS, NATUSUBITI TUONE.
@Aliabdullah-y3e5 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@seciliamchalo56274 сағат бұрын
Mtakuja kuona aibu endeleeni kumbeza kwa sasa
@begumisachristopher4697Сағат бұрын
Tanga ni taasisi kubwa Subiri mziki mkubwa zaidi
@Juliusfrancis-k4kСағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ibrahimuakwilombe3 сағат бұрын
Changamoto ya yanga haikuwa mwl ni usajili wa wastaafu
@Steve_tz2 сағат бұрын
Kiufupi uyu kocha nae kafukuzwa 😂😂😂😂
@RamadhanYusuph-xi3rh3 сағат бұрын
Wacha tuone ligi ikirudi tutajua wapi panavuja
@BekaRDaffa4 сағат бұрын
Ataishusha daraja utoporo
@seciliamchalo56274 сағат бұрын
Kolo atafuatia
@ShadrackSiuh-m7p5 сағат бұрын
Unajua mwamba
@sosomacharles99205 сағат бұрын
Waombeza huyu kocha ni makolo,wala wao hawajamsikiliza ila wao kujua tu kwamba anamzungumzia kocha mpya wa Yanga basi fasta kumponda tu kocha.
@stanslausmteme84554 сағат бұрын
Yanga wamefail
@seciliamchalo56274 сағат бұрын
Kama Simba yako imefahulu inatosha huku unafuat nini
@GodfreyAbdallah2 сағат бұрын
🤣🤣😆😆😆😆cjuiiiiiii
@TheopistaEustace4 сағат бұрын
Ubingwa tutautafuta Kwa tochi
@SILINGWANTANDU6 сағат бұрын
Nasemaje tusubiriii mechi 3
@PatrickLiseki-r6g3 сағат бұрын
Duuh tulimpenda sana gamond tunawaachia viongozi wenyewe
@maxmillanayo29795 сағат бұрын
We ni atari,kwanini usiite kina jemedar uwafundishe?
@jaliwajamson25049 сағат бұрын
Mwambaaw
@MnambengaJr5 сағат бұрын
Mia kaka ❤❤❤
@everything-gg9by10 сағат бұрын
Kweli sio poa
@asajilemwamundela12203 сағат бұрын
Good
@ahmedkhator39686 сағат бұрын
Kwa Takwimu hizo hamna kocha hapo
@seciliamchalo56274 сағат бұрын
Kafundishe wewe uliye kocha
@PaulOg-s9g6 сағат бұрын
Thanks
@AllyMkelangela6 сағат бұрын
mbwaduke unaweza baba❤❤
@EliasNdunguru-k3r6 сағат бұрын
Hatuja pigwa
@ameirfaki92777 сағат бұрын
Sante kw uchmbuz mzee wa data
@rashomary41085 сағат бұрын
Unajua sana me sjawahi kuona hiki kitu yan unatoa kila kitu
@NurdinOmari7 сағат бұрын
Mmhh Tumepigwa Apa
@DavidSemu-gu6wp5 сағат бұрын
Na mmetwangwa kweli sio Utani huyu hata bure ghali angefaa zaidi kuwa Kocha wa Yanga Princess japo hamfikii hata Edna Lema.
@elishakayagwa93714 сағат бұрын
Kweli hapa tujiandae kusaikolojia tu maana tumepigwa sana
@PaschalKasaho4 сағат бұрын
Punguzen maneno tusubiri kaz yake
@seciliamchalo56274 сағат бұрын
Acheni kumsema vibaya subirin aanze kazi ndipo mumhukumu jamani kuna makocha walikuja na sifa mzur lakini walifeli huyu mnayembeza akafanya vzr mtakuja kuona aibu kwa haya maneno yenu
@festokemibala58324 сағат бұрын
Nawe wakati mwingine unakera, huna mpya mbali ya hizo takwimu lakini habari za uchunguzi huna!
@MbwadukeStats3 сағат бұрын
Ni kweli. Hapa hatuna mengine kwa sasa zaidi ya kutoa hizo facts. Tumejitofautisha na wengine kwa kujikita kwenye facts, facts, facts na siyo blah-blah! Hivyo, kama wewe hupenda maneno matupu bila kujali facts, uingiapo humu tunakushauri ujiandae kupata utofauti kwa sababu mijadala utakayokutana nayo siku zote ni hii iliyojaa facts. Kauli mbiu yetu ni "SPOTI NEXT LEVEL" (tunatumia kwa makusudi SPOTI na siyo SPORTS). Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!