ni mchezaji mzuri ila niwaambie yanga waache tabia kubania wachezaji pindi wanapo pata sehemu nyingine ya kwenda kupambana wamwache aende wydad athletic club
@fettiemaganza148415 күн бұрын
Kwa hyo ww uliona widad ndo sehemu sahihi ya mzize kwenda au mradi tu nje ya nchi??
@TriciaSambo15 күн бұрын
@fettiemaganza1484 sina cha kukujibu kwa sababu huwa naangalia wa kumjibu kama ni cha maana
@fettiemaganza148415 күн бұрын
@@TriciaSambovizuri ila hersi anajua anachokifanya huwezi kuuza tu na hujui kwako kuna hali gani
@chrissantkaunda995815 күн бұрын
Fettie asilimia kubwa ya wanaotaka mzize aondoke ni mashabiki wa upinzani, aende wydad timu haina uhakika ata wa kucheza shirikisho msimu ujao, na Sisi Yanga tupo kwenye mapambano ya kuifanya timu yetu iwe tishio Africa alafu tuuze wachezaji wetu bora,
@chrissantkaunda995815 күн бұрын
Labda ungeshauri Yanga tufanye mpango wa kumuongezea mkataba wenye maslai manono lakini sio kwa kulaumu eti hatutaki kumuuza