Joti huwa unafanya hawa macomediam chipukizi wanakaza saana asante kwa ilo ur legend
@Fatmaissa-ju6kk3 жыл бұрын
Niatari san
@suleimanngare67073 жыл бұрын
Noma sana akimwanya mboga nawe wamwaya ugali sio🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🤝👌
@glorylema56523 жыл бұрын
Jthd joti uwe unmaongeza sauti unasikika chini sanaa
@rehemakinande86153 жыл бұрын
Joti ur da best....talk of the town Gonga like kama umemuelewa joti as I do
@prosperkullaya67212 жыл бұрын
Haaaah
@evanchimbi71213 жыл бұрын
Nimewah na mm jmn, kk he perfect 🥰🥰
@mwanaishamkindi77633 жыл бұрын
Nawapenda but nmemic sopa mama dame na kipande😘😘😘
@joycemwaringa22193 жыл бұрын
Yes warudi plz
@aproh_online49703 жыл бұрын
Top 10 leo jmn 🤸🤸🤸🏋️🔥🔥
@Kingtiger983 жыл бұрын
B uh k UK kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@pendomatemba33263 жыл бұрын
Joti kiboko
@allyfatma73593 жыл бұрын
Joti anchochea Moto Kwa upooole.🎶apyuduuuuuu🎼
@fatumaomy48583 жыл бұрын
Penda sana jotiakeeee! Weweee 🥰🤣🤣🤣
@badmanno.16503 жыл бұрын
Nimecheka sana ... Apiuduuuuu😁😁😁
@agnesmwigune86253 жыл бұрын
Hahaha uwiii Leo umenipatia Joti. Nzuri sana
@Kingtiger983 жыл бұрын
GT 5 kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@roedaniel48073 жыл бұрын
Jamani tuliommic sopa tudondoshe like hapa
@Mimy_keys3 жыл бұрын
Hujaskia ? Sopa wamegombana kuhusu malipo na kajitoa kwenye kazi 😪
@sukariyao65373 жыл бұрын
@@Mimy_keys 😳😳 kweli jamani jamani sopa nampenda hatari 😥😥
@swabirsudi48593 жыл бұрын
Banae kwanza akianza kucheka
@shubebunyesi5423 жыл бұрын
Kuna vitu ukiviona kwa mtu watu hawakai wakati wako vizuri ujue tatizo lkn pia mwenye nguvu anatumia nguvu zake za ushawishi kwa jeuri ya kwamba ata mkiondoka Kazi napiga kwaiyo wala hamnisumbui ye anachukua watu wapyaaa na kuwafanya mastar lkn wanapokua mastar yeye anataka kuwalipa kinyonyaji kama walivyokua bado bila ya kujua umaarufu walioupata kupitia wewe unawafanya wawe kero kwa watu wakiamini wanapata mpunga mwingi so cm zinakuja za kutosha kutoka kwa familia au wao wapoitaji msaada wanaonekana Wana hela inafika kipindi ni bora uishi maisha yako kuliko umaarufu kunuka , lkn inawezekana wao ndio wazinguaji
@anthonyAPC3 жыл бұрын
@mimy keys kwel jmn😥?
@Younghmelody3 жыл бұрын
Haki ya mungu hii kali kinoma joti umetisha sana
@julietbeka73313 жыл бұрын
😂😂😂😂kiboga you a the best ever 😂😂😂 kanyinyi atakuachahe kiboga alafu akaoe mwanamke mwengine tena mweusi mwenye hihaaaaah😂😂😂🤣🤣😂😂
@sharifuteacher50252 жыл бұрын
Wewe hatari saaana allh kakupa kipaji kabisaaaa mungu akufanyie wepesi Mr jot
@mbwanahatibu84883 жыл бұрын
Sema wakulungwa mnawai daah kila ninavyojitaidi niwe wakwanza lkn wapi
@elizabethwilson91803 жыл бұрын
😂😂😂😂 usijali
@mbwanahatibu84883 жыл бұрын
@@elizabethwilson9180 😀😀
@japhetlust50503 жыл бұрын
Noma sana ,😄
@erickmagnus49453 жыл бұрын
Bring back our kipande and sopa brother Joti plz....
@chancequavo28913 жыл бұрын
Really
@aliyahilovesong25473 жыл бұрын
Kabisaaaa
@fadhiliignusy37903 жыл бұрын
We need kipande and sopa back
@marianajoachim94113 жыл бұрын
Hapo angekuwepo sopa ingependeza zaidi😂😂
@gracechalle76293 жыл бұрын
Saaaaaaaaana
@nailaswayz84673 жыл бұрын
Sanaaaaa
@bayohnews35993 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@dagunbastola51513 жыл бұрын
I like the introduction part,"Kiboga,talk of the town"😂😂#🇰🇪
@zainabtv55823 жыл бұрын
Nimependa utambulish wako aisee joti you are the best comedian 😂😂 na mke kafany wajib wake chezea mke wee
@eliasmalima34103 жыл бұрын
Kiboga Yuko kwenye Ubora wak ❤️
@Kingtiger983 жыл бұрын
Hmm kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@fatmanassor33753 жыл бұрын
Wallah joti 😂 nakupenda bure unafurahisha na kuelimisha hongera
@Don_abujay3 жыл бұрын
Kimeumana kaoa ..kwa hilo cna kifua 😂🤣😂🤣
@Mushia46063 жыл бұрын
Hv joti hizi makitu unatungaga saa ngapi we jamaa, mbona ww mwamba sn aisee...dah salute mchepuko🤣😂🤣😅
@veronicasanga21263 жыл бұрын
Umbea co kazi! Kazi kusutwa
@costantinopaul55853 жыл бұрын
Bro joti mapengo yakina kipande,sopa yanaonekana Sana watu unao wapata hawafikii vile viwango Kama Kuna uwezekano ongea nao
@julliusmayaya58273 жыл бұрын
Keel kaka
@jkizondoswahilibites4343 жыл бұрын
Kweli mbona hawamo tena michezoni? 😞
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
@@jkizondoswahilibites434 jot mlugulu na km ujuavyo mlugulu naela Ni sawa na mchaga umnyime pombe
@hermanmwalugha4763 жыл бұрын
Pamoja na Mama damme
@petrochengula94803 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 Mndamba
@Mimy_keys3 жыл бұрын
Zuu huku kwa Joti hayupo confortable 🤭🤪 Zuu rudi kwa Chesco mdogo wng weye na Chesco ndo mlikuwa mnauwa vibaya mno 🤩👌
@peacerapha62163 жыл бұрын
Anapewa ki short clip
@Jayjay-mn5py3 жыл бұрын
Exactly bcoz here zuu is playing as extra character yet the one who is playing the major part is joti bt chesco makes all of his characters mojors
@Jaymediatzonline3 жыл бұрын
The issue is fem and money sio habari za kueandana
@luthermbio75813 жыл бұрын
Uyu dem hajielewi
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
@@luthermbio7581 ayo Ni maisha ya mtu ww aumpi kula
@thieryniyonkuru50233 жыл бұрын
Huo upole wa leo kwa Joti, ulikuwa kama bomu flani kwa huyo mkaka 🤣🤣🤣
@davianofficial69722 жыл бұрын
Kwa hili naona nakosa kifua,,,kifua Sina😂😂😂😂😂😂😂😂
@eliadastan60213 жыл бұрын
happy you do tala lal lala 😁😁😁😁 joti we fala
@simoniandrew12733 жыл бұрын
Joti nakubali sna kaz yako big up
@rhobinaomondi60423 жыл бұрын
Jamen fnya kil sku Joti kil sku wanibambaa kwl😂😂😂👌🏾👌🏾👌🏾 from kenya
@joelteti14643 жыл бұрын
Napendaga zaidi ukiigiza kama nishai au andunje.
@ommyskillz17932 жыл бұрын
Nakupenda Sana joti 💕💕💕
@johnngari76713 жыл бұрын
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza
@ANGELMAJUTOMAJUTOАй бұрын
Joti mtaalamu wa comedia 💯 ❤
@shabankayombe19983 жыл бұрын
Hujawahi Kuacha kutufurahisha 🤣🤣
@denisdejo50333 жыл бұрын
😂🤣😂 I feel good, I knew that I would now I feel good, I knew that I would now So good, so good, I got you. 🙌🏼🙌🏼🙌🏼.
@nestinaviolachemba79143 жыл бұрын
Kijana upooooo😂
@denisdejo50333 жыл бұрын
@@nestinaviolachemba7914 Nipo Mkubwa, sijui wewe?
@nestinaviolachemba79143 жыл бұрын
@@denisdejo5033 nipo kijana
@nashdawood4103 жыл бұрын
lakini ye ameimba "apiyudooo lalalalala😂😂
@denisdejo50333 жыл бұрын
@@nashdawood410 Sasa hiyo si remix. 🤣😂🤣.
@innocentnkya59163 жыл бұрын
Safi sana umetisha jot
@juliusfrancis15252 жыл бұрын
Huyo dada amesahau kama ni maigizo amemaind like serious 🧐😆😆😆😆😂🤣😂😂😂😂🤣
@habibaramadhan15423 жыл бұрын
Leo kiboga kafanya busara😂😂😂😂😂
@theosaimon69333 жыл бұрын
Yaani huyu joti fala sanaaaaaa anavituko huyu jaamaaaa anaondoa stressss
@elizabethmwandu69373 жыл бұрын
😀😀😀😀joti umenishinda tabia yaani umeona ukawavuruge kbs wavurugane ,kanyinyi kama jinsi alivyokuacha na wao waachane😀
@florencekimaro84722 жыл бұрын
Wanawake tukiwezeshwa tunaweza ndo maana tunapambana uwiiiii joti hapana
@ewaldantony84943 жыл бұрын
Inga takiwa wakat uyo mume kaingia ange shika kifua atamke yesuuu huku aki teta teta
@gloryidelya98993 жыл бұрын
Sìkweli Sasa siutajulika mapema 😂😂😂
@humphreyvidonyi2533 жыл бұрын
Tunawahendo vile bageti zao tunaona inafaaa haaa joti wee mshenzi kweli kweli ,unaumbua watu
@uwezokashindi76382 жыл бұрын
Ooooooooolliiil loc
@ukhutymamuu74703 жыл бұрын
Wakwanza leo 😂😂❤
@Kingtiger983 жыл бұрын
Vx kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@deewyzeeofficial35123 жыл бұрын
Kwl umetuwahi
@jacklinerenson17086 ай бұрын
Nimerudi kuchukua ujuzi leo😂😂kiboga ila kifua mi sina cha kuzuia
@babab12273 жыл бұрын
Siku yangu imeisha hvyo Sina stress Niko PW kabca 😂😂😂😂😂😂 kalibu mchuzi wa sangara
@selector7283 жыл бұрын
Karibu sio kalibu🚮
@miriamalute15402 жыл бұрын
Nimerudia
@boazambokile25873 жыл бұрын
Napenda sana Kazi zako ila kuigiza kama mwanamke 😯😯😯😣😣
@edgarnandonde483 жыл бұрын
duuh umbea sio mzuri kabisa 🤔🤔
@babrapaul79982 жыл бұрын
Nakukubali sana jot
@eunicemboya13763 жыл бұрын
Mama dame jamni sopa kipande wangekuepo hapa tungecheka zaidi ya hapa
@saidyahya63923 жыл бұрын
Sauti ipo chini sana icho kinanda cha nn hatuskii maneno vizuri
@THAUSIHUSSEIN-pc4qs Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwahili kifua nakosa ata mimi
@HawaNgonyani-vj2zn Жыл бұрын
yani nimeipenda bureeee na nimechekaa😂😂😂😂😂
@nyalusinyalusi77012 жыл бұрын
Umetisha brother
@gloriousgal20013 жыл бұрын
Hicho kifua cha Kiboga jameni😂😂😂😂😂
@christinakabogo29383 жыл бұрын
Penda Sana joti comedy nzuri
@cedricmaina45233 жыл бұрын
Kiulaini bila hata kuguswa akatoka Kiboga 🤣 🤣 🤣 🤣
@florachogo2433 жыл бұрын
Huyo ndio joti bana .Afrika mashariki yote hakunaga mwingine.mbwai na iwe mbwai
@devothamwamwezi20363 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kiboga bana ety apiuduuuu😀😀😀
@maireshsaid16283 жыл бұрын
Sopa, kipande, mama dame na yule dada mwembamba ndo walikuwa powa sana
@fatmafetty41173 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Naondoka namfuko wangu😂😂yan jot
@mariamstivn623 жыл бұрын
Kazi nzuri da kiboga
@sashasaah5263 жыл бұрын
Love from🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@mkonlinetv17853 жыл бұрын
🦁🦁🦁
@waziriomar14143 жыл бұрын
Apiuduuu tararararara 😂😂😂😂 imeisha hiyo
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Me napendekeza itengwe siku kila mwaka na iitwe JOTIDAY maana sjaona mchekeshaji mahili anaejua kubuni mbinu mpya kila siku Yani hazifanani kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka et TZA anamsalimia namba D kweli haki hii
@sukariyao65373 жыл бұрын
Mie nimemmic sana mama dame jamani na sopq pqmoja na kipande 😥😥
@majaliwaandulile83793 жыл бұрын
Uko bien jot sema sopa na kipande walikuwa poa sana
@shifaazawadi44382 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 joti umeenda kumwaga Ugali na mboga zake 🤣🤣
@wemashirima33463 жыл бұрын
Kila wiki nakusubirigi jotiii....commedian wangu wa kwanza sio Tanzania tuu ni dunia nzima
@mariammamushkachambo21232 жыл бұрын
Nakupendaga bure kiboga
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Chezea kiboma Haha yasitahili wafanyiwe hivyoo
@ashfazlukonga62933 жыл бұрын
We jiti ni wapekee sana
@iddimngazija19573 жыл бұрын
😂😂hapana shaka huyu mke wa kanyinyi ni mjita wacha moto uwake
@gracejackson77012 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 jmn kwa hili kifua nakosa🙌
@Wanisimbula3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻 ndio dawa yao..
@flavianchuwa43703 жыл бұрын
Kabla sijaangalia nacheka 😃😃
@winniejeremiah6453 жыл бұрын
🤣🤣🤣l nafanya kazi guest 🤝
@qwnlynuzlah31153 жыл бұрын
Nampenda Akija Mwanamke Zinatokea Nzuri Sana,
@Kingtiger983 жыл бұрын
Kill.kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@flavianchuwa43703 жыл бұрын
😃😃😃😃joti abyuduuuuu talalaalaaa
@anethalbert75333 жыл бұрын
Mbona sauti haisikiki vzr,au kwangu tu
@antonymanyenye86653 жыл бұрын
Nimeipenda BACKGROUND MUSIC
@juliusfrancis15252 жыл бұрын
Joti Mwanangu una kipaji afu unafocus na real life yani vitu conc.😆😆🤣😂😂😂😅
@shukranjulius59103 жыл бұрын
🤣🤣Jot jamani hongera sana kaka
@stratonnjau98203 жыл бұрын
Happy u dooo taratatararaa🤣🤣🤣
@annasalum33663 жыл бұрын
Dada alieigiza mke katisha sana
@Sarahsaid26483 жыл бұрын
Tulikosa huu uhondo kwa mda mrefu jmn joti🤣🤣
@ramadhaniayubu61033 жыл бұрын
haaaaaaaaaaaaaaa Bro umetisha
@williamkavuta80663 жыл бұрын
Mapemaaa tuu
@sumecute25133 жыл бұрын
Jmn,sopa na kipande wapo wapi,nimewamiss kuwaona
@ibrahimallymohd36453 жыл бұрын
Atamimi najiuliza swali iloilo
@mchemargaret35003 жыл бұрын
Sopa mapesaaa
@sophierseyyd11623 жыл бұрын
Mkataba wao umekwish
@sumecute25133 жыл бұрын
@@sophierseyyd1162 duh tena,wasign mwengine
@sumecute25133 жыл бұрын
@@mchemargaret3500 au sio
@janewilson86202 жыл бұрын
Nimecheka top of the twn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aronimwaninga42362 жыл бұрын
Big Namku Bari Sana
@suleimansalim87443 жыл бұрын
jamani mm jotii nampendaa bureee, kwelii kajaaliwaa kipajii