Mc Luanda umenifurahisha kwenye kujibu maswali aisee
@aoman52142 жыл бұрын
Kwani huyu ni comedia 🤣🤣🤣🤣 tatizo Lilian ana ujuaji mwingi
@huldamichael44452 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa Luvanda umeua
@aoman52142 жыл бұрын
Hapo Kwa Lili ni mtani wake na kuhusu kuokoa angeokoa mke wake
@christinaonditi93412 жыл бұрын
Luvanda,mke wako ni mzuri zaidi then. mh Rais,. Wanakufata ni vyovyote
@irenemichael51402 жыл бұрын
Kwa swala la mtoto wa kumuokoa umeyumba .......ht mtoto akiolewa bado ni wako ni ukoo wako...swala la kubeba jina la familia hiyo si issue cha msingi ni upendo na kujali kwa mtoto ....tena mtoto wa kiume atalibeba hilo jina sawa ila moyo na Akili vyote vIPO kwa mke na familia ya mke wake. Tena kwa asilimia kubwa Hawanaga mchango kabisaaa kwa familia zao....labda apate mke mwenye huruma aseme basi mrushie mama mkwe ht 10000 haahaaa
@mamachris68112 жыл бұрын
Kwa swali la wachungaji,ningejibu 😀😀😀😀
@zuhuramuyinga59532 жыл бұрын
Safi Mc Luvanda
@joachim_brendapanga-minde35182 жыл бұрын
Mungu awapiganie mwanangu.
@ebenezerchurchsupremetv9490 Жыл бұрын
Kipindi chenu chagueni lugha Moja tu ili kiwe sawa
@gracejengo13442 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umemuwezaaa Sanaa
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Leo kapatikana hhhhhh
@anajohn81322 жыл бұрын
leo umepatikana na sumu zako
@rhodalameck5722 Жыл бұрын
We mtangazaji uache kujichekesha kwaa mume wa mwenzako kujichekesha huko ndio nini mfyuuuu
@evasonlushaka7672 жыл бұрын
Ili takiwa we ndo unywe
@huldamichael44452 жыл бұрын
Nimecheka sana
@SalsabeelLtd2 жыл бұрын
Kwan luvanda ni mume wa Lilian mbona sielew
@jacqueisaac8155 Жыл бұрын
Yes ni mkewe
@johnnsekela64742 жыл бұрын
Pia tambua kwamba anayejua kuwa ni mtoto wako halali ni mama peke yake.