LILIAN MWASHA;AFUNGUKA KUHUSU USALITI/WANAUME WANAZINGUA SANA/LUVANDA AKWEPA KUPOKEA SIMU LIVE

  Рет қаралды 22,815

NEWS UPDATES

NEWS UPDATES

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@ReginaJulius-cr1qx
@ReginaJulius-cr1qx Жыл бұрын
Cjui kwann nampenda lilian, mungu akutangulie cku zote kpenzi
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 2 жыл бұрын
I love #LilianMwasha's# voice sichoki kumsikiliza kabisa
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 жыл бұрын
Pole love usiseme hivyoo mbona ww ni mzuri tu mamaangu 💋 mm sijaona kasoro kubwa sana kwako dear ww ni mzurii mm nakupenda lily wngu' God is good all the time keep going and shine ✨💋❤️💕
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Woooooh I love this woman ever... yan mnaendana sanaa namkubali Mc luvanda .. yan mwanaume anatengezwa na mwanamke anatengenezwa ... safi sanaa mamy you do inspire us
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 2 жыл бұрын
Ooh Lilian jamani 😢 nimejisikia vibaya sana ulivyoongea kuhusu mdomo wako, Yesu akutunze mamy,
@rittaaziz4470
@rittaaziz4470 Жыл бұрын
MAAANY MORE BLESSINGS TO YOU BOTH. I ENJOY TO LISTEN TO MY SIS LILY..SUCH A LOVELY PERSON N WONDERFUL SOUL.⚘❤
@xkingx8041
@xkingx8041 2 жыл бұрын
That's very true. Nakupenda bure lilian. Msema kweli mpendwa wa Mungu. Kila mwanamke akipewa maneno mazuri ! Ni raha jamani
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 жыл бұрын
Napenda unavyocheka na mm nitakuwa rich kama www eeemen in Jesus name🔥🔥🙏💪
@mariammgogo7969
@mariammgogo7969 Жыл бұрын
Dada Lilly Mungu akupe umri mrefu kwakwel
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 жыл бұрын
Very true mwanamke akiwa mwombaj mtu akicheat unajua
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 2 жыл бұрын
Wala sio maombi tu mwanaume kapewa huwezo mkubwa wa kutambua vitu ila wengi hawajui.
@jacksonsulle6673
@jacksonsulle6673 2 жыл бұрын
Huyu Dada Yuko real Sana.
@winnieminyalla9430
@winnieminyalla9430 2 жыл бұрын
Suzette wewe ni mtangazaji bora sana
@beatricejoseph2784
@beatricejoseph2784 2 жыл бұрын
Nakupenda sana dada mwasha kila ninapokusikiliza huwa napata vitu vipya na muhimu sana kwa maisha yangu ya sasa naya baadae
@miroyojackline9134
@miroyojackline9134 2 жыл бұрын
Nimependa sana huo mjadala from 🇰🇪 l love you all 💞
@devothamwinyi4288
@devothamwinyi4288 Жыл бұрын
Love you so much beautiful dada Lilian Mwasha
@janeungani8509
@janeungani8509 2 жыл бұрын
Sijawahi kuwish kukufatilia ila from this interview nshakua fun wk...u-mkweli hd shetani anakuogopa..nakupenda kuanzia sasa
@WitnessTarimo-fb7kk
@WitnessTarimo-fb7kk Жыл бұрын
Nakupenda lilian
@SophiaCharo-cb7wp
@SophiaCharo-cb7wp Жыл бұрын
❤❤❤
@raquelyakob7143
@raquelyakob7143 2 жыл бұрын
Naomba kupingana nawe dada lily, Huwezi kuyachochea mapenzi na usitegmee kuishia kitandani na huyo mtu, Let's not entertain flirting
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 2 жыл бұрын
Hapo ni kweli
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 2 жыл бұрын
True
@maryjoseph6571
@maryjoseph6571 2 жыл бұрын
I love u liliani
@aureliayuktankabebwa5066
@aureliayuktankabebwa5066 2 жыл бұрын
Sis Lilian🥰
@jonasynyasika6391
@jonasynyasika6391 2 жыл бұрын
Hii ndoa itakuja kuwa kama ya Frola Mbasha na Emma Mbasha.ikivumaga sana kiasi hiki huwa zinapasuka soon. Au Gardner na lady jaydee
@THETHIRDTV_
@THETHIRDTV_ 2 жыл бұрын
The presenter is onpoint..😍😍😍😍
@namsamson3443
@namsamson3443 2 жыл бұрын
Yaani Lilian your beautiful the way you look, ndio maana huyu msichana alivyokuwa anamuuliza mmeo kuhusu you're look nikamwambia maswali mengine is very sensitive to Lilian. Mnajua kabisa mwenzenu yuko very sensitive na the way she looks na sio yeye tu kila mtu.. those types of questions mngetakiwa muyaache. Lilian one day God will do some miracles na kila mtu atamuona kupitia kwako
@angelailunga7582
@angelailunga7582 2 жыл бұрын
I love you dada Lilian
@yusraramadhan8203
@yusraramadhan8203 2 жыл бұрын
😍👏🏾
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
Lillian ❤😘
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 2 жыл бұрын
Liliani kaongea ukweli yani ukiwa na exposure ni kitu kizuri sana, yani kuishi tz tu ata upeo wako wa kufikiria unakuwa mdogo
@linaxavier6336
@linaxavier6336 2 жыл бұрын
You’re beautiful inside and outside dear Lilian 🥰🙏🏼. Forget about people who judge others with their looks. Lord have mercy on them. Keep it up 👍🏼
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 жыл бұрын
Mange Kimambi alipost ‘MC Luvanda achafua hali ya hewa!’
@azminawanyika6201
@azminawanyika6201 Жыл бұрын
Mh usaliti usaliti uwii but chiting wanaume
@fortunendyamukama3906
@fortunendyamukama3906 2 жыл бұрын
Lilian I love you 😍 ❤ nimejisikia vibaya kwa yale ulionenewa.Thanks to Jesus christ you over come 🙏🙏
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 2 жыл бұрын
😭😭😭😭noooooo
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 2 жыл бұрын
Hapa sijaelewa Kwa da Lilian,eti tusiolewe na mtalaka na yeye anajuta , sijayapenda hayo maneno , suala km waliachana Kwa sababu zao maalum ,Kwanin nisiolewe
@mariagwaje8976
@mariagwaje8976 2 жыл бұрын
Anatuambia tusiolewe halafu yeye kaolewa na huyo huyo anayetukataza
@yusrasalum
@yusrasalum 2 жыл бұрын
Amejisahau! Ila ukimsikiliza vizur! Mumewe ana shida!!
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Je walifunga ndoa tena?
@pericykiko6198
@pericykiko6198 2 жыл бұрын
Yeye kashauri tu hasa km huyu mwanaume hajapona majeraha
@bintimkitosi6187
@bintimkitosi6187 2 жыл бұрын
Lillian piano ni mtalaka na kila video anasema hivyo. Hajielewi
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 2 жыл бұрын
I love you dada lilian💞💞💞💞💞
@gaspamgasa2366
@gaspamgasa2366 2 жыл бұрын
Poole dada lili jaman
@neemamassawe8091
@neemamassawe8091 2 жыл бұрын
Da Lilian umenena vyema
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 жыл бұрын
Punguzeni vingereza basi
@KanadeMrangu
@KanadeMrangu 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Lilian ukiizungumza hiyo rumours ya kuiba mme wa mtu ni km uliikubali kwanza then ukaamua kuwafundisha watu Lilian daaah! Mpz una akili nyingi saana
@emeldanicholaus6944
@emeldanicholaus6944 4 ай бұрын
Wife materials
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Women Matters: Hii ndio sababu KUBWA kwanini NDOA zinakufa! *MUHIMU
23:05
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 97 М.
MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''
11:10
Millard Ayo
Рет қаралды 143 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН