Wale tunaorudia video za mandevu tu like hapa maana mi naangalia kila saa utazani nasikiliza singeli
@muhsiniamiri93107 ай бұрын
huyu jamaa hatumii nguv kipaj san
@muhsiniamiri93107 ай бұрын
sem cmuon ckuiz
@jaffarmressa42484 жыл бұрын
One of my favourite best comedian from Tanzania this guy burst my limbs kwa kuchekaa. Mr madevu baby 😁😁😁😁
@petermbise89674 жыл бұрын
limbs tena
@ogoti65934 жыл бұрын
lakini hawatambui kilami.
@joshuason5573 жыл бұрын
😂😅🤣🤣🤣yo what ??
@jasonshukuru52993 жыл бұрын
Simba
@happinessmushi22944 жыл бұрын
"Fitina titi la paka halifai kwa mtindi tunazungumzia watu wenye roho mbaya"😂😂😂😂 mc madevu ni fireee..... weka like kauisikia hii
@arafakiloli7494 жыл бұрын
Nimechekha hatari
@mwamengele3 жыл бұрын
Nilikuwa natafuta kusikia vizuri hii 😂😂😂asante
@mzizirashid7093 жыл бұрын
@@mwamengele 😂🤣🤣🤣🤣
@mathiaskizito97804 жыл бұрын
Kam umeiangilia hii video zaid ya Mara moja konga like
@dismasrimoy564 жыл бұрын
Second comment like hapa kma unamkubali mc madevu
@ramsonjasson39164 жыл бұрын
Madeeevu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@renyerick75614 жыл бұрын
Kweli
@josephatmassae73163 жыл бұрын
Damshednt we
@abdallahpashua93394 жыл бұрын
For the first time I have seen a very talented stand up comedian from Tanzania that is very talented and who can compete other best comedians from East Africa. He deserves a chance at Churchill show to showcase his pure talent. All the best Mr Mandevu.
@gilbertsamuel21443 жыл бұрын
I agree!
@melanialamosai53763 жыл бұрын
1q
@karamanazareno15563 жыл бұрын
kabisa🙌🙌
@CostantinoAbeli2 ай бұрын
Content point
@khalidahmed80503 жыл бұрын
watanzania wanapenda vitu kubwa kweli...Its fantastic
@marymichael66354 жыл бұрын
Boya kabisaa nondo chache sanaa😂😂😂😂kingereza n sawa tu na kizaramo cha london
@magorahassan34912 жыл бұрын
Nondo chache
@bensonjonas14377 ай бұрын
Ni vitu vya kawaidaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mangib524 жыл бұрын
Popote ulipo madevu akigiza k vant nakujakulipa.my best all ze tym✌✌
@buka76824 жыл бұрын
😂😂 “Jaamaan Weee baba kumuulizia mtu tu ndo viingereza vyote ivyoo”...😂🙌
@zizinezuzu85794 жыл бұрын
😂😂madevu baby kwenye cheka tu weye ndo King yani the Best kabisa
@haafidhaboubakary30973 жыл бұрын
One of my favorites and talented comedian
@ramadhanmnzava5364 жыл бұрын
kuna mda anavionjo kama vya professor hamo from kenya
@rassimbaengswahili61914 жыл бұрын
Laaa nimemwelewa sana huyu jamaa ni nomaaa
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Yan kinge cha wahind kuelewa ni mtihan bora warabu hahahahah
@anastaziuscyriacus54154 жыл бұрын
Tushawahi kufundishwa na Mwalimu mmoja MHINDI, anaitwa MISHRA...sikuwahi elewa...hataaa
@leticiamchomvu36234 жыл бұрын
😂😂😂🤗 nakuona mbali sana Sir, Madevuuuuuu
@nasmafarmsltd91464 жыл бұрын
Kwènýè kidada kimbele mbele umen malza tena wanakuaga ñà kihehere ila kichwan patupuuuu
@francisrobert58374 жыл бұрын
Madevu siongopi hata mungu shahidi huwa si comment Kabisa lakini umetisha acha nikuite madevu babalao
@azahedcharles7214 жыл бұрын
In this show he killed it.....one of the best show in Cheka Tu 😂
@princessleonard64153 жыл бұрын
Uuuuuuwi mbavu zangu jaman Mc nilienjoy sana ulipokuja TUKUZA FESTIVAL
Fitina titi la paka Halifai kwa mtindi....hapa tinaongelea watu wenye roho mbaya...dah umetisha madevu
@teddyklex66184 жыл бұрын
superb.. talented🇹🇿🇹🇿
@sidetz49394 жыл бұрын
Nakukubali mwalimu wang wa makumbuxho
@othmanidrisa66074 жыл бұрын
Damshi dit you gongs like kama umejua kingereza kipy
@miltonmugisha18054 жыл бұрын
Namkubali sana huyu mwana
@ellyminja57074 жыл бұрын
Milton Mugisha mi mwenyewe na mwelewa sana mkuuu
@barakakhemedi12504 жыл бұрын
Mkuu huyo ni mwanafunzi mwenzetu kabisa hapa
@naslee10104 жыл бұрын
nilivo ona hivyo nikaona bc acha tuchape mayai noma sana uyu devu🤣🇹🇿
@veronicaabelmathias96764 жыл бұрын
His voice thou Plus his unique technique
@morganfreeman53884 жыл бұрын
Deep voice
@zaliaramadhan83722 жыл бұрын
Niaje
@halimahalmaty66074 жыл бұрын
Aki tn nmekupend bure jmn co kw mbav iz ulizonivunja 😂😂😂😂😂uwiiiiiii
@powerplus19334 жыл бұрын
Umeniua from rwanda.kipaji hiki.
@vailethmagoma45554 жыл бұрын
Kwenye ulimi ndy kanimaliza kabisa😂😂😂😂😂 kwenye muindi sasa😂😂😂😂😂😂😂
@patrickbin45393 жыл бұрын
Hahaha aise ili libaba jinga saan mwenzio hadi😂😥😥😥dhuuh
@heriethvahaye91463 жыл бұрын
Waaaaaaaaaaaaooooh that's my name madam herieth 😂😂😂♥️
@tzbbellsharo19823 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣😂
@morathraphael20663 жыл бұрын
Heritage jqman wapi ulipo
@rahelbrian65504 жыл бұрын
Tisha sana madevu vizangeli noma
@imankhalid62884 жыл бұрын
Huyu sio teacher Meshaki wale wanangu wa literature
@imankhalid62884 жыл бұрын
Dah """ ni kitambo sana 2005,08 middle land hyo
@reviewfilamu82564 жыл бұрын
Midland sec hiyo
@jacksonjackson20884 жыл бұрын
Ndio yeye asee😀😀😀
@fadhilsanga28474 жыл бұрын
😁😁😂😂🤣 inakufaaaa Sana hiyo kazi 🤣
@Swahili143 жыл бұрын
What a TALENT 🙉😍
@jujulizzy2834 жыл бұрын
hiy lafudh imenikosha walahi
@mamalange2277 Жыл бұрын
World class. Abit rough round the edges but best in tz
@witnesssangawe24864 жыл бұрын
Nc one my lvly
@MaarufuAmani-bq6qcАй бұрын
Noma sana aiseee nilikuwa sijafatilia aiseee nimecheka mpaka
@ericmasesa63654 жыл бұрын
Huyu jamaa ni very talented 😃😃😃😃🤣
@ellyminja57074 жыл бұрын
The man is talented
@ellyminja57074 жыл бұрын
😂😂😂
@erickkisaule24404 жыл бұрын
Madevu ametisha sana humu
@saidoo_69754 жыл бұрын
We jamaaa ni shidaaaaaa sana
@damianjeremia38213 жыл бұрын
Huyu jamaa ni noma ila wamempoteza sana
@sirizamwili3 жыл бұрын
Fitina Titi la paka Halifai kwa mtindi😆😆😆😆. Ni viiiiitu vya Kawaaaaaaaidaaah
@witneywilly4 жыл бұрын
Mpumbav nmecheka sana
@quarantine3254 жыл бұрын
😂😂😂😂hakuna mtu hapa
@believejoseph72 жыл бұрын
Jamani mwenye number ya madevu anisaidie.
@damianjeremia38214 жыл бұрын
Huyu jamaa kaweza kunichekesha asee
@hapi61134 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 omg I really like you
@MKobe_2544 жыл бұрын
Aahh hii kali saana... 👏👏👏🇺🇸🇺🇸
@madingaernest10114 жыл бұрын
Weee jamaa ni mnoma sana 😂😂😂😂😂😂😂
@lugendosindi47293 жыл бұрын
Jamaa anajua sana 🙌🙌🙌🙌🙌
@doroteaambrosi55763 жыл бұрын
Big up madevu
@FrancisManeno-v4l18 сағат бұрын
Sema ww n kichwa 😂😂
@itsmetony51184 жыл бұрын
Fitina titi La paka halifai kwa mtindi😂😂😂😂😂
@elizabethantony7804 жыл бұрын
nimecheka atar nakubar madevu 😁😁😁
@roi25542 жыл бұрын
Hapo kwenye muhindi apo sasa🤣🤣🤣
@emmanuelkapange94804 жыл бұрын
Churchill show muone huyu mtu aje awachekeshe kenya
@mohamedsheealom87454 жыл бұрын
Haezi mzae Churchill ni watu wamebobea wanaongea bila kupanga show wakifika stage inatoka mada hpo hapo
@lilianmwakililo48204 жыл бұрын
Weeewe humfahamu uyu mtu angalia free style aliyopiga kwenye final edition/free style and cut/unrehasaled
@ibrahimgwasma2354 жыл бұрын
Churchill mpo vzr l appreciate from Arusha Tz sisi wa Bongo ndo kwanza tunaanza
@eventelias35664 жыл бұрын
@@mohamedsheealom8745 nakubali lkn si wote ni baadhi kama Mamitto,mcJesse,Yy,Churchill himself,MCA trick na Jemutai.
@richardtungaraza75094 жыл бұрын
Kinachonifurahisha hata upande wa lugha yupo vizuri,sasa hawa ndio natural comedian
@gabrielmungai8214 жыл бұрын
Churchill get this guy,he is too hilarious
@amourmtungo6234 жыл бұрын
😂 safi sana MC Madevu 👍
@westonmbuba64214 жыл бұрын
Mchekeshaji wa kwanza mtz niliyemkubali. Yaonekana na Ingilishi inapanda pia. Pia yaonekana ni msomi
@benbranco36884 жыл бұрын
n mwalimu jamaa wa english meshack kanifundsha mwaka 2006
@tuyizereghadi16194 жыл бұрын
why did i just find out about this guy? dude, fuck man, it is about 22:24 in The great state of Arizona, United States of America 🇺🇸 and i feel like spending the rest of this night learning more from this guy..He's hilariously funny and educational. That's for a godamn sure 😂😂😂😂😂😂
@monalisahenry26254 жыл бұрын
Huyu jamaa chizi kweli yan hii shoo nilikuwepo lkn nimeqngalia apa mbavu zinaniuma nimecheka hatarii apo kwenye literature dfn...na mwalimu wa mombay😂😂
@mokiwatv12064 жыл бұрын
Madevu unajua sana 😂😂😂
@dorismeshack884 жыл бұрын
Ila inaonesha profesaharm kawaispaya sana wachekeshaji wengi maana naona vielement vyake Kwa awa wachekeshaji went WA bongo
@jennifernduka7204 жыл бұрын
😃😃😃😃 kweli ukimuongelesha mtu kiswahili akakujibu kwa kiingereza we pita naye 😃😃
@puritygerald66924 жыл бұрын
Kha!
@jennifernduka7204 жыл бұрын
@@puritygerald6692 😃😃ndio hivyo
@rahmasadick91714 жыл бұрын
Madevuuuuuu 😂😂😂👍👍👍
@evelynengoma55174 жыл бұрын
Wewe Kaka unajua
@khalidahmed80503 жыл бұрын
watanzania wanapenda vitu kubwa..Ma excavator
@saidisururu19974 жыл бұрын
We ni mdosi madevu.
@ElysherJoh-zr6pt5 ай бұрын
2024 am here
@mushiliawadhimbeweka35944 жыл бұрын
katisha kinoma🔥
@agathadenis32074 жыл бұрын
😂😂😂😂😂atar sana nakukubal sana
@allyabdallah6924 жыл бұрын
Madam Herieth ndo mwalimu wa kiingereza aje aokoe jahazi
@msafiriaugustino29573 жыл бұрын
😂😂😂 umejua kunichekesha aisee
@wilonjabikey82743 жыл бұрын
Uyu jamaa Noma sana 😄😄😄😄
@orlenisimoni28334 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣😂😂😅😂🤣🤣😂😂🤣🤣😭😭nimecheka mpaka machoz😭😭🤣😂😂😂😂😂
@josephsamuel10734 жыл бұрын
Big up bro.....
@deaalex90764 жыл бұрын
Huyu jamaa 🔥🔥🔥🔥
@benbranco36884 жыл бұрын
dahhh ticha mechack asee
@abdallahamad46824 жыл бұрын
We noma mwanangu ahahaha
@DjmubaTechServices4 жыл бұрын
kwa wahindi hapo umepatia 😂
@milemberuhula89834 жыл бұрын
Haki nimecheka hadi mkojo umepita🤣🤣🤣🤣
@taifocuscompany92464 жыл бұрын
Dah, madevu ni noma 😁😁😁
@tnewssanka76404 жыл бұрын
Nomaaaaaaa damshed we
@evcloudjuma97904 жыл бұрын
Kan kilasiku anaingia KZbin kuangalia Kama cm madevu kapoatiwa tena