Yaani sura inaonyesha maumivu ndani ya moyo wako Mungu atende katika hili msiachane
@humphreyleodgar943410 ай бұрын
Alimdhihaki sana Stamina kipindi anapitia changamoto ya ndoa ila ndoa haina formula mwenzio akipatwa na tatizo usimdhihaki
@estherkimario79406 ай бұрын
Yan wee acha tu acha yamkute
@patriciacarlo723610 ай бұрын
Mungu aitunze ndoa yenu❤❤❤🙏
@chunanachu252910 ай бұрын
Jamaa anatia huruma hayupo Sawa
@1stladyafrica40210 ай бұрын
Kabisa
@YunisJerald10 ай бұрын
Ulikiuka kiapo cha ndoa.Ulisema utampenda kwa raha shida ulisema hakuna .ona laana inakugeuka .
@monikamasasi758210 ай бұрын
Mimi sio Mungu hata Mimi niliona kiapo kilikuwa na mzaha Sana,shida zipo tu ndio kama hizi,ila MC hayuko sawa kabisa daaaah pole yake
@timothmwakakusyu456310 ай бұрын
Hakuna cha kiapo ukikosea njia unatafuta njia sahihi hupaswi kuendelea na njia ya upotevu unaendelea kupotea
@kekiplus1andonly10 ай бұрын
Waendelee kuimarika,Mungu mwema,
@sonicaghendewa988610 ай бұрын
Mc hayupo sawa Aisee kuna kitu hakipo sawa
@Iamzaqee10 ай бұрын
Umeona eeh 😂had huruma
@larryking62310 ай бұрын
😂
@ErnestinaTarimo-rj3xj9 ай бұрын
nilimuona msiban juz dah amechoka Mungu ampe wepesi aisee
@nsiamasawe457810 ай бұрын
Mwanaume tafuta pesa wanawake watakuja wenyewe.
@jumakassim871810 ай бұрын
Swadakta
@SefuHabibu-sn8cx10 ай бұрын
Hyu jamaa wakati kiba wanatofauti na mke wake aliongea vibaya Sasa wewe hawa ndio wanawake
@josephguerino741610 ай бұрын
Mc Pilipili, Mungu akutie nguvu kaka. I can see the pain in your eyes!😢
@TeleMedia-h5l10 ай бұрын
Mwenyewe anakwambia hana tatizo ww unajikuta nabii ohhhh you see his pain pambana na yako
@agwalubifaridah707910 ай бұрын
@@TeleMedia-h5lbut he's in pain !!
@mariamkiharo63457 ай бұрын
😂😂😂
@Burner_Acc10 ай бұрын
Background sound kubwa sana.
@saidmlemeta80838 ай бұрын
Mnatakiwa mbadilike mausino ataki mambo ya mitandao
@sayunikihunrwa49499 ай бұрын
Naomba msameheane hayupo aliyekamilika.
@suzanejacobo691010 ай бұрын
Hayuko sawa kabisa
@lenard255610 ай бұрын
Unapeleka kesi Kwa waliokuzid kipato tulia wakuchukulie mke
@JohnsonBagambi8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@braggadachu172310 ай бұрын
Mimi nina miaka 24 pole brother Mc pilipili nimejfunza kuwa na akiba ya maneno na kutokuweka mahusiano public angalia kina modewji kina angalia Ay ,mwanafa, angalia Fid q angalia ata Banana zoro sjawah kusikia skendo za kpuuzi juu wa wake zao
@BrighterStore10 ай бұрын
mmoja hapo ndoa imevunjika na hata jamii haiujui
@Yana-o2u10 ай бұрын
Ay aliweka na ndoa ikavunjika
@hassanbakari452510 ай бұрын
AYO MNAHESHIMIKA SANA,,,ILO SWALI KAULIZWA SANA TU HAKUJIBU,,SIJUI WALE SIO WAANDISHI.😊
@rehemambilinyi94522 ай бұрын
Huyupo sawa aisee Mkandamizaji amsaidie ndugu yake
@JanetAhmad-v3h10 ай бұрын
umechanganyikiwa😅😅😅😅 wew hauko sawa
@aishaabrahaman995710 ай бұрын
😂😂😂😂😂 watu walisema mtaachanaa tuuuh
@DainesMwapela-mr4wc10 ай бұрын
Mmmmh kaka Juliana hayupo sawa daah MC msalimie Juliana
@kidatokassim761610 ай бұрын
Psychology says it all 😂😂
@1stladyafrica40210 ай бұрын
Kabisa
@Wend8689 ай бұрын
Exactly!
@neemashuma55959 ай бұрын
Anahitaji msaada wa kiroho hayuko sawa huyu
@OteshaTime_Services10 ай бұрын
Amesema ukweli ndugu, Haitakiwi kumpigia mwanamke magoti. Hata Neno halihitaji hiyo.
@shadrackdeogratius67608 ай бұрын
Ukweli,kupiga GOTI unauza mamlaka
@sirielsamweli10 ай бұрын
Ni sawa laxima kwenye ndoa kuwe na kutofautiana,hatukatai, kwani ndgu wa pande mbili na washenga, walikuwa hawapo, hadi uwaite mbunge, mc gharabi na masanja. Sawa masanja ni mtumishi wangu haya hao wengine je,
@ahz690710 ай бұрын
Hapo sasa 😂
@SaleheMganga-d6s10 ай бұрын
Uyu jamaa umri umeenda ila nilichogundus utoto mwingi. Kwani kuwa na marafiki wenye hadhi ndiyo mafanikio ya ndoa yako? Wao wenyewe wanapambana na ya kwao.
@vickydan28699 ай бұрын
Analeta viongozi kwenye ndoa anafikiri nikusaidiwa kuomba kula😅
@twilumbakabelege342610 ай бұрын
MWEMYEZI MUNGU, awatie nguvu
@tatungwele272810 ай бұрын
Yani ulianza uchungaji ndo ulivyoharibu kilankitu😂😂😂
@aboudijaaboudija10 ай бұрын
😂😂😂anakosa majibu anajikanyaga
@mariamkiharo63457 ай бұрын
😂
@estherkimario79406 ай бұрын
Nakumbuka ulimdhihaki stamina tatizo unaongea sana huna akiba ya maneno jifunze kuwa na akiba c aibu hii
@josephlorri43110 ай бұрын
Ulifanya maigizo wakati wa ndoa.. eti hakuna kuvumiliana kwenye shida.. ulisema ndoa ni raha tu
@paulmushi242810 ай бұрын
Umekumbuka ee😊
@agnesjohn938210 ай бұрын
😂😂duu huyu jamaa hayuko sawa kabisa toka aongee upuuzi siku ya ndoa yake
@monikamasasi758210 ай бұрын
Na nyie kiapo chenu Cha ndoa kilikuwa na mzaha Sana eti kwa Raha na Raha zaidi Sasa shida ndio hizi sasa
@ahz690710 ай бұрын
SHIDA za raha 😂
@adamkapolo881710 ай бұрын
Ana tatizo la afya ya akili huyo
@vero5710 ай бұрын
Anaonyesha tuuu hayuko happy, acha uongo mzee kuhusu Pete na vingine!!!
@furahasmart151610 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂,hahaha limegeukaeeeeeee,eti wasipige magoti,Kuna kitu akipo sawaa
@1stladyafrica40210 ай бұрын
😂😂😂😂
@mariamkiharo63457 ай бұрын
😂😂😂
@everlyneiminza57228 ай бұрын
Ndoa sio Pete bwana, ndoa nikuaminiana tu maanake utakua na Pete lkn utafanya tu utajachofanya nayo kidoleni alaa,
@maase202310 ай бұрын
Hawa kuoa na kuacha kwao kama vile kula maandazi tu
@pendomushi635110 ай бұрын
Ndo tatizo la kuwa na wanawake wazuri hafu mnawapost post kumbe wenzenu wanawatamani ! Ila na sisi wanawake tupunguze tamaa na pia tuwe wavumilivu ndoa sio majaribio
@jumarajab531610 ай бұрын
unasema masanja amewasaidia nguvu ya msamaha kutokana na matatizo yaliyokuwepo kwa mke wake😂😂
@FranceMsumba-lg2oc10 ай бұрын
😂😂😂
@madnahijazu44599 ай бұрын
Una akili wewe😂😂😂
@thabealaizer33139 ай бұрын
Twende mbele turudi nyuma ndoa za mitandaoni hazidumu
@Tinachacha-e7x10 ай бұрын
Uwoniongo😂😂😂😂😂😂 ficha mambo yk
@Lamecklengoha10 ай бұрын
Utot wawasumbua hawa,huwez weka mahusian yako public mkihis nyie n malaika hamkosei,ndoa ina siri nzto,leo mkitofautiana mwaona hata aibu kuongea,aibu,tulia kama umepata mtu sahihi sio kujisifu,nje kuna majibwa kazi yao kufata wake za watu,😅😅😅
@marymwaya968510 ай бұрын
Mambo yashaenda kombo sio yule amechakaa duh usopsop wote haupo kabisa
@mariamkiharo63457 ай бұрын
Kabisaaa
@personalitiesan980610 ай бұрын
Naomba mtu anipe faida 3 za ndoa....maana mm sioni faida ya ndoa kabsaa
@AlyadamMazruy10 ай бұрын
Muulize mungu wako olokuamrisha uowe
@patriciacarlo723610 ай бұрын
Heshima,upendo,God first
@philemonmagesa554810 ай бұрын
Kabisa tunataka kufahamu
@ahz690710 ай бұрын
We unaliwa au unakula😅
@danielmagigita935610 ай бұрын
Sasa hapo ww ndo umeongea maana hata mm napata mkanganyiko kila siku hasa pale walooana kwa mbembwe wanapoachana baada ya muda mfupi tu
@noelmarapachi180810 ай бұрын
Hili ndilo tatizo la kuweka mahusiano public, mnakuwa mnaendeshwa na opinion za watu, hata vitu vidogo tu ambavyo wasimamizi wa ndoa (matro na patron) wangeweza kuwashauri na kusuluhisha vina washinda na ndoa ina vunjika. Kwenye madhehebu mengi suala la ndoa lina chukuliwa serious sana na kuna kuwa na series za mafundisho ya ndoa kwa muda usio pungua miezi 6 mpaka mwaka mzima, mkitoka hapo manavijua vitu vya msingi sana vya ndoa ikiwemo kusuluhisha migongano na mipishano yenu ambayo mnakuwanayo mingi sana kipindi cha miaka 3 ya mwanzoni kabla hamjajua vizuri jinsi ya kuchukuliana na kupotezea mapungufu yenu madogo madogo, turudi kwenye misingi, tujenge familia bora tutaweza kujenga taifa bora.
@angelanaftael796510 ай бұрын
Mbona mnamchokonoa sana mwacheni jamani
@zuwenaabdallah774810 ай бұрын
Nikasikia paaa akasema aaaah😊
@dayana5513story10 ай бұрын
Ndoa Ngumu jamani inaitaji uvumilivu
@AlbinMsechu10 ай бұрын
Ngumu sana Diana acha tu😂😂
@dayana5513story10 ай бұрын
@@AlbinMsechu kabisaaa
@Salmamkwendasalmamkwenda10 ай бұрын
Umeonaeeee
@sebastiankatalle273210 ай бұрын
Ashagongewa tayari
@IsaacLameck-nz8yr10 ай бұрын
Jamaa si ndo alisema anataka akalipe mahari mara ya pili ? Ndoa haitak mbwembwe public Mke mwema anatoka Kwa Yesu Tunza Siri na usiwe unaongea sanaaa
@tukuswigaikasu522710 ай бұрын
Mpunguzage mbwembwe za mtandaoni. Mnajikaribishia wakati mgumu siku za usoni.
@denismasele413010 ай бұрын
Wanashindwa kuyofautisha maisha halis na maisha ya umaarufu
@aud54810 ай бұрын
Milard ongeza sauti ya mziki kaka naona tunasikia anachosema ...ongeza kidogo mkuu
Umechuja sana mkeo kaondoka na nyota yako . Saivi mkeo ndio nyota ina ng'aa
@stanleypius336510 ай бұрын
Kapigwa na kitu kizito huyuu😁
@JohnsonBagambi8 ай бұрын
😂😂😂
@shabanibussara845410 ай бұрын
1:26 👂 kwambaa!!!
@joanmamu783310 ай бұрын
Ako kwa maumivu makali
@SekelaJakson-ls7dd10 ай бұрын
Afu yule dada ni mzur jaman mke wa uyu pilipil sijui kama hakamchit uyu mc
@beautyibrahim842810 ай бұрын
Na ana mimba kubwa tu
@edisonmaliva171910 ай бұрын
Tatizo lilianzia pale alipopiga magoti, kikubwa katambua kosa.
@madahaisack126810 ай бұрын
Daaa anatia huruma
@shabanibussara845410 ай бұрын
Tuliosoma Syllogism, mambo ya Premises, Conclusion tumegundua kuwa Masanja alipigiwa!
@andrewdukho879510 ай бұрын
Haha 😅
@andrewdukho879510 ай бұрын
Deductive logic
@zedekiahjulius610 ай бұрын
Alipigiwa uzuri tu
@vickydan28699 ай бұрын
Wanawasifiaga mno wake zao mpaka wanaume wanataka kujua yaliyomo yamo
@sonnyr189910 ай бұрын
Aka kabwana fupi si ndio kale siku Ya harusi mchungaji alakua anakalisha kiapo cha harusi kuwa mtaishi kwenye shida na raha kenyewe kanijibu ujinga eti tutaishi kwenye raha na raha 😂😂
@armsekwa662610 ай бұрын
😂😂😂😂sasa anaonja joto la raha na raha,anaenda kulia chooni ukipiga hodi anasema bado na,,,,,,,,,,'akimaliza anafuta machoz anatoka😂
Malipo hapa hapa Dunia maEX wa mcpilipili wamefurahi. Huyu mdada alioa kwa sababu mzuri ila asinge muweza kabisa. Mdada mzuri hivo akauze samaki anuke shombo😂😂😂😂😂😂
@mariamusaulo442910 ай бұрын
Hayuko sawaaa
@judithgodfrey650310 ай бұрын
Muwe mnabakiza maneno. Yatawalinda na kuwatetea baadae. Mc ulilia machozi mpaka ukawatia aibu wanaume wenzako. Kiko wapi😂
@Fgldesigns10 ай бұрын
Yaaani sijui huwa wanajikutaje wakiwa kwenye shughuli pale wana overdo
@danielmagigita935610 ай бұрын
Vinamuda basiiii😂😂😂😂
@rehemayona222310 ай бұрын
Mbona kigungumiz🤔😅
@catherinealcy91769 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bushbabytz10 ай бұрын
we unafanya comedy kitandani unategemea nini!? utachapiwa tu
@zedekiahjulius610 ай бұрын
Unatafuta ushauri kwa washkaji
@tiffanyakramJr81410 ай бұрын
😂😂😂 hata hayupo kwako, wewe ulichepuka , na mwenzako kachepuka na kwako kaondoka🤣🤣 UMEPAUKA UMEKONDA 😢😢
@aboudijaaboudija10 ай бұрын
😅😅
@HassanAbdallah-f6o10 ай бұрын
Hii comment imenichekesha😂😂😂😂
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
Duh.so ngoma droo
@braggadachu172310 ай бұрын
😂Oya una roho mbaya punguza basi munkari
@tiffanyakramJr81410 ай бұрын
@@braggadachu1723 Munkri au nimesema kweli anamtoto wa nje tena kazaa na muumini wake ,ndo sababu ya kanisa lake kufa nnachokisema ujuwe nakijuwa wahumini wamesusia kanisa hawaendi
@mtangag77410 ай бұрын
Duh
@DainesMwapela-mr4wc10 ай бұрын
Siamini Nini hiki jaman🤔🤔🤔🤔🤔
@sarahmcharo154810 ай бұрын
unatafuta watu wenye tittle flani waje wasuluishee ndoa yako kaka? ndoa sio umaarufu brazaaa nendeni kwenye mabaraza ya kata huko mkutane na wazee wenye busara zao eti blaaa blaaa blaaaa ovyooo
@ishipalemypasco256710 ай бұрын
Na ndo ukome kila mala mitandaon ulikua unalisaidia ili lijulikane na watu wenye kipato kikubwa kifedha zaidi yako.ona sasa pumbavu umbwa wewe
@vickydan28699 ай бұрын
Na amemsaidi maake saiv madili tu,nawala hakuwa na uzuri huo wakutisha ila alivo mpromoti na ikawa hivyo
@ishipalemypasco25679 ай бұрын
@@vickydan2869 umeona ndugu. wanaume wajinga wenye mapenzj ya kuedit dawa yao ndo hio