MCH DANIEL MGOGO - WAFUASI AMBAO WAMEGEUZA KWAYA KUWA PANGO LA KUZIMU (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 62,084

Chapeo La Wokovu

Chapeo La Wokovu

5 жыл бұрын

Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church

Пікірлер: 35
@MarysyombuaMuimi-uf4vk
@MarysyombuaMuimi-uf4vk 6 ай бұрын
Ubarikiwe mchugaji.mimi nasikiza maubiri yako nikiwa kenya hivyo divyo ninawashagaa wachugaji nimekuwa mchugaji kwa miaka saba na sababu ya matedo yalio tokea nimeamua kukusikiliza kwa mitadao
@lucasjacob9733
@lucasjacob9733 4 жыл бұрын
Katika siku ulinifurahisha siku umekutana na raisi ulipewa nafasi kidogo tu ukachana hukupepesa macho mungu akubariki sana mtumishi
@sebastianbwile6659
@sebastianbwile6659 5 жыл бұрын
Pastor hunaga kufichaficha unasema kweli kabisa
@RenathaElias
@RenathaElias 2 ай бұрын
Shusha nyundo baba barikiwa sana🙏🙏🙏
@lucyruben2217
@lucyruben2217 5 жыл бұрын
Sema wapone waimbe ktk Roho na kweli Barkiwa baba
@phibijuilus7748
@phibijuilus7748 2 жыл бұрын
uko vizuri daniel mgogo
@paradiseforchildren1965
@paradiseforchildren1965 5 жыл бұрын
Hakika Mchungaji Mugogo ananibariki saaaana. Hii ni injili ileteya wokovu kwa watu wote.
@emmyshirima6530
@emmyshirima6530 5 жыл бұрын
Me cyo mkkkt lakn nakuelewaga sanaaa
@lucasnyangali2931
@lucasnyangali2931 2 жыл бұрын
Ba Asante mtumishi
@judithcherono2595
@judithcherono2595 5 жыл бұрын
barikiwa man ju unaguza ukweli auombei watu upate pesa,Amen
@sawanjema4889
@sawanjema4889 5 жыл бұрын
kweli wewe ni mchungaji wa kiroho,siyo kama wengine wanasema kunywa kidogo usilewe
@barakalukumay
@barakalukumay 5 жыл бұрын
Kuna makanisa ya kkkt iko moto hatari hongera sana pastor Eliona kimaro kwa kuona hili wewe ni motoooo
@carenmziwanda6786
@carenmziwanda6786 5 жыл бұрын
huyu sio kimaro ni mchungaji daniel
@erastomarco371
@erastomarco371 5 жыл бұрын
Amina mtumishi
@judygathoni5861
@judygathoni5861 5 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana nahuyu mchungaji nikiwa Qatar
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 5 жыл бұрын
Uzuri wa huyu mchungaji hazugi anasema ilivyo sema wapone ukimwi unawamaliza waimbaji
@felsonsangasanga5668
@felsonsangasanga5668 5 жыл бұрын
ubarikiwe sana mchungaji mgogo Upo OK!
@jonasamuri8454
@jonasamuri8454 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@richardmeena7833
@richardmeena7833 5 жыл бұрын
Mtumishi nabarikiwa na mahubiri yako
@gastonurio8600
@gastonurio8600 5 жыл бұрын
Kwakweli
@chrisnyasuty1827
@chrisnyasuty1827 4 жыл бұрын
Amina
@gastonurio8600
@gastonurio8600 5 жыл бұрын
Pastor god bless you
@renathaeugen5615
@renathaeugen5615 3 жыл бұрын
Amina
@dorothygeorvid6557
@dorothygeorvid6557 5 жыл бұрын
Pastor mahubiri yako hayanichoshi Ninatafuta neno LA MUNGU kwako kwa you tube na morning glory
@renathaeugen5615
@renathaeugen5615 3 жыл бұрын
Hahaaa jamani Baba ubarikiwe nmeelewa tusidantie gari kwa mbele.
@eliasindayisaba8024
@eliasindayisaba8024 5 жыл бұрын
Hyo ni Injili ya kweli
@rosemarymakokha6958
@rosemarymakokha6958 5 жыл бұрын
Amen amen
@johnieoloumu5971
@johnieoloumu5971 3 жыл бұрын
Amen
@rodgersmisas1626
@rodgersmisas1626 5 жыл бұрын
Semaaaaa
@lugikokampala6169
@lugikokampala6169 5 жыл бұрын
Rodgers Misas )
@robertbentley5302
@robertbentley5302 5 жыл бұрын
F4cel
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 жыл бұрын
Ameen
@violetnyansiaboka2821
@violetnyansiaboka2821 5 жыл бұрын
Amina
@gladysmushema8561
@gladysmushema8561 4 жыл бұрын
Amen
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
WATU WANAPENDA DHAMBI LAKINI HAWATAKI KUITWA MAJINA YA DHAMBI ZAO "MCH MGOGO
49:08
Rev: Moses Magembe, wachungaji, Wanafata marupu rupu ,,kanisani,,
31:15
Edward mathias TV
Рет қаралды 52 М.
MCH DANIEL MGOGO - UVIVU WA MAOMBI (OFFICIAL VIDEO)
6:41
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 89 М.
NGUVU YA UMOJA KATIKA FAMILIA SEHEMU YA TANO -  PASTOR DANIEL MGOGO
57:15
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 326 М.
MCH DANIEL MGOGO - TOBA KWA AJILI YA FAMILIA ZETU (OFFICIAL VIDEO)
36:24
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 77 М.
Mfano wa Kaini - Pastor Daniel MGOGO
59:33
Église El-Shaddaï RDC
Рет қаралды 9 М.