Nafuatilia nikiwa hapa kenya,,.kila nikufungua KZbin nikusikilize Hama kwa kweli sijijutii,,,najifunza jambo niya zaidi nabarikiwa kwa jina la jesu..
@fancytulula95374 жыл бұрын
Shukrani, umesema ukweli kabisaaa... Umenibariki🙏
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Daniel Mgogo uliumbwa na kazi, kwakweli hiyo kazi unaifanya. Binadamu tupo pasua kichwa sijui makristo wa makanisa mengine watasikiaje haya Kama hawana you tube
@winchlausonbanjuneki34305 жыл бұрын
Ubarkiwe mchungaji kweli hii injiri ni unt virus inapenya big up
@oscaremmanuel97325 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliyehai
@gmial8075 жыл бұрын
Mgogo upovizuri ubarikiwe sana mwenyezi akupe uhai mrefu ukawape wanadamu matunda yakirohoo Mungu atakuripa mara Elfu ubarikiwe sana
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Amina kubwa ziende kwake
@denisokumu.blondy68215 жыл бұрын
Ukweli mtupu.. ^Kenya
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
mungu akubariki sana my bro
@binurusm88865 жыл бұрын
Mchungaji Mgogo nashindwa kumuelezea kwa ni Mchungaji anaegusa kila nyanja, kama ni Serikali, tungesema sijui awekwe Wizara gani Au Idara gani.
@samwelmadaraka15215 жыл бұрын
Amina kubwa mtumishi
@salomemueni1004 жыл бұрын
Wacha mbingu initambue mimi maana binadamu hapana,,,,
@valentinamussa42125 жыл бұрын
Ameni
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
hallelujah hallelujah haleluhya
@joycyfuraha43945 жыл бұрын
Why you guys just cut, you don’t continue from where we have stopped plz we need to hear apt the end
@silassteven10095 жыл бұрын
Niwakawaida Sana kujiona bola kuliko wengine ni dhambi
@dannyvadina21165 жыл бұрын
Amen baba kiongozi
@aishahaisha49415 жыл бұрын
I say Kwa mahubiri haya utabadilika upende ukatae mafunzo Ni unt-virus yanapenya popote pale