MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE AKIHUBIRI KATIKA MSIBA | Mbarikiwa Mwakipesile

  Рет қаралды 13,728

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@danielkamau2554
@danielkamau2554 2 жыл бұрын
Pole Sana Mimi ni mchungaji Daniel kutoka KENYA ASSEMBLIES OF GOD 🙏 mbalikiwa simama imara Niko kwa mtandao Sasa nafuatilia
@olipaassa4769
@olipaassa4769 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,shujaa wa Kristo
@louisamazutantamukunzi7363
@louisamazutantamukunzi7363 2 жыл бұрын
Mungu aktiyenguvu baba kufiwa namwanao sijambo lahisi paleni jami yote kiroho na kimwili
@danielkamau2554
@danielkamau2554 2 жыл бұрын
Mbarikiwa wewe na mke wako ni shujaa wa Imani ,
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 2 жыл бұрын
Mtumishi pole sana pamoja na mama hila siku moja naomba nije kujumuika pamoja nanyi kumsifu mungu pia hawatie nguvu hila kazi ya kumuhubiri kristo ipambe moto
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 2 жыл бұрын
Aminaaa MUNGU awape neema kubwa sana ktk Hali ya ujasiri wakumtegemea daima na milele
@geraldntalondo6110
@geraldntalondo6110 2 жыл бұрын
Natamani ningekuwa huko nawataman Sana pamoja na kwamba tunamsba huu. Mungu awatie nguvu.
@dorismzumbwe8921
@dorismzumbwe8921 2 жыл бұрын
Amina baba
@wakatiwamafanikio5492
@wakatiwamafanikio5492 2 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa mungu mbarikiwa kwa msiba wa mwanao
@dorismzumbwe8921
@dorismzumbwe8921 2 жыл бұрын
Kweli tumepewa bure na tutoe bure...nakuelewa sanaaa
@sesiliamwamengo1382
@sesiliamwamengo1382 2 жыл бұрын
Poleni ndugu mungu awatie nguvu
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 2 жыл бұрын
Mungu hajawahi kushindwa, mapenzi yake yatimizwe tu.
@hawashedrack959
@hawashedrack959 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie mtumishi
@adelamutayabarwa2632
@adelamutayabarwa2632 2 жыл бұрын
Poleni sana familia
@kitinepigfarms152
@kitinepigfarms152 2 жыл бұрын
Mh!!! Inauma zaidi ya kuuma mungu akupunguzie maumivu yamoyo
@josephmollel1828
@josephmollel1828 2 жыл бұрын
Mungu awatiye nguvu watumishi .
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Mungu ndie mufariji mwema
@nicholaswaemmanuel7221
@nicholaswaemmanuel7221 2 жыл бұрын
Yesu watie nguvu makamanda wako, waongoze na kuwafariji katika wakati huu mgumu. Amina.
@pascalmgaza2230
@pascalmgaza2230 2 жыл бұрын
pole sana askali wa Yesu kwa kufiwa na mtoto.
@brianshomi722
@brianshomi722 2 жыл бұрын
Daaaah,mbarikiwa kiboko
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 2 жыл бұрын
Neeenda shujaa, nakukumbuka sana
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 2 жыл бұрын
Mungu wa pendo with you guy's
@judithkongani5283
@judithkongani5283 2 жыл бұрын
Mungu awafariji familia
@theresialubida161
@theresialubida161 2 жыл бұрын
YESU Akupe nguvu
@lionofjudahtv8796
@lionofjudahtv8796 2 жыл бұрын
Alikuwa ananipenda mno
@amanntepa8178
@amanntepa8178 2 жыл бұрын
Pole
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 2 жыл бұрын
Yesu awa tie nguvu
@godisable2098
@godisable2098 2 жыл бұрын
Askofu Gwajima yupi kujakuwa fariji.
@aminamavura6834
@aminamavura6834 2 жыл бұрын
Jamani aliumwa nini wokovu
@aminamavura6834
@aminamavura6834 2 жыл бұрын
Nashindwa niandike nini wokovu kwa heri tutaonana alfajiri iliyo njema
Ibada ya jumatatu usiku na Mch Mbarikiwa Mwakipesile
28:20
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 346
DU!! Maajabu mke wa Mbarikiwa kuunga mkono wachokonozi? Kwa ujinga huu hamtoboi
12:44
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 79 МЛН
Karibu na wewe MUNGU wangu
5:16
KITULA TV
Рет қаралды 23 М.
Mbarikiwa amuuliza swali Mungu. JE MUNGU UNANICHUKIA?
9:32
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 769
Mbarikiwa amshukia mwanamke anayesema alitekwa na anayesema alifumaniwa
15:32
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 13 М.
SALMAN Khan yategujwe ko bagiye kumuhitana
34:34
ROCKY ENTERTAINMENT
Рет қаралды 3,4 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34