Papa mchungaji MUNGU akubariki sana sana saaaaaàtu baba huwa nakufuatiliya mafundisho yako yote kihukweli unanibariki sana nasana sana tu inanibadilisha nasa naina nihongezea masafa katika safari ya kwenda mbinguni amen
@SelemanMathias-ol8om4 ай бұрын
GOD BLESS you pastor ,,real anointed Dah! Barikiwa Mchungaji Moses Magembe kwa kazi nzuri
@AlesMwakabonga3 ай бұрын
Mungu akubariki sana Baba Yesu akutunze
@EllyNyirenda8 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu uendelee kutufunulia mambo makuu ya Mungu katika mahubiri ya aina hii ni niliyapata na kwa askofu moses Kulola
@freddykiruhura42953 жыл бұрын
Mch Magembe, Mungu akubariki kwa ajili ya Habari Njema ya Kristo munayo ihubiri. Karibuni huku nako nchini DR Congo mujini Bukavu kwa ajili ya Injili ya Kristo.
@AlexPaulo-p3jАй бұрын
Ongera baba Kwa huduma zuri
@DavidAlexandre-ui4nw4 ай бұрын
Mungu akuinuwe zaidi mtushi wa Mungu, nakufata kutoka Congo Rdc
@faithwavinyalucas1835 Жыл бұрын
Nikiwa kenya nakupata sawasawa nashukuru MUNGU nimejua mengi kupitia mahubiri yako barikiwa sana na MUNGU akupe miaka mingi uzidi kunena alivyokutuma......
@msimbenebukadreza1332 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe sn mtumishi wa bwana! Hongera sn kwa kazi Nzuri, bwana aendelee kukutunza
@isackakyoo64462 жыл бұрын
Tinga tinga la Injili hili, Mungu akutunze ili kizazi hiki kimjue Mungu halisi ili kama ni kupotea ni kwa kuchagua mwenyewe siyo kwa kutokujua
@BintiMwambapa-ev6kw Жыл бұрын
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU Alie hai
@kizandume30158 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa neno nzuri kabisa tuna shukuru sana
@AmosSambe Жыл бұрын
Mtumishi wewe ni mwalim mzuri sana
@musanyanje3942 Жыл бұрын
Amen 🙏 BABA nabarikiwasana
@Mobi-ro8kd4 ай бұрын
Hio wimbo naomba mniabie Iko no.gapi,,tusishikwe na Dunia please
@SnhZjhz3 ай бұрын
104 tenzi za Rohoni
@jacobhenry96463 жыл бұрын
Walking biblical encyclopedia,! Big brain, Glory to God.
@cmoshi70143 жыл бұрын
MUNGU Akubariki sana Baba Mchungaji Moses Magembe kwa mafundisho haya ya kunyakuliwa, manake Wachungaji wengi wamegoma kuongelea hii siri. Sijui wanataka watu wa MUNGU tuende kwenye dhiki kuu? MUNGU atusaidie.
@mwakamtungirehi47733 жыл бұрын
Mbarikiwe sana baba na mama mch, mlinilea vizuri, nawaombea umri mrefu na furaha tele nawapenda sana
@isackmtawa158 ай бұрын
Barikiwa saaaana saaaana saaaana
@wiza23092 жыл бұрын
Amen, Mungu akupe umri baba yangu
@Sarvantsuser-ge1zy8fj6s5 ай бұрын
Amena sana
@winnyrocha13613 жыл бұрын
Hii ndio injili tunayoitaka katika nyakati hizi mungu akubariki mchungaji
@DieudonneMAHANGO-ws3do2 ай бұрын
Amen 🙌
@jastinemwambi2307 Жыл бұрын
Am Brother Jastine Mwambi from Kenya and am indeed blessed by the teachings
@kitumainikubatu31823 жыл бұрын
Hilo ndilo neno la Mungu , ujumbe mnzuri wa kusisimua. Mtumishi Bwana yesu akubariki sana.
@peteryona30182 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe sana Baba
@timotheedundji31493 жыл бұрын
Nime barikiwa sana na mafundisho mupia juu ya kitabu cha koritho. Ubarikiwe sana na MUNGU.RDcongo
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kama unataka kuongeza maarifa juu ya hicho unachokisema sikiliza hili hubiri, tafadhari usiache. UNYAKUO kzbin.info/www/bejne/bZ6vYWaOmLGbpMU
@petermugendi80196 ай бұрын
Hallelujah
@bellingtonlyimo64673 жыл бұрын
Holy heaven is proud of you Rev. Moses Magembe.
@bedykedy36043 жыл бұрын
Huyu mzee Mungu amtunze ili vijana tuendelee jifunza
@evampuya-mp9vf Жыл бұрын
Bwana asifiwe mchungaji ninaomba msaada wa maombi nina bint amebebeshwa mizigo zaidi ya miaka 12 pia hatembei
@necodakagiye54733 жыл бұрын
Amina baba tuko pamoja Bwana akutunze
@saudakabogo3 жыл бұрын
Ubarikiwe, nataka kuwa mwanafunzi,
@joilekashindi7573 жыл бұрын
Amen Amen
@alexanderkyeveo9634 Жыл бұрын
Profesa wangu❤
@hpmwamsiku91933 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba kwa ujumbe mzuri sana.
@marthamathayo19613 жыл бұрын
God bless pastor magembe
@lmwenelmwene57583 жыл бұрын
Stay blessed man of God faithfulness teaching anointed one 🙏 🙌 ♥
@ibizmediatechnology3 жыл бұрын
Want more teachings on Preparation for the Second coming, listening from Kenya Am evans, Love this man of God, I love your Teachings Man of God, Come in Kenya and Preach on The coming of Christ
@jastinemwambi2307 Жыл бұрын
Me to Glory be to Jesus
@canuthmgimba6113 Жыл бұрын
Pure the almighty of God
@rozynahnight74603 жыл бұрын
Aminaaa
@eliaonlinetv6463 жыл бұрын
Ameen
@rozynahnight74603 жыл бұрын
Asante sana Baba yangu kwa mafundisho haya mm sijui na hata sijasikia mchungaji yeyote akifundisha ukweli huu.
@coletavumiliya83853 жыл бұрын
asante sana
@mujuninjunwa39393 жыл бұрын
Powerful Hermeneutics Papa
@pirminmatumizi54648 ай бұрын
Wanawake wakipentekoste mnatakiwa kuvaa kama mama huyu. Mumuige.
@kadzomasha85392 жыл бұрын
Amen
@fatanezazebedee17163 жыл бұрын
Dod bless you pastor
@rev.pasteuraimablebaobabt.v. Жыл бұрын
♥️♥️♥️
@allhailkingjesus64843 жыл бұрын
Barikiwa sana baba. Preaching the sound doctrine.
@thevhgministry3 жыл бұрын
Man of God, would want to learn more on that, preparing for it, i need this studies
@thomasjohn71763 жыл бұрын
Barikiwa sana
@emmanuelsamwel76153 жыл бұрын
Amina bab paastor
@aizackward48503 жыл бұрын
Mungu akujalie umuri mrefu baba tuzidi kufaidi zaidi neno la uzima🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@queenchristopher15153 жыл бұрын
Ww ni moto wakuotea mbali nichuma kilicho suguliwa nakung'ara zaidi
@msafiriaugustino29573 жыл бұрын
Mpinga kristo huyu ni kiongozi wa kanisa la rumi Iko wazi anatàjwa kama mtu wa dhambi kwenye wathesalonike na babeli hii sio ile ya kale babeli inayotajwa hapa ni rumi
@AlexPaulo-p3jАй бұрын
Nikweli
@thelivingwordchannel90273 жыл бұрын
Anafaa kuwa mkufunzi wa chuo cha biblia sababu anaonekana amesoma sana theolojia.Kufundisha neno la kweli inahitaji uvuvio(inspiration) sio historia.Uvuvio ni kufundisha neno linalotoka kwenye maisha unayoishi baada ya kuliweka neno kwenye matendo(ushuhuda).Ni bahati mbaya sana kuwa injili za TAG na EAGT zinafafana,zimejaa misisimuko na kunena kwa lugha(lugha ina ukakasi).Hata unyakuo unaohubiriwa(unyakuo kabla ya dhiki kuu) haupo kimaandiko ila ni hisia zaidi na kufuata mapokeo ya waanzilishi wa madhehebu......Huu ni mtazamo wangu baada ya kukulia TAG muda mrefu.
@marcodavid41833 жыл бұрын
Umepotoka, Mungu akisaidie.
@kalebuwilliam10142 жыл бұрын
Kwan ye amehubiri TAG au neno ls Mungu?.Ulipotoka Tag hukulazimishwa na mtu ko hata kuamini anacho hubiri hutolazimshwa na mtu.
@UpendoChurch-u6c2 ай бұрын
Shidwe katika Jina la yesu
@UpendoChurch-u6c2 ай бұрын
Naona umetumwa Na kiboko YA wachawi
@UpendoChurch-u6c2 ай бұрын
Ishi hayo Maisha yako kataa kuokoka Na kutosoma historia
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Kama unataka kuongeza maarifa juu ya hicho unachokisema sikiliza hili hubiri, tafadhari usiache. UNYAKUO kzbin.info/www/bejne/bZ6vYWaOmLGbpMU
@UpendoChurch-u6c2 ай бұрын
Mzee anatutosha
@NenolaFarajatv3 ай бұрын
Kama ni hivyo ilikuwa ni tukio LA sehemu moja mbo ninyi hamingii na kofia kanisani na mwanamme akiingia na kofia anaambiwa avue kwani ninyi ni wakorito.?
@rozynahnight74603 жыл бұрын
Yaani nahisi furaha kana kwa niko pale kwa uwanja na wenzangu
@jameskenny18083 жыл бұрын
Natamani kuongea na huyu baba naomba number please
@msafiriaugustino29573 жыл бұрын
Sio kweli aisee nimesikiliza nilitaka nikae kimya nimeshindwa ni kuwa kuja kwa YESU mara ya pili ufunuo 1:7 Kila jicho litamuona na atakuja kama bwana wa mabwana hatokuja kwa Siri, hivyo fundisho la unyakuo wa Siri ni uongo
@zablonmakala85733 жыл бұрын
Msafiri Agustino acha kuchanganya mambo, wakati Yesu qtakapokuja kulinyakua kanisa atakuja kwa siri,lakini a takapokuja kwaajili ya utawala wa miaka elfu moja kila jicho litamwona
@msafiriaugustino29573 жыл бұрын
Nikuambie ukweli fundisho la unyakuo wa Siri sio la kweli ni uongo wa shetani, ili Sheria ya siku Moja ya ibada itakapotangazwa watu wasijue, na watekwe na shetani.
@msafiriaugustino29573 жыл бұрын
Kuna Sheria ya jumapili inaitwa Sunday law inakuja muasiso wake ni papa wa Roma hiki kitu hukijui ndicho kitaanza mtumishi
@henrymatebe14923 жыл бұрын
Msafiri umepotoshwa mafundisho uliyolishwa ni ya uongo fanya haraka kuyatapika matango pori Yesu atakuja kama mwivi pindi atakapokuja kwaajili ya unyakuo ila atakapokuja kwaajili ya utawala wa miaka elf kila jicho litamuona
@chrismassawe3263 жыл бұрын
@@henrymatebe1492injili za kutishana tu hakuna mnapotea sana