Baba Mchungaji Mungu azidi kukutunza. Tunazidi kupokea na kubadilishwa na mahubiri yako. Ubarikiwe sana. ❤❤❤
@PetroMaduka-l4i Жыл бұрын
Amina
@isayamalale9833 Жыл бұрын
Mungu ni mwema unatubariki sana mchungaji tuko pamoja sisi niwanafunzi wako endelea na mtindo huo huo wa mahubiri nimeupenda Sana unatupa shule Sana tunakamata Sana namengine yametusaidia tumeyaweka kwenye matendo matokeo tumeyaona utukufu wa mungu tunauona
@liberatusmathias211 Жыл бұрын
AMINA
@kpayakiduku1871 Жыл бұрын
Ashukuliwe Kristo zaidi Kwa zawadi hii❤❤❤
@upendomtui65448 ай бұрын
Colonial mentality Africa Africa Africa God Loves you
@abiudjustine79475 ай бұрын
Najengwa sana na mafundisho haya.
@WalterMwanga-ft8zr3 ай бұрын
Ameni
@deliverancelifetestimonydl3908 Жыл бұрын
Huyu Mzee Ni hazina ya kizazi chetu, tusipofaidika na hazina hii sijui MUNGU Atatuelewaje
@UwezoBwitonde-dc3nc6 ай бұрын
Amen ×5
@RachelMwenzegule Жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia najifunza mengi kupitia mafundisho Yako baba ubarkiwe na BWANA
@NaumiBaya-wr7ri Жыл бұрын
Amen amen. Mungu akumbariki
@OfficialmarryNkwabi3 ай бұрын
❤❤❤
@abiudjustine79474 ай бұрын
Hii ni kweli ya Mbinguni
@josephatmusyimi4475 Жыл бұрын
Mtumish napenda maubiri unae ubiri
@AnaniasBenedict Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu zaidi sana Rev Moses tuendelee kujifunza
@rebekaayeba5500 Жыл бұрын
Amena kubwa
@waithirahnaomy1573 Жыл бұрын
Yesu ni mwemaa kabisa
@stevenmwanyika1674 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana,na mafundisho yako Baba
@michaelsukwa4371 Жыл бұрын
Barikiwa
@jastinemwambi2307 Жыл бұрын
Glory be to Jesus forever and ever
@EmanuelMwakitega Жыл бұрын
Barikiwa
@mirindiabeli3195 Жыл бұрын
Tume barikiwa na mafundisho Yako baba,Ila vitabu vyako.twaweza je ku vipata? Ev Abeli mirindi paa Drc/ Bukavu.