Rev Magembe tunakuitaji ufikishe injili hiyo Mahama kwenye Kambi ya wakimbizi warundi ncini Rwanda. Wasiliana nasi kwa maelezo mengine.
@rafikiwayesu78145 ай бұрын
Ubarikiwe sanaaa Baba yangu Magembe
@RegnaldMawala5 ай бұрын
Hongera sana baba kaz nzuriii
@damasmathias00725 ай бұрын
YESU ni BWANA ❤
@jesusnetworkministry5 ай бұрын
mmmmh utamu kolea tunakusubiria Zanzibar
@alphoncegambuna4405 ай бұрын
Groly to GOD
@beatricemayodi98585 ай бұрын
Amina
@IsayaSchone-kt7uq5 ай бұрын
Aminaaaa saan
@FunnyDarypink5 ай бұрын
Amen
@IsayaSchone-kt7uq5 ай бұрын
kahamaa kumenogaa sanaa jmn
@DanielDaniel-gx2ou5 ай бұрын
Hii injili ipo kahama maeneo gan wapendwa katika bwana
@giselyamalingo62335 ай бұрын
Mhugula jirani na Oasis secondary
@jjsguare5 ай бұрын
kahama come Jesus
@waytruthlife41715 ай бұрын
Wengine wameenda hivyo vyuo vya Biblia na havijasaidia, vyuo vya Biblia hivizuii watu wasiwaibie watu au kufundisha uongo, hiyo ni roho ya shetani tu.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee5 ай бұрын
Kwa vyovyote elimu ni muhimu , imani hutunzwa na hurithiswa, kazi ya shule ni kurithisha fundisho sahihi na moja la kiimani. Msingi wa imani ni neno la Mungu na siyo mafunuo. Mafunuo ya roho lazima yasapoti neno ulilolirithiswa.