Umisheni na historia ya kanisa Mchungaji Moses Magembe
Пікірлер: 44
@apostleemmanuelmabuga81482 ай бұрын
Sijui kama TAG wanajua wana mtu muhimu mwenye madini kiasi hiki na kama wanamjua wamtunze kweli kweli
@mwinjilistierickkujwika11822 ай бұрын
Wanajua na ndio maana wapo naye karibu sana.
@stephennganga482720 күн бұрын
Atukuzwe Baba Mungu mwenye kuziumba mbigu na nchi, huu ni mudu wa Jehovah Mungu katika shamba lake mwenyewe.Tatizo ni sisi wahuduma kutoelewa😢😢😢Mungu nisaidie na mimi,Apostle Ng'ang'a Gcc Mpeketoni.
@emilywastile-7030Ай бұрын
Baba mwenyezi mungu akukumbuke katika huduma zote ulizozifanya na zile ambazo haujazifanya hakika wewe ni komando wa YESU.
@msombanambiligwe7232 ай бұрын
Hapa TAG mnayo hazina hii. Itumieni vizuri na kuitunza. Ni mwl na kamusi nzuri. Mungu mtunze mtumishi huyu kwa ajili ya kizazi hiki.
@user-no2tw5vb8j2 ай бұрын
Baba nabarikiwa sana ukihubiri . So powerful
@user-zd6tt2dq3kАй бұрын
Barikiwa Sana pastor Nipo kwa semina na mimi na nakuelewa vizuri BWANA AENDELEE KUKUTUMIA
@user-ry1xr6cs7u14 күн бұрын
Ubarkiwe sana mtumishi ninabarikiwa sana sana
@saimonseleka87922 ай бұрын
Kuna wimbi kubwa la wachungaji halafu wengi wao ni marafiki sana ndani ya TAG nashangaa wanampiga sana mawe huyu mzee sielewagi kwa nini hawafahamu juu ya alichonacho kwamba ni....😢
@HappyJoseph-qv8sdАй бұрын
Hakika Mungu akupe maisha marefu baba nakuelewa sana
@PauloMdemАй бұрын
Mzee Mungu akutunze mwalimu
@salomerobert97152 ай бұрын
Mungu azidi kukupa neema ya kuzinena siri za.kristo kwa ujasili ubarikiwe sana
@denisijosephat23612 ай бұрын
ubarikiwe baba ntakupatia vzr Kwa doctreen Yako ya church history
@AstrideMteweleАй бұрын
Hautaji kuwa na maprofesa,unahitaji watu wenye mzigo (elewa kanisa limearibika kwakuangalia elimu za kidunia kutoa vyeo vya kiroho)Ubarikiwe Baba.
@joshuabweli62492 ай бұрын
Mchungaji madini haya unasoma wap maana ninapenda sana mahubiri yenye shule kama yako.
@IsaacLameck-nz8yr2 ай бұрын
Nilisha conclude kitambo kwamba Kwa hapa bongo Kwangu Mimi huyu Mzee ndo top sijaona mwenye content kama hii
@haningtonkabuta93872 ай бұрын
VIDEO YA QUALITY NZURI SANAAA. HONGERA NYTV
@nehemiajuliusАй бұрын
Maisha marefu kwako mtumishi uzidi kutufundisha zaidi huwa nabarikiwa saana
@nabiimuimbaji2 ай бұрын
Baba yangu kabisaaaa nakupenda sanaaa...barikiwa zaidi
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es2 ай бұрын
You are very truely
@salomerobert97152 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@leonardrubeni62942 ай бұрын
Haya madini ni muhimu sana na sisi watumegee ya kutosha.
@filbertsabuhoro21782 ай бұрын
Very powerful teaching
@KhalidiBoaz24 күн бұрын
Amen Amen Amen,
@rev.musabalalarogersmusabalala29 күн бұрын
Ahsante Baba
@EzekielNtahenkama2 ай бұрын
Amina
@dr.mikeeliabumasakimd32642 ай бұрын
Amen baba
@gaudencevalentino14062 ай бұрын
So powerful
@LuganoMwakabana2 ай бұрын
Baba MUNGU asikupungukie
@IsayaSchone-kt7uq2 ай бұрын
Amen
@IsayaSchone-kt7uq2 ай бұрын
be blessed much!!
@robertkamugishakamuntukamu68052 ай бұрын
Madini haswa
@m.m.tvmbebamaono2 ай бұрын
Amina baba naanza huduma
@derickerastus76622 ай бұрын
Mahubiri mazuri sema sasa mnayakata sana yaani mnaweka masomo vipande vipande mtu inakua ngumu kupata ujumbe kamili wekenu somo walau la saa moja au masaa mawili kama inawezekana ila hii ya kukatisha inakua haijakaa vizuri..
@IsaacLameck-nz8yr2 ай бұрын
Ni lengo la biashara pia kuuuza kaka video ziwe nyingi ziwe viewers wengi pia na pesa ipatikane kazi isonge mbele
@derickerastus76622 ай бұрын
@@IsaacLameck-nz8yr sawa kumbe ni hivyo basi sawa ndio maana nilishangaa video zenu kuwa fupi fupi ila nimeelewa kama lengo ni hilo la biashara
@CHAMSATV2 ай бұрын
safi
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es2 ай бұрын
Huyu Mzee anaijua vzr sana history ya kanisa.na hii ndio Siri ya ujasiri wake ktk Imani.
@user-sy3qw2zk1b29 күн бұрын
Mtumishi wa MUNGU azungumzae ya rohoni na imani lkn sio utajiri na anasa. Huko ndio kunaitwa kujikana mwenyewe nafsi yako na kujitwika msalaba wako.!!!
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es2 ай бұрын
Nakupenda kanisa
@AsuntaMalenda-ey6xxАй бұрын
Chombo kiteule Cha bwana, walio wa mshahara hawaelewi
@jameskajenge31092 ай бұрын
Kiukweli huyu mchungaji ni wa kipekee sana. Mafundisho yake yana nguvu sana