MCH. NDACHA ACHUKIA UNAFIKI WA WAKRISTO KUTOAMBIANA UKWELI KAMA AKINA DR SULLE NA USTADHI SHAFII

  Рет қаралды 8,780

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Ай бұрын

MCH NDACHA NA MWALIMU MASSAWE WAMEUNGANA KATIKA KUHAKIKISHA WANALIFIKISHA KANISA LA MUNGU MBELE NA KUAMUA KUSEMA UKWELI JUU YA UKRISTO

Пікірлер: 107
@HappyAlbatross-yx2dc
@HappyAlbatross-yx2dc Ай бұрын
Mmbarikiwe walimu kwa kazi nzuri muitendayo na mwenyezi mungu akipenda awajaze roho wake mtakatifu.
@HellenLemilya
@HellenLemilya Ай бұрын
Tuko pamoja na nyinyi, napenda kazi zenu
@user-mu4qw2jx2f
@user-mu4qw2jx2f Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi,ukweli utabaki kuwa ukweli
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 Ай бұрын
Ni kweli
@haymanobonyo8829
@haymanobonyo8829 Ай бұрын
napenda Ndacha Anamtangaza Mungu wakweli na njia ya Uzima wa milele
@berry4726
@berry4726 Ай бұрын
Njia ndio nini?? Hata ya kwenda nyumbani kwangu bado ni njia.
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 Ай бұрын
Ameen
@myself4128
@myself4128 25 күн бұрын
kasema Njia Ya uzima wa Milele,kwako sio uzimani pole sana ​@@berry4726
@PeterKamau-ty9nl
@PeterKamau-ty9nl Ай бұрын
Mko naukweli
@user-df1wz5xu2i
@user-df1wz5xu2i 29 күн бұрын
Hawa ndio walimu wa injili yani mtu asipowaelewa hatoelewa tena mafundisho yoyote mimi nimewafutilia vyokutosha mungu awape maisha marefu sana ilimusaidie watu
@AMwanjoka
@AMwanjoka 29 күн бұрын
Injili kadri ya uelewa wako na sio kadri ya kweli ya Kristo Shida ipo kwenye kuelewa Injili halisi inafananaje
@susankathure2382
@susankathure2382 Ай бұрын
❤❤❤congratulations son of the soil. Truth will set you free 🎉more grace brothers 🙏
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 26 күн бұрын
Mimi niwambie ukweli nawapenda SANA sanaaaa naninawaelewa SANA Mbarikiwe SANA
@Onchieku-cp8wd
@Onchieku-cp8wd Ай бұрын
NIKO HAPA..
@user-yz5uj3jd5y
@user-yz5uj3jd5y 22 күн бұрын
ndacha amekubali mafunzo ya waislam.wamekufuru wale wanaosema mungu ni watatu, na leo ndacha anathibitisha,
@allen89j
@allen89j Ай бұрын
Vizur san
@user-oo3kc2cj8n
@user-oo3kc2cj8n 17 күн бұрын
Wekeni juhudi zenu pia katika maombi maana usomi na hekima za mwanadamu haziwezi kumfahamu Mungu. Note mahali ufahamu wenu unapoishia kufikiri ndo wa MUNGU unapoanzia so ni Bora sana msome lakini kutunza utakatifu na kumsikiliza Mungu Kwa kuomba Kwa nidhamu ya Hali ya juu sana
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 16 күн бұрын
Wanaomba sana ndio sababu wapo hapa na watazidi kuwa mbele mpaka juu
@funakoshtadash6163
@funakoshtadash6163 Ай бұрын
Bwana awabariki sana watumishi wa Mungu
@loysamwel6308
@loysamwel6308 Ай бұрын
Mko na kazi
@dancanomwenga6955
@dancanomwenga6955 Ай бұрын
Safii sana, naendelea kuelewa Bibiria
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 Ай бұрын
Siyo bibiria ni biblia
@kitengemetshwaya7752
@kitengemetshwaya7752 Ай бұрын
Samhani jatahiti kunyenyekea kwa mungu atakufunulia zaidi kuna neno imekupungua nalo ni hi, unasema bado nashika amri y 4 ndo maana ya kuwa we n msabato je ikishika yote utaitwaje?
@PaulRuben-eu5nh
@PaulRuben-eu5nh Ай бұрын
Amin mbarikiwa sana
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
Shalom watumishi wa MUNGU, someni 1w yohana 5:8, itawasaidia, wa kristo tunaenda kanisani jumapili ni siku ya ushindi aliyofufuka katika mwili, nafsi yake ni MUNGU yohana 1:1-5, 12, 14, siku zote ni za MUNGU , ahano la kale alitenda kazi MUNGU, agano jipya YESU KRISTO, leo tuliokoka tunaongozwa na ROHO MTAKATIFU ni mwalimu wetu anatufundisha kuomba kuelewa NENO, na ndiyo maana ibada za watu waliokoka unaona kabisa uwepo wa MUNGU ukijidhihirisha waziwazi, sio manabii wa uongo walioandaliwa kuzimu hao kaa nao mbali
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 Ай бұрын
Mubarikiwe watumishi
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Hidini yakuungaunga sikuzote inambaska hakjilikani imetokea wapi hata yesu mwenyewe haijui walakuanzisha ukristo walahajahi walakuwaita wanafunzi wake wakristo
@AMwanjoka
@AMwanjoka 29 күн бұрын
Hoja za kitoto kama hizo ndizo. Zinakufanya tuendelee kuishi gizani ukiamini Giza ndiyo Nuru yenyewe Pole sana Yesu ambaye Yu hai sasa akiwa mbinguni kwa Baba Sasa hoja yako inakufa kwa kuwa zaidi ya miaka 2000 "binadamu" Yesu yuko hai kwamba ile ya mwanadamu u mavumbi na mavumbini utarudi HAIMHUSU YESU, kuamini kuwa Yesu ni mwanadamu mwenzako na shida ya kutafakari tu
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Kama nyiehamuwezikutambua utatuwaMungu yesu nauungu wake mutautautambuajesasa?
@ackimackim1880
@ackimackim1880 Ай бұрын
AMRI KUU NI UPENDO, SABATO IPO NDANI YETU KILA SIKU,YESU NDIYE SABATO.SIKU ILIKUWA AGANO LA KALE KABLA YA KRISTO.
@hafidhali3020
@hafidhali3020 Ай бұрын
Mtajuana Makafiri
@willygwaikana
@willygwaikana Ай бұрын
Hivi mwislamu anasafisha pua yake kwa maandiko yepi ya vitabu vyao? Naomba jibu wewe usie kafiri
@hafidhali3020
@hafidhali3020 Ай бұрын
@@willygwaikana sjakufahamu,kusafisha pua? what does it mean?
@willygwaikana
@willygwaikana Ай бұрын
@@hafidhali3020 Hujafahamu kwa sababu dini yenu inaficha maovu ya Muhamad, mafundisho mabaya ya quran na hadith. Mafundisho ya ovyo ni aibu kuyaweka mbele ya watu. Hivyo hufichwa maana kama yakiwa hadharani, basi waislamu wengi wasio washabiki wataukimbia uislamu. Wewe Hafidh kama hujui kusafisha pua na sababu zake basi hujawa mwislamu wa kweli. Mwislamu wa kweli hata anafundishwa kuua wasio waislamu.
@user-ic9hq2ut3r
@user-ic9hq2ut3r Ай бұрын
Km nyinyi wenyee taari Kuna unafki ndani yenu waislamu mtawaambia nini seriously
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 20 күн бұрын
Kwahiyo kanuni za imani zilibadilishwa kuwa msingi ya imani na vyote vinatumika na SDA
@dullahfar7775
@dullahfar7775 Ай бұрын
Naamini ndacha muda si mrefu atavaa kanzu na kofia ya kitani
@petermgonja8547
@petermgonja8547 Ай бұрын
Mimi nawasalimia tu. Masawe panga mkutano Arusha, na ndacha awepo. Waislamu wamjue yesu. Barikiweni.
@salimakida95
@salimakida95 Ай бұрын
@@petermgonja8547 waislam wanamjua yesu ,amezungumza kwenye quran surat mariam.Isispokuwa wakristo ndio hawamjui yesu aliyewaachia injili lakinj leo wanasoma biblia 😄 🤣 aliyeaambiwa wasile nguruwe leo wanakula
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 Ай бұрын
Umesikia hawamjui???au wakusudia Yesu yupi Mungu wenu wa bandia au mwana wa mariamu??
@salimakida95
@salimakida95 Ай бұрын
@@salimchimwaga8384 swali zuri sana 😄 wenyewe hawamjui ni yule mungu au mtoto wa mungu
@otaibonny8835
@otaibonny8835 Ай бұрын
Ninyi hamtangazi yesu ila msimamo wenu.. hubiri yesu
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 Ай бұрын
Wataka wakitembea wataje kila waendapo Yesu Yesu Yesu...som Isiah58:1 yaeza kuwa wewe sio Mkristo ni mpiga Kristo..Acts18:28 Paulo twajifunza kwake Acts17:2
@otaibonny8835
@otaibonny8835 Ай бұрын
@@opujejoshmahjoshmah1432 hawa wanatangaza dhehebu Yao, si yesu..
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
Nyinyi mmejawa na unafiki ndacha yupo sahihi
@otaibonny8835
@otaibonny8835 Ай бұрын
@@msemakweli243 unafki gani Ndacha niambie katika harakati zake TZ, wameweza kushinda watu wangapi kwa kristo. Hawa kazi Yao ni kushindana na madhehebu nyingine za kikristo si kutangaza neno njema. Eti sabato, Mara nini nilifuata mjadala yake na mchungaji moja kuhusu sabato.. hawa ni naibu mungu na wameingia itilafu
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
@@otaibonny8835 sasa wewe unavyoonekana hata bibilia uijui maana ukijua kuwa amri na sheria ni za milele sasa ninyi watu wa j2 si mnafunga kwaresima imeandikwa wapi na mnashelekea kirsimax ndo maana unaona kama ndacha ni mkosefu lkn ukweli yupo sahihi
@user-hx8ok1oh5n
@user-hx8ok1oh5n Ай бұрын
Masawe na ndacha wanataka kuazisha kanisa lako ili wavuje usabato siku hizi makanisa ni viwanda ya kutengeza na kufafuta kuibiya wasio elewa dini haswatana wakiristo hawa jielewi wanako elekea
@user-hx8ok1oh5n
@user-hx8ok1oh5n Ай бұрын
Ndacha kafunguka baada ya kushindana na waislam kapata elimu kubwa, masawe ni adui wa uislam
@willygwaikana
@willygwaikana Ай бұрын
Wasabato huihalalisha Sabato kwa kutumia maagizo ya Mungu kuhusu Amri hiyo yaliyo katika maandiko, lakini wajumapili huitetea jumapili kwa kutumia mawazo yao pasipo kutoa neno lenye agizo la Mungu kuhusu jumapili. Yeremia 23:15,16; 30-32,; Mithali 3:1-7 na Marko 7:6-13. Hivi kwa mfano Yesu atakapokuja akimuuliza mjumapili jumapili uliagizwa na nani kuitii jumapili? Hivi watamjibuje Yesu hao walioishika jumapili??!!!!
@Onchieku-cp8wd
@Onchieku-cp8wd Ай бұрын
AMINA..
@user-qo2xd3hb8l
@user-qo2xd3hb8l Ай бұрын
Wasabato na mnasoma vitabu vya Paulo mwanzilishi wa ukatoliki
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-uz3it6li6u
@user-uz3it6li6u Ай бұрын
Muko katika kupapasa papasa ukweli ila ni vema pia kuenda vyio vya biblia ili kuelewa zaidi ila pia makasi kiukweli yana mifumo yake ambayo yote ni taratibu za biblia
@PeterMashiku-qx7xw
@PeterMashiku-qx7xw Ай бұрын
Ukiwa hujuwi maana ya sabato utateseka sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
✌️👊🙏.
@adamcharo9327
@adamcharo9327 Ай бұрын
Huyu ndacha very soon atakuwa muislam.
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Ndacha nakukubali asilimia kadhaaaaa
@rodgerskiponda7871
@rodgerskiponda7871 Ай бұрын
Mimi naona wanacho kiamini hawa,ndicho wanacho kiamini hata wale wengine ila shida ni utofautiano ktika maelezo.
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 Ай бұрын
That is you
@HoseaAnjelus
@HoseaAnjelus Ай бұрын
Mwalimu ndacha nisaidiye namba yako nikukupigiye nipate kuelewa mahali inafaa kwenda kwenye ukweli
@AMwanjoka
@AMwanjoka 29 күн бұрын
Haiwezekani kwamba Msabato awe na Mkristo na Mluthery naye awe Mkristo wakati msingi wa imani ni tofauti Hivyo kuna ambaye ni mkristo kweli na mwingine ni mzushi anayejiita Mkristo
@Thepresentruthsministry270tv
@Thepresentruthsministry270tv 16 күн бұрын
Mkristo ni nani Kwa bible??
@salisali3738
@salisali3738 Ай бұрын
😅😅😅
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Ndacha hana mpinzani
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Ай бұрын
Upuuzi
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r Ай бұрын
Ndaca kwani kuelewa kwako ndiko kutafanya wote waelewe kua uko saw ? Wewe umesoma na wengine wamesoma wote nao ndivyo walivyoelewa . Mungu humfunulia kila mmoja jinai apendavo . Fainali ni hukimu ya mwisho.
@qerysir4410
@qerysir4410 Ай бұрын
Ndio maana lazima watu wasemezane! HAPANA ANAYELAZIMISHWA!
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 Ай бұрын
Nenda na hoja za kumpinga
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
njoo na hoja kampinge yeye😂😂😂
@bisagakaboboye8060
@bisagakaboboye8060 Ай бұрын
Hao jamaa biblia hawaielewi. Kama Mungu ana nafsi moja je Yesu wanamwamini kama nani? Hawaoni kama wanajichanganya?
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Dogma hiyo hamna kitu hapo amka
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Hamna uwezo wa kuwaingiza waislamu kwenye ukafiri labda kwa kuwalipa fedha kama mlivofanya kwa murtad yule msomaji clip yake ipo anasema kafata nini huko
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
Pastor Ndacha ungeokoka ukakubali kuongozwa na ROHO MTAKATIFU MUNGU anekutumia vizuri sana angekutumia uwalete watu kwa YESU KRISTO, YESU aliwauliza ni nani kati yenu n'gombe wake akatumbukia kwenye shimo akamwacha?, ombi langu kwa MUNGU akupe Neema ya wokovu
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Ай бұрын
@@user-xs3ko8pg2g hujui mengi ndacha yupo sahihi
@landelinusbyabato2512
@landelinusbyabato2512 Ай бұрын
Kwani kuokoka ni kusali jumapili?
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
@@landelinusbyabato2512 jibu ni siku ya ushindi ya kufufuka kwake BWANA na MWOKOZI wetu YESU KRISTO
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Nyie mbona waongo mungu ni mmoja alie baba huyo ndacha anasema juzi ulikua unasema yesu ndio mungu sasa nyie mnaakili timamu kweli?
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
@@user-mc2xd4eu2p kila mtu ashike alicho nacho, siku tukivua miili itajulikana, elewa YESU ni MUNGU
@harrisonodiwa7248
@harrisonodiwa7248 Ай бұрын
Hivi mwalimu Ndacha unaposema umejitenga una ministry wako yamaanisha una kanisa lako? Balaa! Mimi mbona ni muadventista msabato na siamini kwa utatu,hivyo hautumii vitabu za HGW?Inekuwa heri useme wewe ni muadventista msabato wa awali.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Bado ajasema
@qerysir4410
@qerysir4410 Ай бұрын
Sema wewe tusikie
@solihanegier890
@solihanegier890 Ай бұрын
Makafiri wakubwa nyie endeleeni tu kukufufu iko siku mtaijuwa ukweli
@DavidMatata
@DavidMatata Ай бұрын
Mtumie wako mohamedi alikuwa chizi,alitumwa na allah(shetani)na malaika zake (majini).. Takbirrr.
@willygwaikana
@willygwaikana Ай бұрын
Hivi kama wewe sio kafiri kwanini mnasafisha pua zenu mara tatu. Leta jibu sababu ya kusafisha hiyo pua yako, unasoma wapi kwenye vitabu vyenu.
@DavidMatata
@DavidMatata Ай бұрын
@@willygwaikana Kafiri mwenzangu mtume mohamedi.
@wilsonkinga
@wilsonkinga Ай бұрын
Na waliomsulubisha YESU ni wasabato
@qerysir4410
@qerysir4410 Ай бұрын
Sema Wayahudi! Wakati huo hapakuwa na madhehebu yaliyoko sasa, wote waliitunza siku ya Bwana
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 Ай бұрын
You will never get salvation with such understanding unless you loosen your heart
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Fata mafundisho ya ndacha
@willygwaikana
@willygwaikana Ай бұрын
Ukisema hivyo, basi hujui kuwa Yesu aliuawa na dhambi za ulimwengu tangu Adam. Ina maana wewe umekataa kuwa hukuua Yesu. Waliohusika kumuua Yesu kimwili waliwawakilisha wote waliomuua Yesu Kiroho maana walimwengu wote wadhambi wasingekusanyika Yerusalemu kumuua Yesu. Lakini ujue pia kwamba waliomlilia Yesu mitume na wanawake wote walikuwa wasabato. Wajumapili hawakuwepo kipindi hicho. Lakini Mwanzilishi wa Sabato ni Mungu, ndiye msabato namba moja maana ndiye alietamka kuibariki na kuitakasa Sabato na yeye Mwenyewe akapumzika siku hiyo na ndipo kuwaamuru wanadamu waikumbuke na kuitakasa. Yesu atakapokuja sijui utamjibu nini atakapokuuliza nani alikuamuru uishike jumapili. Utamjibuje, Hebu jibu tuone.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Unafiki ni upi sasa Masawe? Nyinyi mnaishi kwa sheria na wenzenu wanaishi kwa neema, na maandiko yako wazi!!? Na kiukweli wasabato wa siku siyo Wakristo, walimkataa Yesu, wanakuwaje wakristo?
@qerysir4410
@qerysir4410 Ай бұрын
Sasa ukiwa na 'neema' ndio uende ukaibe? Neema haiondoi sheria!
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Kama Una hoja basi kamtafute ndacha
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Ай бұрын
​@@JamesMoses-jd1yqNa wewe kama unamuamini mwalim ndacha mwambia amtafute bishop ngonyani amfundishe maandiko , hakuna mkristo msabato sabato NI ya wayahudi , kama unabisha nenda kagoogle hiyo movement yenu ya seven day Adventist ilianzia wapi kama sio ya miaka 1840, William Miller alipokosea kupiga mahesabu ya kurudi Kwa Yesu na akaamua kutoweka , wakaja watetezi wake ,kama Joseph bite, Helen G white ndo wakaleta hiyo siku ya sabato ,ambapo wakristo wa kwanza hawakuwahi kusali siku ya sabato bali wayahudi
@willygwaikana
@willygwaikana Ай бұрын
Hujui usemacho, ni bora ujishushe uulize kuliko kulishwa maneno ambayo huwezi kuyajibu Yesu atakapokuja kukuliza jumapili uliagizwa na nani!!!
@HellenLemilya
@HellenLemilya Ай бұрын
Tuko pamoja na nyinyi, napenda kazi zenu
@user-ic9hq2ut3r
@user-ic9hq2ut3r Ай бұрын
Kubalianeni nyinyi wakristo kwanza Kisha ndio mje muambie waisilamu miungu yenu ni mingapi
@ackimackim1880
@ackimackim1880 Ай бұрын
MASAWE NA NDACHA,WOKOVU NI KILA KITU,KUBALINI TU KUOKOKA ,MTAKUWA NA NGUVU ROHONI NA MWILINI.
MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
40:46
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 8 МЛН
wajibiwa maswali yao
32:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 52 М.
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 13 М.
MCH NDACHA: NI NGUMU TAJIRI KUINGIA MBINGUNI
19:39
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 2,3 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН