Пікірлер
@alexwalewale6172
@alexwalewale6172 Сағат бұрын
Mm namkubali huyu Dokta sule wanaobisha wacha wabishe.
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 2 сағат бұрын
Minakuona wewe umetumwa na baba Tako shetani. Kafara niyesu kirsto nifuul stop. Wewe unamatatizo wewe ni shetani. Nawatakao kuelewa nimashetani wenzio. Kuchinja ilikua zamani. Kirsto alipo jitoa iliisha msalabani wewe ni muislamtu. Unaeneza kwa sula mpya. Huna utumishi wowote wewe. Unawapotosha watu.
@ahz6907
@ahz6907 4 сағат бұрын
Mtangazaji nakurekebisha: katika uislam hakuna siku maalum yakuabudu.tunaabudu sku zote. Ijumaa ni siku ya waislam kukusanyika pamoja na kukumbushwa au kufahamishwa mambo mbalimbali ya dini na jamii.
@user-px7qw3hs2h
@user-px7qw3hs2h 6 сағат бұрын
Ni kweli kuhusu UTATU umejibu sawa kabisa Mungu ni mmoja ila kazi zake ndizo zinazomtambulisha katka huo utatu maana mara nyingi Mungu anjitambulisha katika wingi si Bible pekee bali hata Quran
@user-px7qw3hs2h
@user-px7qw3hs2h 6 сағат бұрын
Mchungaji Hananja anajua ukweli ila anapotosha Roho wa Mungu akukumbushe kutubu bible iko wazi sana katika hilo ila mfano ni mdogo tu Baba yako mzazi anasema jioni saa 12 watoto wewe ukaja saa 1 uko sawa?
@GraceZunda
@GraceZunda 6 сағат бұрын
Amina
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
Kama wapo wema wa kukuletea pesa kwanini wewe usiwe wa kwanza kuwatumia hao wema wakakupa pesa acha kudanganya watu wadanganye wajinga we mwenyewe hapo ulipo masikini wa kutupwa. Wewe hizo pesa hauzitaki?
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
Ibuni taimia ni nani we mshirikina mkubwa sisi hatumfuati taimia na hiyo ya mtume umedanganya mtume hakuwa akienda kuwalingania majini isipokuwa ilikuwa mara moja tu na hata hivyo majini siku hiyo ndio walimuomba mtume aende kuwalingania na akakubali ombi lao na akaenda na ilitokea mara moja tu acha kudanganya watu mshirikina mkubwa wee.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 9 сағат бұрын
VIONGOZI WA DINI ACHENI MAMBO YENU BINAFSI FUNDISHENI IMANI YA DINI. MAJINI MAJINI WHAT IS MAJINI BWANA.
@kwisa4899
@kwisa4899 10 сағат бұрын
vitu hatari Duniani na vyakuogopa ni siasa na Dini ,pia wasanii pombe na kamali usaidia Genz kujisahulisha kwene shida zao ,msione watu wajinga tunajua mifumo ya Dunia
@user-du3pd7gb4c
@user-du3pd7gb4c 11 сағат бұрын
!!Kwa maswali unajuwa kuuliza ubarikiwe sana amejikanyaga sana
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 12 сағат бұрын
Pastor kama ni hivo kwanini sasa na una mke moja??!!
@prmaotolalumbetv799
@prmaotolalumbetv799 12 сағат бұрын
Naomba mdahalo na mzee huyu waandishi ili mtende haki muiteni na msabato ana kwa ana na hananja ili nitumie biblia tuu kuitetea sabato
@user-yz5uj3jd5y
@user-yz5uj3jd5y 12 сағат бұрын
ndacha amekubali mafunzo ya waislam.wamekufuru wale wanaosema mungu ni watatu, na leo ndacha anathibitisha,
@otienoopondo6405
@otienoopondo6405 13 сағат бұрын
Tv chanel ya mwakemwa huitwaje?
@doronibahendwa6451
@doronibahendwa6451 13 сағат бұрын
Sasa nyiie Tanzania mtaweza kuact mkiwa uchi???? Nchi za huku magharibi nilipo Finland wasabi wa kitengo cha kuact movies wanajiachia kabisa, kama anaoga bafuni, anakuwa uchi kabisa/ naked . Kisses ndo usiseme, kufanya mapenzi ukiwa uchi/ utupu. Je , kwa TZ itwezekana hayo??Na huku pia kuna vyuo vinkuu vya sanaa, na wote wana degree mpaka master. Itawabidi Tanzania kuwa Na vyuo vikuu vya sanaa mkasome mpate elimu ya uigizagizaji
@user-sp2pp1ht6m
@user-sp2pp1ht6m 14 сағат бұрын
Asee angalau tunapata elim kidogo, Mungu akubariki.
@RichardMachuki
@RichardMachuki 14 сағат бұрын
Je, mnayoyasunguza mwayatoa katika maandiko gani? Sabato imeanzia juma la kwanza ya uumbaji. Ni amri aliyoitoa Maulana. Je, tutafuata maelezo yenu au ya Mungu. Mungu alitoa kielelezo tufuate.
@sizzle_tz
@sizzle_tz 15 сағат бұрын
Wa kutegemewa ni Allah sio hao viumbe hao na riziki hutolewa na yeye
@barakabusima
@barakabusima 16 сағат бұрын
Wewe ni mganga bwana 😂 wacha zako
@user-ry5ch1dy4i
@user-ry5ch1dy4i 17 сағат бұрын
Mimi Namini maneno yako na nafuatilia
@RwidhiaRichard
@RwidhiaRichard 17 сағат бұрын
MKOMBOZI MITIMINGI HERBAL CLINIC UPONYEKE NAWE UKAFANYIKE SHUHUDA KWA WATU WENGINE TUNA DAWA ZA ASILI ZA TIBA MBALI MBALI ZILIZOTHIBITIKA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI KAMA VILE :kina dada huyo HAPA MITIMINGI TRADITIONALCLINIC Anatibu fangasi sungu ukeni na U.T.I sungu (2)P. I . D .Maumivu wakati wa tendo la ndoa na halafu mbaya ukeni . (3) Mirija ya uzazi uliolegea . (4)Maumivu ya tumbo chini ya kitovu na changu (5)UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (6)BAWASIRI AU HEMORRHOIDS ) BAWASIRI YA NDANI NA NJE (7)PRESHA ,SUKARI NGIRI N.K (8)LIFE CARE;dawa ya asili yenye uwezo wakuboresha kinga za mwili ni msaada pia kwa wenye virusi vya ukimwi _dawa zote zina kibali cha wizara ya afya kitengo cha tiba mbadala WASILIANA NASI KUPATA DAWA piga 0673060366 WhatsApp ♥
@msemakweli243
@msemakweli243 17 сағат бұрын
Hapo hakuna mtumishi wa mungu mikope,mawigi duh wakati ki maandiko ni kahaba unajiita mtumishi
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn 18 сағат бұрын
Pole sana sheikhee
@AlexMungathia
@AlexMungathia 19 сағат бұрын
Tuewe na imani moja na ubatinzo mmoja ili tuwe na mwili wa yesu
@awadhally1052
@awadhally1052 19 сағат бұрын
Wewe huna akili huyu sule sio shehee ni mchawi.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 20 сағат бұрын
Nakubaliana na IPM kutoka Gikombaa nairobi
@josejosepg6601
@josejosepg6601 21 сағат бұрын
Leo mzee wangu kachemka hapo kumbe biblia nipana sn tiketi ya kuonyesha iri uingie peponi ni amri kumi za MUNGU na ukishindwa moja umeharibu zote 🙆
@laickwilinerd5375
@laickwilinerd5375 22 сағат бұрын
Akili yako ndoimeishia hapo omba uongezewe maalifa na mungu
@sultanrajabu8369
@sultanrajabu8369 23 сағат бұрын
Jaman naomba mdahalo wa kielimu uwekwe kwenye hili swala..maamumat tunakuwa hatuelewi ikiwa wana wa zuon mnachanganyana.
@LazaroMalango
@LazaroMalango Күн бұрын
Swali hajibu kwa maandiko ila ni blaablaa tu
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 Күн бұрын
Upo sawa shekhe
@Glorylt
@Glorylt Күн бұрын
KWAHIYO HUYU HANANJA ANAJULIKANA NA YESU? NA KWA VIGEZO GANI HANANJA ATAMBULIKE KWA YESU WENGINE WASITAMBULIKE?
@SuleimanSamwel-bg6dz
@SuleimanSamwel-bg6dz Күн бұрын
Endelea kuwa mchekeshaji biblia waachie wengine,
@makamezahoro8194
@makamezahoro8194 Күн бұрын
We sule nenda katk qur an tunayoufta au kidgo haipo sawa suleiman vp nenda kuelimisha kwakutumia kur an iyo hadisi eti
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Күн бұрын
Acha kuruka swali ni jee mtume kafundisha
@AlfaMwahasanga-j1q
@AlfaMwahasanga-j1q Күн бұрын
Lakini wengi wa watumishi leo wanashughuka na kuwatia moyo watu hata kama wanaendelea na dhambi
@AlfaMwahasanga-j1q
@AlfaMwahasanga-j1q Күн бұрын
Kumbe Imebaki kuwa shangwe siku hizi duu!
@joseaugust2805
@joseaugust2805 Күн бұрын
Kuchinja kama mkisto , bi kurudi nyuma kwa manabii wa kale , ni sawa na ukasema kuwa Kristo Yesu akufa , maana kufa kwake na kufufuka ni kafara tosha ya milele , Kafara ya saivi ya Kristo Yesu ni kujifungamanisha naye na kujitoa dhabihu mwili wako , maana yake Kristo aishi ndani yako , na sio tena kuchinja wanyama kama kafara ,
@joseaugust2805
@joseaugust2805 Күн бұрын
Kuna nira ya YESU na kuna nira ya manabii wa kale ,. Sasa kama mkristo ndo uchague unataka nira ya YESU au unataka nira ya manabii wa kale ??? Kuna kisa Yesu aliwaambia wale mafarisayo kuwa anataka rehema na sio sadaka ,
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on Күн бұрын
Nakuelewa sana
@MeshackMisungwi-w8q
@MeshackMisungwi-w8q Күн бұрын
Pole sana mzee somo gumu kwako
@VascoKasambala
@VascoKasambala Күн бұрын
Mbona mngu anasema aliumba vtu vyote sku sta naizo sku hazna majina ko iyo jumamosi nani aliipa jina?
@YoungAslam11
@YoungAslam11 Күн бұрын
Juma mosi wamechukua kwenye qur an
@VascoKasambala
@VascoKasambala Күн бұрын
WASABATO WANAONGOZA KUA NA ROHO MBAYA TANZANIA FANYENI UTAFTI WAO WAMESHIKA SKU TU SIO MENNGINE WANAIJUA AMRI MOJA TU
@VascoKasambala
@VascoKasambala Күн бұрын
Vp
@njiasalamatv4794
@njiasalamatv4794 Күн бұрын
DINI UMELETEWA NA WATU KWAHIYO HAKUNA NENO LA MUNGU ?
@njiasalamatv4794
@njiasalamatv4794 Күн бұрын
WE PASTOR WEWE ACHA UONGO UJUE FATA MAANDIKO SIYO UTASHI WAKO PLEASE....
@libhusa
@libhusa Күн бұрын
Wamaatakumurasulu fakudhuhu
@libhusa
@libhusa Күн бұрын
Usi zue zue sheikh
@libhusa
@libhusa Күн бұрын
Sheikh hiyo ni yakwako usiwapoteze umma