MCH NIKODEM MWAHANGILA.ATOBOA SIRI YA MITUME NA MANABII FEKI

  Рет қаралды 25,382

NIKODEM MWAHANGILA

NIKODEM MWAHANGILA

Күн бұрын

Mchungaji NIKODEM MWAHANGILA .atoboa Siri ya mitume na manabii feki wanakotoa mafuta ya upako.na maji ya upako.mashaliti wanayo pewa KUZINI na mabinti mabikra na wake zawatu.faturia ushuhuda huu mpaka misho kalibu 0756273049

Пікірлер: 121
@sweetbertnswima5352
@sweetbertnswima5352 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu Baba Jehova akutunze na akulinde katika la Yesu.🎌🎌🎌🎌
@susanwanyoni249
@susanwanyoni249 2 жыл бұрын
Amen and Amen Mtumishi wa Mungu aki tumepotea kabisa from Kenya
@daisyakhini9331
@daisyakhini9331 2 жыл бұрын
Barikiwa sana, ahsante aki dunia watu wanakimbilia miujiza, waaah mimi mingu wa binguni ndo naamini
@ruciasimeo4431
@ruciasimeo4431 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi uliyejitoa muhanga kuisema kweli, utalipwa usipoimia roho,utawaponya wengi
@neemaedward6627
@neemaedward6627 2 жыл бұрын
Amina mtumishi nimelewa vizuri sana Mungu akuinuwe kwa viwango vya juuu
@dorislinus8296
@dorislinus8296 2 жыл бұрын
Barikiwa San mtumishi w mungu kw injili yko
@christianmlelwa2351
@christianmlelwa2351 3 жыл бұрын
Pastor maswali ,hivi Kuna wengine Wana taja jina la yesu nawana kuwa na maji na mafuta hapo Ina kuwaje naomba ufafanuzi vizuri hapo
@alexjos7625
@alexjos7625 2 жыл бұрын
Imeandikwa watataja jina la Yesu ila si wa yesu..angalia matendo yao
@LinahMwakamsale
@LinahMwakamsale 4 ай бұрын
Nakukubali san mchungaji wangu jamn
@LazaroDamiano
@LazaroDamiano Жыл бұрын
Miujiza ni kwa ajili ya wasioamini, ndy mahali watu wamepotea, mtumishi wa Mungu
@fanicejotham9431
@fanicejotham9431 2 жыл бұрын
Umenifunza kitu mtumishi wa Mungu.Hayo mafuta ni Olive oil ama?
@PamboCharo
@PamboCharo 6 ай бұрын
😢😢😢Mungu akubariki na akulinde na akutunze wafutwe kazi katika jina la yesu wasitoe kafara
@ZacharyYohana
@ZacharyYohana Ай бұрын
Mungu akubariki baba
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 2 жыл бұрын
Kwa maelezo unayotoa kuna watumishi nawahis kama ndo unaowalenga lkn mbona wanatumia jina la Yesu!?
@srdorcaskulimushi3195
@srdorcaskulimushi3195 2 жыл бұрын
Sikila aniitao bwana bwana wote ni wana wangu wengi uvaa ngozi za kondo kumbe mbwamwitu
@Esthermordecai
@Esthermordecai 24 күн бұрын
Wanataka jina la Yesu mwingine wa muigo sio ule Yesu Kristo mwana wa Mungu.😢
@Esthermordecai
@Esthermordecai 24 күн бұрын
Yesu wanayemtaja sio Yesu Kristo,Bali ni Yesu asiye wa kweli.
@jackkerubo6158
@jackkerubo6158 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji Mungu wa amani akuongezee
@jacoblongo1244
@jacoblongo1244 2 жыл бұрын
Sahihi mtumishi wa yesu kristo ubarikiwe 🤝🤝🤝🤝 wazizi hawa jamaa balaa
@AidaRaphael
@AidaRaphael Ай бұрын
Kuna mtume mmoja kila anapoenda kwenye mkoa lazima ajali itokee kwenye mkoa huo?? Sasa ndio nini,,??
@AidaRaphael
@AidaRaphael Ай бұрын
❤❤ barikiwa mtumishi
@LinahMwakamsale
@LinahMwakamsale 4 ай бұрын
Nakupenda bule mchungaji
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@joycembosa210
@joycembosa210 2 жыл бұрын
Mch mungu akubariki naomba namba zako niongee nawewe ninashida.
@matridawilium9945
@matridawilium9945 2 жыл бұрын
Mungu akubariki wakupingao ni mashetani
@LinahMwakamsale
@LinahMwakamsale 4 ай бұрын
Nakukubali san mchungaji wangu jamn 1:29 1:31
@neemajames5368
@neemajames5368 2 жыл бұрын
Amina sana naomba Mungu anitokee
@jenniferpita6885
@jenniferpita6885 2 жыл бұрын
Amina mungu akulinde
@Neema182
@Neema182 4 жыл бұрын
Mtumishi page yako Facebook inaitwaje?
@euniceenike2240
@euniceenike2240 2 жыл бұрын
Daddy twaomba number yako ya whatsap wengine tuko mataifa ya nje na ni expensive Sana kukupigia direct
@ngangadk
@ngangadk 2 жыл бұрын
Mtumishi mungu akulinde katika jina la Yesu
@zainaelia1746
@zainaelia1746 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mwanawitu nakupenda 🥰 bure kaka
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Mitume wapo 12 wale Tenashara...Manabii wa kweli hawana mbwebwe za kutabiri maisha ya mtu izo ni Ramli..Nabii anabeba Neno la Mungu sio kwamba yeye tena asome neno la Mungu yeye anakuwa kinywa cha Mungu hapa duniani
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 жыл бұрын
Waongo Sana hao MASHETANI wanawateka wenye tamaa za pesa..wanadanganya hakuna kafara..ukiingia tu, wanaanza kumaliza familia baadae mtaka pesa nae wanamfuta.
@maureenadega1065
@maureenadega1065 2 жыл бұрын
Ubarikiwe pst 🙏🙏
@ngangadk
@ngangadk 2 жыл бұрын
Mtumishi mungu akulinde
@philimanmbowe6226
@philimanmbowe6226 4 жыл бұрын
Mchungaji napenda kuwa na namba yako maana watu wametutesa sana na kutuonea
@elizabethbentil3100
@elizabethbentil3100 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU .
@yasminebukhebi7907
@yasminebukhebi7907 2 жыл бұрын
Amen Asante sana mutumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@subilamwakalobo433
@subilamwakalobo433 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@srdorcaskulimushi3195
@srdorcaskulimushi3195 2 жыл бұрын
Hewe aduwi wa shetani hacha mungu akulinde
@mathildaapiyo3684
@mathildaapiyo3684 2 жыл бұрын
Asanti sana mutumishi wa mungu watu wengi tumeumia
@makimbiliotemplembeya8972
@makimbiliotemplembeya8972 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumish
@Ursain.IKE.jesuis9365
@Ursain.IKE.jesuis9365 2 жыл бұрын
Mungu wa Bwana wetu yesu asifiwe Baba na taka namb ya ya kwako whatsapp
@AIDANIKAHIMBI-ql6tn
@AIDANIKAHIMBI-ql6tn 9 ай бұрын
Amen mtumishi
@upendopeter5358
@upendopeter5358 2 жыл бұрын
Tumekusikia pastor ila hilo jina ulilojiita osama.lifute.jiite tu mchungaji linajitosheleza sana.
@uchaguzipiusbusurwa3584
@uchaguzipiusbusurwa3584 2 жыл бұрын
Naomba namba yako paster ..
@graceriziki7339
@graceriziki7339 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@ngangadk
@ngangadk 2 жыл бұрын
Mungu akulinde
@domisianpius214
@domisianpius214 4 жыл бұрын
Ubarikiwe kamanda
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 жыл бұрын
Na haya watu wanayochota kwenye ndoo na wengine wanatumia mafuta ya kula je hayo pia yanawekewa nguvu nyingine
@ev.eng.enockl.mwakapalila2499
@ev.eng.enockl.mwakapalila2499 4 жыл бұрын
Ameni sana baba kwa kazi njema hii
@sixteenonline9811
@sixteenonline9811 4 жыл бұрын
Safi sana baba
@joshuaadam2998
@joshuaadam2998 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wamungu
@neemamfusi4446
@neemamfusi4446 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki na azidi kukutumia zaidi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yaani MUNGU AZIDI KUKULINDA mtu wa MUNGU na songa mbele na YESU akupiganie zaidi
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 2 жыл бұрын
Naomba namba yako Mtumishi
@EstraEmily
@EstraEmily 5 ай бұрын
Amina baba
@sixteenonline9811
@sixteenonline9811 4 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@mosesmussa2096
@mosesmussa2096 2 жыл бұрын
Hubiri Ufalme Mungu Akuinue Siyo Kusema Watu Wengine Ukadhani Ndo Utakuwa Na Kanisan Kubwa Hapana
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 11 ай бұрын
Hata mimi sijapenda kabisa yeye ahubili wito wake alioitiwa acha kusema watumishi baba siyo hicho ulichoitiwa
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 11 ай бұрын
Kila mtumishi anaitwa kwa namna yake
@mosesmussa2096
@mosesmussa2096 11 ай бұрын
@@gracemahugi4380 Umeona Eh
@huldavalence7823
@huldavalence7823 9 ай бұрын
Kanisa analo kubwa sana ko hatafuti kuwa na kanisa kubwa anaongea ukweli na watu siku zote hatupendi ukweli
@mosesmussa2096
@mosesmussa2096 9 ай бұрын
@@huldavalence7823 Unaijua Habari njema ya Kristo?
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 жыл бұрын
Sasa askofu Sumbe na gwajima mbona wana waumini wengi nawo ni wa nabi feke?
@emmiKalagho
@emmiKalagho 4 ай бұрын
Gwajima hauzi Majii Wala matakataka yote hayo
@claretkinembwe3452
@claretkinembwe3452 2 жыл бұрын
Ameni mchungaji nakufatilia
@edithanchimbi2754
@edithanchimbi2754 2 жыл бұрын
Mungu akubariki saaanaaa baba
@gib3888
@gib3888 2 жыл бұрын
apostle pray 4me plz 🙏
@JoyceNchama
@JoyceNchama Жыл бұрын
Baba bwana yesu asifiwe Baba samahan naomba unisaidie kwamaombi kwani napitiya magumu
@gabbymwamulima345
@gabbymwamulima345 2 жыл бұрын
Nimejiunga kwako mchungaji mwahangila,Niko Lusaka zambia.nisaidie mtumishi mbona nafanya kazi Ila vitu haviendi kwenye familia yangu.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Kalibu
@talpacompany8358
@talpacompany8358 5 ай бұрын
​@@nikodemmwahangila3334here,naitwa much.kabasa ni mwagalizi section ya mbogwe naomba n.mtumishi
@Isackmagudzi
@Isackmagudzi 4 жыл бұрын
AMINA,,,,,,,,"ADUI YANGU KUFA BADALA YANGU"
@sponsoredbygrace6832
@sponsoredbygrace6832 2 жыл бұрын
I HAVE SUSCRIBED THIS IS BITTER TRUTH OOH!!
@peterpaul-mq5qn
@peterpaul-mq5qn Жыл бұрын
Mwenye masikio amesikia japo kizazi cha leo hakisikii wala kushituka
@elizabethbentil3100
@elizabethbentil3100 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 2 жыл бұрын
niukweli mutumishi haya mambo yapo na pia yanatendeka watu wa Mungu hawaoni hawasikii hawafikirii
@sixteenonline9811
@sixteenonline9811 4 жыл бұрын
Sema baba sema tunapona
@isakayolam
@isakayolam 4 жыл бұрын
ubalikiwe mtumishi wa mungu
@venancemwakibete9830
@venancemwakibete9830 2 жыл бұрын
Hiyo ndiyo injili inayotakiwa kwa sasa
@MarryJoseph-s5x
@MarryJoseph-s5x Жыл бұрын
Amina
@gib3888
@gib3888 2 жыл бұрын
amen amen 🙏
@anthonyzambi4415
@anthonyzambi4415 4 жыл бұрын
Barikiwa
@Neema182
@Neema182 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@gib3888
@gib3888 2 жыл бұрын
Wooooiiii mungu wangu
@NEEMAMAEDA-u1m
@NEEMAMAEDA-u1m 5 ай бұрын
Haleluya
@janeatiang4883
@janeatiang4883 2 жыл бұрын
Nitakupata wapi mtumishi nimependa sana mafundisho niko na kanisa imani yako dio yako natoka sirare Kenya
@huldavalence7823
@huldavalence7823 9 ай бұрын
Yupo Tanzania jijini Mbeya airport ya zamani
@esnartkayuni558
@esnartkayuni558 Жыл бұрын
Amen and amen
@ngangadk
@ngangadk 2 жыл бұрын
Tutebelee hapa Kenya
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
We usiende huko kwenye mafuta utaenda jehanamu
@MariamuJoseph-z2j
@MariamuJoseph-z2j Жыл бұрын
Ameni
@Shalom2018
@Shalom2018 2 жыл бұрын
Amen
@gib3888
@gib3888 2 жыл бұрын
AMEN
@ajohj.mwanjala8913
@ajohj.mwanjala8913 4 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii baba hiii ndiyo injili Maana maandiko yako bayana kwamba WAGALATIA 1:8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe. BULDOZA TINGATINGA OSAMA ULIYEJITOA MUHANGA KWA AJILI YA INJILI TOBOA SIRI BABA LAZIMA WAPIGWEEE
@josephinepetet122
@josephinepetet122 3 жыл бұрын
Mungu akutunze baba
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
🔥🙏🙏
@janeatiang4883
@janeatiang4883 2 жыл бұрын
Asifiwe yesu mtumishi nime pendeswa sana na ujumbe wako mtumishi imani yako dio yako nita kupata wapi Niko na kanisa natoka sirare Kenya
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
Uongo utakuja kukugharimu hapo tu umechonga pembe za ndefu na pembeni kwa kichwa biblia ilishakataza
@huldavalence7823
@huldavalence7823 9 ай бұрын
Hajaongea uongo wowote anachokiongea ni ukweli tu
@jumakalinga2496
@jumakalinga2496 2 жыл бұрын
Kwelikabisa
@roseu728
@roseu728 2 жыл бұрын
Amen and Amen 🙏🙏
@ruciasimeo4431
@ruciasimeo4431 2 жыл бұрын
Mungu akubariki saana kwa kusema kweli
@ruciasimeo4431
@ruciasimeo4431 2 жыл бұрын
Mungu akutunze uendelehe kuwalipua wakina Mwamposa na wengine wengi
@janeatiang4883
@janeatiang4883 2 жыл бұрын
A
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 4 жыл бұрын
Isheee ntuwe nahovyoha ntu wewe uyendelele
@rukiasalum5320
@rukiasalum5320 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@LinahMwakamsale
@LinahMwakamsale 4 ай бұрын
Nakukubali san mchungaji wangu jamn
@LinahMwakamsale
@LinahMwakamsale 4 ай бұрын
Nakupenda bule mchungaji
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 4 ай бұрын
Ubalikiwe
@octaviachusi6153
@octaviachusi6153 Жыл бұрын
Amina
@annahayasanday7174
@annahayasanday7174 2 жыл бұрын
Amen
@agneshassan4712
@agneshassan4712 2 жыл бұрын
Amina
@annjuma3395
@annjuma3395 4 жыл бұрын
Amen
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 24 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
BONGE LA NEEMA ft NIKODEM MWAHANGILA TUTAPITA KATIKATI YAOO
8:10
BONGE LA NEEMA
Рет қаралды 13 М.
Christopher Mwahangila  -  NI MUNGU AMEFANYA (Official Music Video)
5:28
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 3,5 МЛН
AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE-SIFAELI MWABUKA SKIZA  DIAL  *860*413#
8:18
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 4,2 МЛН