MCHAMBUZI OSMAN KAZI: HII HAIKUPASWA KUWA PENATI/REFA AMEKOSEA HAPA/KAPOMBE ALIJIRUSHA KWELI?

  Рет қаралды 14,574

Scope Bongo

Scope Bongo

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@mosesmsuka5691
@mosesmsuka5691 12 сағат бұрын
Kuna wachambuzi pale Azam Yani Ramadhani Mbwaduke na Amri Kiemba wamegeuka kuwa machawa wa Simba Kila kitu kwa Simba ni sahihi tu, Mbwaduke saivi amekuwa chawa
@MgazaMhina
@MgazaMhina 3 сағат бұрын
Mbona wachambuzi wengi wamesema ni penati,wachambuzi wa crown,clouds e fm na wengine wamekili ni clear penalty sasa wewe unawalaumuje wawili tu punguza chuki na kazi za watu
@salmaamani7021
@salmaamani7021 Сағат бұрын
Hata mie nimeona
@godfreykarigo6404
@godfreykarigo6404 Сағат бұрын
Kapombe alifanyiwa faulo au sio faulo na kama ni faulo ndani ya box inaamuliwaje
@NdomaSamwel
@NdomaSamwel 12 сағат бұрын
Simba wamepata ushindi wa kuiba dhidi ya jkt tanzania
@HassanMdetele
@HassanMdetele 4 сағат бұрын
Kuishangaa Simba kubebwa, ni sawa na kuishangaa Wahindi kujanba,
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 5 сағат бұрын
Pale hakukuwa na possibility of playing ball kwa kapombe
@JohnMshana-w8r
@JohnMshana-w8r 4 сағат бұрын
Refa alitoa card ya njano then red not direct red card.Chambua vizuri.
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 5 сағат бұрын
Bahasha Refa football club 😢
@immaabukuku7180
@immaabukuku7180 Сағат бұрын
What goes around comes back around
@albertvalentino130
@albertvalentino130 3 сағат бұрын
Jamani siyo -- Simba spot club --- ni SIMBA SPORTS CLUB -- ukisema Spot,unakuwa umeta kitu kingine.
@linuslusian-d5w
@linuslusian-d5w 4 сағат бұрын
mbona Azizi alisukumwa ndani ya penaiti boxs haikuwa penairte
@MgazaMhina
@MgazaMhina 3 сағат бұрын
Mech ipi alisukumwa
@ManjaHisani
@ManjaHisani Сағат бұрын
Hii sheriya iyendelee isiwe kwa tim ya penalty tim haina uwezo wa ushindi mnaibeba tu simba ikibebwa sheriya teleee zinatafutwa
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 11 сағат бұрын
Penati FC
@andrewsalufu
@andrewsalufu 2 сағат бұрын
Mpira haukumfikia Shomari , yaani pasi Ile haikuenda kwa Shomari.
@IddiKilomeye
@IddiKilomeye 57 минут бұрын
Hayo Nimaagizo Ya TFF
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 11 сағат бұрын
Mbeleko FC. Penati FC
@OS-pf6op
@OS-pf6op 12 сағат бұрын
Hakuna mpira uliokuwa unakwenda kwake kwani ulizuiwa na mchezaji mwingine. Angekimbia Bure!
@ABUU961
@ABUU961 7 сағат бұрын
Kumbuka na yule mchezaji alie zuia mpira alishika
@ramadhanirama7970
@ramadhanirama7970 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 yan waalim wanakaz sasa mpira ulizuiwa ukiwa unaenda wap na shomar alikua anaenda wap?
@sallumabeid1162
@sallumabeid1162 2 сағат бұрын
Ni kweli maana hata kama angebaki peke take ule mpira usingemfikia sasa sijuu amezuiliwa kitu gani
@Badvoice707
@Badvoice707 30 минут бұрын
Penati halali kabisa sema yanga ndo tatizo waliumia sana jkt wenyewe kimya ila 🐸🐸🐸🐸🐸 analia lia
@simonkitta478
@simonkitta478 4 сағат бұрын
Kumbuka kabla ya ao wawili kilikuwa na mchezaji aiiyekuwepo kabla hao hawaja ingia kwenye boksi!!!!
@khmissalum3881
@khmissalum3881 3 сағат бұрын
Sheria hiyo ni yakwako ni kwamapenzi timu Yako ipo sawa kwa kutetea
@ABELSHEYO-q2e
@ABELSHEYO-q2e 43 минут бұрын
Mbona goli la backa la mkono hamsemi mnapotezea kwa penart halali kabisa ya simba duu yanga wamechoka sanà
@MohamadKhalid-k3r
@MohamadKhalid-k3r 2 сағат бұрын
Wacheni wasifie tu Simba Yao lkni tunayaona mabovu yao mda sio mrefu awtaanza kupiga kelele
@NuhuM-s1x
@NuhuM-s1x 3 сағат бұрын
Mchambuz mkwel kuna mtu anaitwa salamba yule jamaa ana juwa sana lakini kuna mchambuz alikua jana kakaa na yule rasta aongei kiuchambuz kabisa anaongea kima penz
@laninjeje8290
@laninjeje8290 3 сағат бұрын
Bacca alifunga kwa mkono mbona hawachambui au wachambuzi ni mashoga wa yanga 😂😂
@musamagulu2023
@musamagulu2023 3 сағат бұрын
Nenda kaangalie walichosema kuhusu goli la bacca
@musamagulu2023
@musamagulu2023 3 сағат бұрын
Usiropokee tu
@laninjeje8290
@laninjeje8290 3 сағат бұрын
@musamagulu2023 baka alibaka Tanzania prisons kwa mkono
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 4 сағат бұрын
huyu othman kazi yy amrkuwa mkosoaji ila wakat wake alifanya madudu zaidi yahaya kwanza mpira ukiwa speed unawapa wakat mgmu sana marfaree
@MussaHamadi-s5c
@MussaHamadi-s5c 3 сағат бұрын
Hapana wakati mgumu munabebwa sana simba kwan nan asiye ona
@OmaryRajabu-g7r
@OmaryRajabu-g7r 3 сағат бұрын
HUYU MBWA ANAEZUNGUMZA NI MSENGE MAANDISHI JUU YA PENALT OSMAN KAZI AMESEMA HAIKUPASWA KUA PENALT,,YEYE ANASEMA NJE YA ANDIKO AMA UCHAMBUZI WA KAZE ,,USHABIKI WA MCHAMBUZI MSEMAJI,,,
@mulhatramadhan1147
@mulhatramadhan1147 6 сағат бұрын
Wakati kafunga simba kila mchambuzi atasema ilikuwa penalti
@mosesmsuka5691
@mosesmsuka5691 12 сағат бұрын
Sasa unategemea Othimani Kazi aseme sio penalty wakati nimwanachama wa simba
@DanielMusa-u1y
@DanielMusa-u1y 47 минут бұрын
Wote haumjui mpira mtulie
@chemstry409
@chemstry409 8 сағат бұрын
MECHI KUMI NA NNE (14)..PENALTY KUMI NA MBILI (12)....DUUUUHHH....
@SeyangaSudi-r6u
@SeyangaSudi-r6u 4 сағат бұрын
Dunia kubwa hakuna Cha duuh! Kama timu pinzan inafanya makosa ndani ya penat inatakiwa iwe nn? Na hiyo ndo Simba inayotengeneza timu mziki ukikaai sawa inakuwaje?pongezi kwa jkt timu nzuri na kama unajua mpira na kanuni za soka ni clea penat! Halafu huyo sio otman kazi anaechambua ni mjinga flan mpotoshaji uchambuzi uchwara
@zainahassani3966
@zainahassani3966 3 сағат бұрын
Othumani kazi umechapia si kama Sheria unajua wewe tu acha usimba wasaidieni hivi vilabu vidogo
@BarakaMwampashi-w5t
@BarakaMwampashi-w5t Сағат бұрын
Uyo refa ni Kuma musiwe mnachambuwa ujinga mafara nyie
@ElimegioKazoba
@ElimegioKazoba 2 сағат бұрын
Hivi ninyi mbona hajadili golibaka ka mkono
@vincentshekibula6670
@vincentshekibula6670 3 сағат бұрын
Nguruwe
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 10 сағат бұрын
Akuna penat mbeleko TU
@mussaissa6796
@mussaissa6796 4 сағат бұрын
PENATI 12 KWENYE MECHI 14!!! NA BADO HAMWONI KUWA HIYO TIMU INABEBWA ILI ISHINDE IWE IWAVYO.
@MgazaMhina
@MgazaMhina 3 сағат бұрын
Ni penati 6 sio 12
@ramadhanirama7970
@ramadhanirama7970 3 сағат бұрын
Unaumia ukiwa wap?
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 12 сағат бұрын
Hivi wanasheria hakuna kipengele cha kumshitaki mtu kukusemea jambo ambalo ww hujasema? Hebu mutusaidie watu tupate mitaji kwa hawa wenye vimedia uchwara
@Mathamayaka
@Mathamayaka 6 сағат бұрын
Wale Simba mbwaduke na kiemba
@BardwinMpunga
@BardwinMpunga 5 сағат бұрын
Wandishi wabovu
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 4 сағат бұрын
Muongo wewe ule mpira ulikuwa una kwenda kwa kapomve?mbona mbatumia nguvu sana
@JosephSaidJikolo
@JosephSaidJikolo 3 сағат бұрын
Bebweni sana mtatukuta tu wababe wenu tunawasubiri
@zubedamasanja8270
@zubedamasanja8270 4 сағат бұрын
Kilakosalitahukumiwa liwe dogoau kubwa
@makamesaid9137
@makamesaid9137 9 сағат бұрын
Hivi wewe ndio Osman kazi? Kwani Kapombe alikuwa anafukuzia mpira ulioko wapi? Mnahalalisha vitu ambavyo ni vya hovyo MAKOLO nyie kenge waheid
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 4 сағат бұрын
Kwaio ww ndo osman kaz au mpumbavu
@BarakaMwampashi-w5t
@BarakaMwampashi-w5t Сағат бұрын
Wewe ni fala penati ya wapi kama hiyo wajinga ttuu
@ExaudLupenza-qu1xu
@ExaudLupenza-qu1xu 3 сағат бұрын
Huyu bek anafaa kihojiwa lwanini alimpalamia kapombe hivi eneo la hatarii hakujua matokeo?
@DulaRashid-r5z
@DulaRashid-r5z 6 сағат бұрын
Nyinyi wajinga sio penanti hiyo itakua ipi
@kassimmgwami
@kassimmgwami 6 сағат бұрын
Wewe muongo labda kutafsiri kiingereza hujui kolo wewe.
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 10 сағат бұрын
Penati halali waache midomo wanajuwa kil kitu kama penati
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
15 IMPOSSIBLE GOALS IN FOOTBALL
9:13
Gustavo Marques
Рет қаралды 10 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН