Napenda unavyopika kwa kutumia vifaa rahisi kwa mtu yeyote kuvipata.. asante na hongera kwa upishi mzuri
@sallymwasi4 жыл бұрын
Wali wa maua was my favorite. I tried it and my daughter loved it! Shukran
@susanasharon80353 жыл бұрын
Napenda sana unavyotuongoza step by step katika upishi wako ni kama tunapika wote Mummy.
@dafemuya34713 жыл бұрын
Watanzania nawapa kongole kwa upishi, nakula tu kwa macho. Jah bless
@essypeace49254 жыл бұрын
Wow this is yummy. Thank you for receipt siz
@WinyMwangi3 жыл бұрын
I had watched this video some years back nikasema nitakuja kuitafuta tena. Nataka kujaribu recipe yako huu msimu wa Krismasi. Kazi njema Sana ❤️
@anelithagosbert98632 жыл бұрын
Iyo samaki nimeitamani
@vailethlaswai72562 жыл бұрын
Wow unapika vzur sana ....😋😋
@rahelgika38704 жыл бұрын
Uko vizuri dear kwenye mapishi, tunajifunza vingi shukrani.
@angelmanga19462 жыл бұрын
Nimependa kweli ulivyoelezea 🥰🥰😋😋😋😋
@lindamorio11114 жыл бұрын
Ika thank you wa nyumbani. You inspire me to cook and do it well. Maana umefanya simple sana. Mungu Akubariki zaidi 🙏🏾
@ikamalle4 жыл бұрын
🥰🥰
@FatmaMohamed-zk6ml4 жыл бұрын
😋 mmmmhhh yamii,I love wali wa maboga
@faridajuma76724 жыл бұрын
Wali w Maua unavutia kweli nmeupenda 👌😋. By loner
@aliceomollo80914 жыл бұрын
Waaa Inshalaa imenasa c unitumie
@beproudofyourself.38763 жыл бұрын
Dada kweli wajua kupika hongera 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@annteriano23414 жыл бұрын
You explain so well I love your cooking
@christinaedward65763 жыл бұрын
Asantee dada kwa kutufundisha mapish
@yasminhussein63854 жыл бұрын
Mmmh thank you so much for the recipe i love kenyan and tanzanian food am going to cook this in my hotel in america
@jaysantana88182 жыл бұрын
Gracefully 55555
@babymansouth11644 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah 😙Dada ukovizuriii+254👊👏👏👏💕
@blasidajulius22404 жыл бұрын
Nimependa wali wa mboga mboga mzur sana hongera
@tatuadammweibondo88863 жыл бұрын
😋😋 masha'Allah ntajaribu hyo fish pilau
@abdallahbabwoya35154 жыл бұрын
Wah!Mapishi yako ni noma Sana.Yaani natamani ningekuwa karibu na hicho chakula cha maua.Kimekaa kitamu Sana.But napenda pilau.Labda pilau na Biriani itakuwa noma zaidi.Ngoja nisubiri niangalie.
@lindaphabz89134 жыл бұрын
MashaAllah, nimejifunza
@zuhuranandy20882 жыл бұрын
Nimekipenda unavyopika🥰🥰🌹🌹🍲🍲🍲
@happyhope52494 жыл бұрын
Wow nimeupenda sana nilijaribu hii recipe.
@kautharahmed23384 жыл бұрын
Dida
@kusudihalisi11082 жыл бұрын
Asante dear kwa mafunzo yako:
@tabithawanjira34154 жыл бұрын
Hizo chakula ni tamu ni tamu jooooooh yuuuuummy
@margiekblessings7463 жыл бұрын
Njaaa enaluma Mimi saa yii,Asante ku kupiiga chakula nzuuli
@DoreenSarakkiya2 ай бұрын
Waoooo unajuakupika mnoo namimi natamn kujua kupika kama wewe jman
@aminamussahmsumuka65584 жыл бұрын
Kwa njegere za huku kwetu mmmh zinaweza kutoka mbichi
@deborahsalaama22614 жыл бұрын
Wow so Nice nime kipenda
@ramlacutiepie60874 жыл бұрын
Ma Sha Allah Siz n thank u for sharing will try wali wa vegetable
@IamNyobanda3 ай бұрын
Watching and love the recipes. I will try . Very good delicious and appetizing. Am new in your channel just ❤❤
@odethasweetbert87084 жыл бұрын
Great dear l love pilau
@rosepatrick76343 жыл бұрын
Hongera mamy nimenda msosi mmy
@assiahassan49014 жыл бұрын
MashaAllah🥰🥰🥰Ika u are the best❤️
@Monayed-q4g Жыл бұрын
Vegetable rice looks good
@ZahrushFashionQuality Жыл бұрын
Yummy yummy😋 asante dada ika love you so much ❤ ♥ 💖
@hailatizolo49993 жыл бұрын
Nimekuelewa kwauzuli sana hongera
@neemamandari49914 жыл бұрын
Uko vzurii we mchaga mwenzangu.mwenyez MUNGU azd kukutunza. Pls naomb utusaidi video ya viungo va jikon 🙏🙏🙏
@NeemaEmanuel-of1iq8 ай бұрын
Hongera DDA endelea kutufundusha mapsh aina mblimbli
@hellenmawere92844 жыл бұрын
Hongera Sana Ika.. ninapenda Sana mafunzo yako✨👏👏👏
@monicamkomeni58913 жыл бұрын
Uko vizuri mama sshani mamy viungo vinapatikana wapi
@amindhahabu22693 жыл бұрын
WOW ESPECIALLY THE BIRIYANI
@FAIDHAKASHIMU8 ай бұрын
Unapika vizuri sana❤❤❤
@dekalulabdi90544 жыл бұрын
Waw!!!!! I lyk it 👍👍👍👍👍👍
@ikamalle4 жыл бұрын
Asante
@purityrobert28273 жыл бұрын
wow amazing
@humphreykarua52413 жыл бұрын
Asante sana dadà kwa maelezo yako,
@GiftTishombe-wz6nj5 ай бұрын
pilau nimeipenda kwakweli😊
@dorahreuben33453 жыл бұрын
Asante sana Big up kwako
@estermaganga78774 жыл бұрын
Asante kwa hiyo Elimu, nimependa sana birian na wali wa mboga mboga
@sherryjournalist47433 жыл бұрын
Asantee da Ika
@elliefridafrancisco2614 жыл бұрын
dada ika wali wa mbogamboga na biriani is my favorate,,and your my favorate simplest cooker kwenye youtube♥️nakufollow mpaka IG🌹