mbwa baba nakukubali kinoma unanimalizia sana bando langu mbwa wewe 😂😂😂
@ahmadisaid9304 Жыл бұрын
Kicheche nakubali hufichi kitu unapasua tu then huo mwendo balaaaaa
@dennissilva122 Жыл бұрын
Kicheche mchepuko upuiirii unakaba koo .....weee mpuuzi Nini.. Like ka kawash from kinyaa
@glenleteipa4181 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂utaniua siku moja Kicheche.kichecheeeeee
@reginaeca8975 Жыл бұрын
Amazing 🤩🤩
@nzabonimanadonacien3630 Жыл бұрын
Nawakubari kutoka Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼🔥🔥 kama inamukubari kicheche piga like hapa
@karambizimartin1027 Жыл бұрын
Namkubali zadi yazaidi kicheche comediani number mojaja
@SHEORAMO10 Жыл бұрын
Daaaah uyu mwamba afai kwa comedy
@princeallonxsso7312 Жыл бұрын
Mm mwenyew napenda 😂 michepko 💕
@wakalighttv3991 Жыл бұрын
Bro Kicheche. We ni comedian mzuri ila hizi ceko zako zinakera. Mda mwingine zinaaribu script yako na inapunguwa uwezo unaosababisha mtu afurahie ucezaji wako. Maoni yangu🙏
@careemissa2502 Жыл бұрын
Na ww hujajua anafanya hvyo script ndo inataka acheke hivyo ili akere huyo c anafanya hvy ili kuwauzi hao wakereke Hyo n saanaaa na iko ndani ya igizo Mzee ndo lengo kuu
@josephkirombo1781 Жыл бұрын
I agree anazidisha inakaa useless kiasi anafaa apunguze kucheka sana