Hawa watu wa toyo huwa nomaa....fireeeeeee....ARUSHA my second home. I'm kenyan but I ❤ TZ.
@natureexpedition45493 жыл бұрын
Namuona emmaa apo kala tintela namula Yuko wanch cheche ni rekwe Mr rapid nakublii wazeeee💯💯
@hussenijuma6862 жыл бұрын
MARAIDER weka like hap wanangu Kaskazin ngalim kids nakubal xan
@jamessuleman23683 жыл бұрын
Big up nimekubali 💪
@fredricklomosing37782 жыл бұрын
Big up nimekubali
@hassanidd54452 жыл бұрын
Bangi sana
@benedictmollel97352 жыл бұрын
Wanavipaji na pia wanapenda wanachokifanya, wanapaswa kupewa Elimu zaidi, vifaa bora, mazingira rafiki ili kukuza zaidi vipaji vyao na kuleta faida
@Allyahmed402 жыл бұрын
Huo ni uelewa wako ndo umeona hivo na alokufa sio mjinga na we uloko hai sio mjafanja chalii angu. Shkuru Mungu acha uboya....
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Tena yanamtoka yan
@innoomkalimani80732 жыл бұрын
Kaka wako sawa, shida ni mavazi na usalama wao si kamilifu kwa kuendesha pikipiki, uanja bovu
@crownboe_media95553 жыл бұрын
Hatareeeee
@ashiriiyulu64302 жыл бұрын
Vpaji mara nyingi huibuliwa na maisha magu
@jamaawapikipiki41772 жыл бұрын
Chairman ana waona.
@demarsteka2 жыл бұрын
Maajabu hayo
@stanstano60642 жыл бұрын
Ni sawa but SAFETY GEAR IS IMPORTANT... HELMET AND GARMENTS...bangi tupu hii
@amanirazalo43382 жыл бұрын
Nakubali jamaa langu
@gelphacemsalila76792 жыл бұрын
up wadau
@everlinenyanchoka44102 жыл бұрын
Interesting but also dangerous
@jumakalukule53122 жыл бұрын
Safisana mazeeee
@muhammadmochenje14092 жыл бұрын
Huu ni ushamba tu!piki piki hizi sio za mchezo huu,wala hazichukuani na mchezo huu,hamna kipya hapa,hizi ni nzito za boda boda,huu ni utoto nunueni piki za sport zipo tu madukani,ni nyepesi na za pendeza kwa mchezo huu,lakini hizi hazipendezi wenyewe mwaonekana mnalazimisha mitindo tena kwa dharubu
@kadhijumannebof53933 жыл бұрын
Apo Kuna ualibifu wa iko kiwnja Cha mpila jamani mbona amukitendei aki iko kiwanja
@frankgeorge93713 жыл бұрын
Natoka kanisani ⛪ na Dede zinaendelea😂😂😂
@salim02tv243 жыл бұрын
Muonee uyoo mwamba wa nyuma anavyosikiliza 🤣🤣🤣🤣😂
@robertsylvester77283 жыл бұрын
Ila bange usiache arifu ndyo kila ktu iko kwa damu chariii angu