DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"

  Рет қаралды 489,661

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #Diamondplatnumz #FOA

Пікірлер: 763
@robertsimba5081
@robertsimba5081 2 жыл бұрын
Ali kiba is a generational singer....since he came out 2007 he has still maintained....much respect from Kenya 🇰🇪 2022
@nehzreal7445
@nehzreal7445 2 жыл бұрын
Umenipendeza kwa kumpa heshma the king of bongo flavour #Alkiba since 2003 likes for kiba zije
@davidluangisa4515
@davidluangisa4515 Жыл бұрын
Alikiba is a world class artist,,,and ever shall be,,Much respect
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 2 жыл бұрын
"siku nikifaa bado mtabaki na umoja?" strongest line ever,kama mna boss anawawazia wafanyakazi wake mambo haya basi is da best place to be.
@Waminala-id6kr
@Waminala-id6kr 5 ай бұрын
King kiba100 mungu akulinde napenda song zako zote
@guzomc255
@guzomc255 2 жыл бұрын
Simba kwenye Ep.yako umejitaidi sana ila kuhusu album ya king ni fire ilekinoma. ..mule nyimbo zote zimenyooka yote kwa yote mnastaili sifa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdulrahimmohamed9784
@abdulrahimmohamed9784 2 жыл бұрын
Mwambie ukweli asiseme ka single kamoja
@mankarichard5851
@mankarichard5851 2 жыл бұрын
Asante sana umenena vizur.
@ajaymilionea678
@ajaymilionea678 Жыл бұрын
Tatizo ht
@sunshinemusic9327
@sunshinemusic9327 2 жыл бұрын
I always respect this guy by the name diamond if you also love him just like my comment.
@benjaminimisuwi1883
@benjaminimisuwi1883 2 жыл бұрын
Alikiba atabk 👑 king t na n mwanamuziki sio msanii wa muziki km diamond ngoma moko inakonga myoyo kila kukicha utadhani verse mpya respect for king kiba
@chripinejodo3379
@chripinejodo3379 2 жыл бұрын
Wacha majivuno kaka....the songs in Ali's album are all heat songs...ww sai Hadi utumie wasani wenye nyota Yao inangaa kama Zuchu na Mbosso....
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 2 жыл бұрын
Anakuumiza sana nini?
@salimmwaduggah4614
@salimmwaduggah4614 2 жыл бұрын
For the first time I salute you Diamond, though am team #Kiba
@delimachesa4916
@delimachesa4916 2 жыл бұрын
KINGKIBA THE CROWN IS YOURS 👑😂😂😂
@alhajiFashions7563
@alhajiFashions7563 2 жыл бұрын
King 👑 Must be Respected!!!! If you can't Beat him Join Him
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 2 жыл бұрын
KingKiba is Utu na utulivu that's say👑👑🙌🙌
@paulebby1552
@paulebby1552 2 жыл бұрын
King is to be respected by everyone 👑 Kiba
@mankarichard5851
@mankarichard5851 2 жыл бұрын
Alafu wat did he meant kwamba kwa ali nyimbo iliyohit ni mojA ktk album yake??
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
@@mankarichard5851 Ndiyo wimbo ulio-hit kwenye album, nyingine zilipotea lakini huo bado una-trend.
@zanifarabdullah5756
@zanifarabdullah5756 2 жыл бұрын
@@unclepwechnov1381 wewe unajua maana ya nyimbo
@mankarichard5851
@mankarichard5851 2 жыл бұрын
@@unclepwechnov1381 mhhh sio huo tu albamu ya kiba ina hit nyingi aseh sio utu tu
@mankarichard5851
@mankarichard5851 2 жыл бұрын
Tukiachana na ushabiki albamu ya alikiba yani nyimbo zake zote n mziki mzur mziki utakaoishi.sio utu peke ake aseh zipo nying
@manasseninteretse8510
@manasseninteretse8510 2 жыл бұрын
Hapo sawa kwakuona kwamba Alikiba ndo mtu mukubwa kimziki, tena, ndio anaheshima yake, but I like all you guys. Hongereni sana nawapongeza kwenye kazi zenu nzuli, Alikiba ni mtu mkuu katika mziki! 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ayshamohamed8208
@ayshamohamed8208 2 жыл бұрын
Kiba NI musician Diamond NI msaniii !! Nawapenda wote, ila umemongelea kiba kinafiki Sanaa,
@eltndice7381
@eltndice7381 2 жыл бұрын
Asa kuna unafki gani shabiki ww.. mbn unakaza kichwa
@ayshamohamed8208
@ayshamohamed8208 2 жыл бұрын
@@eltndice7381 Komaza ubongo !! Usikurupuke Siyo kila comments NI za kishabiki
@eltndice7381
@eltndice7381 2 жыл бұрын
Asa ushabiki umetokea wapi nawe... kwan ww ndo unajua siri zao nn
@eltndice7381
@eltndice7381 2 жыл бұрын
Ila yaishe bhn dada tuwaache maana sisi tubabishana wao wanapata na hela kabisa ... so beat it lady😂😂😂😂😂
@claremoha9818
@claremoha9818 2 жыл бұрын
Wivu itawaua
@worldstartz
@worldstartz 2 жыл бұрын
Album ya King Kiba ni classic nyimbo zote Aache ujinga huyo boya
@frankkunambi5794
@frankkunambi5794 2 жыл бұрын
Upo sahihi unachoongea lkn je unajua maana ya hit song? Hit song ni nyimbo pendwa zaid au inayozungumziwa zaid ktk album, kwa mfano wizkid alivyotoa ile album yake hit song ilikuwa ni essence,, ndo ilikuwa gumzo kwahyo hta album ya king kiba gumzo ilikuwa ni utu 🙌🙌🙌
@kibokoyaotz4509
@kibokoyaotz4509 2 жыл бұрын
Na huyo boya album yake ana nyimbo gani ambayo ni hit
@rogathjmrema2221
@rogathjmrema2221 2 жыл бұрын
Hujamuelewa mond vzur ajasema mbovu amesema tu kwamba ametoa album na amepata hit song mfno utu ssa ajasema kwamba et ndio utu moja 😂😂
@kibokoyaotz4509
@kibokoyaotz4509 2 жыл бұрын
@@rogathjmrema2221 mm hta jina la ep yake sijui
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 2 жыл бұрын
Boya mama ako
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 жыл бұрын
Ali kibaa ni legend kwnye mziki Tanzaniaaa...si kumzidii diamond Tu Bali wengi Kati ya wasaniii alipoanza mziki alikiba walikuwa hawatambuliki wala hawakuwa wanatarajiwa
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Yupo kwa kiki ya Diamond ila huwezi linganisha Diamond na takataka hizo
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Anamzidi mond na nn nambie plz nijue
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 жыл бұрын
HAKUNA ANAYEKTAA....KUWA RECENTLY PLTINUMZ IS ABOVE DA REST.....LKN WHAT Am saying yaan kiukomavu kimziki anafaa kumpa respect
@saeedalyahmadi1738
@saeedalyahmadi1738 Жыл бұрын
Pia kiba asingonekana kama siyo kina dully so tamaa ni taji la ufalme wapewe kina dully k8n mr blue hukoo
@mtetezytv9647
@mtetezytv9647 2 жыл бұрын
Album ya King unasema utu imehit only? Album nzima ngoma zote fire umepaniki! Crown ni ya King Kiba
@joaotiago4235
@joaotiago4235 2 жыл бұрын
King Kiba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mozambique 🇲🇿
@K25795
@K25795 2 жыл бұрын
SASA DOMO ANATAKA KUSEMA KWENYE ALBUM YA KIBA NI UTU TUU NDO ILIYO HIT SI UKOROFI UYOO ALBUM YA KING KIBA NI HIT 🔥
@jastinjustus6878
@jastinjustus6878 2 жыл бұрын
Kwel ilo
@svt3
@svt3 2 жыл бұрын
Kytet Mackam: Diamond ndio msanii pekee mwenye maendeleo ya kuonekana Tz msanii mwenye media yake sio wakuomba airtime Clouds na EFM heshima saana kwa Simba
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 2 жыл бұрын
Hajataja Ni Album Ya Msanii Gani.. Huo ni uchonganishi mzee
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 жыл бұрын
Mbona in lia Sasa😂😂😂😂
@jaffarsaid8344
@jaffarsaid8344 2 жыл бұрын
@@slimmuhabesh2400 we hujamsikiza kaa usikilize alafu ndio ufungue kinywa
@zaynabjaabir1791
@zaynabjaabir1791 2 жыл бұрын
King ni king tu kibaaaaa♥️♥️
@OphoroTube
@OphoroTube 2 жыл бұрын
Sawa SIMBA 🦁
@benzaykenya6504
@benzaykenya6504 2 жыл бұрын
WOOOOW I love Simba's maturity 💓💓
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 жыл бұрын
Hujakua ukimwelewa huyu mimi huwa sifungui hata chochote mpaka nilipofikia hapa
@mapenziwilliam9382
@mapenziwilliam9382 2 жыл бұрын
King is always king lazima umuheshimu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
And Simba is always Simba..... Respect follows him.
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 2 жыл бұрын
@@BigZhumbe yeah.. Respect him
@mahabotieno2397
@mahabotieno2397 2 жыл бұрын
The king must be respected 👑
@delimachesa4916
@delimachesa4916 2 жыл бұрын
KINGKIBA ♥️
@lanafelix8649
@lanafelix8649 2 жыл бұрын
Simply alimfuta king kiba👑 kwa wimbo wake wa lala salama now we know amethibithisha Diamond after all this year's Kiba never lied
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 жыл бұрын
Album ya Kiba ni kali kwa kweli nyimbo nyingi zitadumu kwa muda mrefu, japo zuri kwa Ali hajisifu kokote kuhusu mauzo kuhusu pesa, na huo ndo utu wenyewe
@zanifarabdullah5756
@zanifarabdullah5756 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
Mauzo hayaihaji kujisifu bali ukiingia kwenye digital platforms streamings kila kitu kinaonekana, hiyo ujisifu au usijisifu hakuna siri linapokuja suala la mauzo.
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 2 жыл бұрын
Hata asipojisifu watu watamsifu kama angeuza sana coz namba zinaonekana tu huwez ongopa
@rosemaryisdory9861
@rosemaryisdory9861 2 жыл бұрын
Your 💪
@frankdzombojun1343
@frankdzombojun1343 2 жыл бұрын
Siku zote pesa hazihitaji kelele. The king must be respected.
@Jaxon_7
@Jaxon_7 2 жыл бұрын
King Kiba Noma....🇰🇪 🇰🇪
@fabicshofficial
@fabicshofficial 2 жыл бұрын
Diamond is the best
@chizashungu1236
@chizashungu1236 2 жыл бұрын
The Greatest Artist ever in the history of Bongofleva.#FOA ALL AROUND THE WORLD.
@obrigadoofficial1506
@obrigadoofficial1506 2 жыл бұрын
Diamond hekima kubwa mzee wa piece 💎🌟🙌
@pianotv6465
@pianotv6465 2 жыл бұрын
Bhana n ngoma zingne lakn album ya harmonize a k a bhakresa imeua big up kwa harmonize popote ulipo
@alawithebestconcept-as1005
@alawithebestconcept-as1005 2 жыл бұрын
Nice interview with the Truth thinkings mr SIMBA . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 жыл бұрын
Dah I feel happy to listen on you platinumz
@DjCastro_01
@DjCastro_01 2 жыл бұрын
Only one King ,The best ever album for the next generation and present continuous
@peterokalo9632
@peterokalo9632 2 жыл бұрын
Tunataka kimba n’a diamond colambo type I 🔥 music pamoja
@helderconstancio3002
@helderconstancio3002 2 жыл бұрын
Eu respeito Diamond Jovem visionário Tanzânia sintam se orgulhoso terem grande estrela um abraço para Dangote chibu Babalao Mozambique love ❤️ Simba kama simba
@dukegates2314
@dukegates2314 2 жыл бұрын
I learn that...to be a star it doesn't mean you need to always work with stars... it needs motivation and the push inside you, always be humble and learn..
@lanafelix8649
@lanafelix8649 2 жыл бұрын
Diamond bila kumtaja Kiba Ep yake haina mfuto wowote
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
EP ilishavunja records kabla hata ya hii interview, tena ina-trend mpaka kwenye nchi ambazo Kiba hawajawahi hata kumsikia.
@Predictor2023
@Predictor2023 2 жыл бұрын
Fq
@edinaedward8985
@edinaedward8985 2 жыл бұрын
Kojoa ulale unaongea ka taira
@dayoowakings3806
@dayoowakings3806 2 жыл бұрын
Saanaaaa
@ngoshazedon4085
@ngoshazedon4085 2 жыл бұрын
Only one king imehit na sio utu tuu!!
@sidemohamed1960
@sidemohamed1960 2 жыл бұрын
Uyu jamaa boya kweli album ya only one king ngoma zote Kali ye kaiona utu tu
@abdiaziz2978
@abdiaziz2978 2 жыл бұрын
Album yako yakisenge sana haijahit hata moja yaan we jina tu ndio inakubeba saa hizi lakini huna jipya...unayemsema album yake haijahit ndo kwanza yupo on fire hadi unamtolea maneno ya mafumbo kumbe anakuumiza kichwa.
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
Jina ndiyo linambeba? Hao wengine wanafeli wapi mpaka washindwe kubebwa na majina yao au wao ni underground? Bila kuwa mkubwa kimuziki hauwezi kuwa na jina kubwa lakini jina peke yake kama nyimbo zime-flop haliwezi kumsaidia.
@haithamyahya6722
@haithamyahya6722 2 жыл бұрын
Katoe yako nzuri
@gezaulole7501
@gezaulole7501 2 жыл бұрын
Album gn tenaa sio ep jmn
@millhamissa7490
@millhamissa7490 2 жыл бұрын
Nawewe yafuta jina pia nakushauri punguza makasiriko dear
@khafsayahya4066
@khafsayahya4066 2 жыл бұрын
😅😅😅kwani jina ni la nani?Hadi limbebe? comment nyingine bhana
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 2 жыл бұрын
Nyimbo zote kwenye album ya alikibaaa kali sio utu pekeeeee niteke
@AlekyzTheGreat55
@AlekyzTheGreat55 2 жыл бұрын
Kuna kitu kinaitwa hit song.. Utu ndio hit peke yake ata kwenye hii FOA mtasuburi inasonga zaidi ya zote
@herikaniugu
@herikaniugu 2 жыл бұрын
Utu Moja > FOA yote
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 2 жыл бұрын
Konde Boy Jeshiii Harmonize Tembo elefante eu te confio🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 2 жыл бұрын
Yaan diamond wallah we haumuwez kiba kwa kila k2
@infinixinfinix7723
@infinixinfinix7723 2 жыл бұрын
Hela na akili anamzidi
@issahkindende5225
@issahkindende5225 2 жыл бұрын
Piga kazi kwenye watu hawakosi nyani mungu humuweka juu alie sahihi
@Zaburi-
@Zaburi- 2 жыл бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@vionahsikanga2209
@vionahsikanga2209 2 жыл бұрын
Am always team wcb #wcb for life
@zanifarabdullah5756
@zanifarabdullah5756 2 жыл бұрын
King kiba ❤️
@zedennjate548
@zedennjate548 2 жыл бұрын
King of bongo flava alikiba ni Kama Maji.
@frihenry4734
@frihenry4734 2 жыл бұрын
King all the way ❤️
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 жыл бұрын
#Kingkiba forlife
@pozzymaker6721
@pozzymaker6721 2 жыл бұрын
Nimekusoma mwamba huo ndio ukubwa mungu akupe maisha marefu sana
@jamesjoh4426
@jamesjoh4426 2 жыл бұрын
Jamaa mswahili uyuu sema anajua
@user-rt8cg4os4b
@user-rt8cg4os4b 15 күн бұрын
Unajuwa maranyingi mtu anaye ongeya sana hujifanya kuwa anajuwa au Ana weza tofauti na mtu mkimya. Mkimya ni shuja sana. Kiba kwangu mimi ni number moja Tanzania 🇹🇿 katika wa sani wote. Kwa hela hata kwa uimbaji pia. Yule Jamba nyimbo zake ni mafundisho tosha kwa jamii hanaga matusi kwenye nyimbo zake. Kuna nyimbo zingine za wasani watanzania hata huwezi ukazisikiya mbele za watoto kwakuwa ni uchafu mtupu. Tuacheni ushabiki tuweke kweli inako stahili. Kiba knows more than Diamond and others.
@delimachesa4916
@delimachesa4916 2 жыл бұрын
Kwenye album ya Alikiba make yote ni HIT iyo album yako kaka sjaona hit😂😂😂
@MASUMBOTA
@MASUMBOTA 2 жыл бұрын
🤔 really aujaona hit ?
@odiin2725
@odiin2725 2 жыл бұрын
@@MASUMBOTA hajaona🤣🤣🤣
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Diamond lini katoa album au mauzo yamewafanya mchanganyikwe kwamba n Album
@erickabrahamak8291
@erickabrahamak8291 2 жыл бұрын
Namshangaa asee kaimba utopolo anajisifia
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Walai
@shiru_choppa7654
@shiru_choppa7654 Жыл бұрын
Irrrriz whar irrrriz mfalme kama king my favorite artist in TZ♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 2 жыл бұрын
Alikibq ni nomaaaa uyo demo mnafkiii kwenye media anajisafishaa
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 2 жыл бұрын
👑 kibaaaaa fireee
@mathiasemmanuel9972
@mathiasemmanuel9972 2 жыл бұрын
Good interview
@boblamasmage305
@boblamasmage305 2 жыл бұрын
King kiba moto yao mkubali uyo nihatari
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 2 жыл бұрын
Album yko umewaza waza tu 😂lakini Kuna utu na utulivu kma utaendelea kuwaza waza kaskilize utu na utulivu upate🥰
@THE-BENS
@THE-BENS 2 жыл бұрын
Utu ime-hit diamond declared ❤️❤️ recognize your best
@michaelmdoe9368
@michaelmdoe9368 2 жыл бұрын
Albam ya Ali Ngoma zote Ni hit
@jaribiwarungwe1925
@jaribiwarungwe1925 2 жыл бұрын
First of all diamond
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 2 жыл бұрын
Kiba❤️🔥
@imankanyonyi3786
@imankanyonyi3786 2 жыл бұрын
King kiba noma🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 жыл бұрын
One love kïng. Kiba ni mkubwa kuliko wewe
@nestorymethew5314
@nestorymethew5314 2 жыл бұрын
Kwa hyo tunakubaliana kuwa alikiba kashindikana😆😁😁
@virginiawilliam7019
@virginiawilliam7019 2 жыл бұрын
King kibaaaa👑❤
@ynahmorata7604
@ynahmorata7604 Жыл бұрын
King kibaa
@kambiyusufu4994
@kambiyusufu4994 2 жыл бұрын
Love you dai love you wasafi
@Dubero_the_boy
@Dubero_the_boy 2 жыл бұрын
Kiba👑
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 2 жыл бұрын
Nyimbo zako Kali ni zazamani tu
@mirajimwinyi8488
@mirajimwinyi8488 2 жыл бұрын
Diamond big up
@dicksonkalinga7715
@dicksonkalinga7715 Жыл бұрын
Katka interview za mond zote hii alijibu best sana I wish King kiba na platinamz mfanye collabo but king is only one alikiba 🔥🔥🔥
@gerrardmmandama5342
@gerrardmmandama5342 2 жыл бұрын
King 🤴 Should be respected by everybody ✊
@allymtunge5530
@allymtunge5530 2 жыл бұрын
Mnafk mkubwa wew asiyekujua nan wew kwenye Media mtu mzur lkn nyuma yakamera nyoko
@millhamissa7490
@millhamissa7490 2 жыл бұрын
Punguza makasiriko ndugu
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Diamond n Genius moja ambae hakupaswa hata kuzaliwa hapa TZ bac tu Mungu aliona atuletee mkombozi wa mziki wetu EA .
@marymuna5810
@marymuna5810 2 жыл бұрын
Hivi unaweza kufananisha albam ya kiba na huo uchafu wako ulioufanyia kiki mwezi mzima kama ww ni bora usifanye kiki uone kama utatoboa unazungumzia wasanii wenzako vibaya mwanaume hutakiwi kuwa.mswahili sifa zimekutawala
@edinaedward8985
@edinaedward8985 2 жыл бұрын
Et uchafu we usafi wako uko wapi Kuma wew
@stephenshikuku9904
@stephenshikuku9904 2 жыл бұрын
Diamond is always humble..cjui kwanini mlikosana na Konde boy...mulikua wanomaa sana.I miss this days
@aliyulukiza8857
@aliyulukiza8857 2 жыл бұрын
Alikiba ni Alikiba tu huwezi kumpata popote,anaweza kukaa kimya hata miaka mitano na akirudi bado atahit tu.
@chingychingy2066
@chingychingy2066 2 жыл бұрын
akae saiv tuone
@zawadkimaka22
@zawadkimaka22 2 жыл бұрын
kiba nimtu sana wewe mtu mmoja mkimya sana
@aliyulukiza8857
@aliyulukiza8857 2 жыл бұрын
@@zawadkimaka22 uhakika
@welcometvyacu1329
@welcometvyacu1329 2 жыл бұрын
Jam hyu diamond namupenda sana
@mudiplatnumz98
@mudiplatnumz98 2 жыл бұрын
Respect diamond platnumz
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 жыл бұрын
Jaman weweeeeeee diamond......love u haki ..💞💕💞💕
@Waminala-id6kr
@Waminala-id6kr 5 ай бұрын
❤❤❤kiba❤❤❤
@khanifakhalfan9500
@khanifakhalfan9500 2 жыл бұрын
Mm sina ushabiki wa timu yyte lkn kwa hili mond tuache maaan unajiproud sana na hakuna cha maana unchofanya mm ninachoamn kiba na harmo wanaimba mziki mzur tena wenye mafunzo ila wew uNatoa nyimb sizizo eleweka all in all kinachokusaidia wew au tofaut yenu nyny ni kwamba wew unajua kupromot kitu japo kwa fos ilimrad kiende wao wakitoa wanaacha fans zao ndio waendeshe acha mambo ayo fanya mziki km ulokua unafanaya zman si sasa bro
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 2 жыл бұрын
Yaani Ndombolo sio hit, Salute sio hit, Jealous sio hit, Bwanamdogo sio hit n.k lakini eti angalau imehit Utu pekeake duuh tusitarajie maelewano kati ya Diamond na Alikiba sio kinafki lkn nimeskia vibaya Diamond anaamini kuwa yeye ni zaidi ya wengine kwa kila kitu sio poa Maisha hayatakiwi hii kitu.
@aronboy1
@aronboy1 2 жыл бұрын
Bro hujaelewa nn apo utu ndo ngoma iliy hit saan kuliko zote
@aronboy1
@aronboy1 2 жыл бұрын
Bro hujaelewa nn apo utu ndo ngoma iliy hit saan kuliko zote
@aronboy1
@aronboy1 2 жыл бұрын
Bro hujaelewa nn apo utu ndo ngoma iliy hit saan kuliko zote
@aronboy1
@aronboy1 2 жыл бұрын
Bro hujaelewa nn apo utu ndo ngoma iliy hit saan kuliko zote
@aronboy1
@aronboy1 2 жыл бұрын
Bro hujaelewa nn apo utu ndo ngoma iliy hit saan kuliko zote
@djtobasoba3660
@djtobasoba3660 2 жыл бұрын
Nimezipenda sana cause I was there
@jimkellyngige981
@jimkellyngige981 2 жыл бұрын
Music is sales and entertainment hiyo ya ujumbe mzuri na kufundisha kaskize injili wapo kina shusho!!...WCB 4 LIFE!!
@jflavour9199
@jflavour9199 2 жыл бұрын
Safi lais Wawa safi
@suwilanjigibson6361
@suwilanjigibson6361 2 жыл бұрын
Kings love you 🙏🙏🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿
@janaakimu6171
@janaakimu6171 2 жыл бұрын
#Diamondplatnumz is the best KING💎💎
@anifabakari488
@anifabakari488 2 жыл бұрын
Kigiiiiii kiba ni noma ww
@Lando_Anthony
@Lando_Anthony 2 жыл бұрын
King kiba
@sirkaiza4194
@sirkaiza4194 2 жыл бұрын
Respect kk
@mubarakamtilwa4933
@mubarakamtilwa4933 2 жыл бұрын
Jeshiiii
@yeunhiasrwetze8377
@yeunhiasrwetze8377 2 жыл бұрын
#kingkiba
@khairunmustafa1610
@khairunmustafa1610 2 жыл бұрын
Tunajua kwamba unaipapromo album yako. Ila king simuongeaj sana. Nasisi ndotunaokijua kipikizur ambachokinaish mudamrefu. So kiba yupo vizur sana. Ila diamond maneno unarejea sana kaka
@rahimtactic1544
@rahimtactic1544 2 жыл бұрын
sio album ni EP
@eshasozy69
@eshasozy69 2 жыл бұрын
Uyo nyimbo zake za kitambo ndo nzur sio sasaiv sk 2 tu azinautam
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 31 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 77 МЛН
DIAMOND PLATNUMZ: ZARI ALICHEPUKA NA PETER WA P-SQUARE/ PICHA ZAO NINAZO
6:18
ANGEL NYIGU:HAKUNA MTU WAKUNIAMULIA ALLY KIBA ALINIKATAA MARA TATU
9:20
UTACHEKA UFE UTANI WA ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ MBELE YA KIKWETE
8:52
Это ежегодное настроение 😉 #tiktok #юмор #жиза #funny
0:10
Ангелина и Тая
Рет қаралды 3,3 МЛН
Толстый солдат всем отомстил #shorts
1:00
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
0:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 8 МЛН
Охранник помог выгнать наглую девушку 😱
0:42
Озвучка Рассела
Рет қаралды 2,7 МЛН