Huwezi kufundisha draft bhana hapo ni mawazo yako mwenyewe na mawazo huwa tofauti
@kelvinmbilinyi46822 жыл бұрын
Hii kali
@abubakarmayevela3 ай бұрын
Good
@tahafifuakasombo60982 жыл бұрын
Jaman huyu jamaa ana channel nyingine au naona toka alivyo upload hizi video chache haja upload tena Kama anachanel nyingine please mnijuze waungwana 🙏
@julianjkasenene2530 Жыл бұрын
Asant sana ila uku mchozo ambao unatawala ni mchezo wa nyuma na mbele kwo ungeweka na hzo ingependeza asee
@saidyamiri61314 жыл бұрын
Oya mzee baba Fanya hata namba bas nimeipenda hii mwalimu
@lucatcharles85684 жыл бұрын
Nimeipenda xana bt vp naweza pata Clips nyingi zaidi maana hapa naziona tatu tu
@joskimmaro1556 Жыл бұрын
Huyu jamaa kafia wapi tena
@emmercharles55562 жыл бұрын
Kete 3 unashindaje mpinzani akiwa na kingi moja na kete
@augustandrea472 жыл бұрын
Mbona rahis kushindaa hio hio kete yake inamtegaaa
@sadamibrahim84804 ай бұрын
Mbona uliacha sasa
@draye33573 жыл бұрын
Kwa hiyo sheria ya draft haluhusiwi kula kwa kuludi nyuma?
@julianjkasenene2530 Жыл бұрын
Hyo ndo nataka yakulud nyuma hii amna
@yutech20913 жыл бұрын
Kuna wale ukichez wanakata kete, je inakuaje, formula inaendelea kutumika au ndo basi,
@lwidikoluhanga65344 жыл бұрын
Asante fundi
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Hiyo uliyoionyesha imezoeleka kuchezwa ila jina lake silijui. Ila pale uliposema eti kwenye kete ya nyuma kule akichezwa alf anatemwa kisha anapigwa mbili ni sare hata siamini kwa mtizamo wangu naona ni goli. Copy ziko nyingi kuna watu wa Dar au Tz wamezipa majina kuna Sumu ya pandu, Samba, Kilosa, Sita kwa Sita, Mabinyo na zinginezo ila Samba imegawanyika ktk seheme mbalimbali
@rashididdi51402 жыл бұрын
we tulia kibwa moko mi mwenyew uniwezi hiyo spesho sare tu kaka
@innomunuo90274 жыл бұрын
Unanongoneza sauti
@saidmughery3574 жыл бұрын
Huyu jamaa mbona hatoi kitu kipya sasa ?
@mollelyohana82724 жыл бұрын
Brother vp no zako za whatsup plzz nimependa Kaz yako for real
@grantjesus97033 жыл бұрын
i realize I am quite off topic but does anybody know a good site to watch new tv shows online?
@ulisesmaddux27803 жыл бұрын
@Grant Jesus Lately I have been using Flixzone. Just search on google for it :)
@peterterrence14483 жыл бұрын
@Ulises Maddux Yup, I have been using Flixzone for since april myself =)
@grantjesus97033 жыл бұрын
@Ulises Maddux thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :) Appreciate it !
@ulisesmaddux27803 жыл бұрын
@Grant Jesus glad I could help :)
@bruncejohn99044 жыл бұрын
Mwanang kopy nzur nichek whatsapp namba 0716409934 tuangalie tunafanyaj kk
@asaaoko89698 ай бұрын
Ouy
@emmercharles55562 жыл бұрын
Kete 3 unashindaje mpinzani akiwa na kingi moja na kete
@joskimmaro1556 Жыл бұрын
Mpinzan akiwa na ket nd anakurahisidhia kaz ya kumfunga