Ambassador here of this channel Kwanza niende kijiweni nkawaoneshe darasa la mangwelele
@selemanmohamed495811 күн бұрын
Pamoja mkuu
@allysultani668Күн бұрын
Tupo pamoja,Ally mzanza
@abdallahabasi45116 күн бұрын
Ukipenda mwite Prof. Mangwezi
@kingchollo12 күн бұрын
Bro kwanza hongera kwa uamuzi uliochukua wa kufungua channel yako masna wengi tumewashauri ila hawakufuata ushauri huu wa kufungua. Ila tunaomba usikae muda mrefu bila ya kutumz step inayofuata. Sisi tunaamini ili mchezo ukue na upendwe unahitaji kufahamika na ni ngumu basdhi ya watu kwenda vijiweni kucheza hivyo hii fursa ipe kipao mbele mno kwa manufaa ya huu mchezo. SHUKRAN
@mangweleledraft12 күн бұрын
@@kingchollo Asante sana kwa ushauri, tutaufanyia kazi. Wafahamishe na wengine waendelee kufuatilia ili tukuze huu mchezo. Watumie link
@poulsantana120210 күн бұрын
MANGWELELE NDIO DRAFT LENYEWE
@bakarirashidi953311 күн бұрын
TEACHER MANGWEZI
@mussajumabilal378111 күн бұрын
Tunakufuatilia sana kaka; lakini unakaa muda mwingi bila ya kupost hayo mafunzo. tunaomba ujitahidi kututumia walau video tatu kwa wiki au ata moja
@mangweleledraft11 күн бұрын
@@mussajumabilal3781 Asante kwa kufuatilia, video zijazo zitakuwa za mafunzo. Wafahamishe na wengine pia wafuatilie
@Until83512 күн бұрын
Naam naam legend 🙌 👏 ❤️
@abrahmapenzionlinetv8 күн бұрын
Ila huyo Mwandishi amekuangusha mwamba hajui kuhoji, wala hana flowing nzuri ya maneno yake anakwama na kurudia rudia sana aise
@ramadhanifuto455211 күн бұрын
Nineona video kama tatu hivi,kuna nyingine sjaziona au zimetoka hizo tu?
@mangweleledraft11 күн бұрын
@@ramadhanifuto4552 zipo zaidi ya hizo chief. Video zijazo tutaendelea na masomo ya michezo ya draft
@ramadhanifuto455211 күн бұрын
@mangweleledraft ahaa sawa mkuu ngoja tusubili
@ramadhanifuto455211 күн бұрын
@mangweleledraft Allah akusimamie akuzidishie moyo wa upendo, akuepushe na husda na fitina