MCHIZI MOX: P Funk mzinguaji/ Bongo hakuna Festival kuna shows/ Mimi, Diamond tunaweza

  Рет қаралды 22,926

Bongo5

5 жыл бұрын

Part 2 ya muendelezo wa Interview ya Mchizi Mox

Пікірлер: 93
@mamdenassri842
@mamdenassri842 5 жыл бұрын
Mox mox ukweli mtupu tupo mababa wa music nakubali sana
@yusuphlyimo1383
@yusuphlyimo1383 5 жыл бұрын
Mox toangoma usisubiri MTU wa kukumeneg Fanya ngoma1 au2 Kali usawishi shabikizako nakupata mauzo yangoma za mwanzo Kali sana
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 5 жыл бұрын
Wasaniii wakongwe bana unaenjoy interview zao kinoma
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 4 жыл бұрын
Safi saana bro ulimnyoosha vilivyo, jamaa ni mzinguaji saana. Toka kipindi hiko nilikiwa simpendi P Funk kwa mambo haya haya yaliyokuwa yanasemwa. Niliifurahia saana mambo vipi na ulivyomtaja Mica Mwamba nikazidi kuipenda hadi leo. Huwezi kuamini mwanangu ana miaka mi3 anaipenda kinoma mambo vipi toka akiwa na mwaka mmoja na nusu. Natamani siki nikukutanishe nae
@mohdyussah825
@mohdyussah825 5 жыл бұрын
From UAE it's true Mchizi Mox
@emmanuelnyakatai7311
@emmanuelnyakatai7311 5 жыл бұрын
I real appreciate you so much. Mchizi MOX you are the genius. I'm a huge fan of your music it was fantastic
@starvista823
@starvista823 5 жыл бұрын
Kaka nimekupenda bro uko really
@lelarashid5243
@lelarashid5243 5 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri bado
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 5 жыл бұрын
MOX THE DON UMEONGEA POINT BABU
@darviswantana7669
@darviswantana7669 5 жыл бұрын
Smart sanaa..,, nme enjoy hii enterview
@msalabanireko1518
@msalabanireko1518 2 жыл бұрын
Safi Sana kjna uyu p zaman alikua anajiona yy mungu mtu Sana
@stewatyngingo5730
@stewatyngingo5730 5 жыл бұрын
Mchizi mox umeongea ukweli mtupu, Good sana sauti yako bado ipo vizuri rudi kwenye muziki
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 5 жыл бұрын
Kumaamaee real talk mox 👍✌👊👊👊
@peter1018ful
@peter1018ful 5 жыл бұрын
This guy is very smart
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Ndio ujue Old is Gold.
@Nickbrown127
@Nickbrown127 5 жыл бұрын
Mox we love you bro.sisi ndo jamaa wa age yako tutaendelea kuwa mashabiki zako always.
@cainewilliam5236
@cainewilliam5236 5 жыл бұрын
Well said bro, you have spoken wisely
@paulgerison6253
@paulgerison6253 5 жыл бұрын
safi bro umeongea point
@muhinasundi1206
@muhinasundi1206 5 жыл бұрын
Point brother Mox
@tembeletadei7136
@tembeletadei7136 5 жыл бұрын
kumbe we siyo chizi uko vizur umesound perfect
@luqmanmohamedy3860
@luqmanmohamedy3860 5 жыл бұрын
umeongea point sana
@milanzisalum9305
@milanzisalum9305 5 жыл бұрын
Mox mwamba noma sana ngoma homa piga mzigo kk
@jamesmwakitalima96
@jamesmwakitalima96 5 жыл бұрын
Leta ngoma basi mzee baba
@stevechampion6559
@stevechampion6559 5 жыл бұрын
Point sana Mchizi Mox 💪
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
nimependa maelezo yake yanayo husanisha biashara za watu na matamasha ya muziki.ameongea kweli kabisa ni very focused person mox
@jamesmodesty8407
@jamesmodesty8407 5 жыл бұрын
Safi bro
@katengololosteven8196
@katengololosteven8196 5 жыл бұрын
Eti nipige kelele nami nimeenda kuruka dance debe,alaaaaah
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
Mi nilienda festival Moro kwa ajili ya Afande japo hakupaform japo alikuwepo sijajua kwanini. Lakini kama ukivyosema wasanii wanatengwa wanachukua makapi.
@rashidkajara4328
@rashidkajara4328 4 жыл бұрын
Salum Muhija pole sana coz afande is one of ma favourite hiphop artsit
@jameskilasa759
@jameskilasa759 5 жыл бұрын
Zaman sio sasa Zaman ngoma inapigwa Leo mpka wiki moja mbele ndio maana tulikuwa hatuzichoki sio sasa ngoma unaisikiliza kwa siku mara 100 kwann usichoke mapema
@tgeofrey
@tgeofrey 5 жыл бұрын
Tisha sana
@kilamiko8299
@kilamiko8299 5 жыл бұрын
Kipindi hicho kulikua na ubunifu wa kweli sana, hahahha "kuchora, kuchora kitu gani safi sana mox na the king Ngwair.. R.I.P Master
@IWACUIRWANDAKIGALIRWANDA
@IWACUIRWANDAKIGALIRWANDA 3 жыл бұрын
Miaka hiyo Kigali uritufurahisha sana
@mussamsella8560
@mussamsella8560 5 жыл бұрын
Mchiz mox huna dude toka kwa p funk !!!!?? Maajabu ya Dunia ... kiukweri uko vizuri sana ...Chupa nyingine pale ndio ulimaliza
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 жыл бұрын
nzuri
@HamiduChamboko
@HamiduChamboko 5 жыл бұрын
kivuli cha Mox bonge la idea
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Kiukweli Kama Unataka kuamini Old isi Gold Tafuta Ngma 10 za Zamani na 10 za Sasa Ndiomutajua Watu wanavyo kopy sikuzi utakuta ngoma zote zile zile tu.Hawawezi sikiliza Maana Hawajui mziki mzuri tushazoa Kubun kubaaa tu.
@ibrayuzow6320
@ibrayuzow6320 5 жыл бұрын
mchiz mox sio chizi kabisa anaongeaga point tu
@bakamuubakamuu8628
@bakamuubakamuu8628 5 жыл бұрын
Anazungumza point sna hyo kupiga kelele ndio nyimbo ya wasanii wa kisasa
@larickmtui2852
@larickmtui2852 5 жыл бұрын
Kwel mzee umeongea ukwel maana me nishabik yako kwanzia unatoka
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 5 жыл бұрын
tumekumic sana, nyimbo zako ni hatari sana
@jessicamm3171
@jessicamm3171 5 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 жыл бұрын
Kweli, washabiki wenu ni sisi wa toka kipindi kile, kazi tunazo na uwezo wa kuingia bugi tunao lakini kwa wale wabanapua hatuendi.
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 жыл бұрын
Niseme ukweli wimbo ukiwa mzuri na uandishi mzuri ina dumu sana sio sasa hivi wimbo ume dumu sana mwezi
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Kweli Kabisaa..Kwa sikuizi watu hawaandiki Naona kutaja taja Majina tu Basi..
@jameskilasa759
@jameskilasa759 5 жыл бұрын
Zaman kulikuwa hakuna midia nyingi Kama Sasa nyimbo unaiskiliza Kila dk Kila saa Kila mara zaman isipopigwa studio ndio huisikii tena ngoma ikisikima mara nyingi lazima uichoke
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 жыл бұрын
Mox ume ongea ukweli sana kwa mfano wale wale jamaa wa2 wapo na dogo yule mizuzu ya mwisho ya mwisho majingu tutu yalio na ujinga wa elimu ulio wajaa mox babu kubwa
@HightechTz
@HightechTz 5 жыл бұрын
Sijaielewa kabisa 😂😂😂
@gilamessidinhomrema6663
@gilamessidinhomrema6663 5 жыл бұрын
Madini tu umeongea
@sadyroger7624
@sadyroger7624 5 жыл бұрын
Rudi home boy wetu tume kumis Sana
@jumastamu4408
@jumastamu4408 2 жыл бұрын
Mox kma Mox
@jeanlubango7932
@jeanlubango7932 5 жыл бұрын
Huo ndo Ukweli bro Mpaka Sasa Huwa Na Amini TZ Mziki Umekwisha Sina Time Ya Kumsikiliza Nasib au Ally, Naturena Mox Na Daz hapo Acheni izo Wabongo.
@kilamiko8299
@kilamiko8299 5 жыл бұрын
Sisi tumekua na mziki wa akina mox etal
@lewismpangala927
@lewismpangala927 5 жыл бұрын
Abdala kichwa wazi
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 5 жыл бұрын
Mchizi ft Darassa. Nadhani itakaa vizuri
@salimsalum7796
@salimsalum7796 5 жыл бұрын
Kuna ngoma nataka mushirikiane na chid benzino
@moudymchemia6598
@moudymchemia6598 5 жыл бұрын
Mngetoa sasa hivi mngefungiwa na .....
@maulidrehani
@maulidrehani 5 жыл бұрын
Mox unapoints
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 5 жыл бұрын
Kiingilio kudumaaa.
@larickmtui2852
@larickmtui2852 5 жыл бұрын
Mchiz mox nimkal
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 5 жыл бұрын
Chupa nyingine Bwana! THOSE DAYS MAN SALLUT
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Where is Ra P sikuizii
@hasanoshohilali10
@hasanoshohilali10 5 жыл бұрын
Yupo marekan anawatoto watatu no music again ila kashakuwa mama mbaya.
@ramadhanmohamed8851
@ramadhanmohamed8851 5 жыл бұрын
So poa
@khalifaalmugheiry9232
@khalifaalmugheiry9232 5 жыл бұрын
Umenena mchizi mox test ya nyimbo hatuzipati kama zamani wa balance tu wawaweke na watu wenye nyimbo za zamani tutakuja kusupport kwa pesa ya kuheshimiwa sio show ya elfu 10.
@anthoniosure5438
@anthoniosure5438 Жыл бұрын
Mtangazaji boresha namna ya kuuliza maswali yako.
@GeorgeMichael13
@GeorgeMichael13 5 жыл бұрын
Hauna mpya kamanda ,wacha tuendelee kula burudani big g zetu za siku hizi
@mkigatv8142
@mkigatv8142 5 жыл бұрын
Wew enzi yako ulifanya nn waache vijana watambe
@danieldouglas4534
@danieldouglas4534 5 жыл бұрын
mox umechoka mpaka umevaa shati ya mshua alafu bdo huachi majungu ya kizamani eti ww bdo kijaniw huku unatembea kifaza
@jamiestan7280
@jamiestan7280 5 жыл бұрын
Ilo shati ange vaa p didy wala usinge comment ila kwakuwa kavaa mchizi mox mbongo mwenzio basi unataka uonekane kama unajua xana sio,acha uchoko stay real jooooohhh
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Wewe ni Jinga sanaa Kweli Duuuh..!Shida wa Tz mnataka watu waishi Mnavyotaka nyie wewe ni waaajabu kwelii mjinga wa Mwisho.Watoto mlio zaliwa Juzi Juzi enzi za Kina naniliu mnashida Sanaa..
@untouchablepro8943
@untouchablepro8943 5 жыл бұрын
Hauna point mox ni mtu mwingine real hip hop
@kenzokimambi7922
@kenzokimambi7922 5 жыл бұрын
Mashoga utawajua wanapenda kuvaa nguo zilizowabana kama za Daniel Douglas acha ushoga mtt wakiume kuongelea mavazi ya mwanaume mwenzio za wap shoga weee
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 5 жыл бұрын
Sis ni wa Tz Ko unataka avae kama mnavo iga nje wapuuzi mnaharibu utamaduni Mtu avae hivi mnapanua midomo
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 26 МЛН
Каха заблудился в горах
0:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 35 МЛН