Huyo dada mchuma janga aise namkubali sana, huwa namfuatilia kwenye movie nyingi, huwa anauvaa uhalisia wa kile anachoigiza. Mpe Hongera zake. Tatizo ni huyo jamaa anayewarekodia sauti hajui ku balance.
@nbsstudiosinema5 ай бұрын
Sawa tutalifanyia kazi inshallah litakaa Sawa Hilo jambo la sauti
@KHADIJAUMAZIRUMBA4 ай бұрын
Kweli kabisa directer hayuko sawa
@bitishoriziki11136 ай бұрын
Mna ni cheko saana kabisa mume siwa mtu mumonja kabisa pole sana 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉❤😮😮😊
Hiyo movie sijui nifanye nini marcani nihatari manji yame zidi unga ahhha huruma 😊🫢🤣🤣🤣🤣🤣😯
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Pole sana una mpenda nani katika kazi yetu hiyo
@jacklinemwikali5045lina4 ай бұрын
Hapo director bado uko na kazi na huyu dada wa mombasa 😅😅😅😅
@nbsstudiosinema4 ай бұрын
Sawa nimekuelewa na ntafanyia kazi🙏🙏🙏
@asmatabdallah13687 ай бұрын
Nime angalia hii move kwasababuu ya najuta na flora maana nime wa kumbuka sana Enzi za CCM holl😂😂😂
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Sawa na Asante sana
@iamk2me7 ай бұрын
wanangu sana enzi hizo na tony
@asmatabdallah13687 ай бұрын
@@nbsstudiosinema 🤣🤣🤣Yani Kuna Tony ticha mud kiango elven flora najuta kingwendu bila kusahau Abu Majuto na bilalai yani dah kitambo sanaaaa Kuna mwamba mmoja nime msahau Jina alikuwa mlefu mweupeeeee yy alikuwa ana simami sana upande wa ngoma
@overarchiversartist23995 ай бұрын
Daaaaah hiii Kali 🤣😂😂😂😂😁 sawa dada msema kweli
@asmatabdallah13687 ай бұрын
Huyu dada wa Mombasa kipaji Hana mna force tuu
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Sawa tumepokea
@EmmanuelCharo-to4ij7 ай бұрын
Acha kuvunja Moyo watu ww ushawai jaribu kuigiza
@overarchiversartist23995 ай бұрын
Nishakuelewa dada asante kuniponda Mimi ndio kunifunza hakuna alizaliwa akiwa anatembea tayari dada huenda wewe wa bongo mm ni mkenya uezi nipenda Ila asante ndio nitazidi kupambana kwakuwa ushaniambia asante
@HazinaSaid-ze8lk6 ай бұрын
Pole sana Mustafa kwa mitihani uliyopitia😢
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Asante sana kwa kunijali
@user-jb3zp9uo7o5 ай бұрын
Movie nzuri sana ila mtaalamu wenu wa sauti anawaangusha sana, sauti haiko sawa kuna sehemu inakuwa China na sehemu nyingine inapayuka.
@nbsstudiosinema5 ай бұрын
Asante sana tutalifanyia kazi Hilo pia Asante kwa kuangalia lkn pia endelea kutazama kazi zetu zingine
@salimspy10887 ай бұрын
Huyu dada wa mombasa hana kipaji ameharibu
@overarchiversartist23995 ай бұрын
Sio shida asante kwa kunijulisha dear hakuna anaejijua hata wewe huenda ujijui Kuna vitu unafunzwa so thanks kwakunipa nguvu ili niendeleee kujifunza inshaallah 🤲
@EmanuelAmuravu6 ай бұрын
Watanzania.nawapenda.sana.
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Hata sisi tuna kupenda
@carolinenakirutimana15596 ай бұрын
Lisemwalo ni lilelile ""Asiefundishwa na wazazi kufundihwa na dunia. Muache atajieleza mwenyewe kabsaaaaa.
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Na tayari kaisha funzwa
@user-uf9ey7qb4t5 ай бұрын
Hii movie imenitoa machoz kwakweli😢😢😢😢
@nbsstudiosinema5 ай бұрын
Pole sana ila ndio hivyooo
@Atb3007 ай бұрын
Story nzuri ila baadhi ya waigizaji hawajui...uyu mzee anajua sana hongereni 🎉
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Asante sana tumepokea
@aliHassan-my7jv7 ай бұрын
Sio kwamba hawajui director kuwa maakini
@dorcasmueni22906 ай бұрын
Mwisho wa kiburi nto huo
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Kabisa
@user-lr8lh3jx3z7 ай бұрын
Nice movie
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Thanks for watching
@miriamdavis38937 ай бұрын
Good movie
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Thanks
@batalingayachristopher-ry5lv7 ай бұрын
Dada wa mombasa yuko Vizuri Sana
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Asante sana
@overarchiversartist23995 ай бұрын
Asante dear nashkuru nitazidi kujifunza ili nifike kiwango ndio kwanza naanza mola atanifikisha inshaallah asante dear
@batashqiraa99367 ай бұрын
Mafunzo mazuri yanapatikana ktk movie hii
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Hakika na Asante kwa kutazama
@zamdauseni97876 ай бұрын
Munze anaishiwa
@user-hy9pp5rp9i6 ай бұрын
😂😂😂😂sakina umenishinda tabia
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Hatari huyo
@hellenpeter81617 ай бұрын
Anachokipanda atavuna
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Kabisa
@shakilasharifa96 ай бұрын
Sakini kiboko 😂😂
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Kiboko na nusu
@NzaaraMTAITA7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-kr3sn9tk9k6 ай бұрын
Hiikali sana
@nbsstudiosinema6 ай бұрын
Asante sana
@EmanuelAmuravu6 ай бұрын
Mwambia.anjea.mimi.sina.bibi.
@saidahmed96887 ай бұрын
good movie
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Asante sana na karibu sana kwenye channel yetu
@user-wl3hf2nj9m7 ай бұрын
Goood moviea 🎉🎉🎉🎉🎉 Make more effort in order to sucessful
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
We will but thanks a lot
@modrizecha95357 ай бұрын
hyu dda w mombasa mfunzeni tena hajakuwa tayar
@nbsstudiosinema7 ай бұрын
Sawa
@overarchiversartist23995 ай бұрын
Asante dear nitafunzwa kwa mankini okay 😂😁 asante and be blessed