CHINI YA JUA | FULL MOVIE

  Рет қаралды 97,436

MBWELA MEDIA

MBWELA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@alakimwambo4902
@alakimwambo4902 6 ай бұрын
movie iko sawa, hata mimi nakukubali br. laki kama watu wanahongeya toweni mziki hatusikii maneno vizuri...
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 6 ай бұрын
Yaaan mzk uko juu kuliko watu wakisem
@GiftHeaven-sj9uu
@GiftHeaven-sj9uu 6 ай бұрын
Bro Asante kwazii bro
@MwangiraniElvis
@MwangiraniElvis 6 ай бұрын
Bigger up sana kaka mbwela twakuombea mungu akuzidishie akuzidishie akili na umaarufu sisi tukitegeshea vitu kemkem
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 6 ай бұрын
asante sana 🎉💥🎉
@ZulfatRamadhani
@ZulfatRamadhani 6 ай бұрын
Jaman wew kak movie zote unazoingiza kuwa mwema,mpole na kuthamin wanawake nmezipenda na kukupenda wew.ungenioa mim Sophia ana huyo mwanywele wake.
@MakutuShivo
@MakutuShivo 5 ай бұрын
Mbwela nakukubali sana dah sichok kuangalia mov zako kwa kweli
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 6 ай бұрын
Big up sana kaka mbwela nakukubali sana mtu wngu ❤❤❤
@aliibra1658
@aliibra1658 5 ай бұрын
Big up mbwela kama binadamu wangeishi ivyo dunia kungekua na amani tele
@AaAa-lq7mr
@AaAa-lq7mr 6 ай бұрын
Kaka mbwela unaweza sana broo unastahili kila sifa hauna baya brooo wangu wa faida chukua maua yako❤🎉🎉🎉❤❤🥰🌹
@ELVINARANDU-ru6co
@ELVINARANDU-ru6co Ай бұрын
Mzuri sana
@Kamoste
@Kamoste 4 ай бұрын
Alafu mbwela nangojea zigamba iendelee kwa hamu sana..❤❤❤napenda kazi zako sanaaaa kenya 🇰🇪 love❤🎉
@Jamal411115
@Jamal411115 6 ай бұрын
Mbwela nime miss kuona movie na bhailam mana mkikutana balaa hua sio dogo ❤❤
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 6 ай бұрын
Brother mbwela,,,,hongera sana zaidi ya sana❤❤❤❤,,,,hujawahi kukosea kaka
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 6 ай бұрын
asante sana 🎉💥🎉
@dinabilemanga1703
@dinabilemanga1703 6 ай бұрын
Wanahomkubali mbwela tujuwane hapa nduguzanguni njooni tumpemawa yake anakazi nzuri anastahili kupewa mauwa yeka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 6 ай бұрын
Asante sana 🎉💥🎉
@annamwaka2326
@annamwaka2326 6 ай бұрын
Punguza vinanda sasa
@MasabwileTz
@MasabwileTz 6 ай бұрын
Kaka mbwela wew una jua na una weza pia nakukubali Sana kaka❤❤
@Zeldaommy
@Zeldaommy 6 ай бұрын
Nimewahi Leo kazi nzur sana kaka mbwela one love from Kenya 🎉🎉🎉❤❤❤
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 6 ай бұрын
Asante sana 🎉💥🎉
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 6 ай бұрын
Asante sana 🎉💥🎉
@FatimaSuma-cg1ft
@FatimaSuma-cg1ft 5 ай бұрын
Hongera san mbwela Kwa kazi zako kaka napenda xan movie zako🎉🎉🎉
@abdulshego127
@abdulshego127 4 ай бұрын
Hasnte mbwela nimetoa chozi😂🇺🇬👍 Abdul Kampala
@barakaemanuel5213
@barakaemanuel5213 6 ай бұрын
Sauti ya mziki iko juu sana
@MaryamMubarak-lw8kw
@MaryamMubarak-lw8kw 6 ай бұрын
❤❤❤mbwela uko vzr ndg unaweza sana sijawai kuzichoka movie zako❤❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 6 ай бұрын
Wa Saba Léo sijacelewa 🎉🎉🎉🎉🎉
@GiftHeaven-sj9uu
@GiftHeaven-sj9uu 6 ай бұрын
Mbwela good my guy
@Sofiashabani780
@Sofiashabani780 6 ай бұрын
Hizo ngoma ziko juu sana kuliko sauti
@mwajumasaid7306
@mwajumasaid7306 6 ай бұрын
Move nzuri sana na inamafundisho ila sauti ya vinanda inakera ipo juu sana
@MariamMwaronga
@MariamMwaronga 5 ай бұрын
Sauti ya mziki @Mbwela jitahidi iwe chini hatusikii mukiongea
@ZULFAAbdallah-v5c
@ZULFAAbdallah-v5c 2 ай бұрын
Daaah sauti ya mziki ipo huu kuliko sauti za washilika hadi inaboa
@Thuma_junior
@Thuma_junior 6 ай бұрын
Movie nzuri mwisho mbwela umeniliza na mm😭😭😭😭😭😭❤️
@MonnaclassicFashion
@MonnaclassicFashion 3 ай бұрын
Ila co kwa manywele hayo khaa 😮😮😮😮😮 kama kichaka😂😂😂😂😂 kweli ujana kazi
@MalengaMchokozi
@MalengaMchokozi 3 ай бұрын
Sauti ya mziki Iko juu kweli kaka
@MalengaMchokozi
@MalengaMchokozi 3 ай бұрын
Uko sawa mbwela❤
@FaridaOmar-c7m
@FaridaOmar-c7m Ай бұрын
Kazi nzuri sana🎉
@AmisiboseleJazz
@AmisiboseleJazz 5 ай бұрын
Iko powa
@henrymarwa9747
@henrymarwa9747 6 ай бұрын
Mbwela I like your movie ❤
@SheikaYussuf
@SheikaYussuf 3 ай бұрын
😂😂😂jmn kinyamkera domo la mamba😂😂😂
@hamisuuhamadi1663
@hamisuuhamadi1663 6 ай бұрын
Hiii move mbn kam imerudiwa😊
@mildredzainab170
@mildredzainab170 3 ай бұрын
Mziki una kera jmn,ila movie iko sawa mno
@ramambui90
@ramambui90 6 ай бұрын
Huyu kaka namkubali ❤❤❤sana
@RehemaBakari-u7x
@RehemaBakari-u7x 6 ай бұрын
Sauti ya vinanda ipo juu inaboa
@RIZIKIRAMADHAN-eu1fp
@RIZIKIRAMADHAN-eu1fp 6 ай бұрын
Big bro hongera
@abdulshego127
@abdulshego127 4 ай бұрын
Sauti ya muziki Iko inazidi
@StellaWillium
@StellaWillium 6 ай бұрын
Big up ❤❤
@PaulLusasi
@PaulLusasi 5 ай бұрын
Movie safi ila mkiongea mnazima huo mziki ama hyo sauti braza
@AyshaMussa-xs2ut
@AyshaMussa-xs2ut 6 ай бұрын
Hizo sauti za vinanda mlizoweka zinakera sauti haisikiki vizur
@delphineamisa4366
@delphineamisa4366 5 ай бұрын
😂😂😂
@GervaisbituAkili
@GervaisbituAkili 6 ай бұрын
Tuko pamoja kaka
@mc-bii228
@mc-bii228 5 ай бұрын
Jmn jmn movie ni nzurii ila Kaka mbwela ucwe unaweka sauti jmn mm sisikii
@MakutuShivo
@MakutuShivo 5 ай бұрын
Ila tu mkiongea sauti ya mziki iwe chini ili tupate kuwaskia vizuri
@RehemaBakari-u7x
@RehemaBakari-u7x 6 ай бұрын
Jamani Ali ayo manywele Sophia ndio kayapenda
@MonnaclassicFashion
@MonnaclassicFashion 3 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani kama kabeba Tenga la mchicha 😂😂😂😂😂
@FrankWamai
@FrankWamai 6 ай бұрын
Kaka mbwela nimetizama filamu zako kadhaa na ziko poa ila ushauri wangu ni mmoja ......instrumental zinasikika kuliko sauti za wahusika ....sio kwenye hii filamu tuu bali karibia zote....editor anakufelisha bro naomba lifanyie kazi
@faizhassan8423
@faizhassan8423 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@audreysikwata1070
@audreysikwata1070 2 күн бұрын
Yea😂
@SakinaMussah
@SakinaMussah 6 ай бұрын
Wow kazi nzur
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 6 ай бұрын
Jamani kwan snake boy imeisha au mbona sielew
@audreysikwata1070
@audreysikwata1070 2 күн бұрын
Kelele ni mingi sauti iko chini😢
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 6 ай бұрын
Movie nzur sana lakin sauti ya kinada ipo juu kuliko watu wanavoongea
@HassanKhamis-d1c
@HassanKhamis-d1c Ай бұрын
Hii filam mziki mkubwa kuliko sauti
@مريم-ق7ج9ن
@مريم-ق7ج9ن 6 ай бұрын
Najikuta nakushabikia sana big bro, nikubalie uwe kakangu wa hiyar,,, ila leo umenikera😅😅 ile ni ndoto ama umemmeza ntanzi???
@AminaMshirazi
@AminaMshirazi 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@DeniseNtakarutimana
@DeniseNtakarutimana 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@saidahmed9688
@saidahmed9688 6 ай бұрын
good movie
@ANKOZUBERI881
@ANKOZUBERI881 6 ай бұрын
vijana wangu
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 6 ай бұрын
Mwisho w ubaya aibu
@Kwafilamuzenyeubora2024
@Kwafilamuzenyeubora2024 6 ай бұрын
Nani kafanya final hii movie soundtrack zipo juu mwambie balance sauti na sound movie ijayo shemeji yangu
@MicahWetunde-zv8ix
@MicahWetunde-zv8ix 23 күн бұрын
Movie zako ni poa but instrumental ndo iko juu inafaa instrumental ikue chini
@DancanOtieno-on1ry
@DancanOtieno-on1ry 3 күн бұрын
hi washikaji hamjatuambia maana ya mwezi mchanga? mi natamani kujua please.
@faizmusaabdallah6430
@faizmusaabdallah6430 Ай бұрын
Nazipenda movie zenu ila sound track iko jkuu sana. Naomba muzipunguze tupate kusikia maneno hayo ndio muhimu. Hizo effects ni nyingi mno hata zina udhi
@Jan-zo4jk
@Jan-zo4jk 5 ай бұрын
Musiki ya haribu, too much.
@tanzanianhappy60
@tanzanianhappy60 6 ай бұрын
Mbwela na.ww.umejiunga.na Dsv.maana.sio.kwa.saiti.ya kinandaa
LESO FULL MOVIE
2:24:00
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 250 М.
TAIFA | FULL MOVIE
55:21
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 15 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
UBAYA  | FULL MOVIE
1:26:09
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 95 М.
USILA (FULL MOVIE)
2:02:03
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 142 М.
MTAANI KWETU USWAHILINI Full movie | SWAHILI MOVIES
1:27:10
VANDA BOY MOVIES
Рет қаралды 26 М.
MWANAMKE FULL MOVE
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 378 М.
KIFUNGO | FULL MOVIE 1
1:26:21
A7 FILMS
Рет қаралды 127 М.
MAISHA YETU full movie / bongomovie /lovestory
2:04:39
BabaJoan
Рет қаралды 347 М.
MWANAFUNZI WA AJABU Full Movie /Bongo Movie
4:14:23
BabaJoan
Рет қаралды 1 МЛН
NDOA YA SIRI FULL MOVIE
1:05:06
A7 FILMS
Рет қаралды 115 М.
ALCOHOL | FULL MOVIE
2:39:31
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 13 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН