MCHUMBA Part 2 - Abdallah Mohamed, Jenipha Temu (Official Bongo Movie)

  Рет қаралды 260,888

Africha Movies

Africha Movies

Күн бұрын

Пікірлер: 202
@shukurukalindi626
@shukurukalindi626 4 жыл бұрын
Ubora wa mtunzi wa stor na ubora wa mtunzi mzur muziki unaifanya hii movie kuwa nzur na nokati ya movie Bora kabisa ya Hawa jamaa respect kwao pls like za kutosha Kama inaikubali hii move 🙏🙏🙏
@faridahmbalu8897
@faridahmbalu8897 4 жыл бұрын
Dah! Haya mapenzi acha tyu yaitwe mapenzi, yaani siwa kapata ujasiri wakuongea na mke mwenzie! Mmh! Hongera sana siwa binti jasiri. Lkn pia nampongeza mke wa nyembo kwani una moyo wa huruma sana ambao ni watu wachache wanaweza wakafanya hivyo! Una moyo wa kipekee sana, nakupa tena hongera. Namalizia kwakusema movie mzuri sana tena zaidi ya sana, yaani naweza kuiangalia hata mara kumi na nisiichoke kuitizama, hongereni sana waigizaji muko vizuri hakika nimeipenda sana hii movie. Love all❤.
@kusinimediatz6747
@kusinimediatz6747 6 жыл бұрын
Dah huyu Dada mkewe nyembo yupo unique sana ni wachache sana wako hivi ana moyo wa pekee sana Allah bless her
@sheilahchifu6456
@sheilahchifu6456 5 жыл бұрын
kusini media Tz
@yahyaog1175
@yahyaog1175 4 жыл бұрын
Mchezo lkn uwo
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
Unasahau kama hii ni movie 😬😬😬😬😬😬🤔🤔🤔🤒🤒🤒
@rizikikombe5309
@rizikikombe5309 4 жыл бұрын
Mashallah..mungu akujalie mke wa nyimbo kwa furaha yako na kukubali uke wenza mungu akuzidishie umri mrefu..inshallah
@selemanmaulidi4483
@selemanmaulidi4483 4 жыл бұрын
Mashaallah movie iko vzr Kwa maadili yetu ya kiislamu kiukweli ilinikonga moyo nilipoitazama nikiwa safarin nikitoka Singida.
@jacksonnassoro1824
@jacksonnassoro1824 4 жыл бұрын
Zikitoka tano kal kma iz bas inshalah pengo la Kanumba litazbika ....nmependa kaz nzur San hii hongera kwa wooote walioshirik
@mariamramadhani9282
@mariamramadhani9282 4 жыл бұрын
Mke wa nyembo anajua jmn hebu km Kuna mtu anakubl agonge like
@monicahnjoroge21
@monicahnjoroge21 6 жыл бұрын
Wow nimefurahi sana kwa maamzi ya huyo mama 👏👏👏👏👏❤❤❤❤
@rosemarystephano406
@rosemarystephano406 5 жыл бұрын
Daaaah mke was nyembo nmemuelewa Sanaa jmn ee mungu tupe moyo wa ujasiri kma huu
@damianodaniel6949
@damianodaniel6949 5 жыл бұрын
Dah Huyu mke wa nyembo nmemkubali
@AliMohammed-mj4ec
@AliMohammed-mj4ec 5 жыл бұрын
Yaani hii movie imenitoa chozi hadi inasisimua nadhani hii ni film bora mulowahi kutoa pia mmeitengeza ktk ubora wa quality ya kimataifa ambayo inaashiria mazingira kamili ya vijijini mwetu hongereni sana na nawaombea mutoe kazi nyengine yenye ubora kama hii ili muweze kukuza ktk International level
@zawadismaili144
@zawadismaili144 Жыл бұрын
Mashallah ♥️ nimeipenda hi movie inaelimisha kwan ni wachache wako ivo
@fatumamohammedkumanya2543
@fatumamohammedkumanya2543 Жыл бұрын
Mashallah mngu awape moyo wanawake wote wakubwa kuwashaur waume zao kuowa bb wa pili ❤❤❤❤
@t.pendacnzacrah8842
@t.pendacnzacrah8842 5 жыл бұрын
jomon penda cn kipupwe na mau jaman mchumba siwa we crazy love maana
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Hongereni Sana watanzania wenzangu kwa kuwaelemisha jamii nikiwa jijini Nairobi Kenya
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Movie nzuri Sanaaa 🙏 hongereni washiriki wote 👊 2021
@jennipherray7001
@jennipherray7001 2 жыл бұрын
Aiseeeee inahitaji Moyo na ujasiri wa hali ya juu maana c mchezo.. congratulations madam
@isihakakichuya7176
@isihakakichuya7176 6 жыл бұрын
Nmependa sana maamuzi ya uyo mama pia pia hii n Bonge LA movie big up sana
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 2 жыл бұрын
Duhuu movie inafunza kwel inatiya huruma sana
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 4 жыл бұрын
Daaa nimeipenda hii mover balaa ninzur sana part 3 ikuwapi mkojan jamnn
@sloanpretty5701
@sloanpretty5701 2 жыл бұрын
Followed this sweet movie from tiktok
@dullahyunusu3072
@dullahyunusu3072 2 жыл бұрын
Me from Facebook
@mazrui1948
@mazrui1948 3 жыл бұрын
Da bi mkubwa umefanya uamuzi mzuri kabsa. Natamani na mm mke wangu angekuwa kama ww bi mkubwa. Dah movie nzuri
@mauriceluttahrapando2306
@mauriceluttahrapando2306 2 жыл бұрын
Thz gal Siwa, sooooo beautiful and talented
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 4 жыл бұрын
ongereni sana na mmejitaidi na inafunzo mengi na mazuri
@bashilimuzuka4262
@bashilimuzuka4262 2 жыл бұрын
Ongela dada kwakujuwa Dini yako nakuamuwa ipasavyo nimepewa siwaaaaa👌
@paulsimon9171
@paulsimon9171 2 жыл бұрын
Mmmmh nimeipenda sanaaa jamannnn MUNGU awabariki
@evpetersamweliofficial2425
@evpetersamweliofficial2425 4 жыл бұрын
Mko vzr kweli, hadi leo 2020 Bado naangalia
@hashimshaban1470
@hashimshaban1470 5 жыл бұрын
Aaaah!! yan hii movie inataka kubiliza lakini pia inataka kunichekexha xana ety kaka yupo brazil daaah!
@pesmaster4174
@pesmaster4174 4 жыл бұрын
Best movie ever in bongo...so natural 😓
@mchumiboy2972
@mchumiboy2972 4 жыл бұрын
sure bonge la movie halichoshi kutaza kwakweli
@CalebBabwanga
@CalebBabwanga 10 ай бұрын
Yes hii nimeipenda kiufupi imeigizwa kiufundi kwahiyo pandeni ngazi 😅😂❤
@AbcdEfgh-ju7dg
@AbcdEfgh-ju7dg 4 жыл бұрын
Dah move hii imeniliza mnooo yani mmejitahid sana jpo nyie tumeoea kuwaona kikomd zaid
@officialsalmazayn2938
@officialsalmazayn2938 4 жыл бұрын
Maskini Huyu Dada Ni Jasiri Sana! 😍
@aliarkam1413
@aliarkam1413 6 жыл бұрын
Hongeren sana upenda sana mchezo wenu ,sema Tena hongeren ahsanten sana
@naasoja599
@naasoja599 4 жыл бұрын
E,e,bwana wee wewe tena
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 6 жыл бұрын
Siwa king'ang'anizi adi anaolewa daa noma sna nime enjoy sna
@alfanm.8221
@alfanm.8221 5 жыл бұрын
😂😂😂 hapo ndo nakuambia afadhali kusepa
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 2 жыл бұрын
Best movie ever 😢🔥💯
@bergergentil8086
@bergergentil8086 Жыл бұрын
Super bien vraiment
@edmundisospeter7837
@edmundisospeter7837 2 жыл бұрын
Aya bhn kazi ya mapenzi hiyo🙏🙏🙏
@peterpen464
@peterpen464 6 жыл бұрын
Umefanya maamzi mazuri sana madam 👏👏👏💖💖
@harunaabrahaman1679
@harunaabrahaman1679 Жыл бұрын
Wow wow 👏👊👏 Kali sana
@dullahyunusu3072
@dullahyunusu3072 2 жыл бұрын
2022 nipo hapa nainjoy the best move
@lengoyamangoindakeni893
@lengoyamangoindakeni893 Жыл бұрын
Best movie 🎥🍿
@amissaitangisha8586
@amissaitangisha8586 4 жыл бұрын
Izirail iko week end weye unamlazimisha kufanya kazi 😀 shkamoni kwa misemo
@stellamwakyusa1900
@stellamwakyusa1900 5 жыл бұрын
Dada ongera kwa ujasiri uliinao.mungu akupe moyo huo so kqa movie tuu Bali hata kwenye uhasilia
@NadiaHabonimana
@NadiaHabonimana 6 ай бұрын
Mke wanyembo bigap sana mnajua sanaaa ongera sanaaaa❤❤
@user-hs2yc6ro9j
@user-hs2yc6ro9j 3 жыл бұрын
Umeamua vizur kuwoaw2bg💪💪
@charlesmema4179
@charlesmema4179 4 жыл бұрын
Dhaaa hiiinoma sana ongereni kweli kupenda nikazi
@kimamour3003
@kimamour3003 3 жыл бұрын
Am not that fun watching movie but this was the best which never end
@anithaonesmo2959
@anithaonesmo2959 2 жыл бұрын
Ila jamn kazi nzuri kila mtu kasimamia uhusika wake vizur ♥️♥️♥️♥️👍
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 6 жыл бұрын
Aya wanaume mjifunze tabia za kuita watoto wadogo mchumba mchumba muache mjifunze kutoka kwa nyembo 😆😆😆😆😆😆😆 maana wengine awataki kutaniwa mchumba mchumba 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@hbkadodaramraj1224
@hbkadodaramraj1224 5 жыл бұрын
Nimeipena sana nimejifuza
@hadikhgambw3720
@hadikhgambw3720 4 жыл бұрын
Hahhahh waach wengin wanakuw wa nawek akili🤣🤣🤣
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 3 жыл бұрын
Sifatiliagi filam lkn hii mmeonesha kiwango cha juu kabisa nilianza tazama part 1 kwa basj haikuisha ikabidi nimalizie huku youtube hongereni sana aise
@bettyibrahim7915
@bettyibrahim7915 5 жыл бұрын
Yaani hii movie hua nacheka sana
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Daah safi sana bonge la message nimewaelewa vbaya mnoo kazi nzuri
@zamdabakari6372
@zamdabakari6372 6 жыл бұрын
Yasri ila anajua kuimba🔥🔥💥
@muniramohammad4857
@muniramohammad4857 5 жыл бұрын
Imenitoa machozi filam ina hisia nzito
@happnesseliudidaniel5022
@happnesseliudidaniel5022 2 жыл бұрын
Hii move nimeipenda lakini ningependa kushauri hii tabia ya kuita watoto mchumba inawaathiri hii ishawahi nitokea mtu alikua ananiita mchumba nikajikuta nampenda na nikatamani aje awe mmewangu, na niliumia baada ya kujua anamahusiano lakini nashukuru Mungu nilishasahau Kila kitu
@aminaabudhull9373
@aminaabudhull9373 2 жыл бұрын
Nice movie 🍿🍿
@jumamomary9755
@jumamomary9755 2 жыл бұрын
very nice
@muhidinmawe839
@muhidinmawe839 6 жыл бұрын
nimefurahi na nimejifunza sana kweli nawapongeza sana tena sana
@jumaabbas4184
@jumaabbas4184 4 жыл бұрын
Tupo pamoja
@ngoyagge178
@ngoyagge178 Жыл бұрын
moi aggee je du pour la vidéo tout le quatre ilso bien tout ne felusition a ce groupe Mercie
@asukulummonga3685
@asukulummonga3685 6 жыл бұрын
Wow video mzuri sana naipenda sana hii video
@oruchodaniel3169
@oruchodaniel3169 4 жыл бұрын
I like this movie but the most the first mrs nyimbo so humbles! If I w'll meet with you somewhere else please ask your gift to me, i loved you much for your kindness:
@williammayoni5709
@williammayoni5709 2 жыл бұрын
Hongera sana ndindi
@neelamibrahim4736
@neelamibrahim4736 5 жыл бұрын
Maasha'Allah 😍
@Raliyaibrahim-th4lx
@Raliyaibrahim-th4lx 6 ай бұрын
Anyway this is best bongo movie so nice❤
@tezneydickson9759
@tezneydickson9759 2 жыл бұрын
Good work
@zulachama1067
@zulachama1067 4 жыл бұрын
Kweli iko vizuri.
@shedricknjamba9532
@shedricknjamba9532 3 жыл бұрын
Napenda wimbo eti jamani mapenzi yananiumiza Nani akaimba
@masudisandra1944
@masudisandra1944 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️uyu mama apewe ulinzi mama anamoyo mgumu wangeli kuwakama huyu mama basi wanaume tungelishi baradizoni
@abdallahkigua7950
@abdallahkigua7950 2 жыл бұрын
Jamani hii movie imeisha
@slyvesterkatindilikatindil1223
@slyvesterkatindilikatindil1223 5 жыл бұрын
Nzuli sanaaaaa
@Kassim-o6m
@Kassim-o6m 2 ай бұрын
Kipupwe uko vizuri
@azmarasaid5513
@azmarasaid5513 5 жыл бұрын
Mashaaalah
@rehemalushinge5674
@rehemalushinge5674 5 жыл бұрын
Mke mkubw wa kipupwe mzuriiii😍😍nampnd snaa
@rehemalushinge5674
@rehemalushinge5674 5 жыл бұрын
Sanaa
@aminayahya9398
@aminayahya9398 6 жыл бұрын
Jamani jina la wimbo tafadhali
@saidahmed9688
@saidahmed9688 3 жыл бұрын
movie nzuri sana
@NadiaHabonimana
@NadiaHabonimana 6 ай бұрын
Naipenda sanaaaa
@neemamrema6925
@neemamrema6925 4 жыл бұрын
Gud sanaaaa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 3 жыл бұрын
Naam, hichi kitengo cha love Siwa amekitendea haki
@zahraally-oq7mf
@zahraally-oq7mf Жыл бұрын
Manshaallah ndindi
@nishimweveronique1911
@nishimweveronique1911 5 жыл бұрын
Daaa Mtupe part y’a 3
@Neon_Nebula1
@Neon_Nebula1 5 жыл бұрын
yeah they have to do that
@jasmineeemmanueln889
@jasmineeemmanueln889 6 жыл бұрын
Nice movie😘😘
@ismailhamad66
@ismailhamad66 4 жыл бұрын
Well done 👏
@nyirandorimanagenereuse3041
@nyirandorimanagenereuse3041 5 жыл бұрын
Jamani mapenzi kbs
@mwanahawahamis1321
@mwanahawahamis1321 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 uyu siwa kachizika namapenzi kawa taila kabisaaa
@emmyyussuf9234
@emmyyussuf9234 2 жыл бұрын
Nice movie 🙏🔥
@zaitunsaid6703
@zaitunsaid6703 5 жыл бұрын
aiseee move tamu sana
@manzumwela6271
@manzumwela6271 2 жыл бұрын
I like
@naomikasindi2241
@naomikasindi2241 3 жыл бұрын
Much love from Australia 🇦🇺, pongezi sana 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@نجمةكينيا
@نجمةكينيا 2 жыл бұрын
good movie 🥰🥰😋🔥
@mazrui1948
@mazrui1948 3 жыл бұрын
Mkojani kiboko movie iko chonjo kabsa
@shakiramwenye1683
@shakiramwenye1683 5 жыл бұрын
Huyo bint nae anamuharibia mwenzie khaa
@kyandohakika7592
@kyandohakika7592 3 жыл бұрын
Duu bimukubwa anamoyo
@bonifacehami9120
@bonifacehami9120 4 жыл бұрын
Huku tatu huku tatu😀😀😀
@selemanirashidi9256
@selemanirashidi9256 6 жыл бұрын
Uwomziki nani amehuimba mziki mzuri
@fahmisalimaldarmak9301
@fahmisalimaldarmak9301 6 жыл бұрын
Bro jina la uwo music hujalipata
@ndayikengurukiyejeanmarie9195
@ndayikengurukiyejeanmarie9195 6 жыл бұрын
Nzuli sana
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 5 жыл бұрын
Nice movie
@mamaanita9853
@mamaanita9853 6 жыл бұрын
napenda movie zenu
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 6 жыл бұрын
😆😆😆😆 uyo siwa ni chizi mapenzi jmn
@amilaibuma7533
@amilaibuma7533 6 жыл бұрын
Siwa king'ang'aniz kweli jmn duuu mpk umeolewa
@abelmerrod3639
@abelmerrod3639 3 жыл бұрын
Ndindi nikioo cha jamiiii
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 4 жыл бұрын
Jaman mover nzur jaman
@patriciakundy8147
@patriciakundy8147 6 жыл бұрын
Dada Huy anauvumilivu Mke wa jamaa
@fahmisalimaldarmak9301
@fahmisalimaldarmak9301 6 жыл бұрын
Huo music unaosema km kupenda dhambi moto wangu mie nani kaimba na tutaupataje
@shaziryhashimu4143
@shaziryhashimu4143 4 жыл бұрын
Kaimba feysal machuya but hata ukitafuta haupati daah sio poa
@tiffahkipanya-mg4fe
@tiffahkipanya-mg4fe 10 ай бұрын
Nimependa sound big up
MCHUMBA Part 1 - (Abdallah Mohamed, Jenipha Temu (Official Bongo Movie)
59:44
Lawama Part 1 - Madebe Lidai & Aunt Ezekiel (Official Bongo Movie)
45:10
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 51 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 140 МЛН
MCHUMBA | full movie |
1:01:01
DINHO
Рет қаралды 17 М.
STUDENT FULL MOVIE 2024
1:52:20
SENGO MK
Рет қаралды 111 М.
BAD STUDENT | 2024 FULL BONGO MOVIE
1:00:01
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 137 М.
KUMBE MLEVI
11:45
Joti TV
Рет қаралды 92 М.
KAFIA GHETTO FULL MOVIE
2:34:15
BHAILAM
Рет қаралды 644 М.
SINA  KOSA FULL MOVIE
58:04
TANU PLUS+
Рет қаралды 29 М.
Mkojani Gang-(MCHARO KAWA MTAMU) NEW BONGO MOVIE
1:01:29
Zest Films Production
Рет қаралды 241 М.
PAKA WANGU FULL MOVIE
3:00:56
MWAKATOBE
Рет қаралды 55 М.
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 51 МЛН