MCHUNGAJI Aliyetuhumiwa KUUNGA MKONO USHOGA aomba RADHI/Adai HUJUMA amefanyiwa

  Рет қаралды 22,943

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 248
@yustondelwa
@yustondelwa Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kujibu maombi yangu, huyu hafai kabisa kuwa mtumishi wa Mungu, Asiruhusiwe tena
@GeofreyMtensa
@GeofreyMtensa 4 ай бұрын
Acheni usenge wa kujiita Mtume/ Nabii ..huo ni utapeli na uongo...
@evalinemagige495
@evalinemagige495 6 ай бұрын
Mnashugulikiwa mpaka mnaanza kuwa wadhaifu na Bado mnamchezea Mungu hata siku Moja Nuru na Giza haviwezi kaa pamoja mtubu kwa Mungu na muache huouchafu wenu Mungu atawasamehe na kuwa Fanya wapya
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 6 ай бұрын
Hongerani Sana Wakiristo kwa kukataa kuburuzwa na Watumishi hawa Wafuasi wa shetani Kwa kweli Ushoga Hapana
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 6 ай бұрын
Nawewe Mama Mungu akupige huo mdomo wako wa kishetani mkafie mbali enyi maibilisi pumbavu zenu
@drelizakilili
@drelizakilili 4 ай бұрын
Tinaanza na wewe
@arttilioemiliam2419
@arttilioemiliam2419 6 ай бұрын
Mungu ameshachukua hatua zake kidogo hapo Bado serikali inakuwa kuchua hatua Kali zaidi la sivyo na serikali nayo Mungu atachukua hatua Kali zaidi
@zawadielisikay
@zawadielisikay Жыл бұрын
Acheni kutupoteza hawa siyo watumishi wa mungu
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 ай бұрын
Kabisa
@CostancioMoza
@CostancioMoza Ай бұрын
Kweli
@josephatmargwe-kn4mu
@josephatmargwe-kn4mu 4 ай бұрын
Mungu shusha Moto wa Mbinguni uondoshe uchafu huu
@drdd774
@drdd774 Жыл бұрын
Tena hawa hawafai kuitwa watumishi wa Mungu, mnatia aibu ukristo.
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Kwendraaaaaaaaaa mwenyenz mungu atawaadhib nyiny saiv hata aina Aja yakwenda kanisani wakat makanisa yanafagilia ushoga aiwezekan nidhambi tnaenda ktafta t nchkizo kwa mungu
@muznatshaban5089
@muznatshaban5089 Жыл бұрын
Nyiiiii Hawa wanauzagaaaa vipodoziiiu jamn wezi hawaaaaaaa mungu tandika Hawa watuuuu wageuko kuwa maweeeee
@salummussa9871
@salummussa9871 Жыл бұрын
Unajiita Dr Dr sio jina ujinga ujinga hapa ,,mnatuudhi Sana Sana Sana mpaka mnatupasua mtima wetu ,,mama yetu samia shughulika na huu upepo...
@drelizakilili
@drelizakilili 4 ай бұрын
Subirini sasa wazungu wawaletee mazingaonbwe si mnatukataa sisi watanzania wenzenu?
@upendogospelreaching6380
@upendogospelreaching6380 4 ай бұрын
Ashe male ngai ,,nahavache mfumwa,,Mungu Yuko enzini mwake,, mmezidi kuutukanisha mwili wa Kirstin yaani hao wotee hamna watu hapo NI vivuli tuuu,,,wamekua wakitukana sana
@robertkatole3910
@robertkatole3910 Жыл бұрын
Pesa za wazungu mlizo tafuna mziludishe,kidanguro chenu hakito funguliwa tena mashetani wakubwa ninyi.
@juanajuan3198
@juanajuan3198 Жыл бұрын
Kamwe msimdhihaki Mungu...Mungu huyu sio wa kumuingiza kwenye dhambi zenu...muogopeni Mungu , achen udanganyifu..Mungu alie hai hadhihakiwi..msipotubu na kuacha dhambi hyo..hakika atakuonyesheni km yy ni Mungu alie hai Mungu wa Israel. Tubuni.
@victoriajulius5239
@victoriajulius5239 Жыл бұрын
Mungu Mkali bwana na Ana watu waaminifu sana wakupigania ukweli na Imani nyie watu sis tumesamehe endapo baba yetu amewasemehe pia
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y 4 ай бұрын
Nyie ni watumishi sio sawaaa mungu ndio ajuaye yote
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 6 ай бұрын
Mmechosha kuwasikiliza poteeni mbali nyinyi mawakala wasodoma na gomola
@theresiachacha3068
@theresiachacha3068 Жыл бұрын
Ile siku walikua na nguvu kweli. Leo wote wamekua wapole. Hata kuongea hawawezi. Wamwombe radhi Mungu sio sisi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Wanaona haya na Wanaogopa hata kutembea Mitaani .
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Жыл бұрын
Mungu hadhiakiwi
@greysondavid6445
@greysondavid6445 2 ай бұрын
Tumepewa mamlaka na Mungu kuwatawala vuimbe wote na kuwapa majina yao.Leo hii wale tuliopewa mamlaka ya kuwatawala,wanatuzidi maarifa ya kiutawala.tunafuga njiwa,bata,punda,kondoo,mbwa,mbuzi,ng'ombe, n.k.Hwa viumbe hawashiriki mapenzi ya jinsia moja.Aibu aibu,aibu watumishi wenye roho za kishetani,waache kazi za Utume na utumishi wakalime.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 ай бұрын
Huyu mama alikuwa na kazi nzuri ya kutengeneza vipodozi sasa tena leo umeongia huko makubws!!!!!!
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 6 ай бұрын
Ukute hata vipodozi vyake vina vina viambatana ushoga na usagaj
@drelizakilili
@drelizakilili 4 ай бұрын
Kwanini usiendelee kuamini? Upinzani ni mbaya sana
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Grace products ni bidhaa za kuzimu kaeni nazo mbali
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 6 ай бұрын
Mna nia ovu ninyi.Mungu anawaona.mnatuchafua sana ninyi.Nilipenda mafuta Yenu sasa nayaogopa mno.
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Nasikia nabii wao wa uongo anaepromote ushoga keshapi😮gwa Kofi na Mungu
@Commentsplus
@Commentsplus 6 ай бұрын
Sabuni zake situmiiii teeeeeena
@ERICAHMWAKILUNGU
@ERICAHMWAKILUNGU 4 ай бұрын
Mungu wangu tusaidie mbona tumetuma sana Mungu tutoe kwenye hili jaribu
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
😔🥰tamaa mbaya sana kisa pesa na bado shetani hana fadhila
@mpefu_4936
@mpefu_4936 4 ай бұрын
Mnacheza na mungu yupo hai
@Edwin-tw3yj
@Edwin-tw3yj 6 ай бұрын
Jifunzeni kuandaa somo pia kwenda na neno,pia Mila,za watu zizito Linda dhambi..pia ila lenye kweli ya Mungu bila kutetea uovu! Kueshim Neno la Mungu na Shelia kua na kiasi ktk mambo yote Ili kweli yenu isilaumiwe
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
Mhuuuuuuuu na ule wimbo alioimba mke wake na zingine za kuhusu kusema ovyo kuhusu Bibilia . Ombeni radhi nyoosheni maneno msipindishe ili msamehewe.
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Жыл бұрын
Aliwahi kusema kitakuja kitabu kizuri kuliko Biblia akasema Biblia imeandikwa na wajinga flani hivi.. Aliwahi kuita torati ni mavi Aliwahi kusema Yesu kaenda Kwa mchepuko wake ...ndio maana harudi... Yaani Hata kama ndio Kwa mifano ila anakashifu sana Imani ya kikristo...nimekua nikimuandikia mara nyingi.. Huyu ni ajenti wa Shetani kabisa ..
@AtuganileGodson
@AtuganileGodson 3 ай бұрын
Yaani wewe ndo grace product?Mungu atakupa unachotaka sooooni.
@joyceregani9778
@joyceregani9778 6 ай бұрын
Acheni kumchafua yesu ,Mungu hazihakiwi
@AtuganileGodson
@AtuganileGodson 3 ай бұрын
Nyie mnaojiita nitumie na askofu kuna kitu mnakutafuta kwa Mungu na wewe mke utajipata.Siku chache. Ushoga mbele za Mungu nazani mnajua kuwa ni uchagu
@rameckmarembo
@rameckmarembo 4 ай бұрын
Eti watumishi wa Mungu!!!?? Mungu yupi huyooo!!!? Mungu wa kuzimu au wa mbunguni Maana kuna miungu wengi
@paulokuze9307
@paulokuze9307 Жыл бұрын
Mungu tandika Hawa maana wamezidi
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 6 ай бұрын
MITHALI 24:1-2 Usiwahusudu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, na midomo yao huongea madhara.
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 6 ай бұрын
Bado hamjasema😂 Islam is my religion
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 6 ай бұрын
Wamesha mpiga dawa mchungaji ili aumwe kisha wamchafue jamani jichunguzeni mara kazaa kabra ya kukashifu jambo kama ushoga nchi inajua chanzo ni wapi wakamatwe wachukuliwe Sheria sio kukashifu WATUMISHI WA zuri kama Hawa kamateni wamafuta ya upako lakini huyu uhubiri uhalisia WA maisha mnaboa sana hukumu yenu ipo
@josephmazengo1113
@josephmazengo1113 Жыл бұрын
Huyu sio wa kristo ni mpinga kristo
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Watumishi hawo siyo watumishi wa Mungu hawo .. mahanithi hawo
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 6 ай бұрын
Mapepo nyinyi mungu awahukum
@Nazareth8119
@Nazareth8119 6 ай бұрын
Hakuna imani hapo, mtumishi anakejeri biblia na maandiko na watumishi wa Mungu kama Paulo unamuita "mpuuzi mmoja" nyoosheni maneno msamehewe.Mnafanya ukiristo uonekane dini ya hovyo, Bwana na awakemee.
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Dawa ni hao waumini waache kwenda kwenye hayo makanisa yao.
@drelizakilili
@drelizakilili 4 ай бұрын
Wewe wasema
@paulntalima6998
@paulntalima6998 Жыл бұрын
Waongo wakubwa hawa walimkufuru Mungu hawaon haya kutuongopea
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Yesu aliwahubiri Waovu waache kutenda Dhambi hakuwa/hana Uwezo (Mamlaka) Kusamehe Dhambi. Kama Ushoga na Usagaji (LGBTQ 🌈) ni Mzuri basi Mungu Mola Muumba asinge waadhibi Kaumu Luti/Watu wa Luti (Sodoma na Gomora) mnamnyongesha huyo Yesu huko alipo atamtazamaje Mungu?! Ataweka Wapi Sura yake Yesu siku ya Hukmu/Kiama?! Mnamtengenezea Maswali mengi Yesu ataulizwa na Mungu; hivi ndivyo alivyotumwa na Mungu Kuja kuwafundisha hayo?! Fanyeni touba ya kweli, inshaallah Mungu Mola Muumba wa kweli na Haki anasamehe Dambi (Mungu ni Mwingi wa Kusamehe) Kwa Mwenye kuhitaji Msamaha wa Mungu. WaAllahu Aalamu/Mola Muumba ndo Mjuzi.
@PcgtMsalato
@PcgtMsalato 6 ай бұрын
Waongo wakubwa. Mungu awashighulikie. Iko siku sisi Manabii wa Kweli tutaomba moto ushuke.
@isaacvtv547
@isaacvtv547 6 ай бұрын
U Dr haukufanyi kumjua Mungu.
@BarnetLaston
@BarnetLaston 6 ай бұрын
Ana U Dr gani mavi tu hawa
@paulokuze9307
@paulokuze9307 Жыл бұрын
Hawa ni washetani wanajiita wazee wa neema,haaa Sasa Tito 2:2 inasemaje neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa yatukataza kukataa ubaya wa kila namna.
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Жыл бұрын
Hakuna Cha mtume Wala Dr Wala chumvi na sukari... Acheni utapeli acheni uongofu acheni upotoshaji na acheni ujinga.
@deborambutu9547
@deborambutu9547 Жыл бұрын
Yn sura kma zmenyeshewa na mvua jmn..Huyo wa mwisho ssa
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Huyo mwenye masikio popo 😂 Mungu anisamehe! Kakaa kama gay 😂.
@Rennyanselim
@Rennyanselim Ай бұрын
Sura zinaonekana ni wezi na waongo
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Hiyo Kampuni yake ya Bidhaa za GRACE PRODUCTS zichunguzwe sana huenda Kuna Vichocheo (Hormones) vinavyofanya Wanaume wapende Ushoga na Wanawake Wapende Usagaji na Kulawitiwa.
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Жыл бұрын
Aah sana kabisa kabisa
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 ай бұрын
Kweli
@pendogwisu
@pendogwisu 6 ай бұрын
Amepigwa Kofi zito na Mungu
@betuelmgullu4631
@betuelmgullu4631 Жыл бұрын
Hastahili kujiita mchungaji hiyo akapumzike kwanza
@esthermwaibasa4778
@esthermwaibasa4778 Жыл бұрын
Masisi sijui umekengeukaje,rudi kwenye njia za Mungu nakuomba,kwa kweli nimekusikiliza nikaishia kusikitika unasema kuna kitabu kinakuja zaidi ya ya hii biblia?ulianza vizuri na unakoishia omba rehema za Mungu shetani anakuwinda,
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Tena huyo mwenye masikio kama popo ndio hupotosha zaidi Bible anasema watu wanywe tusker, wine, madhabahuni
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤓🤓🤓🤓😃😃😃
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti maskio kma popo
@kelvinmwalunenge6224
@kelvinmwalunenge6224 6 ай бұрын
Nema ya wasenge wote imefunuliwa
@aziza9093
@aziza9093 6 ай бұрын
Mshadw nachama chanu wanafiki wakumw na mungu atawa laani kaumuluti mnaya funya
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 6 ай бұрын
HUYO MAMA ALIIMBA WIMBO AKISEMA NEEMA KWA WASENGE WOTE NEEMA IMEFUNULIWA. MSHENZI KABISA
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Ndo huyo kumbe! Lol Mungu ampige eti askof!
@drelizakilili
@drelizakilili 4 ай бұрын
Y hawa tuu huu wimbo sio wa leo wala jana mbona kwa majambaji hamsemi? Na leo ndio kukatwa watu wapanga kumeibuka kwa upya siku moja mtanikumbuka sana
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
2 Wakorinth 11:13-15 "Shetani kujigeuza
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Жыл бұрын
mbona walawi 20:13-14 hamuisomagi na kuihubiri??
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga 4 ай бұрын
Hapo sijaona kama ni kuomba radhi bali ni technical-know-how to manipulate the slow learners.
@baybeshayo18
@baybeshayo18 6 ай бұрын
Myshindwe ktk jina la yesu kristo aliye hai.
@BarnetLaston
@BarnetLaston 6 ай бұрын
Hawa watu wamefilisika wako tayari kumtukana Mungu kwa ajili ya pesa
@ngwandukadama4229
@ngwandukadama4229 6 ай бұрын
Hakuna kitu hapo mnatumika na wazungu makanisa haya serikali iyaangalie
@pastormbokoti3613
@pastormbokoti3613 6 ай бұрын
Mungu awatandike maana mmeiharibu injili ya kristo
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Hatuwataki nchini kwetu waondoke
@salumurembo6525
@salumurembo6525 Жыл бұрын
Nimesilikiliza sana hawa watu. Nimewaelewa nia yao. Kwa sasa naogapa kununua biadhaa zao ziwe za kupaka au kunywa naogopa huenda wakaweka viambatisho vya kuchochea vile vitu
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Dawa ni kuacha kutumia na waumini kutoenda kanisani kwao mbona ni rahisi tu
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 6 ай бұрын
Uuwi Kumbe Grace product ni mume wa huyu kiumbe? 🙌🏽🙌🏽 mashetani hawa
@emmanuelmanka
@emmanuelmanka 6 ай бұрын
Siku zote shetani huwatumia wanawake ata huyu mama apa katumiwa na shetani kutetea ushetani Mungu atakutananae
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
How can we believe she is his wife ilhali kasema yeye Ni chakula ....?
@theologyclass9209
@theologyclass9209 Жыл бұрын
Mungu anawaona sanaaaaaaa
@MathayoLoboi-uw2uj
@MathayoLoboi-uw2uj 6 ай бұрын
Upingwe kanza ufe life chakora ufe kifo Cha jeshi lafarao
@mkuubonyo1713
@mkuubonyo1713 6 ай бұрын
Mama chizi mzee chizi ushoga ?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
hebu tuimbieni ule wimbo wa"Neema kwa wasenge wote neema imefunuliwaa
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Жыл бұрын
Mpumbafu saana huyu mama yaaani wajinga kabisa Hawa watu
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 6 ай бұрын
Michizi hii
@drelizakilili
@drelizakilili 4 ай бұрын
Ndio maana Kristo alikufa kwa ajili ya wenye dhambi sio watakatifu na kama ni watakatifu bali alikufa bure
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Hawa wakapimwe kwanza kama wabunge......... Watakuwa hawako salama sana
@kdazzy9967
@kdazzy9967 Жыл бұрын
Awa watu ikowezeka wafungwe kifungo cha maisha
@hono1232
@hono1232 6 ай бұрын
Sema shoga Martin bashwanda siyo mtume
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 Жыл бұрын
Huyu jamaa si ushoga tuu Hadi vitabu vya mungu analeta KUFURU
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Жыл бұрын
Aliita Biblia ni kaburu la ajabu..kwani kuna mjinga mmoja alisema kitu..tukaamini.. Aiseeee
@patrickmsekwa4947
@patrickmsekwa4947 4 ай бұрын
Aki au haki???... Unachafua Kiswahili
@RastaSuma
@RastaSuma 2 ай бұрын
Hatutaki ushoga nyinyi wakristo
@happymrema7487
@happymrema7487 6 ай бұрын
Weww ni shog
@evalinemagige495
@evalinemagige495 6 ай бұрын
Msimchezee Mungu mtapigwa naMungu mwenyewe mnasapotiwa na Hawa wakuu wa ushoga mnajifanya kuota mapembe na kuipotosha kweli ya Mungu msijisuuze ndivyo mlivyo mahubiri yenu Yako kinyume na Biblia mapambio yenu ya autukuza ushoga na hata hizo bidhaa zenu nimezitumia ninamiaka kumi Sasa na nimefanya maamuzi kuziacha achenu kujifanya Sasa mnatumia mistari ya Biblia kujifanya ninyi niwatumishi wa Mungu ninyi ni wa ubilisi baba wa uongo
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
SUUUUUUUUKUMAAA NDANIIIIIIIIIIIIIIII WOTE HAWA
@Rennyanselim
@Rennyanselim Ай бұрын
Kabisa hivi vipodozi vyao vina madhara udhamini wao upo kwa wazungu
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 Жыл бұрын
Huyo aliyepembeni alikuwa anatamba kwa upotoshaji wa Biblia. Vilevile alisema Ushoga si shida. Msijitetee timesikiliza yote. Wala haisidii kujikosha.
@patmercysecuritycompanylim5689
@patmercysecuritycompanylim5689 Жыл бұрын
Msihalibu thehebu la Kristo
@baybeshayo18
@baybeshayo18 6 ай бұрын
BWANA na awakemee ktk jina la yesu kristo aliye hai.
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 ай бұрын
Hapo hakuna mwema vibaka watupu na huyo mama ndo hatari kabisaaa
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 Жыл бұрын
Msitumie defence ya vipande kukiri kosa wazi wazi ni bora kuliko kuzunguka zunguka, hawa watu wahakikiwe elimu zao naona hawako sawa
@DeborahLemboto-yf8jw
@DeborahLemboto-yf8jw 4 ай бұрын
Sema Mungu fundi kakupiga na kitu kizit ad kuongea huez😅
@stevenjoshua5866
@stevenjoshua5866 Жыл бұрын
Hakuna watumishi hapo mashogs makubwa hayo
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Umeoma bora wamefungiwa Ndio maana wamekuja kuomba radhi
@byesigwafabian9255
@byesigwafabian9255 Жыл бұрын
Sijui kama kuna watumishi wa Mungu hapo. Tumewafuatilia sana,wanamdhihaki Mungu, Amri 10 za Mungu. Biblia ni Makaratasi tu yaani mambo wamefundisha. Ukweli Mungu asimamie yote!
@HassanMugire
@HassanMugire 6 ай бұрын
Don't be deceived God is not Mocked
@bettynovertyfrances9620
@bettynovertyfrances9620 Жыл бұрын
Asifananishe mtoza ushuru na shoga bwana
@HabilyTech
@HabilyTech Жыл бұрын
Hakuna kufunguliwa huyo askofu ni mwehu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 6 ай бұрын
Ina maana hapo ndo tayari mmejitetea? Mbona nguvu ya ki mbingu haionekani ila dhaifu tu? NAWASHAURI MTUBIE MWENENDO WA HUDUMA YENU NA MRUDI MWE WAUMINI WA KAWAIDA ILI MFUNDISHWE JINSI ILIYO NJEMA MBELE ZA MUNGU.
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Aisee Mungu huwezi kumchezea chezea wewe wewe wewe si umeona upanga wa Mungu usitubu nenda katubu Kwa Mungu uliyemtukana na biblia yake nabado atakunyoosha lione lilivyokonda kamuulize Lusekelo na wewe mama na laana iwapige wote upanga wa Mungu ushughulike nanyi mpaka mkome
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Masisi ya mkaa endelea kusema biblia ni kabuli ona Leo huwezi kuongea MUNGU ANAPIGA SIO MCHEZO
@CostantineBahakaso
@CostantineBahakaso 2 ай бұрын
Cheki Hilo shoga zee la kulia😂
@reenesa
@reenesa 6 ай бұрын
Asiweze kuongea kwa Sasa mbona mwanzo alikua anaikashfu Biblia?
@mussawambwe5853
@mussawambwe5853 Жыл бұрын
Mchungaji shoga huyo
@domycossan1395
@domycossan1395 Жыл бұрын
Mtumishi Ceaser mwanzoni nilimuona wa maana sana, lakini baada ya kumsikia na kumwona akikashifu Biblia na watumishi mitume wa zamani kama Paul, nilianza kumwona mpotofu, binadamu sio wakamilifu sisi lakini kwa upotoshaji wake na watumishi wengine katika huduma hiyo na kujiinua wanakojiinua yaani ni dalili za ushetani. Kujiita majina makubwa na kutaka kutunga mavitabu yao kujihalalishia upotofu. Kuhalalisha USHOGA tena anatumia nguvu nyingi kukengeusha injili.
@krispinkomba4606
@krispinkomba4606 6 ай бұрын
Ondokeni hapooo
HUU HAPA UCHAMBUZI KWANINI KUZINI SIO DHAMBI
16:01
SAA YA NEEMA TV
Рет қаралды 14 М.
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 16 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН
Israel kills Hamas leader Yahya Sinwar in Gaza
22:04
Channel 4 News
Рет қаралды 345 М.
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 58 М.
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 16 МЛН