MCHUNGAJI ALIYEVAMIWA KANISANI, NGUMI ZIKAPIGWA, IBADA IKAVURUGWA AFUNGUKA - "KESI INA MIAKA 4"

  Рет қаралды 43,653

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MCHUNGAJI ALIYEVAMIWA KANISANI, NGUMI ZIKAPIGWA, IBADA IKAVURUGWA AFUNGUKA - "KESI INA MIAKA 4"
HUU ni muendelezo wa habari ya mchungaji ambaye alivamiwa na wananchi wakati wa ibada na kufanyiwa vurugu, Global TV imefanya mahojiano naye maalum na ameeleza mengi..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 354
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ
@silvestererasto9890
@silvestererasto9890 2 жыл бұрын
Hiyo ni vita ya kiroho ,Mungu awashindie
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 2 жыл бұрын
Hao waliovamia kanisa tunawapeleka kwa Mungu mwenyewe ashugulike nao mchana kweupe
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 ай бұрын
Haswa hawa wapigwe mpaka watuombe msamaha wamenikela
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 2 жыл бұрын
Songa mbele mchungaji makelele maana yake nini mbona mabaa & wengineyo wanapiga kelele, wapigwe kwa jina la Yesu!
@subiranjohole1935
@subiranjohole1935 2 жыл бұрын
Hao majirani lazima watakuwa na nguvu za Giza sana. Giza na Nuru haviwezi kuwa pamoja. Mungu asimame juu yenu msihofu mtumishi. Mungu Yu pamoja nanyi.
@vascombembela3632
@vascombembela3632 2 жыл бұрын
Poleni sana Watumishi wa Mungu, hii ni vita ya kiroho, hivyo chocheeni maombi, Mungu atasimama na kulitetea Kanisa!
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 жыл бұрын
acheni kudanganya watu. vita ya kiroho wakati hii ni physical fight. mtu ameingia amegonga mabati hapo kiroho inakata wapi? mbona tunapotoshana. kiroho ni fight within. mfano mtu mwenye usongo wa mawazo inaukaribu wa kiroho na sio mtu anarusha jiwe (Physical throwing) na sio spiritual
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 2 жыл бұрын
@@princebuganzilut2047 inaitwa vita ya kiroho kwa sababu anayechochea hizo vurugu ni shetani anayetawala akili za watu husika na shetani ni kiumbe cha kiroho ambacho hakionekani kwa macho ya damu na nyama, hivyo ili kitimize azma yake kinyume na watu wa MUNGU ni lazima kitawatumia wanadamu,na ndio maana inaitwa "vita ya kiroho"..na kuipigana kwake hatutumii bunduki wala bomu ila inashughulikiwa kwa kumwomba BWANA YESU KRISTO mwenyewe,yeye ndiye anayepigana kwa ajili ya watu wake.....na tangu historia ya ulimwengu ianze hakuna aliyewahi kufanya vita na kanisa la kweli la MUNGU akabaki salama,huwa wanaweza kuonekana kama wameshinda lakini mwisho wa siku kama wasipotubu kwa BWANA YESU KRISTO lazima watashughulikiwa tu.....
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Nimejiskia vibaya sana jaman nataman hata mngeweka namba tumchangie mchungaji anunue viti vingine🤲🙏🏽
@julianavenant1387
@julianavenant1387 2 жыл бұрын
Kwakweli mchungaji kaongea kwa uchungu 😥 daaah....🙌
@user-vl5xv2xd6e
@user-vl5xv2xd6e 3 ай бұрын
Wameru bado laana ya Wamisonari inawatafuna mpaka mnaenda kuvamia Kanisa Upanga wa Mungu u juu yenu
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 2 жыл бұрын
Mchungaji Ana busara sana
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 2 жыл бұрын
Baba yetu Mungu mwaminifu tunakushukuru katika kila jambo tunaamini eeh Yesu mwaminifu ulie hai utasimama juu ya hili🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sabatoelia312
@sabatoelia312 2 жыл бұрын
Mimi ni msabato Biblia inasema Kama watu wasipo piga kelele kwa Ajili ya MUNGU mawe yatapiga kelele 🫡. Waachen walokole wakomae kumtafuta bwana
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 2 жыл бұрын
Amina muadventista mwenzangu. God bless u
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Bibilia imekataza rakini kelele kanisani ama ujui
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 2 жыл бұрын
@@shabansalee4924 mi cjui labda tu uelewa wako, maana hata Bartholomew kipofu alipiga kelele Yesu Mwana was Daud unirehemu,...wakamwambia unapiga kelele nyamaza, yy aliendelea, mwishoni Yesu alimwita akampa muujiza wake, kuwa makini kwa tafakari zako
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@easternyerembe7271 ww ndo una umakini taalifa kwani mm mwana abali
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 жыл бұрын
hata tafsiri ya maandiko bado hamuelewi?? bado unajiita mtu wa kiroho huku tafsiri ya maandiko mnashidwa kutafsiri
@raphaelorembe7573
@raphaelorembe7573 2 жыл бұрын
Neno la Mungu linasema ole wake anayelitukanisha jina la Bwana, Mchungaji na washirika lote Mungu awatie nguvu someni Efeso6:12-13, hiyo ni vita ya kiroho. MUNGU ATAWASHINDIA
@milkajm4762
@milkajm4762 2 жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri sana. Very professional
@claudia1500
@claudia1500 2 жыл бұрын
Kanisa au msikiti vikiwa karibu na makazi ya watu,utasikia watu wanasema wanapigiwa kelele,ngoja baa Iwe jirani halafu ule mwimbo wa bia tamu ukifunguliwa sauti ya juu watu wanalala vizuri na hutasikia neno kelele...enyi watu ni bora kelele yoyote inayomtukuza Mungu,Iwe kwa kiislam au kwa kikristu,shukuru kwa kuzisikia kelele hizo maana kwa Mungu ni kelele za utukufu! Endeleeni kupenda kelele za bia tamu! Fainali zake zipo
@angelkaaya5885
@angelkaaya5885 2 жыл бұрын
Dah Yan hii kweli eti jmn watu wabadilike etii
@isayachamsa3849
@isayachamsa3849 Жыл бұрын
Watu wa Mungu Jipeni Moyo Endeleni Tu na Ibada Hao Mungu Atawashughulikia NAWAOMBEA MTASHINDA TU! TWAWAOMBEA KRISTO YESU AWE NANYI DAIMA!, HATA SIKU YA KURUDI KWAKE PARAPANDA YA MWISHO
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 ай бұрын
Yani hawa majilani watakua ni wachawi
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
be strong muchungaji na mungu akupiganie maana yeye ndiye mwenza wa yote 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@subirasanga5276
@subirasanga5276 2 жыл бұрын
Umeona eeeh! Nas sote yatupasa kuungana kumuomba MUNGu
@christianchando7041
@christianchando7041 2 жыл бұрын
Safi sana Mwandishi, umeiwakilisha vema GLOBAL. umefanya kazi nzuri. Kweli ww ni Mwandishi msomi
@hellenkendi7078
@hellenkendi7078 2 жыл бұрын
You are affecting ufalme wa Giza pastor be strong in Jesus name.
@silvestererasto9890
@silvestererasto9890 2 жыл бұрын
Wote waliohusika kuvamia kanisa Mungu atawalipa.
@andrewnjelesa8062
@andrewnjelesa8062 2 жыл бұрын
Ilibidi ifike wakati dini muiweke pembeni kidogo tu" Lah sivyo wataendelea kuwadharau chukueni maamuzi magumu tu" Upo kwenye ibada mbweha anaingilia Kati duh, sipendaji mtu adharau imani yangu hata awe nani
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 2 жыл бұрын
Umeongea point sana watakaoelewa ni wachache. Akija na mwili nami nina mwili nipo fit basi yatatokea matokeoa ya mwili.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 жыл бұрын
Hao ni wachawi.Mwachieni Mungu.
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Yesu kristo ni BWANA Hao ni Wachawi wapigweeeeeeeeeeeeeee
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato 2 жыл бұрын
Mimi Ni Mpagani Lakini Hilo Tukio Limenishitua Sana Pole Sana Mchungaji🥺🥺🙏🙏 Mwenyezi MUNGU awatie Nguvu Kwenye Hilo
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 жыл бұрын
Mchungaji usipunguze chochote cha Mungu kwa ajili ya hao Mungu atajipigania
@williammajani2152
@williammajani2152 2 жыл бұрын
Hili jambo limetendwa kwa maelekezo ya nani? Mkuu wa wilaya hiyo yupo? Na amekaa kimya? Bila shaka lipo jambo Mungu atatenda na watu wote watakunja Goti
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 жыл бұрын
mda sio mrefu utasema Rais yupo. Serikali huanzia kwa Balozi hadi kufika huko kwa mkuu wawilaya. Mkuu wawilaya anamajukumu yanayozidi kazi za kata.
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 2 жыл бұрын
Mchungaji rafiki yangu pole Sana namimi Ni mfpct kiukweli nimeumia Sana lakini nadhani hao Ni maajenti wa shetani vituvyao vinaharibika nakuomba uchocher Moto zaidi pia nishauri viongozi wa fpct eneo ulilopo waingilie kati jambo hili udhalilishaji huu usiendelee
@sarahntandu6378
@sarahntandu6378 2 жыл бұрын
Haswaaa hata mm imenikeraa
@neemasolomon56
@neemasolomon56 2 жыл бұрын
Biblia. Mathayo 7:1-3 [1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. Judge not, that ye be not judged. [2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa. For with what judgment ye judge, ye shall be judged: and with what measure ye mete, it shall be measured to you again. [3]Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? And why beholdest thou the mote that is in thy brother's eye, but considerest not the beam that is in thine own eye?
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 жыл бұрын
hapo hata wakiomba kimya kimya bado watawasumbua ni mambo ya kiroho.nguvu mbili zinashindana.
@yedadialukuba5316
@yedadialukuba5316 2 жыл бұрын
Kanisanhuwa alipigi kelele kabsa hiyo Ni Ibada ivyo Ibada ya kila mtu hieshimiwe
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki kwa busara zako mchungaji ila uwe na amani sana
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h 8 ай бұрын
Mungu anasema pazeni sauti zenu hivo niuonevu tu labda kuna nguvu zingine zinaharika wanashindwa kazi zao Mungu atasimama mwenyewe Mungu atapigana nao usiogope Mungu yupo upande wenu
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 жыл бұрын
Hakuna Kelele kwenye nyumba za Ibada! Kelele ni Bar tu!🤷
@dianaalfredy3790
@dianaalfredy3790 2 жыл бұрын
Daaah kumbe shetani yupo kazini,Mungu atuhurumie
@alexjackson5960
@alexjackson5960 2 жыл бұрын
Kwa mtindo huo mawe ya miujiza yataendekea kuwadunda mpaka wanye. Unakataaje ibada unakubali mbege
@hansmswagara2789
@hansmswagara2789 2 жыл бұрын
Hayo makelele ndo ibada
@faridaaloyce4330
@faridaaloyce4330 2 жыл бұрын
Roho za machafuko zimezagaa sana lakini tunalo jina lipitalo majina yote nijina la YESU pekee
@kessyester2479
@kessyester2479 2 жыл бұрын
AMINA👏
@Philipoupdates
@Philipoupdates 2 жыл бұрын
Mtangazaji Yuko makini Sana Yuko vizuri Sana
@octavianzubery5539
@octavianzubery5539 2 жыл бұрын
Kiukweri huduma zinachangamoto sana Mungu akupe moyo mkuu pastor songa mbele chapa injili mungu akubaliki sana
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 жыл бұрын
Uenda kanisa Hilo limezungukwa na wachawi pamoja na wenye mapepo.
@graceneema8755
@graceneema8755 2 жыл бұрын
Kabisaa hao n wachawi ndio hawataki watu w Mungu wafanye Ibada,washindwe ktk jina l Yesu,
@Pharadge
@Pharadge 2 жыл бұрын
makelele ni makele tu hata kama ni ya kuabudu
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 жыл бұрын
Huyu mtumishi wa Mungu anapitia jaribu lake juu ya injili. Natamani ningekuwa ndo Mimi, Ni vzr Sana kupata dhiki kwa sababu ya injili kuliko kupata fahari ulimwenguni. 😭😭 Yesu Kristo tusaidie. Ulisema duniani kunao dhiki Ila tujipe Moyo. Sema na wateule wako, watie Moyo mkuu. Iko siku kazi hii itakwisha. Hallelujah
@nyotamariamu9001
@nyotamariamu9001 2 жыл бұрын
Mungu baba wa mbinguni awatiye nguvu, na awape kushinda vita ivyo.
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 2 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu nyie mjipe moyo mkuu Mungu atawasimamia na pia msipigane kwa akili zenu maana vita vyetu sio vya mwili Bali ni vya loho mtegemeeni Mungu tu na Wala msijibu mapigo kwa akiri zenu
@allydaud612
@allydaud612 2 жыл бұрын
Mnapo fanya maombi wao mambo yao yana haribika
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
washirikina hawapendi mambo ya mungu hapo umeongea ukweli ndugu 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 2 жыл бұрын
Ndiyo
@fidelismvungi8514
@fidelismvungi8514 2 жыл бұрын
Mungu yupo muiten nae ataitika juu ya maadui hao!
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 2 жыл бұрын
Huu ni uonevu mtupu Haifai katika jamii yetu
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 2 жыл бұрын
Mungu akulinde pastor jinsi alivyowatetea Paulo na Sila gerezani pamoja na kanisa kwa ujumla
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 2 жыл бұрын
@@manasendone60 watumishi wanapigwa vita usiku na mchana lakini Mungu yupo atakushindia I will pray for you
@theresiapatrick5081
@theresiapatrick5081 2 жыл бұрын
@@manasendone60 unapatikana wapi
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz 5 ай бұрын
Kwa kweli Mungu akutunze sana pastor. Nimeiona hekima yako njema
@Chekakidogo2
@Chekakidogo2 Жыл бұрын
Hao walio Fanya kitendo hicho wasilete masihala na Mungu,walipo keti wawili au zaidi Mungu yupo kati Yao,Kwa hiyo hao watu kwanza hawako na Mungu ni dhahili,Mungu hakopeshi wasubili kichapo kitakatifu kwa Mungu ninavyomfuhamu Mimi Ili wajifunze jamani msilete masihala na Mungu ni hatariii sana sana sana,Mimi sinaga upuuzi na watu kama hao kwa Mungu ninavyo mfahamu kanisa Mimi ninashauri msijaribu kupigana kimwili piganeni kiroho Mungu atawajibu, Pole Yao🙏.
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 жыл бұрын
Kwann wavamie kanisa? Ila Mungu yupo
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 жыл бұрын
Hawa huwa wanachoma hata makanisa, Waone, muone huyo dada nimetaman ningekuwa humo ndan ningemkemea kwa jina la Yesu.
@mushifumushifu2355
@mushifumushifu2355 2 жыл бұрын
@@mwitaagness455 🤣🤣🤣🤣🤣sasa ingesaidia Nini ??? Waambie waache kelele bhana 👂👂👂
@ludovickmutalemwa4915
@ludovickmutalemwa4915 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu... ndg yangu ktk Kristu usirudi nyuma au kukata tamaa songa mbele mtukuze Mungu atajitetea kupitia nyie hao wanao watesa hamtawahona tena ktk Jina la Yesu (Kut. 14÷13-15) narudia kwa imani kubwa hamtawahona tena Kwa JINA LA YESU
@zawadimalecela3448
@zawadimalecela3448 2 жыл бұрын
Wanaupiga teke mchokoo kama Paulo, mwenye kanisa anawaona naye hatanyamaza kimya atateta nao kama Paulo au Elima Mchawi
@suphiapatson3541
@suphiapatson3541 2 жыл бұрын
Mtumishi ktk mda uliofanha huduma Huu ni mda wa kuomba kuliko siku zote,ukivuka hapo unaenda viwango vya juu sana!!
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Ni wazi area hiyo Ina mashetani sasa maombi ya washirika hao inaharibu kazi chafu za Giza waisilamu hupiga sauti kubwa Sana Kila siku mbona hakuna wakuwauliza? Mbona maombi ya walokole yanaleta utata ?ni nguvu za Mungu zinatembea kama in sheria Ina sema watu wakifanya ibaada wasipashe sauti njee wislamu nao??
@zuhuramhando3600
@zuhuramhando3600 2 жыл бұрын
Waislam hapo wwmekujaje!! Muhukumu mtu alifanya tukio siyo uislam siyo vizuri bhana
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 жыл бұрын
unatafuta ugomvi na wadini wenzio wewe sio Bure. azana gani uliwahi skia inadumu usiku na mcha hata lisaa tu ?? Kuna watu mna bifu za kijinga.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@princebuganzilut2047 Duh...ahsante kwa kunisaidia kusema nilichotaka kusema
@aminaally7622
@aminaally7622 2 жыл бұрын
Unawashwa sahv unahamu si ndio mambo ya uislamu yameingiaje apo
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@aminaally7622 Hukunielewa ndugu yangu mpenzi na mi pia Muislam....nimemuunga mkono prince buganzi kwa kusema Adhana haichukui hata nusu saa kwa hiyo haiwezi kusumbua watu...samani sana kama umekwazika kwa kutokunielewa
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Mungu akutete sana mch
@subirasanga5276
@subirasanga5276 2 жыл бұрын
Yan hap kuna nguvu ya kipepo inashindana na nguv za MUNGU. Ko wsna kelekwa wanaaribiwa matunduli yao. Sasa wana kuja kimwili. Lakin ss walokole vita vyetu c vya dam na nyama bali ni vya kiroho! Tuenderee kumuomba MUNGU
@josengumbi4029
@josengumbi4029 2 жыл бұрын
Pole mtumishi wamungu,kazi ya mungu hy usikate tamaa ktk kazi hy hao nao niibbilisi tu ktk kuharibu kazi ya mungu,tunasema mungu ashughulike nao.
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 3 ай бұрын
Pole mchungaji hakika mungu atakupigania utashinda
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Kazi Itaendelea Sana.... ukiona Hivyo, Ujue Kuna sehemu mngusa Mambo yao ya kigiza.
@miriamifuja4041
@miriamifuja4041 2 жыл бұрын
Pole mtumishi wa Mungu, Mungu amekusudia uwepo hapo.
@subirasanga5276
@subirasanga5276 2 жыл бұрын
Mti wenye matunda hupigwa mawe! Pole mtumishi hiy ni ishar ya kua bwana yuaja
@joycekalago532
@joycekalago532 2 жыл бұрын
Naomba Mungu awapige ukiziwi wasisikie maisha yao yote kwa sababu ya kuidharau kaz ya Mungu
@neemachengula1772
@neemachengula1772 2 жыл бұрын
Hao wanacheza na mzee wa siku wataonana nae halafu mi naona hao wana mambo yao ya siri ko nyie mkiomba wao yanaharibika na sasa wamemchokoza Mungu
@user-iu8um9eq8i
@user-iu8um9eq8i 3 ай бұрын
Jamani Mungu aeshimiwe ira Mungu hata nyamaza
@josephatmathayo2355
@josephatmathayo2355 2 жыл бұрын
Nafikiri uongozi wa juu wa FPCT uingilie Kati hili swala
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Mnapo omba mambo yao yanaharibika wao niwachawi wakubwa
@prosperpallangyo8886
@prosperpallangyo8886 2 жыл бұрын
Na hatujawahi kuwa na shughuli ndogo.Hata mara ya saba makuhani walipozipiga tarumbeta, Yoshua akawaambia watu, Pigeni kelele; kwa maana Bwana amewapeni mji huu. Yoshua 6:16
@alineciza6373
@alineciza6373 2 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu
@ludovickmutalemwa4915
@ludovickmutalemwa4915 2 жыл бұрын
angalizo watu wa Mungu msitumie nguvu ya mwl kupambana nao maana vita yetu si juu ya mwl na nyama (waef. 6 ÷12) kaeni kimya mkahuone utukufu wa BWANA (2Nyakati 20÷17) hamtawahona tena Kwa Jina la YESU
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Жыл бұрын
Hapo kuna mchawi nguvu ya Yesu inamtesa na anatumia huo mwanya wa kisingizio cha kumobulaizi watu wengine. Makanisa ya kiroho yana nguvu kubwa.
@johnnyamuhanga1438
@johnnyamuhanga1438 Жыл бұрын
Mtumishi mwenzangu,Jambo lililokukuta nami nililipitia tena nikasweka ndani cku sita na kukaa rumande cku tatu,na vyombo vya kanisa vikachukuliwa..usijali,iko siku Tanzania itakiri Yesu Kristo ni BWANA,bado muda mfupi .
@dr.peterofficial6390
@dr.peterofficial6390 2 жыл бұрын
Mungu na akutendee mtumishi.Atafanya mwenyewe usiogope
@JasmineRashidi
@JasmineRashidi 3 ай бұрын
Kama mungu aishivyo ipo sku moja tu waliofanya kazi ya kumzalilisha mungu watakuja namagoti
@vascombembela3632
@vascombembela3632 2 жыл бұрын
Ni ajabu sana kuona haya mambo yanatendeka kwa fedheha hivyo na cha ajabu sana inawezekana hao wanaofanya hizo fujo ni wakristo pia! Ila hawa watu waelewe tu kwamba Mungu hatanyamaza, na kwamba hizo njia hazitamzuia Mungu kulitimiza kusudi lake kupitia Kanisa lake ambalo linafanyiwa visa hivyo
@johnkyara8655
@johnkyara8655 2 жыл бұрын
Injili lazma usonge mbele
@janekapinga6793
@janekapinga6793 2 жыл бұрын
Hao wanaopinga maombi watakuwa wachawi kazi zao zinaharibiwa,Mungu yupo atapigana nao
@lupogocompany2833
@lupogocompany2833 2 жыл бұрын
Ukiona mtu anakerwa na maombi ujue ni mchawi. Anatumia kivuli cha majirani. Hapo mtaani baa zipo na kwao siyo kelele. Misikiti ipo na inaspika kubwa na siyo kelele. Ila maombi ya watakatifu ndiyo yanawakera kwa kuwa yanaharibu vitu ktk ulimwengu wa roho. Hapo ushauri wangu ongeza spidi ya maombi.
@notkeliromani1100
@notkeliromani1100 2 жыл бұрын
Poleni Sana, songeni mbele,
@nyotamariamu9001
@nyotamariamu9001 2 жыл бұрын
Baba mchungaji baki Kimia ili Jehova Mungu wetu wa mbinguni atuteteye,vita ivyo si vyenu.muachiye Mungu ashugulike.
@lupogocompany2833
@lupogocompany2833 2 жыл бұрын
Tunashukuru kwa taarifa. Mungu wetu anaishi. Watapigana nasi lakini hawatatushinda.
@jeniphermlay2946
@jeniphermlay2946 2 жыл бұрын
Mungu anawaona hawajui kuwa mungu aweza kuwalaza na wasiamke
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
Aya yote ni majalibu Ila Mungu atawasimamia
@naimamohammad8870
@naimamohammad8870 2 жыл бұрын
Kusema kweli hakuna mtu mwenye AKILI Utaomba mwenyezi mungu kama binaadamu mwenzako ? Ila ni ukora mwingi na usharati mwingi, mwenyezi mungu lazima kumnyenyekea
@danielkikoma5010
@danielkikoma5010 2 жыл бұрын
Ni uonevu Waislam wanatumia loud speaker Saa 11. Wengine tukiwa tumelala hatujawahi kuwafanyia fujo na kwanini unyanyasaji wa baadhi ya madhehebu.
@PGM20179
@PGM20179 2 жыл бұрын
Hao wapuuuzi walitakiwa waondoke na ngeu. Ili waseme walienda kufanya nini. Mi ningewatandika
@madamvanessa7053
@madamvanessa7053 2 жыл бұрын
Dah awo niwachawiiiii sana ni wachawi Mungu ashughulige nao mbwa hao
@innocentmlawa4759
@innocentmlawa4759 2 жыл бұрын
Wanakelele sana hawa
@felistermichael7640
@felistermichael7640 2 жыл бұрын
Kunamikubwa zaidi maana alishaendaga Hadi mkuu wa wilaya kipindi hicho Jeri muro na Mungu kamchapa saivi katupwa mbali aiseeeee
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 2 жыл бұрын
ukiishi karibu na kanisa lenye kelele utaelewa vzr!
@pascmedia1713
@pascmedia1713 2 жыл бұрын
Inamaana wanakupgia kelele Kira sku acha mbwembwe
@mushifumushifu2355
@mushifumushifu2355 2 жыл бұрын
@@pascmedia1713 punguza jazba wewe jaribu kuishi pembeni yakanisa ndo utaelewa 👂👂👂 kwasababu Mimi hapa nishawai kuishi pembeni yakanisa miaka 👂👂👂
@japhetnnko7398
@japhetnnko7398 2 жыл бұрын
Kansan hakuna kelele
@paschalkipeta2353
@paschalkipeta2353 Жыл бұрын
Bwana mungu wetu yupo nasi siku zote
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 жыл бұрын
Arusha mashallah kwa matukio tu
@salomezakaria
@salomezakaria 2 жыл бұрын
Kanisa hiyo yupo Mungu wa kweli Mungu wa Ibrahim,Isaka,Isaya Elisha
@lightnesseramson7654
@lightnesseramson7654 2 жыл бұрын
Mti wenye matunda ni lazima upigwe mawe mchungaji simama imara Mungu Yuko mawe na baba yetu alipitia hapo Ila tulishinda kwa maombi hatukunyamaza🙏🙏
@martinsimtenda5990
@martinsimtenda5990 2 жыл бұрын
Mungu atashughurika nao kabisa . Adui atashindwa.usiogope Mtumishi wa Mungu
@marthaswai1185
@marthaswai1185 2 жыл бұрын
Hao wanataka kukatisha maisha yao.Mungu anatisha.
@blessingmapazia9545
@blessingmapazia9545 Жыл бұрын
Bora kelele za kumsifu Mungu kuliko kelele za bar
@saidkalolo5216
@saidkalolo5216 2 жыл бұрын
Hawo niwachawi vitu vyao vinahalibika mungu atawaaibisha hawatashindana na mungu
@petersimba3663
@petersimba3663 2 жыл бұрын
dah inasikitisha sana pub na bar za pombe imejaa laana zote madanga wa kila aina mbona watu hawalalamiki me nasema kama wamemdharau mchungaji hakika mungu atawateketeza bila huruma
@annastaziapetro7732
@annastaziapetro7732 2 жыл бұрын
Hiyo ni vita vya kiroho Mungu akutetee mtumishi
@Gracesiyon1234
@Gracesiyon1234 Жыл бұрын
Mimi nawaonea huruma hao watu,hususan hao wanawake wawili waliovamia kanisa,halafu ni wanawake wenye uzao eti!!! Ni nani aliyeshindana na Mungu akashinda??? I'm very sad maana wameitafita laana wenyewe.
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 жыл бұрын
Mungu wauwe mmoja mjoja wafe Kwa ajali kama kweli wanasema wanapigiwa kerere
@hansmswagara2789
@hansmswagara2789 2 жыл бұрын
We mwehu utaanza kufa ww na utawaacha kw roho mbaya yko
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 жыл бұрын
@@hansmswagara2789 acha nikuchanbe kifalansa kidogo wewe ndumba sekwa sefenii naamulu uwe adui wamungu mtoto wako atarara na kaka Yako mbwa wewe
@eliakaminyoge2470
@eliakaminyoge2470 2 жыл бұрын
Mungu awateteeee
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 жыл бұрын
Namba zako mchungaji tafadhali
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 2 жыл бұрын
Kuvamia watu katikati ya ibada was a bad move hapo huwatoi milele 😅
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 жыл бұрын
Hata kama wangepiga kelele kiasi gani haikupaswa kufanyiwa fujo, ktk hilo Mungu hatanyamaza,vinginevyo watubu
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Hao wanaolipinga kanisa wakidai kuwa wanapigiwa kelele kuna vitu vyao ama nguvu zao za giza vinaharibika mimi kama mimi nawaombea rehema kwa Mungu maana hawajui walitendalo
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
ANAYEDAIWA Kuwa MSUKULE AZUNGUMZA - "MAMA Hua ANAFUNGA MLANGO"
38:19
Global TV Online
Рет қаралды 286 М.
MKASA WA MCHUNGAJI ANAELAZIMISHWA KUJIUNGA NA FREEMASON ILI KANISA LAKE LIJAE.
39:32
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 280 М.
Uchaguzi Wa Viongozi Kanisani
1:46:13
Waaminio
Рет қаралды 1,3 М.
MCH HANANJA ACHUKIZWA NA USHOGA, AGEUKA MBOGO, NI LAANA KUBWA
19:21
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН