Maneno ambayo Mungu mwenyewe ameyaweka kwenye kinywa cha mtumishi wake yanaonekana wazi kabisa. Hata mimi "nimekuelewa" Baba mchungaji. God bless you!
@mosesmwangi28424 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu aliyejaa hekima na busara.Twakupenda Sana hapa Kenya. 🇰🇪..wapi Wakenya wangapi hapa?
@evamoka65202 жыл бұрын
Mimi hapa mkenya nakuunga mkono.
@johngachugu3052 жыл бұрын
Tupo Kenya hoyee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@willykikwete86265 жыл бұрын
Mgogo umeongea jambo la kweli kabisa na umetoa ELIMU kubwa kwa nchi. Na wewe tumekuelewa
@SamwelLukas-tq9fy Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mchungaji maneno yake yanabusara sana
@mamlakapaluku8865 ай бұрын
Amina Mungu akubariki Mchungaji kwa Maono haya na kwa somo nzuri
@dariuslimbu23255 жыл бұрын
Mgogo katumia fursa hongera zake sana GOD bless him
@evapoul42975 жыл бұрын
Mchungaji nakupenda mno,yesu kristo akutunze
@MMUNGAHOSEA5 жыл бұрын
Nimefurahiii sna kuona tabasamu ya wa Africa hakika Tanzania 🇹🇿 katka myaka inayo kuja hapo itakuwa inchi yenye nguvu sna maana Mungu Anaendaa mambo manzuri kwa taifa tangu Tanzania
@mwimbajinamwalimujaphetgeo17185 жыл бұрын
Du! Mgogo NI hatali Sana, kaongea point kubwa sana
@chrisshonga5 жыл бұрын
Kwa kweli mchungaji tumekuelewa na MUNGU akibariki kwa kukutumia kama chombo cha kusaidia wanyonge
@bulugubujilima13323 жыл бұрын
Baba MUNGU tubariki moyo wa uzarendo waafrika woto,Amina!
@Mike-yg7pb4 жыл бұрын
Daaaaah!! Nimekuelewa sana Mgongo Mungu akubariki sana
@ErickMakiya2 ай бұрын
❤❤❤❤😢 ila Magufuli mungu akulaze mahali pema peponi amen
@isayamichael5 жыл бұрын
Mungu anapenda wajumbe wa namna hii hakika mungu akubarika kwa kufkisha point hii Amina
@josephjuma62423 жыл бұрын
Kweli mchungaji Mgogo Magufuli alikuwa kiongozi mwenye maono kweli, Joseph kutoka magharibi mwa Kenya
@saimonjulius13195 жыл бұрын
Saf sana mgogo nimekuerewa pia, na nimeshamuerewa raisi wetu
@nlhdma99255 жыл бұрын
Rais Ma anafanta kazi nzuri sana kwa watanzania.
@majaliwamsigwa39745 жыл бұрын
Umeeleweka mtumishi wa Mungu
@yaseenkara90165 жыл бұрын
KAKA nimekuelewa sana maana hata sisi yametukuta hayoo hayoo cha ajabu na kushangaza kabla ya kununua tumeenda manispaa mpk ramani tumeoneshwa ya kiwanja lakini mwisho wa siku tumeambiwa ni eneo la RELI
@elizamabula2 жыл бұрын
Hallelujah maneno ya mungu yako ndani yako baba Asante kwa usemi mzuri mungu akubariki.
"Mimi siombi. Maombi yaliyoombwa hapa na wachungaji Wengine yametubariki lakini Mimi nimeona niyaseme haya." Mchu. Mgogo akinena mbele ya Rais huku watu wakitegemea labda angefanya maombi kama wachungaji walippita. Dah Mgogo nampenda sana!!
@jaafarjacka33205 жыл бұрын
Maaa shaaa ALLAH Maaa shaaa ALLAH Maaa Allah hivi ndivyo inavyotakiwa
@shomarisalehe34873 жыл бұрын
Upo vizuri Sana
@EdgarMwombekiАй бұрын
Mungu akuinue baba wa kiroho kitaifa
@sheilalolila22333 жыл бұрын
Magufuli jamani kwanini umekwenda kazi ya mungu aina makosa. Duh tutakukumbuka daima
@isayamwabulanga77675 жыл бұрын
Wapenda haki atujakuelewa watakuelewa Ambao awapendi haki Lakini naamini ata mungu Hanapenda haki sizani kama hanakuelewa
@hassanjuma26885 жыл бұрын
Haki gani utakayo wewe kuwa muwazi
@isayamwabulanga77675 жыл бұрын
Kama wewe Hutambui dhuruma wanazofanyiwa wapinzani Tz basi basi wewe ufai atakuongoza familia yako
@fredialfredi2025 жыл бұрын
@@isayamwabulanga7767 akiri ni nywele kila mtu na zake
@davidcornel95455 жыл бұрын
Nimekuelewa JPM
@isayamwabulanga77675 жыл бұрын
@@fredialfredi202 hiyo siyo akili ni ujinga Ambao atujaandaliwa ili upate kizazi bora ni lazima umuandae mtoto kwa kufunza kujua thamani za uhai, Hekima, kupenda nchi yake, nakujua thamani ya haki nk Lakini mwafrica yupo tayari Kupoteza thamani uhai kwa kutetea Chama cha siasa
@francismigongwa41463 жыл бұрын
Amina mtumishi wa BWANA
@zumbeshauri81144 жыл бұрын
Mimi musilimu lakini kiukweli mchungaji huyu huwa hata mahubiri yake anaongea mambo na shida za wengi sio wale wa kukanyagisha watu mafuta
Mungu mtie nguvu mtumishi wako anaytuhurubira ni ya kweli
@marynjuguna93953 жыл бұрын
Full of wisdom
@gracepeter32003 жыл бұрын
Tumemueleewa Rais wetu
@DavidBogoss7 ай бұрын
Mungu aku bariki sana
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Maneno mazuri
@jamesmethuselafredrick60645 жыл бұрын
Safi.!☺
@paulahcatania61373 жыл бұрын
Kweli maneno mazuri.....rip mr
@peterkichochi75102 жыл бұрын
Thinker always speaks widely. Misumari imepenya ila daah. RIP jembe ila mpini umenaki.
@amosgwako99252 жыл бұрын
Wwwuuueeehhh....this guy Mugogo daktari... 🖖
@winnersinchrist01 Жыл бұрын
Pasteur tikito Emanuel
@jeremialyati6092 Жыл бұрын
Well said mtumishi wewe huwezi kuwa upande wa wanafki ni msema ukwel
@emmanuelburchard31532 жыл бұрын
Mgogo umetisha....
@jumaigoti86765 жыл бұрын
Pointi mgogo ubalikiwe kwa Ujumbe mzuri.
@elijahnyamwange35202 жыл бұрын
Great man of God
@fatmalyego25314 жыл бұрын
Wakupinga kila kitu mpoooo maana hamnaga jema nyie,, Mgogo umeongea ukweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,, Magufuli jembe
@petermtonyi91384 жыл бұрын
Mung akubark san kwa maneno y hekima,kwel hat mung alianza nasekta ya ujenzi,tumekuelewa
@creativeBrandingAgency5 жыл бұрын
channel ten mmetisha kwa kutupatia habari exclusive
@kevintengojuma41013 жыл бұрын
I love you man of God
@safwazungu80203 жыл бұрын
Nimekubali safi sana
@joshuaibrahim66915 жыл бұрын
Mwenye njaakali mbele ya mfalme nihatari mbele yajamiii bora ukoma
@mavinemurila48734 жыл бұрын
Naienzi Tanzania Sanaa japo mie mkenya
@emmanueljacob92254 жыл бұрын
Nakuelewa sana mchungaji
@mbilinyijohnpius84625 жыл бұрын
Thanks mch:Daniel mgogo
@VeronicaTemu-y4s9 күн бұрын
Bora mtumishi ulibahatika kumpa mauwa yake marehemu raisi magufuli mbele ya macho yake ulibarikiwa sana
@winfridakasindye96185 жыл бұрын
Tumekuelewa. Baba, raisi waawanyonge,,tumekuelewa
@aludomakori42304 жыл бұрын
MUNGU,ampe tano mingine JPM,mgogo ulisema kweli TUMEMUELEWA JPM kwa mafueza yanayoshuka serikalini Sasa hivi,ni lini haya yalipatikana?
@ricksonmrema865 жыл бұрын
Mtumishi hupo sawa
@genimaige60235 жыл бұрын
Amina mm nimekuelewa na bado naendelea kumuelewa mh raisi wetu
@manasesamwel59465 жыл бұрын
Mch. Mgogo Nimekuelewa Baba
@sylviesylvieleonardoliveas61384 жыл бұрын
Amen wa ongeya kweli
@moyesmassawe19635 жыл бұрын
Point Mtumishi
@mkangyailutashaggy72072 жыл бұрын
Amen kubwa mchungaji
@avax57175 жыл бұрын
Hata mimi uncle Magu, ninakuelewa
@divamrembo87885 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Daniel Mgogo
@thadeimkula93132 жыл бұрын
Hapo nime kupata sanaa
@wangwemseti75925 жыл бұрын
Tusadiwe sisi wa huku vijijini ili tusivutiwe na maisha ya mjini na kuja kupata hasara za kuvunjiwa nyumba na kusabisha foleni mjini tuboreshewe miundo mbinu huku vijijini kusudi tubaki huku huku tunalazimika kuvamia mjini si kwa kupenda ni kutokana na serikali kutusahau na kubezi na maeneo ya mijini
@amonamiri44873 жыл бұрын
Mgogo bhana uko vizur...sana
@badenbensoni75165 жыл бұрын
Amen
@benezethkapongwa80175 жыл бұрын
Yaani mahubiri yako ndo maana sijaachaga kukusikia... Nakuelewa na wewe pia
@edivestakimario23862 жыл бұрын
Na kumiss mfalme makufuli
@janetkahada52064 жыл бұрын
Ukweli kabisa ubarikiwa
@octaviangeorge11833 жыл бұрын
Nimekuelewa
@faustineselestine33273 жыл бұрын
Asante mtunishi
@profmasumbuko22883 жыл бұрын
Point taken
@daudiomu22872 жыл бұрын
Amina
@miguelbaptistanhoka14623 жыл бұрын
Upendo kwako mwishimua pastor.niko Moçambique.
@elimuwidson68162 жыл бұрын
Mch.hata Mimi nimekuelewa kwa elimu uliyoitoa
@aludomakori42304 жыл бұрын
Jmn,cku nyingine mpeni tena mualiko
@listerelieza563 жыл бұрын
Ndg.daniel mgogo hapa ulinena kweli
@anyimikeshola12032 жыл бұрын
Amina baba
@aludomakori42304 жыл бұрын
JPM wenye akili tumekuelewa
@bonfesmwenda40064 жыл бұрын
Pia Mimi nimekwerewa muchugaji
@bensonmfugale56772 жыл бұрын
Simba usajili
@yohanaibrahim38043 жыл бұрын
Ubarikiwe
@ancomagu75105 жыл бұрын
Dah hama kwa hakika umenena vyema yani ni ukweli mtupu
@omanabcd92493 жыл бұрын
Sana mtumishi
@salvationsalvatory90975 жыл бұрын
Goooooood Goooooood
@cobadadon23345 жыл бұрын
ukweli mtupu
@sulleysonsulley41605 жыл бұрын
Mhe Rais Hiyo injili imekaa sawa , watu wako wamesikiaa?