Kuna my friend mmoja anampenda sana Hananja, nimegundua kwa nini sasa. Is more than a Comedian but speaking the truth.
@bakarichina99482 жыл бұрын
Ahahahahaha mzee kunywa soda ntakuja kulipa,
@gwamakangwala64682 жыл бұрын
Duu I ❤you so much. I will follow this Pastor.
@zainabtumba11862 жыл бұрын
🤣🇺🇲/🇹🇿Nacheka tuu na Mtiririko Wa machozii Furaha. Yaani kweli ndani ya Comedian Pastor. Ataa Mtangazajii hoi kwa kuchekaa Unamuhisiii. kiboko ya Uwaziii Mchungaji Ubarikiwee kipajiii cha Ujumbe Hai Na Mahususi kwa Jamanii Zetu Unaponesha TZ.🥰
@euphrasiantawatawa15102 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia ktk kuelimisha jamii Mchngaji
@ambeally5452 жыл бұрын
Huyu mchungaji anasema ukweli kabisa, duuuu
@khadijakinyala94072 жыл бұрын
Yaan baba huyu nampenda sana yaan anaongea point kabisa🙌
@amanikombe84392 жыл бұрын
Mchungaji,upo kwa ajili ya jamii endelea kuelimisha,ubarikiwe Sana.
@sidesamtz86942 жыл бұрын
Huyu mzee kanisa lake lipo wap jaman maana naweza kujifunza vingi kutoka kwake aiseee___🙌🙌
@peternaaly40812 жыл бұрын
Mchungaji mstaafu
@rayclemence10222 жыл бұрын
Anajua
@gwamakangwala64682 жыл бұрын
You spoke my mind,tuliozinduliwa kabla tuna comment wapi?
@delphinkakudji2 жыл бұрын
🤣🤣😂😂damn
@angellomarcel56772 жыл бұрын
Duh huyu mwamba Khaaa
@twahaissa69142 жыл бұрын
nampenda sana mchungaji kwamafundisho mazuli mungu akupe nguvu kirasiku
@silvestercharles13542 жыл бұрын
Mchungaji uko vizur saaanaa
@D-Man.B-Free2 жыл бұрын
Good point:dirisha ndogo or kubwa,mfupi,mlefu,munene,mwembamba👊👊👊
@johnngoyo55892 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@magamboshabani63202 жыл бұрын
Sio wanawake wa leo mzee Hananja.. Waleo ni mtihani mzee wangu viburi kibao watu wanataka kuishi kwa mazoea ndio tatizo
@teddylameck33552 жыл бұрын
Uyo mwenye kiburi ni wako
@felisianailomo23392 жыл бұрын
Kabisa mchungaji watu tunamaneno ila mungu Ana neno mungu atusaidie
@mwavamwambarkissensi75862 жыл бұрын
Panya ajengi nyumba Wala anunui sketi lakini anamke dah ananja umetisha Sana.
@neemajulius17292 жыл бұрын
Ajengewe sanamu huyu baba
@josephmwabange96332 жыл бұрын
unakufa kwa mwanamke aliyezinduliwa huo ni upungufu wa akili😂😂😂
@stellah38442 жыл бұрын
Mch Hananja 🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yohanakayinga92792 жыл бұрын
Asante mchungaj
@kapiskymorrice12 жыл бұрын
Mzee mchungaji hananja unamaneno ya ukweli mtupu ambae atakua haelewi ana matatizo ya akili
@lucaslaurent29202 жыл бұрын
Safi sana Mchungaji Hananja nimekuelewa sana.
@fadhilamaulid98432 жыл бұрын
Albam. Imeshazinduliwa zamani duu
@sidesamtz86942 жыл бұрын
Daaah!! Umzee hakika nitamtafuta angalau anishauli hata machache daaah 🙌🙌
@gwamakangwala64682 жыл бұрын
Utalikomboa Taifa Mchungaji.
@elishakalengo63682 жыл бұрын
mzee bado hujui wanawake na pesa ni ndugu wa damu😂😂
@lamsonsanga12652 жыл бұрын
Kweri bwana mchungaji ukitongoza demu sahivi kama kaokuta milioni
@itanzaniaAS2 жыл бұрын
Mungu kakutuma kutufariji asante
@athumanfuko1992 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@maimunamumwi45072 жыл бұрын
Nyau hanunui sketiii🙌😆😆😆
@mkudembeteni76672 жыл бұрын
Sichokagi kukusikiliza Mchungaji Una maneno yasiyo kinai kuku fuatilia.
@eliaminishembazi5202 жыл бұрын
😃😃😃😃
@vesitinarevocatus73332 жыл бұрын
Huyu mchungaji nampenda yaani anaongea kama mashara lakn huwa ujumbe unafika
@delphinkakudji2 жыл бұрын
Kuzinduliwa 😂🤣🤣 laughed so hard 😭🤣😂🙌🏾
@ahuriladaniel98492 жыл бұрын
Nimechoka🤣🙌🏿
@delphinkakudji2 жыл бұрын
@@ahuriladaniel9849 so funny bro
@neemamwaimu32172 жыл бұрын
😄 🤣 😂 😆 😄 mchungaji hananja unafurahisha sana na maneno yako ila ukiyatafakari 🤔🤔ni ukweli mtupu
Uko sawa mtumishi wa Mungu Endelea kuwashundisha wenyewe tabia hiyo
@giftdumaboi90182 жыл бұрын
Mzee wa busara sana
@isaacnombo88442 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@daudipanga69462 жыл бұрын
Hahahaha,we mchungaji kiboko.... hahahaha
@rosemaryrwabibi59082 жыл бұрын
Ata jina lake ni utajili
@benedictmhina88802 жыл бұрын
Uzinduziii hahahaha
@mustaphahashim81992 жыл бұрын
Mzee wa mihemko😅😅😅
@dorakiyao45092 жыл бұрын
Kweli aiseee
@sheckycobb52402 жыл бұрын
Hii ujumbe itembee(viral)
@evodirudo48132 жыл бұрын
🤣🤣 Alo nimekuelewa mzee hananja
@agnessomba2 жыл бұрын
Hahahaha!!🤣 For sure .ubarikiwe baba
@emanuelibrahimu20462 жыл бұрын
Huyu paster duuh balaaa sana
@alinejeremaih11462 жыл бұрын
Mungu akubariki
@rubefabi83662 жыл бұрын
Ukweli hali ndani ya kanisa ni mbaya sana hususani kwakuwa wengi wameingilia kazi wasiyoitwa. Wanachukulia kazi ya kanisa kama fursa wakati hawana sifa ya kazi hiyo. Migogoro ndani ya ndoa inaweza kutokea lakini ikishaingia kashfa ya uzinzi basi hiyo inakuwa nje ya imani kabisa.
@elieneaezekiel51022 жыл бұрын
Yule katibu alijinyonga kukwepa aibu baada ya kutongoza weee na akakataliwa
@sidesamtz86942 жыл бұрын
Hapo kwenye show hapo__🤣🤣🤣🤣
@dorothymella47192 жыл бұрын
Show
@kassimkalole88342 жыл бұрын
MTANGAJI UNAONGELEA ULIMI KAMA DEMU WE CHOKO NINI
@annejacobilkiuyoni29712 жыл бұрын
Baba mchungaji nitumie no yako nikutumie hela ya soda
@elizabethmuia98392 жыл бұрын
Na kukubali sana mchugaji 🇰🇪
@ramsfield81252 жыл бұрын
We ni kichwa kweli we ni mchungaji unastahili kuchunga
@sidesamtz86942 жыл бұрын
We bac weeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jaklineanderson81212 жыл бұрын
Hahahaha nimecheka sana maneno matamu Sana haya et kama mwanamke kafata ela ungeenda oa benk nimeipenda hyo
@stellachua9902 жыл бұрын
Mm huyu mchungaji akiongea tyuu mm nacheka
@evelinamwalyego2062 жыл бұрын
Big up saana pastor Rich❤️❤️❤️❤️
@sidaryotv88212 жыл бұрын
Nimecheka sana hapo kwenye show🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@alaikamyale7842 жыл бұрын
🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 asante mchungaj mafundisho yk uwa yananijenga sn
@mr.sampaelias18852 жыл бұрын
😀😀😀Nimecheka kijinga et mkizeeka mnaishi kama babu na bibi
@rose_Winchester862 жыл бұрын
😹😹😹
@khdijakudililwamabula49602 жыл бұрын
😅😅😅😅
@pendoemmanuel88812 жыл бұрын
Hapo kwenye makope na makucha na mawigi umeniweza mchungaji waambie kazi yao ni kumkufuru Mungu alivyowaumba. Watubu na waviache hivyo vitu
@millicentakinyi55042 жыл бұрын
Nabii💪💪💪🤣🤣🤣🔥🔥🔥ubarikiwe👏👏👏👏
@saleheomari91552 жыл бұрын
APEWE ULINZI HARAKA SANA
@holelajohn8852 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa mchungaji100%
@iddommakonde47202 жыл бұрын
Daa huyu mchungaji nimemkubari kufa kwa ajiri pesa siyo. Mapenzi
@emanuelbrysonshauritv.16382 жыл бұрын
Point
@hafidhimarijani49612 жыл бұрын
Mchungaji hujawahi kosea unaongea ukweli muda wote
@georgejustine27662 жыл бұрын
🤣🤣🤣kwenye show apo ndo nimepaelewa 😂😂
@rose_Winchester862 жыл бұрын
😹😹
@fallymetoo1912 жыл бұрын
Eti ALBAM.......Ime.......😄😄😄
@fadhilamaulid98432 жыл бұрын
Akili zimejaa hadi. zinamwagika (shoooo)
@Mamatonny20652 жыл бұрын
Mchungaji una maneno mazuri ambayo yanaelimisha jamii na kufungua watu akili .
@marioleonce2462 жыл бұрын
Jeshi langu hananja hunaga interview mbovu love yuuu
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@ezekiambise25952 жыл бұрын
😀😀😀,nimecheka Sana na nimeelimika
@mecksonmkalawa97702 жыл бұрын
Anafuata show tu🤣🤣🤣
@deogratiusantony48132 жыл бұрын
Kweli mchungaji,uko poa sanaa! Point tupu,mwenye sikio amesikiaa🙏
@atuganilemsomba30282 жыл бұрын
Mtangazaji unacheeeekaaa
@jemanyamle59452 жыл бұрын
Lait wanandoa wangetambua hayo migogoro ingepungua kwa wanandoa
@wazirmlogi75322 жыл бұрын
Jaman kwenye uondo panaanzia kwenye dakika ya 8
@farajalucas83572 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sarahjoshua75592 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Askari panga lol Asante baba
@rahellongo99462 жыл бұрын
Ukitulimisha tuna Elimika ubalikiwee mchungajii
@thadeiandrea8772 жыл бұрын
Mchungaji ubalikiwe sana mafundisho safi
@testarguy86092 жыл бұрын
Bess la Nabii noma🔥😁😁 macho ya wanaume bhana 🤣🤣🤣🤣🤣
@adelahavugimana69732 жыл бұрын
Ukweli mtupu baba
@rose_Winchester862 жыл бұрын
😹😹😹😹😹😹😹
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
haaaahaaaahaaaaahaaaaaahaaaaaaa!!!!!
@modestamashoke90382 жыл бұрын
AMEEN
@rhoda72982 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@winnifridaashery81872 жыл бұрын
Wapita njia mpooooo?
@sheckycobb52402 жыл бұрын
Wamesikia wamekaa kimya hapa Ila wamesikia
@ahuriladaniel98492 жыл бұрын
Kwakweli wamesikia😂😂😂😂😂😂🤣🙌🏿
@winnifridaashery81872 жыл бұрын
@@sheckycobb5240 Ha ha ha ha ushabiki kwenye ndoa na maisha ya watu si kitu kizuri
@amourmaftah2582 жыл бұрын
Sawa mtua pekecha pekecha mtua
@dicksonulotu74272 жыл бұрын
Ukweli umeusema mchungaji,ila waambie vijana waowe wachane na wake za watu.
@Digalatz2 жыл бұрын
Babaaaa
@josephmwabange96332 жыл бұрын
kuanzia saa 9 unaangalia chupa tu bar nguvu za kiume zitatoka wapi